Тёмный

Mate ya Mbwa Yalivyo Hatari Kwa Binadamu | Muujiza wake katika Quran na Sunnah - Abdillah Kitota 

Kalamutz
Подписаться 131 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 59   
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 2 месяца назад
Uislamu utabaki kuwa njia sahihi ya maisha hata kama wasioupenda na kuuchukia watauchafua kwa maneno na kwa vitendo.
@allybobsaith
@allybobsaith 2 месяца назад
dokta/Sheikh ABDILLAH KITOTA allah akufungulia akulinde na akuhifadhi ameen
@bentybenty2343
@bentybenty2343 2 месяца назад
SUBHANALLAH ALHAMDULILLAH ALLAHU AKBAR...Alhamdulillah kwa neemah ya UISLAM 🤲🤲🤲🤲🤲❤..
@sangokipozi4611
@sangokipozi4611 Месяц назад
Jazaak Allahul kheir
@issashekh4726
@issashekh4726 2 месяца назад
Shukran kwa darsa nzuri Allah awalipe katika kheri Aamin
@ummahmed3354
@ummahmed3354 2 месяца назад
Subhanallah... Amesema Kweli Allah... Amesadikisha Mtume wake Muhammad... Basi kwa wenye macho waone na wenye masikio wasikie... na sikio la kufa halisikii dawa... Barakallah fiikum brother wajazaakumullah khair
@sadasaid7212
@sadasaid7212 2 месяца назад
Shukran Sana mwl kitota Kwa darsa
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 2 месяца назад
Sheikh Allah badala .Iweke ktk lugha zote Dunia watu watambue . Uislamu ndiyo usalama wao.
@bishweko
@bishweko Месяц назад
Shukran sana Sheikh. Na kuna mzee mmoja amekufa majuzi kisa kaumwa na kaumbwa kadogo.
@hassannasibu678
@hassannasibu678 2 месяца назад
Elimu nzuri weka vipindi vingi zaidi
@shabaniomari6003
@shabaniomari6003 Месяц назад
Mashaa Allah shekh
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Ahsante kwa somo zuri.Tumepata elimu nzuri.
@ismailfarah3463
@ismailfarah3463 Месяц назад
MashaAllah Tabarakalah barakalafikum!!!
@kigemenadia4561
@kigemenadia4561 Месяц назад
jazzakallahu gheiri.
@BonnBonn-op6dr
@BonnBonn-op6dr 2 месяца назад
Djazak'Allahu kheiran
@habibarashidi-xn6mb
@habibarashidi-xn6mb 2 месяца назад
Jazakallahu Khairan shukurani sana
@TimaMohammed-pn9eh
@TimaMohammed-pn9eh Месяц назад
Shukran
@user-dc7kf7np3l
@user-dc7kf7np3l 2 месяца назад
Shukran Mwl, kwa nyongeza hata wadudu wa kichaa wanapatikana kwenye mate, pia ukimchunguza mbwa muda mwingi hujiramba sehemu za Siri, Tumswalie Mtume Muhammad SAW
@user-ty3df8wv1t
@user-ty3df8wv1t 2 месяца назад
Jazakallahu lkheyr
@hassandinhoosmail6378
@hassandinhoosmail6378 2 месяца назад
Baraka'Allah ya Ustadh. Ujumbe ishaa fika.Wataelewa tu. Hio ni elimu kubwa ambae haiwezi patikana Kanisani huko niku panda mbegu tu.😂
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 2 месяца назад
Subhana Allah Al khaaliq
@AlafasyDau-rh9vc
@AlafasyDau-rh9vc Месяц назад
Shukran shekh
@user-tb4ur9nk9d
@user-tb4ur9nk9d 2 месяца назад
Allah Akbar.. hakika Allah subhama wataala amemtuma mtume muhhamad swalalahu alahy wasalam kwa haki
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 2 месяца назад
Allahu akbar
@lukmanabeid9721
@lukmanabeid9721 2 месяца назад
TAKBEERRR. ALLAHU AKBAR. Shukran sana kwa taaluma. ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI DUNIANI NA AKHERA
@shaneyramadhan2519
@shaneyramadhan2519 Месяц назад
Sharti zakufuga mbwa ni 3 sio mbili mm ntaeleza tatu ambazo ndo shart 1 kwajili ya ulinzi wa nyumban 2 kwa jili ya kuchungia mifugo 3 kwajili ya kuwindia wanyama waporini Hadith hii ipo bukhari
@user-ls1ot6fs4v
@user-ls1ot6fs4v 2 месяца назад
Mbwa asabisha ugongwa mbaya sana macho
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 2 месяца назад
Alhamdulillah ,Muhammad alikua Doctor ,na Uislam ndio ulimsomesha kw nguvu za Allah ❤❤❤
@faroukfarouk477
@faroukfarouk477 2 месяца назад
Naomba kuuliza Sasa je pale anapokwenda kuwinda je akikamata mnyama je yulemnyama kuliwa inakuwaje
@nurualamoody4305
@nurualamoody4305 2 месяца назад
Nilisikia jana kuwa akiwa amemzuia tu huyo mnyama aina shida. Lkn km amemngatangata huyo mnyama basi aruhusiwi kuliwa kabisa
@ndizindeleti761
@ndizindeleti761 Месяц назад
Umeiskia kutoka kw Nani shekh au wanasayans tujuze shekh
@user-wl8ng3pj5r
@user-wl8ng3pj5r Месяц назад
Basi na ushahidi huo uliopo wapinzani wa uislamu watasema uongo
@Issa-ud6sy
@Issa-ud6sy Месяц назад
Tuoshe na udongo wote au Kuna udongo maalum?
