Тёмный

MAZINGEA ALIPOMKARIBISHA DK SULE NCHINI KENYA HOJA ZA HATARI SANA JUU YA UUNGU WA YESU/ DINI YAJE .. 

Saimu gwao Online tv
Подписаться 231 тыс.
Просмотров 266 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 356   
@kassimhamisi9662
@kassimhamisi9662 3 года назад
Sheikh suleiman mazinge mungu akulinde inshaallah akuzidishie subra
@saumkisira9328
@saumkisira9328 2 года назад
Allah awajalie umri mrefu mashekh wetu
@eshasalim5496
@eshasalim5496 2 года назад
Allahumma Amiin
@kassimhamisi9662
@kassimhamisi9662 3 года назад
Mungu awahifadhi wote awa zidishie afya njema wazidi kueneza dini ya allah
@abdillahmbarak7418
@abdillahmbarak7418 2 года назад
Mashaallah mashaallah masheikh wetu mungu awajalie pepo inshaallah
@nassortwahir5089
@nassortwahir5089 2 года назад
Sheikh mazinge mungu akubariq maana unakutana na watu vichwa vyao vibovu kwel
@hassanially1773
@hassanially1773 6 месяцев назад
Mashaallah Allah awalinde mashekhe wetu mazinge na doctor suleiman
@vimkhamis2794
@vimkhamis2794 Год назад
ALLAHU AKBAR.. ALLAH AWAHIFADHI MASHEHE WOTE
@edithnimubona-uq1es
@edithnimubona-uq1es 9 месяцев назад
Manshallah mwalim mazinge
@eshasalim5496
@eshasalim5496 2 года назад
Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH. Allahu Akbar
@HalimaAziz-to8th
@HalimaAziz-to8th Год назад
Allah awalinde masheh wetu insha Allah
@Hot_rod-lies
@Hot_rod-lies Месяц назад
Mungu akulindia na hasada amin
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 года назад
Maa Shaa Allah, Maa Shaa Allah, Mbarikiweni Ma Sheikh.
@alidingongo443
@alidingongo443 2 года назад
Allahummah Aaamin Yarabb 🤲
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 2 года назад
@@alidingongo443 Àamiin.
@safiahussein7692
@safiahussein7692 3 года назад
Allah awape maisha marefu na afyaa njema
@johnhaule5924
@johnhaule5924 3 года назад
Llllllp
@johnhaule5924
@johnhaule5924 3 года назад
Llllllp
@ElsieMunezero
@ElsieMunezero 5 месяцев назад
Kwakweli uislam neema kabisa mungu awape afya njema ma sheikh wetu n'a awape mwisho mwm
@babysalma4912
@babysalma4912 Год назад
Ww ni kiboko mungu akulinde
@jumamwete1600
@jumamwete1600 Год назад
Allahu Akbar 😊
@khadijasaid5065
@khadijasaid5065 3 года назад
Mashaallah shekhe mazinge na wenzake Mungu awahifadhi mashekhe wetu..kutoka Kenya khadija..said nahdi mld
@kheirsalum3059
@kheirsalum3059 3 года назад
kh
@hamoudslim3622
@hamoudslim3622 3 года назад
Uwepo wa warabu bara la afrika mashariki ulianza lini? Jibu utalipata hapa 👇🏼 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-cUTZj5i_gLM.html
@gefreymtalo5613
@gefreymtalo5613 3 года назад
UKIMKATAA YESU KRUSTO HUTAUONA UFALME WA MUNGU
@denisnkurunziza8936
@denisnkurunziza8936 Год назад
Allah Awape kira rakheri
@assaneanliassane4680
@assaneanliassane4680 Год назад
Sheh Mazinge anapaswa kweshimika
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 года назад
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli
@sophianyangalio3796
@sophianyangalio3796 3 года назад
Waalakum salaam warahmatullah wabarakatuh
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-pFGNoY_5Aro.html Tufaidike sote jamia guza link
@سالمالمسروي
@سالمالمسروي 3 года назад
Mashaalah
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-pFGNoY_5Aro.html Tufaidike sote
@Awatee
@Awatee 3 года назад
Masha Allah tabaraka ALLAH
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-pFGNoY_5Aro.html Tufaidike sote guza link
@NurdiniAbdala
@NurdiniAbdala Год назад
Allah awalipe ujira Bora na mkubwa mashekhe wetu .
