Тёмный

MBASHA KAFUNGUKA BAADA YA KUPIGWA NA MCHOMVU 'AMENIKOSEA SANA' 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 159 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 641   
@expert5898
@expert5898 4 года назад
Adamu kazingua sana! Kafanya mambo ya kitoto sana... Bangi sio nzuri.
@frankkataraiha607
@frankkataraiha607 4 года назад
na huyo aliemuita bangi
@neemaruben5427
@neemaruben5427 2 года назад
Daa!!!!!!!!inaumaa sanaaaa amekosea adamu....pole mbashaaa
@agnesoqwaa9848
@agnesoqwaa9848 4 года назад
Pole sana mbasha ni kweli kabisa hakufanya poa kiukweli
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 4 года назад
Mnaleta wavuta Bangi kwenye Tanasha #ABAM MABANGI Sana
@chenyakwihela1637
@chenyakwihela1637 4 года назад
Wewe sio mtumishi wa Mungu bhana msitudanganye mnafanya upuuzi mbele ya taifa hamna Mungu juu yako bhana
@rafikiwildlife4263
@rafikiwildlife4263 4 года назад
Pole sana Mbasha. Msamehe sana
@saniajuma6123
@saniajuma6123 4 года назад
Pole ka mbasha nimeumia sana
@bakarrashid6474
@bakarrashid6474 4 года назад
Cyo Siri adamu chovu kazingua snaaa Tena sanaaaa
@hashemsaef1516
@hashemsaef1516 4 года назад
Ni mbwa sana Adam ccm msirudi kumshirikishaga trna Adam
@leonardsimon2148
@leonardsimon2148 4 года назад
Mchomvu kakosea sana lakini pia huyu Mbasha mstaarabu sana mimi kusema kweli ningeligeuza jukwaa kuwa uwanja wa mapambano within a minute mchomvu wangempeleka moja kwa moja MOI , Mbasha kweli wewe mtumishi wa Mungu kweli kweli.
@ngido255
@ngido255 4 года назад
Utamwambiaje mwenzako anavuta bangi alafu ukiangalia kweli mchomvu anavuta😂😂😂
@ndegejr4218
@ndegejr4218 4 года назад
🤣🤣🤣🤣umenichekesha kweli
@elizabethlizy2731
@elizabethlizy2731 4 года назад
😁😁😁
@jumaiddy1942
@jumaiddy1942 4 года назад
ila kweli atasemaje kwa watu ukwelii 😝😝😝
@kingruston2076
@kingruston2076 4 года назад
Nani anajuwa Kama mbasha alisema anavuta bangi ... Mmesikia wapi labda na mm nisikilize
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 4 года назад
@@kingruston2076 alisema adam mabangi
@lauraclara8716
@lauraclara8716 4 года назад
Kweli nimejisikia vibaya sn poleeeee mbasha broo
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 4 года назад
kweli adamu bangi
@zuhurambonde6959
@zuhurambonde6959 4 года назад
Adamu huna adabu muombe radhi mwenzio una masifa mbele za watu na wewe mbasha acha utani mbele za watu ulivomuita bangi kachukia na watu wakaitikia hivohivo pole sana.
@immaboytz2128
@immaboytz2128 4 года назад
Adam umefanya kazi nzuri so poa kuitwa Bangi Adam💪💪
@aminakazogolo9914
@aminakazogolo9914 4 года назад
Hilo liwe fundisho kwako😂😂😂, utani unatakiwa uendane na mazingira. Na yeye kakutania kidogo kwa mtama😂😂😂😂😂🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
@saidjuma9782
@saidjuma9782 4 года назад
😂😂😂😂😂😂
@raphaelbalibusa8528
@raphaelbalibusa8528 4 года назад
😂😂
@neemamayco3238
@neemamayco3238 4 года назад
Ndio mbn yy analalamika sasa
@abuumaryam185
@abuumaryam185 4 года назад
utani malipo yake utani eti jamani halafu wanajuana kumbe walikua wanataniana sisi tukajua wanapigana ila media ndo zinakuza HILI swala
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 4 года назад
Ebana eenh kumbe na adam alimtania na mtama😂😂😂
@mirynjeri5850
@mirynjeri5850 4 года назад
Pole sana lakini ajafanya vizuri,amekosa zaidi.
