Тёмный

JENGA MTANDAO (NETWORKING) - JOEL NANAUKA 

Joel Nanauka
Подписаться 291 тыс.
Просмотров 22 тыс.
50% 1

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 82   
@Funke_Technologies
@Funke_Technologies 2 года назад
Big lesson
@herbertbavuma7228
@herbertbavuma7228 2 года назад
Br ur genious un controlled, iv jmn wakubwa kweny hii dunia kwan hawamuon huyu kiongoz?
@Haleem_07
@Haleem_07 2 года назад
Ngulii 🔥 💪shusha madini mpka mwisho wa dunia mkuu🙏
@mpeliakhim3770
@mpeliakhim3770 2 года назад
Vzr sna kiongoz
@alhabiibdulqan6966
@alhabiibdulqan6966 2 года назад
Nimejifunza kitu thanks broo more blessing 🙏🙏🙏🙏
@johaneskaihura3354
@johaneskaihura3354 2 года назад
Ahsante sana life coach speaker,Hakika nimekuelew vizur mno, njia rahisi ya kutengeneza mtandao binafsi ni ile ya kuudhuria kongamano.
@ghelimafilemon9653
@ghelimafilemon9653 2 года назад
Umesema kweli! Mwaka huu nililipia event ya reggae nchi fulani kwa lengo la kukutana na professor mmoja ambaye angenisaidia kwenye changamoto yangu nchini kwake. Nilifanikiwa kumuona, nikaongea naye. Ilinisaidia sana. Network ni kitu muhimu
@fedharmmark6398
@fedharmmark6398 2 года назад
Ahsante kwa Elimu hii mkuu maana unazidi kunifunguwa ubongo wangu kwa kiasi kikubwa zaidi, Mungu aendele kukupa Uhai mrefu na nguvu nyingi uendelee kuwa MTEULE katika ufanyacho na kugusa maisha ya watu wengi 🙏
@israelmwambi1571
@israelmwambi1571 2 года назад
Kwakwel nimechelewa sana kukufahamu ahsante MUNGU kwaajir ya zawadi hii kwangu
@Udindigwa
@Udindigwa 2 года назад
Asante sana Tanzania nia Tuna Mkombozi Mungu Asimame Nawe Uzidi Kutujenga Unamchango Mkubwa Sana Duniani
@rasisaidi1100
@rasisaidi1100 2 года назад
Njia ya kuwepo online ndio njia ambayo naweza kuitumia na njia ya kutafuta suluhisho ni njia ambazo umeniongezea maarifa. Mungu akujalie kwa kutufunza
@IsayaSangala
@IsayaSangala 5 месяцев назад
Nimejifunza sana naomba unifundishe network marketing naipenda sana
@omarjuma1794
@omarjuma1794 2 года назад
#JoelNanauka Jenius By Discovery
@rajabumpangalala2968
@rajabumpangalala2968 2 года назад
Dah yani kaka utadhani ulikua akilini mwangu na Ukaona jambo lililo kuwa linanitatiza, Asante kwa Majibu yako tena ya bure Kabisa.
@ephrahimmasiko9873
@ephrahimmasiko9873 2 года назад
Kijana atakayepuuza ujumbe huu miaka kumi ijayo; Ataomba kuonana na wewe na atakulipa pesa nyingi urudie kumueleza haya. Mungu akubariki sana Mentor
@prospakomba1257
@prospakomba1257 2 года назад
Wewe ni jeshiiiiiii kaka joel
@تةامممن
@تةامممن 2 года назад
Asant san 💯💯💯💯💯💣🙏🤲
@SMCTRADER-b4t
@SMCTRADER-b4t 2 года назад
Daaah hii nondo kalii sana yan nitairudia zaidi ya mara moja kwakweli
@kosseytz893
@kosseytz893 2 года назад
aise asante sana, siku moja ntarudi kutoa ushuhuda kwako
@IsayaSangala
@IsayaSangala 5 месяцев назад
Mungu akubariki nimependa mafundisho yako
@julianmadosh2951
@julianmadosh2951 2 года назад
Daaah Kaka nimeenjoy kabisa ila kanuni ya nne nimeielewa zaidi
@elimikatv
@elimikatv 2 года назад
Something very great.. Thank you coach
@joelmagembe238
@joelmagembe238 2 года назад
Kwakweli mwamba unajua kutoa masomo mazuri, mungu akubariki Sana kaka
@abdulmtila28
@abdulmtila28 2 года назад
Hii talent kubwa sana
@mohamedmchalasi4825
@mohamedmchalasi4825 2 года назад
Nashukuru Sana Mwalimu kwa SoMo zuri, Naahidi kufanyia kazi uliyoyafundisha.