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 3 года назад
Yesu alikufa kwa amri yake mwenyewe,,,,,Hahhahhahhhaaaaaha ,,,,,,,,,,,Mazinge ALLAH akupe maisha marefu Inshaallah
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
YESU KRISTO ndio Mungu wa kweli na zaidi ya Yeye hapana Mungu mwingine tubu kabla haujachelewa
@nuruabdallah6692
@nuruabdallah6692 3 года назад
@@marianachriss2444 tubu ww uombe msamaha Kwa mola wako
@heyumi2340
@heyumi2340 3 года назад
@@marianachriss2444 yesu ni mtoto wa mariam
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-pFGNoY_5Aro.html Tufaidike sote
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 3 года назад
@@marianachriss2444 naomba andiko Mkuu...acha kupotosha watu
@mohameeddoaan2296
@mohameeddoaan2296 3 года назад
Walaekum salaam warahmatullah wabarakatuh
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-pFGNoY_5Aro.html Tufaidike sote jamia inshaallah
@jumakongolo3793
@jumakongolo3793 Год назад
Mazinge
@kodemamaloo5805
@kodemamaloo5805 3 года назад
MashaAllah...
@Awatee
@Awatee 3 года назад
Waleykum salam warahmatu llah wabarakatuh
@hamoudslim3622
@hamoudslim3622 3 года назад
Uwepo wa warabu bara la afrika mashariki ulianza lini ? Jibu utalipat hapa 👇🏼 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-cUTZj5i_gLM.html
@LilyKangethe-hw2bw
@LilyKangethe-hw2bw Год назад
Taakbir Allah Akbar...❤❤❤
@halimaomar5016
@halimaomar5016 3 года назад
Mungu awazidishie elmu na ufahamu kupigania uislamu ishaallah.
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 2 года назад
Mohammed alikuwa muuaji hatari sana
@ramadhaniathumanibatumnwa1842
@ramadhaniathumanibatumnwa1842 2 года назад
Mashalah mazinge mungu akuweke saaana uendelee kutufundishia wanao kusumbua
@Fick_vany96
@Fick_vany96 Год назад
Allah akupe pepo maznge wetu
@latifachepa4435
@latifachepa4435 3 года назад
Mashaallah
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-pFGNoY_5Aro.html Tufaidike sote
@kaderbakshaminkaderbaksh2156
@kaderbakshaminkaderbaksh2156 3 года назад
Mazinge pumzika bc tena unaupoozesha mihadhra waache vijana waendelee mazungumzo yamekuwa mengi shkh allah atakulipa kwa kazi kubwa uliyofanya kila mtu shahid allah m'aak
@drlebon5793
@drlebon5793 3 года назад
Allah awalipe pepo
@fatmaal-ismaili5514
@fatmaal-ismaili5514 3 года назад
ماشاء الله تبارك الرحمن
@rukiyaissa2005
@rukiyaissa2005 3 года назад
Nakukubali sn
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-pFGNoY_5Aro.html Guza link tufaidike sote
@hamoudslim3622
@hamoudslim3622 3 года назад
Uwepo wa warabu bara la afrika mashariki ulianza lini ? Jibu utalipata hapa ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-cUTZj5i_gLM.html
@sharifurajabu1058
@sharifurajabu1058 2 года назад
Waalah kuzaliwa mwisilam Raha San
@allyfutto8763
@allyfutto8763 3 года назад
Mashaallah, Alihamdurillah 🤲🏻
@walaalkaajecloow7688
@walaalkaajecloow7688 3 года назад
Sema alhamdulillah ndugu
@rayyanswaleh5813
@rayyanswaleh5813 3 года назад
Assallaam aleikum..hao wawili wawekwe pamoja kwa uwezo wa ALLAH wanaweza kusilimisha wengi sana.
@issafaquedalaura8279
@issafaquedalaura8279 2 года назад
Masha Allah,
@eppiemodest
@eppiemodest 2 года назад
Wafuasi wa Kristo ni Wakristo. Msibabaishe ninyi Waislamu.
