Mngu akinibariki ni njenge nyumba yangu, I shall be accommodating this Young mother's hata wakitaka ku travel wananiachia watoto. May God help me. Niko kwa process.
I thank God for my whole family my mum and my siblings live long I will always pray God for you I wish you nothing but long life and prosperity may God give this woman peace and happiness
My mum alifunguzwo kwao nyeri na uncle ili a grab shamba yote after marriage failed. Imagine alienda kutulelea Nanyuki slums.mungu ni nani.i am European citizen. Na sasa watoto wake hunisubua ni wape pesa roho inakataa coz kuna wakati niliwapa walisema pesa ni mingi ni ya devil worshipper😢na so many bad things .waliniogea mambo mambaya sana nguvu nakosa ya kuwapa pesa
Most uncles are agent of the devil.... i hv one mwenye aliuza shamba ya mum ju mwanamke hastahili kuridhi ni mwanamke... Sahi nko middle East, wakati nilienda vacation si kuenda kwake ju ni karibu na kwake, alini confront akanisho pesa itaisha ju maringo ndio nko mob ati silalimiangi watu...
@monienjeri3042 mimi wangu ako far he is In nyeri kule tulitupwo ni nanyuki.saa hii watoto wake ndio sumbua wananiomba pesa .they are lazy and easy riders. Siwapi roho inakataa.si wauuze shamba moja wajisaidie
Ile kitu Iko penda Mungu na umtegemee urudi ujipende Wacha a na wale watu walikukataa like your brother and husband...there is God in Heaven of another chance soma Ezekiel 37 Mungu atatia pumzi ndani yako na watoto wako Tena...wasamehee na usijiue Mungu Ako na haja na wewe ishi na uone Mungu akikutetea...
Wooiye i feel your pain my sister...aki hiyo roho ya rejection ni baya sana may Almighty God deliver you from it... thanks wambo for helping this lady Ngai wa muoyo alokurathimaga❤❤❤❤
May God come through for this lady and wipe her tears so she can be able to raise her children.May God wipe all those evil thoughts from her mind and give her peace.Wambiu thank you for your very encouraging words God bless even more ✌️ and add you more knowledge and wisdom, good job 🙏👍 my daughter 🙏🙏🔥🔥✝️✝️🕊️🕊️🛐🛐🤍🤍📖📖🌹🌹
Pole sana mama,,nii mami witu atukiite eikie ruui hamwe na ithui,me and my 2 siblings,twahonokirio ni Ngai through muthuri waari mukira wa ruui no mum damuonaga,,nguhoya Ngai akuhe thayu 🙏🙏
Be strong mum,naukae kama una watu wenyu coz ukibeba bro yako utakufaapema uache watoto wako,be u ad move on with ur kid,utabarikiwa washangae,wakuje kikuomba mushama,ad bwana akiona umekaa vizuri atarudi tu
There is a lady who came to one if these platforms, and said she host kids for parents who work in Arab countries. I can't remember where she was hosted
Pole sana mana frank,kujinyoga siyo solution,jiachilie kwa mungu,you are young, beautiful,and handworking,pray to God to help you raise your children,the worst enemy is your brother but try to forgive him,so you can be able to move on,nausirudie huyo bwana yako juu ata yeye anakurudisha nyuma.make sure you keep tight relationship with your mum,God will see you through.wambui God bless you.
Once you are broke you are no longer important to family members. Sometimes back I felt rejected but once I got a job I realized it was not hate it was luck. Asante wambui for hosting lizz on your platform I hope this is the beginning of her better life. I just wish I could be of any help to her but God will intervene ❤❤❤ hugs lizz
Good pia Mimi hiko hivyo rejection kutoka home kwa ndoa,kazini hadi kwa marafiki mpaka nikajaribu kujiua 3 times but God is great niliamia Gulf Mungu akafanya nitikiwe na nchi ya ugeni for now I have testimonies nimenunua shamba yangu soon najenga #tusife roho God is there for us usijiue Mungu diye hako na kesho yako na let us know we're the corner stone. shamba yangu soon najenga
Pole sana mama The bible says ' adui mkubwa wa mtu, ni watu wa nyumba yake' So dont worry God loves you so much Theres light at the end of the tunnel Nothing lasts forever
This lady from her story she has gone through a lot..for men who marry and leave Ur wives to suffer with Ur kids just know God will avenge for her..why do you sire kids and leave them to suffer while you are still alive .like her husband you tell her to go to her home for you to pay rent n yet she was paying rent when you were living in the same HSE n when she had no place to go u couldn't accommodate her..why??why??kwani rent ni ya MTU mmoja? To the mothers in law wen you chase Ur daughter in law from Ur home do you remember Ur also a daughter in law of someone?if you were chased wld you be there? How would you feel if that was done to Ur own daughter? Mother in laws lets embarrass the ladies married to Ur family n protect them n guide them in this journey of marriage despite their short comings they are people's kids...do Ur part as a mother if they separate let that be on their terms depending on the situation... don't favour Ur son cz he is URS listen to them both... never separate them..may God help us
Ma Wamboi, ksh. 30,000 nikidogo sana kwa kuanza kumsimamisha huyu mama ulivyosema( Samahani, ni my opinion). Pls. Usisimamishe msaada baada ya hizo ksh. 30,000. Acha aendelee kuchangiwa more. Na, uzi "monitor personal au na accountant wako. Jua state mind yake pia itaweza 'nyonya some of that money, bila yeye ku realize. Tena as we all do, frm time to time. Na kumregesha hapa tena afunue mkono na 'kulienda, kukarudi, watu hawatakua na moyo mkunjufu sana kumshikilia. That's why, namuombea 'Target ya juu than hiyo, for the unknown n the unexpected. Mom pole. Mungu na awe nawe. Amen.
