Тёмный

Maswali 7 wasiyopenda kuulizwa Wanaume - Joel Nanauka 

Joel Nanauka
Подписаться 291 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 104   
@successconcious703
@successconcious703 2 года назад
Hahhhaaaaa Coach hii ya leo nimecheka sana coz karibu maswali yote nishaulizwa.. All in all naendelea kujifunza ili niwasaidie na wengine. Barikiwa sana !
@claramrosso2566
@claramrosso2566 Год назад
Hahahahaaaaaa! Wanaume wengi wanapata shida kutafuta nguo ya kuvaa. Ni kweli kaka Joel hapo mmama anaweza chezea kichapo aki.
@ibrahimwilbert4118
@ibrahimwilbert4118 2 года назад
Amna kitu sipendi kama kuulizwa “UNAWAZA NINI”
@ChubwaChubwa-p5j
@ChubwaChubwa-p5j 11 месяцев назад
❤nilishaulizwa et mamaangu nampenda kuliko yeye nilimjibu vibaya akaondoka 😊😊
@mbaohosea8025
@mbaohosea8025 Год назад
Asee me nishaulizwa sana hasa kwenye uvaaji ndyo kazi ipo
@francischiwangafrans3161
@francischiwangafrans3161 2 года назад
Mimi nishawahi na leo naenda kumsikilizisha,hakuna ulichiacha apo brazer.
@magrethjohn4929
@magrethjohn4929 2 года назад
😁😁😁😁 uncle joel nacheka coz kule kwenye maswali tusiyopenda kuulizwa mwanamke nlkuwa na huzuni sana lakin huku yan video nzima nacheka tu kumbe tupo 50/50 eeeh after all we all human being🙏🙏🙏 uncle joel
@mdphotopointtz8774
@mdphotopointtz8774 2 года назад
Uko vizuri kakaangu
@hussein6466
@hussein6466 2 года назад
Haya maswali yote nimeulizwa na yamenikera ki shenzi . Thanks
@kijeshiabdalla6316
@kijeshiabdalla6316 2 года назад
Ni vyema tu wakajua kwamba Mama halinganishwi na Mke.
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 2 года назад
Nakubali sanaa
@omarmahirizi
@omarmahirizi 2 года назад
Yaani hakuna video zinanisisimua kama video zako tena zina mafunzo ya msingi wenye nidhamu ya juu kabisa
@omarjuma1794
@omarjuma1794 2 года назад
#JoelNanauka Jenius By Discovery
@arnoldvictor8763
@arnoldvictor8763 Год назад
Umesema vizuri sana, NATAMANI ungeongeza pia maswali wasiyopenda wanawake!
@drmapigimasunga3408
@drmapigimasunga3408 2 года назад
Kaka Joel nimekua nikifuatilia mafundisho yako sana mpendwa endelea inanipa nguvu sana
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
Joel nanauka 💜
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 3 месяца назад
Somo zuri Sana coach
@ofmae-thebrainstech3501
@ofmae-thebrainstech3501 2 года назад
I like this guy
@felixrobert9734
@felixrobert9734 2 года назад
Mungu akubarik kaka Joel
@MucsyynMustafa-z2l
@MucsyynMustafa-z2l Год назад
Nimeflai brother joer
@maulidympembeta6045
@maulidympembeta6045 4 месяца назад
Mimi binafs naona tafaut yute na hawa wenzetu na hasa ikujua psychology yao ndio inaleta utam wa mapenzi. Nlishawasamehe tangu zaman na nkawapa excuses za kutosha tu . Wao wanamatatzo meng ya kisaikolojia kuliko sisi
@hoseamussa5571
@hoseamussa5571 2 года назад
Sure.mm huwaga sijibu nakaaga kimya tu hadi maswali yaisheee
@shakirally3899
@shakirally3899 2 года назад
My mentor
@gladymsuya1310
@gladymsuya1310 Год назад
Mimi mwenyew ni wakikevukiniulza maswala ya kazi na hela nakuwa na hasira saana😂😂
@bavurecopain2673
@bavurecopain2673 Год назад
