Тёмный

MBOWE AKICHAFUWA! "KAMA NIKIFA AU NIKIPIGWA RISASI MSIRUDI NYUMA, MAANDAMANO YAKO PALE PALE" 

Mwanzo TV Plus
Подписаться 173 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE RU-vid Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Опубликовано:

 

21 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 49   
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md Час назад
Naombeya chadema mungu awape ushindi hakuna silaa itakayofanikiya juu yenu tena mungu awalinde ndiye mlinzi mwema hakika mtashinda ❤❤❤
@godwineliya4686
@godwineliya4686 2 часа назад
Maji ni Mazuri Kwa mabomu ya Machozi ukinawa tu imekwisha hiyo
@godwineliya4686
@godwineliya4686 2 часа назад
Dah Yani Nimeskia Uchungu Sana jinsi Alivyoongea Mbowe
@LabanMauma
@LabanMauma 2 часа назад
Nchi yetu sasa itajazwa na visasi, balaa na masononeko kila sehemu maana kila aliye raia na aliye kiongozi wa nchi kwa vyeo vyao wamejazwa na kiburi. Mungu atatuadhibu tu tukiendelea hivi.
@SalimAbdallah-mi1wc
@SalimAbdallah-mi1wc Час назад
Sasa kama hutaki kuvunja amani kwanini wapingana na serekali kwani lazima uwandamano kama sio kiongozi vile haya nenda huko barabaran utapata unachotaka
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z Час назад
Baba unaniliza lakini namlilia mungu aweke ulinzi
@MkulimaTarimo
@MkulimaTarimo Час назад
Mkirudi nyuma msipoamdamana hamtaaminiwa
@shaabanmohammed2611
@shaabanmohammed2611 Час назад
Ungeamua hivo wakati wa Mwendazake. That Man was not joking. He didn't give a damm. Unajua Mama hayuko hivo ndio maana unatafuta umaarufu. Kama una nia safi kaeni mzungumze. Afterall hata mkiandamana mwisho wa siku mtakaa mzungumze. Mama amebugi amepotoshwa. Mama alijawa na jazba amepoteza mwelekeo. Hakutumia common sense. Nawewe umepata ahweni umefufuka. Tayari mlikuwa hamna jipya tena. Mistake ya Mama imewapaisha. Lakini bado una mtihani ndani ya Chama chako
@Didaskamili
@Didaskamili 32 минуты назад
Tuko pamoj nanyi mungu ataWalinda
@NaaliSimba-t2p
@NaaliSimba-t2p Час назад
polisi msije mkajaribu kumpiga mbowe maan kitakachotokea ni zaidi ya izraeli na palestina mmezoea kuona kuona tunaongea tu bila vitendo sasa mguseni mbowe kwa risasi muone
@EmmanuelSanga-ts8fk
@EmmanuelSanga-ts8fk 45 минут назад
Tengua kifo mbeba maono Hafi kama ingekuwa hivyo daudi asingeishi nyakati za sauri aliwindwa kama swala
@Hemedally-o9x
@Hemedally-o9x 28 минут назад
Mbowe wewe ni kama wewe haki haitafutwi kwa maandamno na mungu atakulaani
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Час назад
KO KISA KAFA MWANACHAMA WENZENU NDO MNA WAKA MBONA KUNA WATU WENGI WANAKUFA VIFO VYA KIKATIL HAMSEMI KAMA KWEL MNAJAR MAISHA YA WATANZANIA WOTE
@LeoKinango
@LeoKinango Час назад
Eee MUNGU tusaidie hawa watu hawaogopi tena kifo😭😭😭
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md Час назад
Hakika mungu atawapa ushindi
@GervasPeterNtakimazi
@GervasPeterNtakimazi Час назад
Mungu bariki tanzania
@EmmanuelSanga-ts8fk
@EmmanuelSanga-ts8fk 48 минут назад
Jipe moyo nyenyekea kwa Mungu naamini maono ya 2oo7 niyakweri
@MathewsSikazwe-up4qd
@MathewsSikazwe-up4qd Час назад
mwenyezi mungu tuna kuomba ingilia kati, shetani analitesataifa lako, aiwezekani vijana wa chadema tu ndio wakosaji,
@michaelm.mwalusako3724
@michaelm.mwalusako3724 Час назад
Kuandamana nì haki ya kikatiba na kisheria. Pamoja na ukweli huo, naomba kwa ajili ya kumtukuza Mungu, Muumba wa Mbingu na Nchi, Mwingi wa rehema na neema, TUTAFUTE AMANI badala ya kuandamana. Kwa jinsi hali inavyoonekana, ni dhahiri hali si shwari. Naomba kipau mbele chetu kama nchi kiwe ni kutafuta amani na mstakabali mwema wa taifa letu. 4R zetu ziendelee kuwa nguzo imara kwa ujenzi imara wa taifa letu. Kurudi nyuma katika maamuzi yetu sio udhaifu wala woga, bali ni kukubali kuongozwa na Mungu katika kufanya mambo yetu. Je, maandamano ya amani katikati ya zuio la polish yataendelea kuwa ya amani? NAOMBA TUITAFUTE AMANI KWA KUKUBALI KUONGOZWA NA MUNGU KATIKA MAAMUZI YETU. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
@isayamhumba3352
@isayamhumba3352 Час назад
Kimsingi CCM imeshazeeka, hadi fikra namtazamo wao umezeeka
@isaackmwakapala8663
@isaackmwakapala8663 Час назад