@frankmakeula4506
@frankmakeula4506 4 года назад
Mchomvu bangi sio nzur na hayo mambo ya mlegezeo yamepitwa na wakati badilika
@hamadimgaza9351
@hamadimgaza9351 4 года назад
Safi sana Adam kuishi na vinega kwa style iyo.
@jacobmakono389
@jacobmakono389 4 года назад
Mbasha you're polite,unajichanganyaje na mshenzi kama huyo ,kufikia point..unaona sasa alichokuanyia?Gospel unaimba ni ipi?jithibitshe unamwimbia Mungu kweli?jina lako lipo kitabu cha mbinguni?au kama ni sanaa tu ukifa unaenda motoni hapo nakuelewa zaidi!!
@lubatikoseme6613
@lubatikoseme6613 4 года назад
Mkishapigwa mitama, kura zenu kwa Tundu lisu
@yasinkassimu3158
@yasinkassimu3158 4 года назад
Unamwachia Mungu Kwan Apo ulikuwa unamsifu Mungu Wew sema unamwachia yule mzee wenu mliokuwa mnamsifia
@jimmylema8830
@jimmylema8830 4 года назад
💯
@lazarojr8923
@lazarojr8923 4 года назад
Vibaya Sana,,alishindwa kujicontro
@josephatjordan5560
@josephatjordan5560 4 года назад
Wabongo bwana???Bangi hizo sio mzuri!!!mchomvu Hana heshima n nn unafanya mbele za watu!!
@jumabakari813
@jumabakari813 4 года назад
Bangi yule mchovu si akili zake
@afropatriot7769
@afropatriot7769 4 года назад
Najua ungeweza nawe kumpiga lakin umeamua kua humble na kumuacha,umedharirika ili kuepusha mengi,that is God in you,safi sana mtumishi Adam ni mjinga ambae uwepo wa kina Ruge ulikua unamtuliza the devil within him sasa ivi amekua kama mtoto asie na mzazi wa kumcontrol yapo mengi tutayashuhudia
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 4 года назад
YESU ALISEMA MTAWAJUA KWA MATUNDA YAO. ...
@victorwilbard2585
@victorwilbard2585 4 года назад
Hakuna mwanaume anayetaka utani kwenye halaiki, Umekosea sana kumtania pale jukwaani bora ungesubiri huko chini. .......pole sana kwa mtama
@magejose1386
@magejose1386 4 года назад
DAH MBASHA POLE SANAAA
@abdalahmaganga8183
@abdalahmaganga8183 4 года назад
Wewe huwezi kumwita mwenzako bangi mbele ya umati kama huo mimi ningempa doz zaidi ya hiyo Awezi kutafuta kiki kupitia mimi kwa neno baya
@claudionyenje5864
@claudionyenje5864 4 года назад
Mbasha mpumbavu sana yaan sawasawa alivyofanyiwa yaani
@natepam4486
@natepam4486 4 года назад
Pole sana mbasha yani ktk hali ya kawaida hata mi niliona ni utani tu,, adam sio mstaarab ht kidogo
@jeamwenda7394
@jeamwenda7394 4 года назад
Angalia brand ya mwenzako wee fala
@ambaluweabdul1107
@ambaluweabdul1107 2 года назад
Pole sana kwa hakika hii clip imenisikiyisha ama kwa kwel adam kazingua kinoma
@mch.benjaminabraham8669
@mch.benjaminabraham8669 4 года назад
Mmeshindwa kumuimba Yesu mnamuimba mtu hayo ndo malipo ya dhambi rudi msalabani mbasha
@mjombamjomba1887
@mjombamjomba1887 4 года назад
Pole tu sn Mabasha
@faridaessa7844
@faridaessa7844 4 года назад
Daah,pole Kaka mbasha
@hadijahmwajombe9588
@hadijahmwajombe9588 4 года назад
pole sana mbasha
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 года назад
Pole Mtumishi,Msamehe tuu,Sasa Ona alivyo Vaa Suruali Chini Ya Makalio,Kama Si Bangi ni Nini.🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️.
