Nimekuja Kuiangalia tena hii nyimbo Baada ya kusikia Amefariki nakumbuka enzi zile nyimbo hii imetoka nilikuwa kigoma ilikuwa Faraja kwangu nikiisikiliza R.I.P maisha ya mwanadamu ni kuishi na kuishia😭😭
dah, namuona barnaba akipiga drums. Nani Leo hii alijua mshkaji baadaye atatoka na kuwa msanii mzuri afrika mashariki btw nimemuons na pipi on the right side😊. But seriously maunda we need you back
mie ningekuwa na ukwasi ningemlipa huyu sister arudie huu wimbo na aongeze vionjo flan , and actually I could be her manager !!! ahahaha napempenda sana huyu mdada bro
Rest in internal peace Maunda Zorro ...siku niliyosikia taarifa ya kifo Chako nilisikiliza hii nyimbo so many times ... Tanzania we Will miss u especially ur beautiful voice 💔💔
Dah 😭😭😭😭😭😭😭😭 Mimi Nilianza Kuku Fahamu Kupitia Wimbo Huu Nilikua Kwenye Banda La Video Huko Kijijini Kwetu ilikua Mwaka 2009 Dah Mungu Akuweke Mahala Pema Peponi Amin 💔💔💔💔💔
Kila Niingiapo Yutub Lazima Niiplay Hii Nyimbo Mw/Mungu Akupunguzie Adhabu Ya Kabri Maunda Hakika Utabaki Kuwa Ndani Ya Mioyo Yetu😭 Nenda Dada Kapumzike Kwa Amani🙏Nasi Tukingoja Siku Yetu,
Kaniuma sana huyu Dada mie naishi mitaa hii ya kwa Azizi ally saba saba kabla hawahama huku alikuwa anapenda sana Kuja hata walipo hama alikuwa anakuja kwa jamaa zake ameniuma san
Daaah. Tumepoteza bongo flaver jamani. Hizi ladha si dhani kama zitajirudia tena. Nyimbo tamu hadi raha. Alafu zamani unaweza kutumia nyimbo kuopoa mwenza. Lakini siku hizi.... Waaapiiii. Katikati ya nyimbo producer anataja jina lake😂😂😂We miss u mtoto kutoka kwenye familia ya waimbaji... Maunda zorro. Nov 2019
Pumzika kwa Amani!Allah akutunzie watoto wako mwee.kila nikiangalia post nawafikiria watoto wako!OK any way that life.Mungu atawatunza.pole sana kwa familia.oooh Mungu tupe mwisho mwema
Huu wimbo alikua anaijibu familia yake (Baba yake,Banana na The B band) baada ya Maunda kuanza mahusiano na kijana fulani hivi. The B band wakatoa Nzela (na kusema ana uhusiano na mpiga debe). Maunda akawajibu mapenzi ya wawili😁
Hii nyimbo ni kubwa sanaa na hakuna mashindano ya taletn yakuimba yatoke tanzania alafu asitoke mshiriki yoyote asiimbe ndio mjue hii ni gold BSS hii nyimbo naisikiaga sanaa washiriki wakiimba