The once you confess it's your starting journey of healing. Take heart my dear forgive yourself and the rest n I pray the intervention of Lord Jesus to walk with you and work over you in everything you do my dear sister 🙏🏾 ❤️
My dear I invested on a land 25 min drive to Nrb cbd but let me tell you the hate and rejection from my family is on another level am on my way coming back I want to start my own empire ❤❤
I am so sorry my dear sister because of what you are going through jaati ki fantastic God because he will never for second year watching from Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦😢❤❤
Money is important but according to me this is what liz should do. 1.deal with evil foundations in a family.the bible if the foundation are fault what can a righteousness man do?. 2.deal with childhood traumas. 3.deal with the spirit of rejections. 4.pray for the favour of God upon her life. 5.forgive those who caused her pain so that she can heal. 6.love and appreciate yourself.. affirm to your self good things.hope she will see this message.
Thanks alot kwa kujitokeza mapema nduriaga mariigu. ..huyu Mama pia ako na makosa bcoz saa anaomba only 30k akunbuke kuna wakati alikua na 300k anfebakisha kidogo atleast afungue job kukula dooh na watu wa family watakugeuka tu..
Aki God bless n remember us single mothers, sometimes nafikanga almost to think like run away na niache watoto, but the love I have for them is very big, hugs mummy nay God have a way for u n your children
There is a reason the inlaws wanted you to leave their brother. Go to a social worker and make their dad pay child support. Everyone is suffering in one way or another, this issue of threatening to commit suicide need to stop. Why would you want to die and leave ur kids suffering. Pole dada, we have alot of toxic siblings in our society. I don't understand how parents allow this to happen. This is a lesson to everyone, if you travel abroad to hustle, don't carry the burden of the whole family. Put yourselves in order, save and invest the small amount you get before extending to ungrateful relatives, they never appreciate and when broke, you are useless in their eyes.
Napitia haya saa hii after kutumia mwanaume over 700k nikiwa saudi,now nafukuzwa kwangu na familia yao after investing na tukabuy ploti na kujenga rental😢
Sorry for this lady. My opinion is...there are children's home that accepts such cases then uwe unatuma pesa za upkeep. Urudi saudi then ujipange for your future.
Huyo uncle ni sick nasiwezi toa hata dururu but ana coffee na tea plantations. Tena alikuwa hataki niende secondary school. Alitaka niwe maid au niolewe.watoto wake na hizo shamba zote ni fukara wote
Mum ingekuwa mzuri tell your first born the truth ati niwa baba mwingine na hizo stress itakwicha.tena try very hard wakutana na biological dad.hizi generation z hazitaki uongo.i think the uncle is right somehow.
Sometimes heri wale walizaliwa peke Yao kwa Familia,,,, siblings wamekuwa na wivu sana Kwanza ukiendelea kuwashinda,,,,, huwezi pendwa na mtu Kwanza ukiwa mjanja ukatae kutumia na uwanyime pesa unakuwa adui
Alafu kuna mimi mamangu aliniambia amenioga mikono nikiwa 10 na ikawa ni hivyo 😢😢😢but do i care ndirerete na thina rîu ni ihinda riakwa kûrîa na kunyua
Wambui huyu mama atafutiwe kwenye ataacha watoto penye watakua safe aende gulf ajipange na azimie hao wapumbavu wote simu akae maisha yake,my opinion too biashara for now haitamsaidia gulf ni rehab atakuja huku na apone roho same like i did,my opinion though
Wambui ako na children home yenye alipeleka wale watoi wawili wa yule mama alikua anakunywa pombe..soo angewapeleka huko arudi gulf anunulie watoi wake land na awajengee wakue na kwao.