@benjaminpatrick6364
@benjaminpatrick6364 4 года назад
Make up ikooo vizuriiiii hngraaaa
@rechomwaijande3273
@rechomwaijande3273 4 года назад
Au ndomana mungu umesema usiketi balazani pawenye mizaha nausichangamane nawamataifa ayo ndo malipo
@dianahussein8934
@dianahussein8934 4 года назад
Mahali apo akustahili Yeye kuwepo. Mbasha
@makongoronyerere2595
@makongoronyerere2595 4 года назад
Tatizo lako shobo mwapenda kujipendekeza naw2 ili muonekane wema, hyo ndy daw yenu, saf sna adam
@slicehamfrey3504
@slicehamfrey3504 4 года назад
Pole kaka hajielewi msamehe bule
@matildaammo6868
@matildaammo6868 4 года назад
Pole sanaa
@rashidsaid6313
@rashidsaid6313 4 года назад
Yangu macho na masikio.
@kijijinikwetutv8
@kijijinikwetutv8 4 года назад
Imeniumaa San kumuona adam kufanya hivo sio vizur kabisa
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 4 года назад
adamu ata simuelewi 😀😀😉😉
@willymgogo6975
@willymgogo6975 4 года назад
Bang hilo
@deborahrehema5819
@deborahrehema5819 4 года назад
Mimi tokea muachane na mmke wako sioni hata kama uko na tembea na Mungu kumbuka usije ukafa ukaenda kwenye golofa moja Mbinguni kule tumikia Mungu , huwezi kuwa ati Mristo bado unachanganya ya mwili na ya Mungu ,Mungu hataki watu ambao wapo lukewarm yaani kivugutu change
@maryfelix4221
@maryfelix4221 4 года назад
Pole.sana kaka yangu muachie mungu
@kazkaz1943
@kazkaz1943 4 года назад
Baba levo kasema mmejazana wasanii ccm kama manyumbu😀 ndo haya sasa mnaanza kupigana wenyewe kwa wenyewe! Alaf we mbasha adam hujamtania umemwambia ukwel mana ni kweli anavuta ila mbasha umekosa hekima na akili unaanzaje kumwita mwenzio kwenye kazi yake eti bangi mi ningekupa kipigo mpk uchakae una kiherehere sana
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 4 года назад
Huyu nae kiherehere angemzaba bonge la bao ndio akome
@teychriss3248
@teychriss3248 4 года назад
Kwahiyo walivyojazana wewe unauma? Ulitaka wajazane nani sasa?
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 4 года назад
Unamwambiaje mtu mkweli mbele ya watu wengi kiasi hicho?wewe ukiambiwa mbele za watu kuwa ni malaya je utajisikiaje? Utani mwingine haufai kabisa na hata kama unajua yeye ni mvuta bangi kwa nn umuite mvuta bangi?
@neemamayco3238
@neemamayco3238 4 года назад
Mbasha umezid kiherehere kumtukana mwenzio hadharan eti mabangi
@hajimtaita3379
@hajimtaita3379 4 года назад
hatakama unajifanya mtu wamungu mm ningepita naww mpaka uombe poo sokwakumzalilisha mtu eti mabangi unaakili kwel fikiria niwatu wangap wapo hapo au nimaelfu mangap wanaaangalia tamasha hilo afu unamzalilisha kirahis jomba umekutana na mstarabu mshukuru mungu sana ingekuwa nimimi ungejuta hiyo jezi yakijan uliyovaa ungeivua mwenyewe ukiomba maji ya kunywa 😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠
@carolyleonidas7388
@carolyleonidas7388 4 года назад
Pole sana
@francismhilu2936
@francismhilu2936 4 года назад
hekima inaonekana katika mambo kama haya.umedharirishwa unashukuru na kuongea kwa hekima..adam umwombe radhi huyu maana mtu akiongea hivi ukikaidi ukajiona ni bora kuna matatizo yana jitokeza tu..ubarikiwe sana emmanuel mbasha sikutegemea ungereact namna hiyo
@petermpera9244
@petermpera9244 4 года назад
Daaah pole bhan lile shuti kali mmh
@OmarAli-wr1ti
@OmarAli-wr1ti 4 года назад
Ata kama ni mm nakuzibua mbele za watu unaleta stori za kisenge matani gani ayo mbele za watu fala ww unaijua bangi Unataja Mungu wakati unataja mambo ya kumdhalilisha mwenzio mbele ya umma
@bakariomary320
@bakariomary320 4 года назад
Ulistahili kaka,,,umezngua sana
@victormneney8789
@victormneney8789 4 года назад
Hii sherehe haina Baraka za Mungu mpaka mnapigana mitama
@angeltawale3055
@angeltawale3055 4 года назад
Adam bangi sana, sijapenda.