@emmanuelmwandu.3126
@emmanuelmwandu.3126 2 года назад
Mungu azidi kukutunza mtumishi wa Mungu. Masomo yako yananivusha pakubwa sana
@issacmwambire675
@issacmwambire675 2 года назад
Mungu akuhifadhi Kaka
@annarichardrichard960
@annarichardrichard960 2 года назад
Mungu akutunze Sana Kaka Joel,nimejifunza Jambo kubwa Sana.
@annarichardrichard960
@annarichardrichard960 2 года назад
Nimekua nikialikwa kwenye mikutano mbalimbali lakini napuuza,Ila leo Umenitibu
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 2 года назад
Ahsantee sana
@pilichuli4449
@pilichuli4449 2 года назад
Pamoja kaka
@safarijean-pierre4918
@safarijean-pierre4918 2 года назад
Ubarikiwe Sana Kwa mashahuli yako Mpendwa Joel.Acha Mungu Muumba Wa Vyote Akutendee Mema.
@josephalfred7080
@josephalfred7080 2 года назад
Asante saana Kwa elimu ya Leo, kwangu Mimi naona njia ya kwanza ya social network kama yaweza kuwa njia kuu na lahisi
@donnyrwezaula
@donnyrwezaula 2 года назад
Somo ni zuri sana kaka mkubwa🙏
@NZAMUYEJoseph
@NZAMUYEJoseph Месяц назад
Kaka ongeraa sanaa
@Halflife__infotech
@Halflife__infotech 2 года назад
Mimi ni graphics designer, Nina online presence Instagram na Facebook kwa jina la halflife infotech lakini pia ni naweka status ya kazi ninazo fanya WhatsApp, strategic gathering imekua changamoto kubwa upande wangu kwani sijui niende wapi kupata mawazo na kukutana na watu mbalimbali hii inatokana na kutofahamu hasa niende gathering za namna ipi kwaajili ya kazi zangu, Nina amini kwamba hii itakua njia Bora kwaajili ya Brand yangu, Ushauri Tafadhali Joel
@aoman5214
@aoman5214 2 года назад
Mtafute wtsp
@firdosoman3133
@firdosoman3133 2 года назад
Ubarikiwe kaka joel
@ismailmadati3242
@ismailmadati3242 2 года назад
Big talks.. thank you sir
@kevywilly9285
@kevywilly9285 2 года назад
Well said!
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
Amazing 💔
@justinemasweta2877
@justinemasweta2877 2 года назад
Kweli bro
@dieudonnekayobera933
@dieudonnekayobera933 2 года назад
From Burundi! Asante Sana Mtu wetu wasamani
@fundivigaetzchannel1899
@fundivigaetzchannel1899 2 года назад
Aisee brother Ahsante sana
@bullychandy6509
@bullychandy6509 2 года назад
💪💪
@Mlevimedia
@Mlevimedia 2 года назад
Kwel kak
@davidnjue6274
@davidnjue6274 2 года назад
Watching u from nairobi kenya
@yohanapyuza5965
@yohanapyuza5965 2 года назад
Bro uko vizuri sana
@MosesMussa-b8s
@MosesMussa-b8s Год назад
asnte kk
@deboramenard1855
@deboramenard1855 2 года назад
Asant Sana unazidi kunijenga
@manenolugendo6396
@manenolugendo6396 2 года назад
Ujumbe mzuri sana
@josephcharles1757
@josephcharles1757 2 года назад
Big up kaka
@chriskrement9552
@chriskrement9552 2 года назад
Your building a great generation for such kind of content we are listening daily 🤔🤔out side of getting what you want your saving millions of people in this platform let's raise our knowledge by learning we was meet at convention of MAN OF POWER was prepared by @APOSTLE Nick Shabokah at Kebys Hotel but I didn't get a chance to talk with you but one day yes. God bless you J. Nanauka
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Thank you so much for this feedback, it is encouraging and inspiring. Glory to God🙏🏼
@Udindigwa
@Udindigwa 2 года назад
Amina Brother
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 2 года назад
Life coach
@ea1774
@ea1774 2 года назад
content nyingi sana
@glorykimaro2548
@glorykimaro2548 2 года назад
vitabu vyako naweza kupata wapi hardcopy kwa dar es salaam
@ismailmathias147
@ismailmathias147 2 года назад
Asante sana sana..