Shukrani kwa tafsiri hizo. Wanaume kweli tuna maajabu mengi
@benjaminwafula
@benjaminwafula Год назад
Napenda job yako na kuusu hayo maswali wengi hukuyana nayo hata nami pia usipokuyana nayo utakua hujakomaa mtwapa kilifi county Kenya twakupenda unafanya kazi viema
@obedwilliam5906
@obedwilliam5906 2 года назад
Nakukubali Joel
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 2 года назад
Na hilo la kazi mademu wanapenda
@alshakizmwongesh8624
@alshakizmwongesh8624 Год назад
🤣🤣🤣🤣
@hamdaniamli7436
@hamdaniamli7436 2 года назад
Nikweli kaka uposahihi hayamaswali wanawake wengiwanayo
@mgclassic7081
@mgclassic7081 2 года назад
Ubarikiwe San kaka unazidi kunipatia elimu ya mambo mengi San sas kaz kwangu nikuyafanyi kaz
@jovithangerangera5138
@jovithangerangera5138 2 года назад
Im learning...🙏
@simonrwiza9553
@simonrwiza9553 2 года назад
Naktaka kujua. Maana halis ya fursa joel
@ibrahimkalama6045
@ibrahimkalama6045 2 года назад
Thanks for your inspiration 🙏
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 Год назад
Asante sana
@abeid713
@abeid713 2 года назад
Kweli
@adamsonjacobs2344
@adamsonjacobs2344 Год назад
My best mentor all the time
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 2 года назад
Hilo la pili hata mi sipendi ukiniuliza kati ya baba yangu na yy bac lazima akasilike maana nitamtaja baba yangu na hilo la 3 binafsi siwezi kuuliza maana naona nitadanganywa tu
@magehnew1442
@magehnew1442 2 года назад
Thank you 💗
@vanessasalema6087
@vanessasalema6087 2 года назад
Sawa kaka Joel.
@bigdreamer8857
@bigdreamer8857 2 года назад
Najiuliza wanaume walifundishwa na Nani kutoa jibu la Aina moja hapo kwenye UNAWAZA NINI?
@alshakizmwongesh8624
@alshakizmwongesh8624 Год назад
🤣🤣🤣na ni kweli
@evertheobald1811
@evertheobald1811 Год назад
Nahisi walifunzwa na Adamu wa pale Edeni!
@titus_maridhia
@titus_maridhia 2 года назад
Nakubali
@sichthedone4127
@sichthedone4127 2 года назад
Ndugu yangu upo vizuri sana nakuelewa vema
@hafidhimkuzie
@hafidhimkuzie 2 года назад
Hili swali mwanaume yoyote hapendi kuulizwa. Ni swali ambalo linamfanya mwanaume afikirie kama anatiliwa mashaka kuhusu uwezo wake kitu ambacho mwanaume yoyote hapendi kuonekana dhaifu hasa mbele ya mwanamke.
@kisakajudiee
@kisakajudiee Год назад
🙌
@ging5471
@ging5471 Год назад
Nyingine swali ingine ni unamiaka mingapi iyo sihipendi kabisa
@ADMIN-yo7wu
@ADMIN-yo7wu 2 года назад
Mm ambalo jingine huwa silipendi ni pale ninapoulizwa hivi unanipenda kweli?
@nindemkeremi3708
@nindemkeremi3708 2 года назад
Empty box...tunakaa sana hapo😂😂
@hafidhimkuzie
@hafidhimkuzie 2 года назад
😆😆😆
@antipascann2797
@antipascann2797 Год назад
Tunaupiga mwingi sana hapo kwny empty box
@fatumaabdallah-ui7pj
@fatumaabdallah-ui7pj 11 месяцев назад
Kwamba huwa mnaganda😂😂😂
@nathanvenancy8029
@nathanvenancy8029 2 года назад
Very very insightful 👏
@evodiajohn7991
@evodiajohn7991 Год назад
Mungu akubarki sana mtu wa Mungu nabarkiwa sana na mafundisho yako God bless u.
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 2 года назад
Kama Kuna swali sipendi kuulizwa ni hili why can't you be like him.