Naiomba Chadema isitishe Kwanza maandamano. Najua mioyo inauma, umepelekwa Kila jumbe kwa serkali. Mpaka hivi Sasa na Kila mtanzania ameshajua mbivu na mbichi.
@KhamisMwinyi-gl5xe
@KhamisMwinyi-gl5xe Час назад
Nenda mzee ww na familia yako Rais ameshakataza ww ni nani asee ss kama na ww uliesikia sikio la kufa alisikii dawa nenda kakutane ww na familia yako na ndugu zako mzee
@erasmusaloyce4398
@erasmusaloyce4398 Час назад
Raisi ni nani Kwan Hadi achukue haki za watu Hadi za kuishi? Kila mmoja yupo chini ya Sheria hata police wapo chini ya Sheria, na Sheria inasema kuandamana ni haki. Hakuna mtu wa kuichukua.
@DavidKagulu
@DavidKagulu 2 часа назад
Tupo pamoja kamanda
@MatatizoMkama
@MatatizoMkama Час назад
Iposiku ccm itafikamwisho
@mohamedimfyomi5767
@mohamedimfyomi5767 Час назад
Tupo pamoja mkuu nipo njian nakuja kulalia mjin
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo Час назад
Mnahangaika na kutapatapa Bora mtumie me majumbani Mnaenda kutafutia kumwagiwa mabomu ya machozi na wengine kupata virema ya nn kisa utawala kaaa duuu hii NI maisha mafupi sn
@ZakayoYohana
@ZakayoYohana 2 часа назад
Tupambane kitaelewekatu
@salamwajeka-yo6su
@salamwajeka-yo6su Час назад
Mungu atende jambo
@NgombaleNgombale
@NgombaleNgombale 2 часа назад
Hata sielewi
@Java-king255
@Java-king255 2 часа назад
😢😢😢😢😢😢
@hassanjuma3703
@hassanjuma3703 3 минуты назад
Wacheni kuua amani nyie mafala mnaandama Kwa msaada Wa nje acheni tangazen sera mmemteka wenyewe kama ulivyo lewa saa 8 usiku ukasema umepigwa acheniiiiiiiiiooiii
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 2 минуты назад
Viongozi wa dini acheni kusubiri hadi Mbowe afe ndo tuanze kusikia kauli za kulaani, jitokezeni mapema muishauri serikali haraka iwezekanavyo kwani maandamano hayamtoi mtu madarakani
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 Час назад
Yesu yu karibu kuja tujiandae
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 Час назад
Tuji andae na nn sasa kama yesu yupo karibu kuja
@beinafuu6219
@beinafuu6219 2 часа назад
Mpaka anatia uruma jaman mbowe pole na kupotelewa na wanachama wako.pole lakin umechukua mahamz magum mno mno.japo inaumiza kwel ntelejensia sijui walikua wap.pole
@hamdincatalonia3272
@hamdincatalonia3272 2 часа назад
Maigizo kila kitu anakijua muda utaongea
@Java-king255
@Java-king255 2 часа назад
kuma la mamaako
@hamdincatalonia3272
@hamdincatalonia3272 2 часа назад
@@Java-king255 ndio maana tunasema chadema chama cha wahuni matusi yanini ok nashukuru vp mwenzangu mama yako mwanaume nini
@hamnajipyadicksoni4007
@hamnajipyadicksoni4007 Час назад
​@@hamdincatalonia3272matako
@Hemedally-o9x
@Hemedally-o9x 40 минут назад
Mbowe mbona huna majibu au hutoi majibu ya tuhuma unazo pewa badala yake umeng'ang'ana maandamano na umeng'ania urudishiwe walip kufa tu na hao wapelelezi unao wataka hawatufai sisi tuna jitawala hatutawaliwi hatutaki nchi kua kama libia su somalia
@michaelmlyuka6032
@michaelmlyuka6032 Час назад
Kardinali Rugambwa na Maaskofu wakuu ingilia kati Sakata hili lisitokee, Wayazungumze. Mungu awabariki
@MORCEPLIMITED
@MORCEPLIMITED Час назад
😢
@MICHAEL.C.E.O.4Gnga
@MICHAEL.C.E.O.4Gnga Час назад
Ila tatehe23😅
@hamdincatalonia3272
@hamdincatalonia3272 2 часа назад
Jamaa muigizaji hahahaha kama atutaonana tena
@AbuuThabiti
@AbuuThabiti 57 минут назад
Mbowe chukua wanao wajukuu zako na ukoo wenu mzima halafu mkaandamane sio kutumia watoto wetu kama mtaji wakwako umewaficha ndani nanyinyi vijana nawausia jitambueni acheni kutumika kijinga nahuyo mbowe
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 Час назад
Mwenyekit amesema tuje na maji mengi jamani, me ntakuja na jaba 😂
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Час назад
Akawaulize ya mbeya kilichowapata anajitafutia umaarufu bure kabisa
@erasmusaloyce4398
@erasmusaloyce4398 Час назад
We haujitambui kuandamana ni haki hakuna mtu wa kuchukua isipokuwa Mungu
Далее
LIFEHACK😳 Rate our backpacks 1-10 😜🔥🎒
00:13
THDRC WAJA NA HAYA JUU YA MAANDAMANO KWA WATANZANIA
19:23
U.S. State Department press briefing: 9/19/24
48:41
Просмотров 14 тыс.
U.S. State Department press briefing: 9/16/24
1:18:35
Просмотров 15 тыс.
White House press briefing: 9/19/24
1:45:30
Просмотров 16 тыс.
LIFEHACK😳 Rate our backpacks 1-10 😜🔥🎒
00:13