@husseinnihla6501
@husseinnihla6501 2 года назад
Wakristo elfu moja wakija na Hoja zao mtoto mdogo wa miaka mi5 hawawezi kumbadilisha dini Maana hawana hata akili 😀😀😀😀
@hadijamahmud7851
@hadijamahmud7851 3 года назад
Mashaallah fanyeni mufike jomvu mombasa
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-pFGNoY_5Aro.html Tufaidike sote
@saadacharasaada1958
@saadacharasaada1958 3 года назад
Yesu kafa kwaamriyake mwenyewe nimecheka
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 3 года назад
Jomvu wamejaa
@ramadhanigoagoa6430
@ramadhanigoagoa6430 2 года назад
Mazinge nikufuate wapi sina less niache pombe nisahidie shekhe nimluhudie mungu wangu shekhe mazinge tafadhari niswarie mimi mungu atakujaria sio mimi
@bawhizzy6202
@bawhizzy6202 2 года назад
Imani iliyo thabiti haiporwi
@innocentbaraka7609
@innocentbaraka7609 2 года назад
Ebu ninyi munajali kitu gani kuhusu dini kama jia ya kweli ni Yesu Kristo !? , Kama mumesoma yakobo , swali! , Yakobo alikuwa mufuasi wanani iliaandike dini!?
@vonexmobile9116
@vonexmobile9116 2 года назад
Allaahu akbar
@mussasulman2696
@mussasulman2696 10 месяцев назад
Maswali ya Mazinge kama mahakamni eti wakili ananiuliza eti "Baba yako ni mwanamke au mwanaume" mimi nika panic nikamjibu wakili maneno machafu 😂 kilicho nikuta Mungu ndio anajua
@MakataWaMakatani
@MakataWaMakatani 7 месяцев назад
Hahahahaha 🤣 hahahahaha subhanallah
@ibrahimjuma7071
@ibrahimjuma7071 3 года назад
masha alla
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-pFGNoY_5Aro.html Guza link tufaidike sote inshaallah
@DominicKyenzeNzomo-hi4dj
@DominicKyenzeNzomo-hi4dj Год назад
Muamad
@mkuuali9469
@mkuuali9469 2 года назад
Mashaa Allah
@jeanninemunezero6469
@jeanninemunezero6469 10 месяцев назад
Waislam Mungu mko magayidi sana hamuna ukweri wowote
@MakataWaMakatani
@MakataWaMakatani 7 месяцев назад
Hahahahahahaha 😂😂😂 🤣🤣🤣🤣 subhanallah poleeeee
@toshboy1
@toshboy1 3 года назад
Hakuna kitu inaitwa ukristo, mbali wakristo yaani wafuasi wa kristo. Tena maneno mingi mumeweka chumvi kama kitabu cha Yohana, kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwanawe pekee.(si mwanawe wa pekee) someni vizuri
@rehemajimmy8282
@rehemajimmy8282 3 года назад
Pointless
@penuelfullsalvationchurch3350
@penuelfullsalvationchurch3350 3 года назад
Naam
@eastafrica6858
@eastafrica6858 2 года назад
Usha sema hakuna ukristo na kama ni wafuwasi walijita hivyo bila amri ya mmungu itakua si dini wattakua wametunga inatakiwa isa mwenyewe aseme mm mkristo na dini yangu ni mkristo isa ni muislam anatawadh na kusali kumuabudu mmungu mmoja angekua yy mungu vp amuabudu mungu mwingine na mitume ote ni waislam ibrahim ni muislam alivunja masanam na alitokea irag na ni muanzilishi wa alcaba leo nidio saudia arabia mana bii wote walitokea mashariki ya kati ila wazungu walitunga dini ambayo sio alie sema isa bin mariam kila kitu wamebadilisha kwa biashara zao na mavazi yao,
@johnthomas1903
@johnthomas1903 3 года назад
Hit u
@robi7printing291
@robi7printing291 8 месяцев назад
Wa africa wote ni wahanga wa dini. Muhimu kurejea historia yetu. Kauli za majigambo hazijengi. Shirikianeni vema na si kwa ujuaji!
