Тёмный
No video :(

MBELE ya MAKONDA WAANDISHI WAMLIPUA RPC ARUSHA - ''HAPOKEI SIMU - INAITA TU - KIOO HAKIONI''... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 53 тыс.
50% 1

MBELE ya MAKONDA WAANDISHI WAMLIPUA RPC ARUSHA - ''HAPOKEI SIMU - INAITA TU - KIOO HAKIONI''...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@allymwamba
@allymwamba Месяц назад
Misumari ya moto maoni mazuri
@user-ex9sd8wm4l
@user-ex9sd8wm4l Месяц назад
Kweli kabisa gwakisa nimtu kwa kutowa msaada
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta Месяц назад
Omba omba ni tishio kweli,umeenda zako village supermarket umebeba kamkate Kako unakuta mabinti wazuri wako watatu na vikombe vyao wanaomba ,haohao wakifanyiwa vitendo vya kikatili ndio tunakuja kujua kumbe hata wazazi wapo
@thomastemu3332
@thomastemu3332 Месяц назад
Safi Sanaa
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Месяц назад
Hivi kunawaandishi wa habari tena. Mimi nilidhani Nyerere aliondoka na akafuta waandishi wa habari. Kwa sababu wakati huo waandishi walikuwepo. Lakini toka hapo naona wachawa tu.
@jonasmbala1326
@jonasmbala1326 Месяц назад
Huyu Mwandishi ajue kwamba huyo mlemavu hakuomba ulemavu lakin pia nao ni binadamu hivyo jitafakarin sana kuwa zungumzia walemavu nao wengine walikuwa wazima kama yy hapo ni kuomba Mungu aepushe ajali na mengineyo ili kuwepo na uzima zaidi
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 Месяц назад
Hayo ndio maono yako sio? Walemavu kukaa barabarani kuomba omba umeona ni sawa na kuchafua taswira ya nchi si ndio? Je unaonaje wakatafutiwa utaratibu wa kujitegemea kuliko kuwa omba omba? Je unawazungumziaje wale walemavu waenda bajaji hapa dar feri mbona wao sio omba omba? Mtazamo wangu serikali iwatafutie vituo maalumu vya kupakia abiri kwa ajili yao tu kama vile feri na hata posta halafu wawe kwa vikundi wakopeshwe bajaji na walipe kwa mkataba usiopungua miaka miwili ili baada ya hapo hizo bajaji ziwe zao na wasiojiweza kabisa yaani vilema wa mikono na miguu wawezeshwe watu watu wao wahudumia mbadala wa hao walemavu na wawe na vibali maalumu vya kuweza kupakia sehemu za walemavu.
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Месяц назад
KilaHali.mwenyezimungu.ndyo.mwenye.makadirio.tuombetumunguHakunamjanja.mbeleyake
@cavoo4get649
@cavoo4get649 Месяц назад
Wewe naona hujui unacho kitetea nyamaza tu, wenzako wanachukuliwa kutoka mikoani kwaaji yahiyo kazi, kwa ufupi nimitaji ya watu
@richardmbasha1411
@richardmbasha1411 Месяц назад
Omba omba kwa ARUSHA ni kweli wamezidi sana
@user-xe4vh8nw3v
@user-xe4vh8nw3v Месяц назад
Kaka makonda Fanya Kaz kama mungu alivyo kuagiza mana utabarikiwa zaid yahapo ulipo
@kibabysaid6692
@kibabysaid6692 Месяц назад
Jamani na venye Faiza aliwasema wa Kenya kuwa wengi ni masikini...ety Tz nyinyi n matajiri ...sasa hao omba omba mnao wazungu mzia hpo wametokezea wapi?..
@DanielMasaki-q1m
@DanielMasaki-q1m Месяц назад
Bwakisa ni mashine kweli kweli
@HumanBeing-pj4hm
@HumanBeing-pj4hm 27 дней назад
MBELE ya MAKONDA WAANDISHI WAMLIPUA RPC ARUSHA - ''HAPOKEI SIMU - INAITA TU - KIOO HAKIONI''... (TURUDI SHULE KUU YA UANDISHI WA HABARI TUKAJIFUNZE KUANDIKA CAPTION)
@BasiliClement-ql1yg
@BasiliClement-ql1yg Месяц назад
Hawo jamaa kwenye hizo trafic lights ni tatizo kubwa wanaingia katikatia yamagari na bodaboda nijambo la hatari sana na ukiwaeleza km nimishawaeleza kwamba mtagongwa lakini wapi wala hawajali
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m Месяц назад
Ukiona hushiki simu ni hofu tu wala sio bize...
@pastoreliwkimaroni8332
@pastoreliwkimaroni8332 Месяц назад
Ombaomba nitatizo sana
@HashimYahaya-hd3zm
@HashimYahaya-hd3zm Месяц назад
Mworeka uko sawa omba omba wamezidi
@mpefu_4936
@mpefu_4936 Месяц назад
Wawe na ustarabu mbona Kuna walemavu wanajishugulisha wamefanya kuomba ni sehema ya kazi
@EmanuelIsaya-sg8bk
@EmanuelIsaya-sg8bk Месяц назад
Kusags TV sijakusikia. Rpc hapokeagi sm .ungeenda kumtuanga
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Месяц назад
Zunguuuu
@JumaAthuman-bk6hx
@JumaAthuman-bk6hx Месяц назад
Habari ya kutokupokea simu ni janga kubwa kwa watu waliopewa dhamana hasa ma_RPC karibu wote wanadharau sana hata ujumbe hawajibu mbaya sana.Sijui kwa nini wanatangaza namba zao!Vilevile baadhi ya ma_RC.wanatabia hiyo,badirikeni mpo kwa ajili ya wananchi.
