#MazuzuComedy Waza kizuzu ukipewa elfu tano ugawane na mwenzio mtagawana kiasi gani? Tazama @kichekomtata na @kiweweofficial namna ambavyo wao waligawana elfu tano baada ya kupewa na @mamakiangaiko
Masawe anajuwa mana anabonga kii kaskazin ila huyo mwanewe anabowa manaa machalii yaa kwetu hatubongii ivyo oza man badil maniaje ase manaaa una tuderee kipimbii
Abr zenu ndgu zangu naomba nikukarbishen katika masomo yetu yanayohusu tiba za maradhi mbali mbali kila Alhamisi bila malipo yoyote karbuun mjifunze ingia RU-vid Andika Sir Binladen 786 ili ujifunze tiba kila Alhamisi bila malipo
Nyie sio mazuzu kwa upande wangu. Sababu hamkufuata mlichoambiwa nyie mazuzu bandia. (Mtanisamehe kidogo mi hua naangaliaga makosa na sio pata) mmeambiwa hiyo hela mgawane( ilibidi mgawane) nyie mmeenda kubadili mpate za chini ili mgawane pungufu, zuzu gani huyo? Halafu mmeambiwa hiyo hela ndo yakula, nyie mmeweka mfukoni kwani ndicho mlichoambiwa? Mmeambiwa msitoke nje nyie mmeenda dukani kuomba kubadili ukubwa wa thamani. Kwa ninavyofahamu neno ZUZU na mlichofanya ni asilimia 20 ya uhalisia.