@edwardkarithi2347
@edwardkarithi2347 3 года назад
Thanks alot our br in Christ 4 putting up a good and exemplary fight for our lord and saviour Jesus Christ
@matanohamisihamisi9034
@matanohamisihamisi9034 Год назад
G noii9 pool ooooo9😅😅 Is
@RajabOkulega
@RajabOkulega Год назад
❤❤❤❤
@mohamedsuleimansuleiman1620
@mohamedsuleimansuleiman1620 3 года назад
Mashallah
@arafalubuva3855
@arafalubuva3855 3 года назад
Alaah awalipe jamani kwa kazi kubwa mnayo fanya
@husseinguyo4379
@husseinguyo4379 3 года назад
Allah awalipe kwa yale mnayoyafanya
@ritharr2235
@ritharr2235 2 года назад
Mwazinge hataki ukweli hataki mkristo atoe maandiko angalia ameruka kwa mwengine maana hataki ukweli
@aminamalilo6605
@aminamalilo6605 2 года назад
Ajibu kwanza maswali ya kawaida mbona anamuuliza maswali ya kawaida
@dianaradislauc6649
@dianaradislauc6649 2 года назад
Wakiritu jamani achaneni na haya mabaraza yenye mizaa mbele za mungu mnaangaika na wapiga lamri
@selemanitunda1821
@selemanitunda1821 2 года назад
Sio kuangaika jibuni maswali
@bintyk5149
@bintyk5149 2 года назад
Hahahahaha hawana et lakujibu. Ao hawataki kukubali ila wanajua vzr tu km uislam ndio dini sahihi
@allymnyenye8109
@allymnyenye8109 7 месяцев назад
😅😅😅 eti wapiga Ramli .... bunjubatini mmoja ww
@mkasijuma8970
@mkasijuma8970 3 года назад
Dankan kaingiaa Cha kikeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hamoudslim3622
@hamoudslim3622 3 года назад
Uwepo wa warabu bara la afrika mashariki ulianza lini ? Jibu utalipat hapa 👇🏼 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-cUTZj5i_gLM.html
@djkhalid4935
@djkhalid4935 3 года назад
Uyu jamaa anajua ukwl sema Ana kumjua zaidi allah
@Hot_rod-lies
@Hot_rod-lies Месяц назад
Shida yake hamukubalia ukweli wakresto jamania
@samuelkimaro5138
@samuelkimaro5138 3 года назад
Nimesikiliza vyema kabisa ila nimegundua nitakuwa mmoja wakuhukumiwa kupitia masikio yangu.uchambuzi hakinifu hakuna kabisa yaani mtu anaadress jina la Mungu wake kama atakavyo yeye yaani ni kama anajimwambafai mbele za watu. Ifikie sehemu ifahamike dini ni njia tu yakumpeleka mtu peponi aijalishi utapitia njia gani hata ukiwa mpagani na ukazifuata sheria za Mungu utaiona pepo hivyo basi ifikie sehemu tujue sote ni chimbuko moja
@abuuzamah-shar9868
@abuuzamah-shar9868 2 года назад
We jidanganye ivo siku ukifa ndoutajua dini Ninini nadini yakweli niipi
@abdullatifyahya646
@abdullatifyahya646 2 года назад
Subir ufe ndo utajua hujui🤣🤣🤣
@bintyk5149
@bintyk5149 2 года назад
Ahhahaha atakoma. Mana dini ya kiislam ndo mwenendo wa mwanadamu na kufuata sheria zake. Sasa ataenda kwa Mungu na amali gani?