@hadijashabani890
@hadijashabani890 4 года назад
Minimejisky vibaya sana alivyofanya mchovu sio vizur kabisa yaniwemuwachie mungu tyuu
@felixsilayo1824
@felixsilayo1824 4 года назад
Mimi hapa namlaaimu mbasha, ulitaka kumdhalilisha adam mbele za watu, kutafta sifa zako, we ni mkristo usitagte kiki kwa kutumia migongo ya mwingine, ukiangalia hiyo clip unaona kabisa adam amekuvumilia sana, kuanzia ulipoanza kuropoka , ropoka jii yake, ukaenda mbali zaidi unamtoa jikwani kwa kumvuta alafu unasingizia ulikua unamkumbatia kwa upendo, acha unafiki , nimekasirishwa sana na kitendo ulicho mfanyia adan, umamwitaje mtu bangi, alaf useme unamtania, acha unafki na mungu atakusaidia
@mrishomaneno6546
@mrishomaneno6546 4 года назад
Daaaaa kaka mbasha umekosea sana,kumuita mwenzio huyu mchomvu bangi Ni kosa kubwa then mbele za watu.lile Jambo lilikuwa live so dunia nzima imeona na imesikia ulichokisema.umemjengea sifa mbaya hata kwa jeshi la polisi viongozi na wananchi aiseee umekosea
@davidkihiga3531
@davidkihiga3531 4 года назад
katika kumtumikia Mungu , hatuendi hivyo . zaburi 1:1 , heri mtu yule asiyekwenda katika shauri la wasio haki . Mungu aidha ameamua kumfundisha mtu
@aishamwinyi3566
@aishamwinyi3566 4 года назад
Pole sana ushapata funzo kaka ila muachie mungu
@hammymohamed9233
@hammymohamed9233 4 года назад
kiukweli mie nmeuelewa sanaa ule mtamaa
@nassibuduma.1940
@nassibuduma.1940 4 года назад
Hilo nifundisho kwa wapendwa wanao changanya badala umsifu MUNGU manaenda kusifu watu MUNGU awasaidie mjue mipaka ya huduma zenu.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 года назад
😄😄😄😄😄
@alwattanchinga
@alwattanchinga 4 года назад
😆😆😆😆 kweli
@queenfizi5654
@queenfizi5654 4 года назад
🥰🥰🙏
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 4 года назад
Kabisa,Mbasha ni mshamba mno
@claudionyenje5864
@claudionyenje5864 4 года назад
Mbasha mpumbavu sana mie nitaman nikupige mwaka 2008 kwenye tamasha la pasaka la msama nakumbuka mama rwakatre alikua mgeni rasmi na samweli sitta pia aliimba halafu akawa anakataa kushuka ana taka aimbe tuuu nakuimba hajui shida tupu yaan
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 года назад
Wrong place at the right time 😂😝🤪🤣 sio kwa mtama uleee.
