Тёмный

Mawaidha ya Bi.Msafwari | Mbona 'mpango wa kando' hujitokeza wakati wa mazishi? 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@Lillylilothefirst
@Lillylilothefirst 6 месяцев назад
Huyo ni mtoto wa haramu na hawafai na mamake kuruhusiwa kwa mazishi,io ni kuaribu mazishi.
@supu1237
@supu1237 7 месяцев назад
This man in black suit he is wright 💯
@wanjiruolive
@wanjiruolive 6 месяцев назад
Izi episodes muweke vizuri citizen tunarudi kuzitafuta kupata he kimani tafadhali.
@AliMatagala
@AliMatagala 7 месяцев назад
Thanks marimu
@vivaciousviv2984
@vivaciousviv2984 7 месяцев назад
Kwa nini ufungue siri wakati wa kifo ?
@zamzamibrahim97
@zamzamibrahim97 7 месяцев назад
Kuwa na mpango wa kando ni dhambi jameni.TUSIJIDANGANYE.WANAWAKE WAACHANE NA NDOA ZA WATU.
@itsTheTruthTeller
@itsTheTruthTeller 7 месяцев назад
Sio dhambi na vile unaongea na uchungu hivi nashuku wee ni wale husa wanafanya bwana aende kutafuta mpango
@mercychepkemoi2254
@mercychepkemoi2254 7 месяцев назад
😂😂😂 mwambie ukweli
@Grace-Kagendo
@Grace-Kagendo 7 месяцев назад
Mariam👏👏
@oleubaiga3748
@oleubaiga3748 7 месяцев назад
Hii topic ni kali
@markokindo8913
@markokindo8913 7 месяцев назад
mafundisho mema
@rosekadzokillian9700
@rosekadzokillian9700 7 месяцев назад
Very true, ladies tuache hii,.. I
@HdjNzkdk-ef4zr
@HdjNzkdk-ef4zr 7 месяцев назад
Nakubaliana na Mariamu
@jamillahmussa3775
@jamillahmussa3775 7 месяцев назад
Bii Miriam amesema ukweli, ju wanaume wengine huwenda nje na sababu wengi wao sio kwa raha,
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 7 месяцев назад
Na watokomee wote na siri zao
@mercychepkemoi2254
@mercychepkemoi2254 7 месяцев назад
Bii Miriam amesema ukweli,,kuna familia watoto wao usumbua sana ... unaeza pata mtoto anagonjeka ukimfikisha kwao na mmoja wa family amshike unapata mtoto anacheza vizuri ashapona sasa...damu ni nzito kuliko maji
@janeshigami8769
@janeshigami8769 7 месяцев назад
Miriam wa Wamigomba 👌
@marykinuthia6067
@marykinuthia6067 7 месяцев назад
😂😂😂😅😅😮 kweli.
@sarahmukoya5120
@sarahmukoya5120 7 месяцев назад
Bi mswafari mbona unatumia mfano wa mfanyikazi wa nyumbani? Kwani hao si watu? Au ndio mmezoe tu kudhalilisha hii nafasi ya kazi?
@itsTheTruthTeller
@itsTheTruthTeller 7 месяцев назад
Hao ni watu na ndio sababu amewatumia kama mfano. Usikasirike juu ni kazi yako na haupendi ikitumiwa ka mfano Relax 😂
@zamzamibrahim97
@zamzamibrahim97 7 месяцев назад
Mipango ya kando ni katili sana
@waithirahnaomy1573
@waithirahnaomy1573 7 месяцев назад
Doa ya sirii sio nxurie
@directorme6669
@directorme6669 7 месяцев назад
Kinyangarika 😂😂😂
@evelynomwenga823
@evelynomwenga823 7 месяцев назад
Mbona hakuleta mtoto wala watoto before death
@stephen-S7n
@stephen-S7n 7 месяцев назад
Mbona mwanaume hajai tokea mwanakme akifariki adai walikuwa naye?
@janeshigami8769
@janeshigami8769 7 месяцев назад
Benjamin Nzulu 0%
@nancynyaga7675
@nancynyaga7675 7 месяцев назад
Kitanda hakizai haramu
@evelynomwenga823
@evelynomwenga823 7 месяцев назад
Mbona wewe ukubali kufichwa. Go to hell Side chicks for all we care
@itsTheTruthTeller
@itsTheTruthTeller 7 месяцев назад
They're not going to hell... They're going with your husbands and boyfriends 😂
Далее
Bi Msafwari Swala La Mavazi
25:11
Просмотров 138 тыс.
Mawaidha na Bi Msafwari
36:55
Просмотров 17 тыс.