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine tubuni na hamjachelewa
@athumanitanuke6795
@athumanitanuke6795 3 года назад
8:40 luka, yesu ni mtu si mungu
@athumanitanuke6795
@athumanitanuke6795 3 года назад
8:40 yohana
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 3 года назад
8:16 yesu kaletwa na Mungu
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
@@athumanitanuke6795 acha maswali ya kipuuzi maana hujui hata Neno la Mungu,
@bennyasseralfred7139
@bennyasseralfred7139 3 года назад
Kwaio walio mujua mungu kupitia musa na Ibrahim nawengine wanaabi bila kumjua huo yesu hukumu yao niyipi? Nijibu hapa usje kutipotesha tuu
@penuelfullsalvationchurch3350
@penuelfullsalvationchurch3350 3 года назад
MZNGE hiki unchkfnya unkosea mm njuwa wazi unafahamu ya kwamba Yesu ndiye kristo kipenzi cha mwenyezi Mungu AKETIYE KUUME kwa Mungu..na amepewa mamlaka ya duniani na mbiguni...Dar MZNGE unzngua
@dktabbaimran2002
@dktabbaimran2002 3 года назад
Kasome vizuri usifuate upepo
@johnmatatamusic3985
@johnmatatamusic3985 2 года назад
Waislam wote washamba
@khatibabass3106
@khatibabass3106 3 года назад
Wakiristo dini yenu haijitoshelezi na haijitetei ,yani ukisimama unataka kuutetea ukiristo basi utakukataa huez kuutetea utakusuta tu
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
Pole Sana YESU KRISTO ndio Mungu wa kweli na zaidi ya Yeye hapana Mungu mwingine
@lucasgasper5235
@lucasgasper5235 3 года назад
Wewe ndio hujitoshelezi na uislam wako
@hawoibrahim2432
@hawoibrahim2432 3 года назад
@@marianachriss2444 mulipotea, hamtaamini huyo yesu akiwaruka..... kwanza mrekebishe hizo contradictions za bible
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
@@hawoibrahim2432 YESU KRISTO ndio BWANA na mwokozi na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine tubu kabla haujachelewa
@sokakilumbi9293
@sokakilumbi9293 3 года назад
@@marianachriss2444 Ufunuo wa Yohana 1:1 Ufunuo wa Yesu Kristo, aliopewa na Mungu.... eti yesu mungu!!!! sasa naomba uniambie mungu yupi aliyempa ufunuo mungu yesu???
@jacksonmhanga888
@jacksonmhanga888 3 года назад
Na napenda Sana Mazinge anaposoma biblia lakin biblia inasema kuwa hata Yesu aliulizwa maswali kwa mitego ya kibinadamu tu ili wamnase tazama majibu yake yalikuwa short and clear
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 3 года назад
sasa kama biblia inasema hivyo,,,,, hata Yesu alitegwa je hio biblia Yesu alishushiwa na nani?????
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
@@khalidballeth5957 we acha kuuliza uaichokijua hakuna kitabu kilicho kitakatifu kama biblia vingine vyote ni uongo na ubatili
@bennyasseralfred7139
@bennyasseralfred7139 3 года назад
@@marianachriss2444 leta hushaidi vipi nikitabu kitakatifu ili tikuelewe
@mkude
@mkude 3 года назад
@@khalidballeth5957 hahahahajaha duuuh yani hawa ndugu zetu wa kibinadamui wanataabu kweli kweli kauliza swali limemtega mwenyewe
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
Waislamu wanateseka sana na YESU KRISTO, Hakuna zaidi ya YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi Yeyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa
@athumanitanuke6795
@athumanitanuke6795 3 года назад
Yan hapo wakristo had muelewe kuwa yesu si mungu bali ni mtu, na mtume wa Mungu
@pnrserviceslimited3089
@pnrserviceslimited3089 3 года назад
Utahukumiwa weww mshamba usiejua maandiko dini huna ,kitabu huna , na Mungu hunaaaaa yaani msiba
@Nolithajack12
@Nolithajack12 3 года назад
You are making comedy on you missing mazigi huna hoja
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
@@athumanitanuke6795 Pole Sana kwa kudanganyika na mafundisho ya mashetani
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
@@pnrserviceslimited3089 Pole Sana hakuna hukumu ya adhabu Juu ya walio ktk KRISTO YESU, Kuna siku inakuja utamtafuta YESU KRISTO kwa kutambaa na kulia kilio Cha kusaga meno, BWANA YESU KRISTO akusamehe Sana
@jeanninemunezero6469
@jeanninemunezero6469 10 месяцев назад
Pole sana na majini
@MakataWaMakatani
@MakataWaMakatani 7 месяцев назад
Hahahahahahaha 😂
@rajabuwahanze7311
@rajabuwahanze7311 3 года назад
Diamond
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-pFGNoY_5Aro.html Tufaidike sote
@jumajuma5969
@jumajuma5969 2 года назад
It co
@abuunuswaybnassibunassibu7714
@abuunuswaybnassibunassibu7714 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-ZmHhtPrRjDE.html *Tukiwa tunaingia katikaa mwaka mwengine wa miladiyya 2022* *basi sikiliza kwa makini khutba hii ya ijumaa* *Mzungumzaji ABUU NUSWAYB NASSIBU NASSIBU* *ISIKILIZE NA UIENEZE ALLAHA ATAKUKIPA KWA JUHUD YAKO*
@husseinnihla6501
@husseinnihla6501 2 года назад
Kuna mtu anaitwa John matata Anasema hawana time ya kusoma quran ndugu yangu quran sio chezo quran huwez kuisoma Kama Chooni unaingia na kartasi 😀😀😀😀 quran ni usafi wewe unaiwezaje?