@ramadhankambalame4681
@ramadhankambalame4681 4 года назад
Huo sio utani kaka, huwez kumuita mwenzio mabangi mbele za watu. Adam hajafurahishwa na hicho kitendo
@tinnywaukweli7080
@tinnywaukweli7080 4 года назад
Daaaa pole Sana mbasha but ucwaze Sana coz Ndomaisha yawanadam take it easy no one is perfect at all
@feisalricardo4523
@feisalricardo4523 4 года назад
Ata mm ningekutandika vizuri tuuu ,panya buku
@benardsamwelministry7024
@benardsamwelministry7024 4 года назад
muambieni adam huo sio utu huyu jamaa ameharibu sana amekosea sana
@anethmollel6898
@anethmollel6898 4 года назад
Mtumikie Mungu acha kuchanganya mafile,bado utavunjwa miguu
@adammjomba7112
@adammjomba7112 4 года назад
Mimi binafsi Nina mlaumu sana mtumishi wa Mungu mbasha kwanini awe na matani na watu wadunia? Hukuona kufanya urafiki ( matani na watu wa Mungu mpaka uwe na marafiki na watu wa dunia Hilo umelitaka mwenyewe .iwefundisho kwa watumishi wengine wa Mungu kuwa na matani na watu wa dunia. (Fata Yesu kristo alivyo fundisha. Utafanikiwa .angetoa meno Au kuvunja mguu .hao ni watu hawana hofu ya Ahlla watakuumiza kweli kwao jella ni nyumbani.
@gibrilmongi5646
@gibrilmongi5646 4 года назад
ADAM MCHOMVU OMBA RADHI, umedhalilisha tasnia ya HABARI,
@zawadjose5440
@zawadjose5440 4 года назад
Real kakosea sanaaaaa
@killahboyofficial6189
@killahboyofficial6189 4 года назад
ww una shobo tatizo we unamuitaje bangi😂😂😂
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 4 года назад
🤣🤣 awe na adabu uwezi mwambia mtu bangi, ww na shilole wote wehu mnakimbelembele mbele za watu sifa itawaua
@queenfizi5654
@queenfizi5654 4 года назад
😀😀😀✌
@babadiamondplatnumzdudulay3675
@babadiamondplatnumzdudulay3675 4 года назад
Daah nimeumia sn😭😭😭😢 watanzania tupendane africa
@Tiffany340
@Tiffany340 4 года назад
Tatizo utani wa kweli unaumiza, ...ivi ujasikia utani wa ngumi huo...we unasemaje mbele ya kadamnasi we bangi... Wakati anavuta kweli
@tingbatuuka7278
@tingbatuuka7278 4 года назад
Mchomvu Ovyooo sana
@makokamakoka341
@makokamakoka341 4 года назад
Broo we ni mtu wa tofauti sana naamini anngekua ni mtu mwingine ingekua shida sana ila ww umetunza heshima yako
@magynzioka1122
@magynzioka1122 4 года назад
Kumbe mbasha hana hasira ambazo hawezi kuzidum hakika hanaisi kuloa kambisa yani angetolewa iyo miwani mngona machizi yakimlenga pole dungu masha
@jumaipanda1884
@jumaipanda1884 4 года назад
Pole ndg
@edwinfernandes8881
@edwinfernandes8881 4 года назад
Mbasha ...unamkumbatia Adam kwa nguvu vile au hujui jamaaa ana wife ...nimecheka sanaaa
@kmotivation1130
@kmotivation1130 4 года назад
Watumishi wa Mungu hekima ndogo sana ndo maana
@msafiribakari5941
@msafiribakari5941 4 года назад
Dah kweli wahuni si watu wazuri yani mtama huo si wa nchi hii
@salumkisengo7989
@salumkisengo7989 4 года назад
Kweli bange sinzuli ndomahana selekali yetu inakatanza madawa yakulevya pole mbasha
@deuslucas2256
@deuslucas2256 4 года назад
Jamaa waajabu sana na kichwa yake haiko sawa anaakiri ya kitoto
@stanleychisaluni1503
@stanleychisaluni1503 4 года назад
Selikali inapiga Vita bangi nawe wamwambia mabangi,,,aliogopa kuchunguzwa,,,,,,chezea serikali wew
@apolotemba6993
@apolotemba6993 4 года назад
Pole sana kaka
@starcostantine6250
@starcostantine6250 4 года назад
Adamu kakosea vibaya Sana sioni kosa la mbasha adamu kweli ni mvutaji bangu anatakiwa kuomba samahani Kwa alichifanya
@middleplatnumz3629
@middleplatnumz3629 4 года назад
Mbasha na Dhani hujui mtama remix we endelea kusema sijui kalewa au vip
@wilsonm.7376
@wilsonm.7376 4 года назад
sawa tu alistahili..utani gani huo wa madawa ya kulevya mbele ya public na raisi...