@angelmaxon8946
@angelmaxon8946 Год назад
Huenda kuna sehemu unazingua so mkeo anatamani ubadilike cz hawezi kukuuliza hvyo km humkeri. Na hna nia mbya sema namna anavyoiaddress labda
@pulikisia7963
@pulikisia7963 2 года назад
Hilo la 3 lazima ntauliza tu!! Na hata akindanganya ntajua tu!!
@isikesamike
@isikesamike 2 года назад
Ukijua kuwa mwanaume katembea na wanawake wengi ama wachache itakusaidia nini?
@pulikisia7963
@pulikisia7963 2 года назад
@@isikesamike itanisaidia kujua ni aina gani ya kizazi ntaenda kukitengeneza na huyo mwanaume,hivyo itaniwezesha kuamua whether nimkubalie au lah!
@isikesamike
@isikesamike 2 года назад
@@pulikisia7963 usitarajie kupata ukweli na wala hutakuja kuujua ukweli. Ukifikiri kuwa akikudanganya utakuja kujua tu ukweli ni mpk utazeeka lkn huo ukweli wala hutakuja kuujua. Jambo la msingi ni hili - Ukiamua kuwa na mtu kuwa naye tu, habari za alikuwa na nani au na wanawake wangapi achana nazo. Kama ambavyo yeye hatapenda kujua ulidate na wanaume wangapi huko nyuma basi nawe kausha wala usithubutu kusema ulikuwa na wanaume wangapi. Na siku umemwambia tu tambua huo ndo utakuwa mwanzo wa kuyaharibu mahusiano yako. Utanishukuru siku moja!
@pulikisia7963
@pulikisia7963 2 года назад
@@isikesamike lakini kwa nini hili swali linawaudhi wanaume??
@antipascann2797
@antipascann2797 Год назад
@@pulikisia7963 kwa sababu halina msingi wowote....unafukua makaburi ya nn wakt mi nipo na ww sahv na hao wengn nilishaachana nao
@azariwilison7566
@azariwilison7566 2 года назад
Nimekutana na swali kama hayo has a namba4;5;6
@jerrymalulu5631
@jerrymalulu5631 2 года назад
Why can't you be like him? Heeeeee hapa broo wangu umeongea yani hilo lime base kote kote kwa walio oa na ambao hawajaoa yani silipendi hili swali kiukweli
@jacksonjosephkungunde6337
@jacksonjosephkungunde6337 2 года назад
Kaka naomba unisaidie namba yako ya simu
@wilfredjoseph9112
@wilfredjoseph9112 2 года назад
Nimeulizwa yote
@haikapatrick3988
@haikapatrick3988 2 года назад
Swali la tatu hata sisi wanawake hatulipendi
@ahz6907
@ahz6907 2 года назад
Basi nawewe usiulize kumkera mwanaume
@fatumaabdallah-ui7pj
@fatumaabdallah-ui7pj 11 месяцев назад
Sikujua nyinyi wenzetu huwa mko empty box😅😅😅😅
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
Awesome 👌🏽
@timothykengere2535
@timothykengere2535 2 года назад
Shukran 📚📚📚📚🎙️ Ndugu Nanauka
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
🙌🙌💔
@olivanooraladin5436
@olivanooraladin5436 2 года назад
Na mwanaume alifura balaa
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 2 года назад
Yaani hakuna swali hata moja kati ya yoteee niliyowahi kuuliza!!! Kwa mpenzi Ila moja tu la (Unawaza nn?) Nakumbuka niliwahi kumuuliza zamani sana mdogo wangu wakiume nilipomuona kama yuko mbaaaali kimawazo.
@isikesamike
@isikesamike 2 года назад
Alikujibu nini? 😂
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 2 года назад
@@isikesamike 😁😁😁Aliniambia eti hawazi kitu, wakati naona ni kama ana mawazo .