@jumakongolo3793
@jumakongolo3793 Год назад
Sule
@ajumaakange1483
@ajumaakange1483 3 года назад
Kiboko yamakafiri
@mwoso
@mwoso 3 года назад
Yesu ni mwana wa mungu wa pekee. je, Mohammed?
@heyumi2340
@heyumi2340 3 года назад
kuwa na adabu yesu mwana wa mungu kakwambia nani nyau wee
@mwoso
@mwoso 3 года назад
@@heyumi2340 tetea imani yako kwa andiko sio matusi!
@heyumi2340
@heyumi2340 3 года назад
@@mwoso usimzungumzie Mohammed Mohammed hakuhusu ww baki ukisema yesu mwana wa mungu mungu hana mtoto wala hana dhiki ya kuwa na mtoto
@mwoso
@mwoso 3 года назад
@@heyumi2340 Wewe huna hoja. Kwa heri
@superdemanka5192
@superdemanka5192 3 года назад
@@mwoso wewe tupe andiko Mungu kataja yesu kama mwanao?
@mwoso
@mwoso 3 года назад
Hayo maswali ni ya ujinga . Simoni elimu yoyote hapo. Ni kuchezea tu maandiko kupotosha mawazo ya watu. Shetani ashindwe!
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-pFGNoY_5Aro.html Guzalink ufaidi
@eastafrica6858
@eastafrica6858 2 года назад
Huyo shetani wa wapi wa kizungu ndio ashindwe hapa hamtaki ukweli mnafata picha za kizungu mnamfanya yesu ibrahim alivunja masanam mzungu hana mitume hata mmoja alie shuka kwao ni mashetani tu kuvaa mavzi na pimbe kuhalalisha na kutaka sadaka kanisani
@alhamad2179
@alhamad2179 3 года назад
❤️ ❤️
@eppiemodest
@eppiemodest 2 года назад
Ninachojua ni kwamba. Bibilia ni kitabu kitakatifu. Kinaagiza. Wanyama wote wasiocheua na wasiokuwa na kwato nyama yake isiliwe ni haramu.
@MakataWaMakatani
@MakataWaMakatani 7 месяцев назад
😂 hahahahaha
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-pFGNoY_5Aro.html Watu ☝️watatu hawataingia peponi
@wardaomar1221
@wardaomar1221 3 года назад
Wakristo hawana akilii
@hillaryramadhani4790
@hillaryramadhani4790 3 года назад
Wewe ndio mwenye akili
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 года назад
Wakrso hawajielew wapowapo 2 km hayawan au majun
@redbutterfly4939
@redbutterfly4939 3 года назад
Ingia page ya warabu Cristian Prince utajua kilichoko kwa Quran 🤮🤮🤮warabu kwa Sasa wameshidwa kuotetea Quran utakuta kwa hio page wengi wametoka na utajua mengi Quran unaongea mambo machafu🤮🤮
@heyumi2340
@heyumi2340 3 года назад
@@redbutterfly4939 ww kafiri tu huwezi kuijua quruan
@cityhunter6858
@cityhunter6858 3 года назад
@@redbutterfly4939 unafkir waarabu wote ni waislam hakuna makafir kama nyie..?
@josephkiswili1955
@josephkiswili1955 3 года назад
Hapa mazinge kafundishwa BWANA ni mtu wa vita lakini akili imejaa makamasi haweli kukumbali
@hasankawanje4279
@hasankawanje4279 3 года назад
We kumbe bwana wenu n mtu wa vita na si mungu
@ameenajumah7335
@ameenajumah7335 3 года назад
Mazinge kiboko cha makafiri
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 3 года назад
Bwana ni mtu wa vita tupe maana yake wewe mkristo inamaana gani usiweke neno ndani ya ubongo wako bure na ujui maana yake
@lucasgasper5235
@lucasgasper5235 3 года назад
Uyo pepo limepanda hataki maandiko maswali ya hovyo anadokoa dokoa
@williamkadzomba2570
@williamkadzomba2570 3 года назад
Maneno matupu acha maandiko yaseme
@williammbuvi32
@williammbuvi32 2 года назад
Waslamu wajifuze kuongea mbele ya wakristo
@MakataWaMakatani
@MakataWaMakatani 7 месяцев назад
😂 hahahahaha
@kabegosonslimited1814
@kabegosonslimited1814 2 года назад
.
