Тёмный

MASTER JAY AIBU MAPYA YA DIAMOND NA P DIDDY ,HAJAFANYA CHOCHOTE NA P DIDDY?, BABU TALE UKWELI ANAJUA 

Lokoma Tv
Подписаться 45 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

KWA HABARI , SIASA, MICHEZO NA BURUDANI USISAHAU KU SUBSCRIBE RU-vid CHANNEL YETU YA LOKOMATV HAPA
Follow Us On:
INSTAGRAM: shorturl.at/wFP67/ || shorturl.at/jwQSU
TWITTER: shorturl.at/luzLZ
FACEBOOK: shorturl.at/rCL12
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 Empire Lokoma Limited . 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#yanga #simba #yangasc #simbasc #simbavsyanga #tff #nbcpremeireleague #mwakinyo #samatta #zuchu #wizkid #Davido #nandy #wasafi #diamondplatnumz #alikiba #harmonize #instalive #youtubelive #mboso #lavalava #beyonce #Mariacare #mwijaku #babalevo #hbaba #kondeboy #afrima #notjustok #exclusive #lokomatv #trending #tanzania #marioo #mrpimbi #rickmedia #millardayo #ayotv #simulizinasauti #utamu #mpenjatv #globaltv #bonatv

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 3 дня назад
Good you have taked very well
@MzeeRama-y7z
@MzeeRama-y7z 4 дня назад
Masta thnks alot mungu akubariki
@madalanasri2226
@madalanasri2226 4 дня назад
Master Jay wewe nimuongo mkubwa tunajua kipo kitu unataka kwa diamond hizi siku unajipendekeza sana 😂
@sidesaid4604
@sidesaid4604 2 дня назад
KASHUKA KWENYE NDEGE KIUNO HAKIPO KABISA....AAAH MASTE BANAAAA...KASHARIRW.........uyo
@IbrahimUsalimi
@IbrahimUsalimi 6 дней назад
Mbna kama ana mtetea kwani didy anashutumiwa na Nini na mond anaushmb gni wa kwenda kuangalia tv chumbnii?
@AbdiMohammed-gm3ik
@AbdiMohammed-gm3ik 6 дней назад
Zanzibar kiringo alivuma kabla ya Diddy wako walosingiziwa ila watu wamenyamaza sasa na wabongo mnataka kumchafulia jina ili Mungu atamlinda kwa fitna zenu
@BahateabacarQuebula
@BahateabacarQuebula 17 часов назад
Wazungu wapo kwa ajili ya kuwachalenge ..lakini hamuelewi
@AbdiMohammed-gm3ik
@AbdiMohammed-gm3ik 6 дней назад
Iyo yote choyo na roho mbaya wabongo Abdinho naongea acheni choyo na yote kuona mafanikio ya Nasib mdogo wangu Nasib achana nao just go on fanya yako watakaa kimya wenyewe wachawi tu
@LukuSaid
@LukuSaid 6 дней назад
Sasa sababu ni kwamba mond kaenda kwa p Diddy au mbona mnapenda kuchafua wenzenu nyie
@subralugege7019
@subralugege7019 6 дней назад
Sawa kabisa kaka wanachuma dhambi sana japo no mziki siipendi lkn hawa ni vijana wetu jamni tisiwatie aibu jamani da¡
@pena_tz
@pena_tz 5 дней назад
Awa wanaozidi kufanya interview ndio indirectly wanaikuza hii idea ya kupakwa mafuta. Wangetulia basi
@Ara-MozDaddyFina-sp6we
@Ara-MozDaddyFina-sp6we 4 дня назад
Diamond Ameliwa nyuma😂😂😂😂😂😂😂
@beatusmajumbi7125
@beatusmajumbi7125 День назад
Kwa DIDY ni kama kwa mkapa hatoki
@BahateabacarQuebula
@BahateabacarQuebula 17 часов назад
Acheni ujinga waafrika
@gamesfootball123_
@gamesfootball123_ 6 дней назад
Wabongo tunajaji kutokana na vile mond alivyosema na kutokana na history inayotrend
@BahateabacarQuebula
@BahateabacarQuebula 17 часов назад
Ninacho waambia waafrika mtumie akili sio siku zote mnakuwa watumwa mnamchafua
@dizzobusiness3042
@dizzobusiness3042 6 дней назад
Sisi wabongo tunamatatizo sana ya fikra
@alimwadima254
@alimwadima254 6 дней назад
Michicha mwiba Tu wasanii wengi Chidi alishasemaga bana
@gamesfootball123_
@gamesfootball123_ 6 дней назад
Kwani anavyofanya zile part wale watu wanao enda kwake niwote wanao pakwa mafuta
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 6 дней назад
Yaani Mungu akubariki sana master J sisi watanzania roho zetu mbaya sana baadhi yetu...
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 3 дня назад
Unaharibu jina ya ndugu mudlamu utakufa ramarathi mabaya wewe uliyemwrkeleya
@neemah6517
@neemah6517 4 дня назад
Kariwa unatea ungari ww
@SalimCharo-ft9kf
@SalimCharo-ft9kf 4 дня назад
Acha longolongo wewe, hivi huyo cjui Swizz bit alienda kwa p diddy kwa ajili ya kuonya diamond pekee? Na kama alijua mchezo wa p diddy hapo awali kulikuwa na hasara gani kwake kwa kuongezwa diamond katika list ya walioliwa kama yeye? Ama aliogopa uke wenza?
Далее
Сколько стоит ПП?
00:57
Просмотров 217 тыс.
Провал со стеклянным хлебом…
00:41
Understanding God: as portrayed in Codex Oera Linda
13:16