@twahaally7251
@twahaally7251 2 месяца назад
Na imetht mbwa alikuwa anaingia mskitn kipnd Cha mtume ikiwa kumbukumbu yangu ipo sawa Na imaam maalik , Bukhar amezingatia mbwa n twahara Je anapokamata Ile sehem inakatwa ?
@asmaalghafri449
@asmaalghafri449 Месяц назад
Wewe kama unawapenda wazungu kwa kila kitu wafanyacho una ona sahihi sue waislam tuna dini yetu imetulataza mabaya na kutuongoza mazuri hizo freedom zenu na wazungu wenu kaeni nazo wenye umle ngurue na mlale na mbwa lakini sio sie waislam
@issamkwanda3382
@issamkwanda3382 2 месяца назад
Naomba kuuliza, je ,katazo kuhusu mate ya mbwa limekuja kwasababu ya hao bacteria?
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 Месяц назад
Jambo lolote ambalo ALLAH SUBHANAHU WATAALA amekiharamisha na kukikataza ktk QURAN TUKUFU AU HADITHI ZA MTUME WAKE basi huwa kina madhara. Hivyo usipende kuchunguza kila kitu bali amini ALLAH NI MJUZI JUU YA KILA KITU.
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 2 месяца назад
Sheikh na wale wamalaya wanaofanywa (wanaojamiiana) na mbwa je?
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy 2 месяца назад
Wanakufa wengi kwa maradhi
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 месяца назад
Hasa Wema na Manunu wake nuksiiiii tupu kutaka kuiga watu wa magharibi
@user-cu9mj3xj8x
@user-cu9mj3xj8x 2 месяца назад
mtume.saw abaki kuwa fatwa yadunia ,namakafiri walijue hilo
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 2 месяца назад
Wazungu wanalala nao kabisa
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy 2 месяца назад
Hata mashoga wamehalalisha
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 2 месяца назад
ILA MZUNGU APO HUJAMWAMBIA KITU BADO,
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy 2 месяца назад
Kwani mashoga na wasagaji hawajuwi lkn wanahalisha
@Desireyakubu
@Desireyakubu 2 месяца назад
Naomba kujuwa kama ni kuramba tu au hata kunusa kwa puwa yake
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy 2 месяца назад
Mate au maji ya kwenye pua
@Desireyakubu
@Desireyakubu 2 месяца назад
@@AbdullahOmar-be4wy ohh Shukran
@abdurashidinasorodini
@abdurashidinasorodini 2 месяца назад
dah sasa tuseme tyu Allah ND mlinzi wa tote maana mine nakumbuka nilipokuwa kijijini nilikua nipata kidonda namchukua mbwa namlambisha kidonda anavyo lamba mine najisikia Raha
@kalamuMedia
@kalamuMedia 2 месяца назад
Kinga zako za mwili Allah atakuwa alikujaalia zikawa ziko vizuri sanaa
@AliAbdalla-lb8su
@AliAbdalla-lb8su 2 месяца назад
Ashaelewa
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u 2 месяца назад
waislamu wanamuogopa mbwa ju alimula muhammad mna sida xana
@user-ct2nw8br1o
@user-ct2nw8br1o Месяц назад
Ata kuandika hujui umejaa chuki tu
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Месяц назад
Soma ndugu kwanza usiwe una karirishwa tu
@shizoshop2469
@shizoshop2469 2 месяца назад
Kama ni hivyo watu wangekuwa waneshakufa wengi kisa mate.maana huko vijinini kwetu tumecheza sana na mbwa .
@AliAbdalla-lb8su
@AliAbdalla-lb8su 2 месяца назад
Ww huelewi wala hufahamu huyu alierambwa na mbwa bacteria aliweza kuingia kwenye mifumo ya damu
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Месяц назад
Kama unacheza nao huko kijijini kwenu ukiumwa na mbwa kwanini ukienda hospitali wachomwa sindano?
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Месяц назад
Nakumbuka miaka 2 nyuma kuna mtoto alitafunwa na mbwa mguuni akaficha hakusema, alifika siku ya 4 anaonekana ana balika rangi mwilini ndio akasema baada ya kuulizwa, ila hakuwah tna kuwahiwa maana alikufa wakat ana endelea na matibabu
@seydouside4081
@seydouside4081 2 месяца назад
Allah akupe mwisho mwema.inshaallah.tunaomba utupe madhara ya kufuga kucha..tafadhali
Далее
вот тебе и бэйбик👴🏻
01:00
Просмотров 323 тыс.
Kisa Cha Mfalme na Nyoka wawili
16:06
Просмотров 28 тыс.