@jacksonmhanga888
@jacksonmhanga888 3 года назад
2petro 2:1 waalimu Kama hawa wapo maana ukisoma waraka huu wa pili wa petro tunaiona tahadhari kwamba Kuna manabii wa uongo na waalimu wa uongo ambao wanamkana hata aliyewanunua kwa gharama ya uhai wake na hayo yalitabiriwa hata kabla ya Yesu kutokea kuhusu Uungu wa Yesu hemu tusibabaike YOHANA 1:1_20 maana mtu anatumia ujuzi wake mwenyewe kwamba Yesu sio MUNGU kwa kuwa alizaliwa na mwanadamu kwani akina isaya wanapotabiri ujio wa masihi walisema atashushwa tuu bila kuzaliwa. NA KAMA SI HIVO basi niwaulize YOHANA alikuwa akimzungumzia nani huyo ambae alisema hawezi hata kuishika gidamu yake
@Awatee
@Awatee 3 года назад
Uyo yesu yeye mwenyewe kajitoa kua sio mungu leo hii iweje awe mungu ALLAH atuongoze ktk njia ilionyooka na atuepushe na ukafir amiin
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
@@Awatee YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi na zaidi ya Yeye hapana Mungu mwingine tubu kabla haujachelewa
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
YESU KRISTO ndio Mungu wa kweli ni BWANA na mwokozi na zaidi ya Yeye hapana Mungu mwingine yoyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa
@sokakilumbi9293
@sokakilumbi9293 3 года назад
wapi yesu kasema kuwa yeye mungu!!
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
@@sokakilumbi9293 kama unataka kujua ukweli kuwa allah sio Mungu wa kweli ni shetani mkubwa audanganye ulimwengu wote na kuwapeleka watu jehanamu soma ufunuo wa yohana 12-7-9,
@eppiemodest
@eppiemodest 2 года назад
Watu walijua Yesu kafa ni binadamu tu. Kumbe ni sivyo. Kumbe ni Mungu nafsi ya Pili. Baada ya kifo chake na miujiza kuonekana ndiyo watu wakajua aliyekufa ni nafsi ya pili ya Mungu.
@MakataWaMakatani
@MakataWaMakatani 7 месяцев назад
😂 hahahahaha 🤣
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
Mashehe wanapaniki kwa sababu wanajua kuwa YESU KRISTO ndio Mungu wa kweli,
@muyugalimbu3728
@muyugalimbu3728 3 года назад
Msiba huu
@mohameeddoaan2296
@mohameeddoaan2296 3 года назад
Yani wewe yesu kwako nimungu wakati mungu akuzaliwa yesu alizaliwa
@pnrserviceslimited3089
@pnrserviceslimited3089 3 года назад
Da we kichwa mchunga kweli yaani wewe sisi tuwe na Mungu alietahiriwa kakatwa govi sibora ni kaabudu kinyesi nikajua kwamba Mungu hakuna et kapitia kwenye vagina kama watoto wengine badilikeni nyinyi hamna dini kuliko kumwabudu kiumbe mwenzangu kakatwa govi kama mm
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 3 года назад
Lete andiko wapi Yesu anasema yeye ni Mungu
@aminahaji7084
@aminahaji7084 3 года назад
Wakiristo wanajua ukweli lakini tu akilizao zimechanganyika na sukari na chumvi ALLAH NDIE MUNGU WA KWELI1000000%
@JapharyBBudal
@JapharyBBudal 3 года назад
Ninyi mtafuteni mwalimu Ndacha hapohapo nchini Kenya ili awafundishe maana maswali yenu yote ni ya kitoto sana.