@bonifacemoses6774
@bonifacemoses6774 2 года назад
Broo ulihudhuria mkutano wa doctor myles mwaka gani 😀😀
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
October 2014
@prapid864
@prapid864 2 года назад
Mimi nilikua na vision flani nanyinginezo ila kwa kipindi hichi nimejikuta vile vitu sivihitaji tena nani mesema chochote nitakacho kutana nacho ndio nitaendeleanacho
@ibrahimAhmed-zq5hj
@ibrahimAhmed-zq5hj 2 года назад
Asante sana brother
@salesiomweda1747
@salesiomweda1747 2 года назад
Mimi Natáka kuengea na Raiz ou presidente wa Inji
@Siemawn
@Siemawn 2 года назад
meet people through other people attend strategic meetings
@dicksonmhenuchi6098
@dicksonmhenuchi6098 2 года назад
thank you brother
@boscobalame8018
@boscobalame8018 Год назад
Ok
@magehnew1442
@magehnew1442 2 года назад
Apo sawa
@ashaidd2912
@ashaidd2912 2 года назад
Nice
@beckyachieng6870
@beckyachieng6870 2 года назад
🤗🤗🤗
@تةامممن
@تةامممن 2 года назад
Nipe namba yako plz nakuomba 💯💯💯💯💯🤝🙏🤲
@Sajokila_Rapper
@Sajokila_Rapper 2 года назад
💖💖💖❤️‍🔥
@ghazalmsophe5322
@ghazalmsophe5322 2 года назад
Offer them a solution on their problems
@augustinomakaka3929
@augustinomakaka3929 2 года назад
Apo kwenye kuistudy kanpuni, unazingatia vitu Gani kuijua strength na weakness na changamoto zake?
@mymbaralitv2968
@mymbaralitv2968 2 года назад
SWOT Analysis
@dkalbertoanyasime9357
@dkalbertoanyasime9357 Год назад
Mm naitaji vitabu vinavyo husu kujenga mtandao
@ahadisalum1989
@ahadisalum1989 2 года назад
Let me start I was ignore it
@abdulmtila28
@abdulmtila28 2 года назад
Njia ya 1 nimekuwa nikiitumia sana ila pia ya 4 nitaanza kuitumia
@mwitacharles8280
@mwitacharles8280 2 года назад
Wape Suluhisho!! Kuna Kitu Natamani Hapa Kuzungumza Na Wewe Hasa Kwa Mimi Wa Mkoani,, Hapa Nahitaji Elimu Kidogo Juu Ya Jambo Hili Asante Sana.
@janethmasanja3281
@janethmasanja3281 2 года назад
BINAFSI NITAJENGA MTANDAO KUPITIA NJIA ZOTE NNE...COZ NI MUHIMU ZOTE
@johnmagubo4269
@johnmagubo4269 2 года назад
Kuonana na watu muhimu kweny secta niliopo
@johnmagubo4269
@johnmagubo4269 2 года назад
Maan nakumbuka uliwahi kusema sio kuwa na watu weng ndy mafanikio ila kuwa na watu muhimu.
Далее
LIFE WISDOM: VITU VINAVYOFANYA UNG'AE - JOEL NANAUKA
17:12
JINSI YA KUTUNZA MAHUSIANO NA WATU - JOEL NANAUKA
9:16
USIJIONE UMECHELEWA - JOEL NANAUKA
5:52
Просмотров 36 тыс.
EPUKA MAMBO HAYA - JOEL NANAUKA
9:19
Просмотров 104 тыс.
Jinsi ya kufanya meditation kwa njia sita
6:42
Просмотров 13 тыс.