@antipascann2797
@antipascann2797 Год назад
@@khadijajuma7142 😂😂
@zawadipaul4857
@zawadipaul4857 2 года назад
Kumbe 🤔
@wilfredjoseph9112
@wilfredjoseph9112 2 года назад
Haaaa
@julykoko-nb1oi
@julykoko-nb1oi Год назад
🙌❤️
@JosephineMkoma
@JosephineMkoma Год назад
Kaka.asante.sana.umetusaidia.sana.barikiwasana
@halimaomary6884
@halimaomary6884 2 года назад
Senk uuuu
@olivanooraladin5436
@olivanooraladin5436 2 года назад
😂😂 No 5 hiyo iliwahi nitokea ni kaonekana km kunamtu
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 года назад
Mwalimu upo Vizuri Shukran
@rabiaiddi2884
@rabiaiddi2884 2 года назад
Kumbe hampendi huulizwa hivyo😂
@nasiadomary4893
@nasiadomary4893 2 года назад
Hilo swali la 3 na 5 ilifikia hatua mpaka tukagombana.... Sometimes ni maswali ya kijinga sana
@jacklinentabo2380
@jacklinentabo2380 Год назад
Na Sasa Joel nkuulize! Ni maswali yapi Wanawake hatupendi kuulizwa na wanaume? Balance the equation!
@alliymohamedalliy6524
@alliymohamedalliy6524 Год назад
🤦‍♂️ Kwni wwe mwenyewe hujui! 😂
@tausihasheem5169
@tausihasheem5169 2 года назад
Am I Fat??swali langu pendwa hilo🤣🤣
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 года назад
😂Swali la kwanza na penda kuliuliza.
@vanessasalema6087
@vanessasalema6087 2 года назад
Hahaha
@asiajumanne5039
@asiajumanne5039 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣hiyo empty box 🎁😅😅😅🙌
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Unatucheka😀
@JosephineMkoma
@JosephineMkoma Год назад
Asante
@faidhatiabdallah9926
@faidhatiabdallah9926 Год назад
@@joelnanauka😂😂😂
@MtumwaKombo
@MtumwaKombo Месяц назад
Hhhh
@yusterfussi
@yusterfussi 2 года назад
😂😂😂are you going to wear that?
@omarmahirizi
@omarmahirizi 2 года назад
Niukweli mtupu miongoni mwa hayo maswali niliwai kuulizwa na yakaniudhi sana hata ikafikia kuachana na mwenzangu kabisaaaa kwasababu wanawake wengine hawatumii akili tena anakuuliza wakati umetoka kwa kazi ngumu sana umechoka ndio analeta hivyo viswali vya kijinga
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 Год назад
😂🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣kwamba viswali vya kipuuzi na ujinga mwingi😂🤣🤣🤣
@evertheobald1811
@evertheobald1811 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@adamchengula4171
@adamchengula4171 2 года назад
@bavurecopain2673
@bavurecopain2673 Год назад
Shukrani kwa tafsiri hizo. Wanaume kweli tuna maajabu mengi
@siaammo1104
@siaammo1104 Год назад
hahahahahahah sanaaa viumbe waajabu kweli
Далее
Wanaume Wanaokimbiwa na Wanawake - Joel Nanauka
10:07
EPUKA MAMBO HAYA - JOEL NANAUKA
9:19
Просмотров 104 тыс.
How to Cook Juicy Steaks? Chef Kanan Recipe 🔥
00:59
Просмотров 725 тыс.
TABIA 5 ZINAZOFANYA UPOTEZE FURAHA - JOEL NANAUKA
6:36
AINA 5 ZA KUFIKIRI ZINAZOFELISHA WATU - JOEL NANAUKA
9:23
VITU VINAVYOUA UWEZO WAKO/JOEL NANAUKA
7:08
Просмотров 10 тыс.
AINA SABA(7) ZA WANAUME - JOEL NANAUKA
10:42
Просмотров 12 тыс.
JENGA MTANDAO (NETWORKING) - JOEL NANAUKA
8:26
Просмотров 21 тыс.
UBONGO WA MWANADAMU - JOEL NANAUKA
13:23
Просмотров 71 тыс.
MAMBO YA LAZIMA KABLA HAUJAFANIKIWA - JOEL NANAUKA
6:12