@oopsm3574
@oopsm3574 3 года назад
Ndacha hana mpango wowote , kiboko yake wambugu
@maherzain615
@maherzain615 3 года назад
Atafutwe kwani ye nani.kiwa ye ako na hoja ajipeleke mwenyewe hapo
@selemanitunda1821
@selemanitunda1821 2 года назад
Ndacha kakimbia
@samwelson2848
@samwelson2848 2 года назад
Mabishano 2 na maswali ya ujinga Tito 3:9 waislamu wanabishana na ukweli kuficha unafiki wao. Yesu ndiye jia pekee ukweli na uzima .
@MakataWaMakatani
@MakataWaMakatani 7 месяцев назад
😂 hahahahaha
@johnissango2357
@johnissango2357 3 года назад
we mazinge ni nanga hata ukisoma biblia miaka mia huweziielewa,hakuna dini inayoitwa ukristo .dini mana yake ni njia,yesu ndiye njia ya wakristo tunamfuata yesu ndipo tutafika mbinguni.unyenyekevu sio dini ni tabia .
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 года назад
Utaenda kumwambiya M / Mungu huko mbele ya hak km ninjiya au ni barara
@hasankawanje4279
@hasankawanje4279 3 года назад
Saa inaitwaje dini yako
@dhoulkefyljr8637
@dhoulkefyljr8637 3 года назад
kwahiyo wewe dini yako ni ipi?
@johnmatatamusic3985
@johnmatatamusic3985 2 года назад
Sasa badala upiganie vitu vya maana wewe wapigania dini dini itakupeleka wapi wewee 😂😂😂😂😂😂, mko na bidii kukosoa bibilia sisi wakristo hatuna time Ya kusoma kuruan wala kulikosoa wala hatuna wakati wa kupoteza
@bintyk5149
@bintyk5149 2 года назад
Ndo uijue dini ya kweli. Mushukuru wamejitolea kukutoeni sehemu iliopotea eh
@abuuwaziri4656
@abuuwaziri4656 Год назад
Quruani ni kitabu kisicho na shaka ndani yke.
@josephkiswili1955
@josephkiswili1955 3 года назад
Mazinge anataka maneno ya mdomo hataki maadiko kafiri huyu
@heyumi2340
@heyumi2340 3 года назад
kafiri ni yule anayesema yesu ni mungu
@hasankawanje4279
@hasankawanje4279 3 года назад
Kaka kafiri n yule asiekuwa muislam
@bintyk5149
@bintyk5149 2 года назад
Kafir ni mtu ambaye anasema yeye ni mtoto wa Mungu. Haliyakua anajua yeye ni mtoto wa adamu na hawa. Mmejawa na ujinga nyie dah nawaonea huruma
@hamisimtonga1814
@hamisimtonga1814 3 года назад
U
@sandewillymusic5615
@sandewillymusic5615 3 года назад
Mazinge hajui chochote kuropoka tu hamemfanya Yesu na Mungu kuwa mwongo ......Quran 15:19 ni mkusanyiko wa uwongo Quran 4:157 na kwa jili ya kusema kwao hawakumua wala kumsulubu Wakolosai 1:15 yesu ni mfano wa mungu asiyeonekana alikuwa kabla ya dunia kuumbwa
@hidohdagan8212
@hidohdagan8212 3 года назад
😎kwhy aliviumbwa akawa nan alishi dunia gang em kasome vzl
@sandewillymusic5615
@sandewillymusic5615 3 года назад
@@hidohdagan8212 shida yenyu kuelewa ni ngumu
@heyumi2340
@heyumi2340 3 года назад
ww wajua nn
@sandewillymusic5615
@sandewillymusic5615 3 года назад
@@heyumi2340 Quran 72:2 kundi moja la majini liliskia quran ....majini wazuri hao ama ni wagani😁😁😁 hao ndio wanasema yesu si mwana wa mungu
@heyumi2340
@heyumi2340 3 года назад
@@sandewillymusic5615 ww kwa akili zako ni majini gani mungu hana mtoto kama ana mtoto alizaa na nani
Далее
MASWALI NA MAJIBU- NDACHA NAKURU
1:06:53
Просмотров 145 тыс.
053 HABIB MAZINGE | JE SACRAMENTI NI MWILI WA YESU 1/2
56:31
Wachungaji kumi walemewa kujibu swali ya Mazinge
51:56