@bettympungu5279
@bettympungu5279 4 года назад
Mwachee mungu tu atmfudisha
@amosmahona433
@amosmahona433 4 года назад
Wavuta bhangi Mara nyingi huwa Ni wasenge Sana likiwo hili limchomvu limemikera sana
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 4 года назад
sanaa
@herimallya3385
@herimallya3385 4 года назад
Hata huyo mbasha mkuda sana...acha achezee vitasa.
@breymbasa3451
@breymbasa3451 4 года назад
Hahahaaa
@emmanuelyusuph7752
@emmanuelyusuph7752 4 года назад
Mchomvu umezingua xana mbele ya president du
@jumabakari813
@jumabakari813 4 года назад
Adamu alivuta bangi alijiona kama yuko nawauni wenzake ivyo akaona poa tu adamu bangi yule mwamba
@silviapumzikenikwaamanidam8436
@silviapumzikenikwaamanidam8436 4 года назад
Pole Mbasha
@salumkisengo7989
@salumkisengo7989 4 года назад
Mwenyeakili timamu awezi kumuangusha mwenziwe, kwani katukaniwa mama, elim ana ajui mbeleyake alikua nani anafanya vitu vyakishamba
@mwailimasson1885
@mwailimasson1885 4 года назад
Adam msenge Sanaa huyoooo
@thomaskivuyo3999
@thomaskivuyo3999 4 года назад
Kuma ww unasuport usenge kumuita mtu mvuta bangi mbele ya watu wote hao mm yenyew ningekufira
@benjaminnyanyamba1952
@benjaminnyanyamba1952 4 года назад
Bado unamwita mlevi wakat Adam kasem atakutafut
@lilianjaribu2407
@lilianjaribu2407 4 года назад
Nae arikua anakutania tu usikasirike mbasha
@vedastusmasinde679
@vedastusmasinde679 4 года назад
Tukiacha ushabiki jaman mbasha ndo kamkosea Adam mchomvu hata kama ni mzaa uwezi ukamwambia mwenzio mbele ya viongoz wa nchi wako pale na wananchi et ""TATIZO WE ADAM NI BANGI SANA""sio vizuri na mtu kakuambia ushuke vizuri kabsa na kakupa shangwe sio poa kabsa huyu Mbasha kakosea.
@bujiiclassic1964
@bujiiclassic1964 4 года назад
Mchomvu anazingua xana Ni kwer kabsa mbasha mwachye MUNGU
@brownenas603
@brownenas603 4 года назад
Daaah!!! Mchomvu bangi anazovuta zinamuharibu sana,hawez mzalilisha mtu mzima mbele ya umati
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 4 года назад
Mbasha kakosewa sana
@khamishemedsaid2134
@khamishemedsaid2134 4 года назад
Mwamba umevunjiya heshima kutaja bangi broo ndiyo hilo
@alfredymalata269
@alfredymalata269 4 года назад
Bwege tu uyuu Utani gani wa kumwambia mwanzako Bange sana
@rehemahamisi9971
@rehemahamisi9971 4 года назад
apo sasa jamani unamtania mwenzio bangi kisa yeye mtumishi aogopwi mtu apa anaogopwa mungu tu mtoa roho za watu ukiwa na kauli mzr uwe shehe au mchungaji bc utaeshimiwa lkn uwezi kuvunja heshima kisa mchungaji au shehe kwendraaaaa 👏👏👏💪💪💪
Далее
INASIKITISHA! MBASHA ADAI KUKOMBWA KILA KITU NA FLORA
13:09
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн