Тёмный

MAULIDI YA WANAWAKE | MASHEWA kwa Aly kidau | Shamsul maarif wachangamsha Hadhara kwa qaswida yao 

KHAIRIYYA ONLINE TV
Подписаться 8 тыс.
Просмотров 863
50% 1

kwa Aly kidau mashewa kuna Historia ya Kila mwaka Ya kusoma Hadhara ambapo watu wengi khaasa hufika kwa ajili ya kutekeleza hilo ni Hauli ya kuwakumbuka waliotangulia inayofuatana na Visomo vya dua.. Dhikr.. Maulid.. Samai na mpaka hadhara ya wanawakee hakika Hii ni zaidi ya maulidi hata hivyoo shuhuli hii mwaka huu imepata Bahati kubwa sana ya kuwa ONLINE TV YA ‪@KHAIRIYYAONLINETV‬ Hivyo fuatilia hadhara hii ya wanawakee kupitiaa channel yetu hii pendwaa
Na yote yaliyojiri Huko tutakuletea moja baada ya jingine hapa hapa katika kisima cha maarifa na burudani.. Hakika hii ni ‪@KHAIRIYYAONLINETV‬ usisahau #subscribe #like #comment na #share ili wengine wengi wapate furaha kama yako kwa burudani yetu.... Asante

Опубликовано:

 

22 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2   
@RashidiDhahabuRashidi-nx8ry
Mashallah uislamu raha
@sofiajumaa4538
@sofiajumaa4538 Год назад
Mashallah 🥰
Далее
February 7, 2024
8:27
Просмотров 18 тыс.
Hassan anaghani shairi la mawaidha kwa maharusi
4:35
Просмотров 273 тыс.
MAWLID YA WANAWAKE KATIKA MARKAZ SWALIHINA 1444 || 2023
1:39:27
PENZI LA DADA WA KAZI 💞 | Love Story
30:06
Просмотров 5 млн
MAHABA YAKE NABIYA
11:27
Просмотров 64 тыс.
Aqaz
16:16
Просмотров 192 тыс.