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Месяц назад
Duuuh mtihani. Omba omba ni changamoto. Kamanda ujumbe wako hupokei cm. Yani viongozi wengi kupokea cm ni changamoto km hawaoni vile
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 Месяц назад
Tanzania akuna waandishi wa abar akuna media zote zimeegemea upande frn
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 Месяц назад
Swala la uizi na vijana wanaoiba iba kila siku tatizo upande wa upelelezi wilayani kuanzia ocsd na wenzake upelelezi wahamishwe mara mmoja waje wengine wenye hari kubwa wataweza kuwaotokomeza kabisa lakini ikibaki hivyo kama ilivyo hakuna kitu kitabadilika maana ni rushwa sana
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 Месяц назад
Upande wa kina bwakisa wote waondolewe wahamishwe waje wapya hapo itakuwa sawa wezi wote kwa sasa hawaogopi kabisa police kuna maswala ya rushwa sana upande wa upelelezi
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 Месяц назад
Kweli ombaomba wamezidi hasa Dar, ni mradi mkubwa, utaona mtu anamleta mtu ambaye asiyekuwa na ufahamu kabisa na huwatembeza barabarani
@alsam4881
@alsam4881 Месяц назад
Badala ya Serikali kutatua matatizo ya Omba Omba na kuwapa mitaji ya biashara na kuwaweka sawa ili wasiwe Omba Omba tena na waondokane na umasikini, lakini badala yake wanapewa misaada wasanii na kwenda Korea na kugharamiwa mamilioni ya pesa.
@RobertLyimo-vj3up
@RobertLyimo-vj3up Месяц назад
Omba Omba haiwezi kuacha kuomba hata akipewa mtaji utamkuta barabaran
@pastoreliwkimaroni8332
@pastoreliwkimaroni8332 Месяц назад
Ombaomba wanao wa sukuma ni vijana wenyenguvu wa naweza kufanya kazi na kuwa saidia
@jamalibeya2527
@jamalibeya2527 Месяц назад
Omba omba ni walemavu ni WA Tanzania wenzetu waondolewe waende wap tungelee jinsi ya kuangamiza tatu mzuka
@JumaAthuman-bk6hx
@JumaAthuman-bk6hx Месяц назад
WEWE NWANDISHI UKISEMA MASHIRIKIANO WATU WA MTAANI WASEMEJE? JARIBUNI KUOGEA KISWAHILI SANIFU.HAKUNA NENO MASHIRIKIANO,BALI USHIRIKIANO.
@user-sj8hn7jt7g
@user-sj8hn7jt7g Месяц назад
Sifa mnambaya
@khadijakimana8809
@khadijakimana8809 Месяц назад
Omba omba, watafutie vitega uchumi, wanaomba kwasababu ya shida!
@user-de2rg9kk7u
@user-de2rg9kk7u Месяц назад
KWELI NIMEAMINI MBONA WAANDISHI WA HABARI HAWANA CONFIDENCE KABISA??????? YANI MIMI NIMEWAONA WOTE HAMNA KITU. MBONA WAANDISHI WA HABARI MMEMKUA WAOGA HIVO?? YANI HAMNA CONFIDENCE KABISA! Shenzi 😡😡😡🤬😠 yani Hapo nimemuona ni mwandishi Mmoja pekee wa Millard Ayo Ndio ameongea Kwa Confidence Wengine Wote Amna kitu Hovyoo hovyo kabisa 😁😠
@aloycesamba998
@aloycesamba998 Месяц назад
Moleka umeongea point sana kweli ombaomba wamekuwa kero sana na kinachokera zaidi Ni Bora hata wangeomba watu ambao hawajiwezi,kwa sababu ingiangalia wengi wao ni wanaojiweza
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 Месяц назад
Waandishi wengi hawasema kadhia ya polis Barabarani kusimamisha daladala na kuomba ela hiyo ni nchi nzima
@VeredianaKalembi-gs4vs
@VeredianaKalembi-gs4vs Месяц назад
Hilo halikuwemo kwenye KIKAO hicho
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 Месяц назад
Global mnaleta udwanzi
@karimmveyange280
@karimmveyange280 Месяц назад
MSIWAFUKUZE OMBA OMBA MANJIANI,TAIFA LINA MALI NYIGI,ZINACHUKULIWA NA NANI? JIFUNZENI KWA BOTSWANA,SOUTHI AFRIKA NA LIBYA YA GADAFI. MMEWEKA VIONGOZI MASHTANI MATAIFA YANALAANIWA.
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 Месяц назад
Miji mikuu yote dunian wameondoa hao watu, ndio wanashida lakin wanapunguza hadhi ya jiji
Далее
Standout lines from 2024 DNC speeches
17:36
Просмотров 292 тыс.