Тёмный

MBUNGE JERRY SILAA ALIVUNJA MBAVU BUNGE ZIMA KWA KIARABU CHAKE AKICHANGIA HOJA... 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 26 тыс.
50% 1

MBUNGE JERRY SILAA ALIVUNJA MBAVU BUNGE ZIMA KWA KIARABU CHAKE AKICHANGIA HOJA...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #BungeLive #Bungeni

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@musasabuu2808
@musasabuu2808 2 года назад
Mm nimpongeze mh.raisi kwa kuangalia maisha ya watumishi ikiwa ni pamoja kuwapandsha vyeo na Madaraja
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 2 года назад
Kweli kazi ya mbunge nilahisi sana sijawahikuona yani huyu babu tale ameenda kupiga mezatu hatakituhajaelwa a napiga Meza yani hata mimi naomba jimbolangu linichague na mimi nikapige. Makofi niingize pesa
@kaludindabuga3323
@kaludindabuga3323 2 года назад
Hongera sana kwa hoja nzuri,kwani kumbukeni wilaya zenye uhaba wa walimu na ndoz inaongoza kwa walimu wa kujitolea hivyo ni vema zikapewa kipaumbele kwenye nafasi hizi za ajira mfano ya wilaya mojawapo yenye upunguvu wa walimu ni wilaya ya ngorongoro.
@trendvibeke
@trendvibeke 2 года назад
👏👏👏👏
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 2 года назад
Jamani naomba nisaidieni kujua gwajima yupo wap mbn kimya simuoni bungeni maana yeye nimafia haogop kitu tumemmis jaman
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 2 года назад
Kwenye hela hakuna mwamba
@rashidikawanga2941
@rashidikawanga2941 2 года назад
Yani unapiga chabo alafu matokeo yakitoka unasema una akili kuliko uliyempigia chabo huo ni utahiraaaaaa RIP papa 😢🙏😞
@gracemima5234
@gracemima5234 2 года назад
Tangu Slaa alipopigwa mukong’oto na kuitiwa kikawo na kupigwa marufuku kuhudhuria bunge. Kwa Sasa amebadilika na kusifia uwongo Hayati Magufuli alipoingia madarakani alikuwa na kazi kubwa ya kufanya ya kupigana na ufisadi na kuleta nidhamu nchini. Awamu ya sita ilikuta misingi mizuri na kazi kubwa ilishafanywa na Hayati Magufuli. Kusema hii serikali imefanya kazi zaidi ya serikali iliyopita ni sifa za uwongo. Za kujipendekeza.
@tinershayo6191
@tinershayo6191 5 месяцев назад
Ngwajima pastor yupo wapi?
@emmanuelshayo4703
@emmanuelshayo4703 2 года назад
Duuuuu!!!!! Hili bunge duuu!!! Kuna watu wanaoneka kabisa sio sehemu yao....... Linanikumbumbusha shule ya msingi
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 2 года назад
Kwastaily gani
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 года назад
Yaani uko Sawa
@thomastemu3332
@thomastemu3332 6 месяцев назад
Weweeee 😅😅😅😅😅😅
@athumanhassani9794
@athumanhassani9794 2 года назад
Kwaviongozi wa serikali labda
@julianamaganga4803
@julianamaganga4803 2 года назад
Mr Jerry hizo sifa unazotoa kwa watu jimboni kwako kunaoza,Barbara mbovu wagonjwa wanafikaje hosp
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 года назад
Kama ni sifa umewamwagia
@atanasjuma433
@atanasjuma433 2 года назад
sasa babu tale mbona kazi yako bungeni ni rahisi hicho kupiga makofi tu
@kareemmkamba3590
@kareemmkamba3590 2 года назад
Wabunge wengine kazi kupiga meza tu khaa
@mcgeemwamba9303
@mcgeemwamba9303 2 года назад
Huu ndo unafiki wa zito kabwe ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-YevydfcpIm4.html
@apaonpatrick2441
@apaonpatrick2441 2 года назад
Acheni dharau na dini za wenzenu nyoko nyie
@athumanhassani9794
@athumanhassani9794 2 года назад
Hapo umetudanya kiongozi tusiwe wanafki
@yordanyona1234
@yordanyona1234 2 года назад
TUMIA AKILI SASA UMEENDA.KWA AJILI.YA NANI MBONA JIMBONI.KUNAOZA BARABARA MBOVU KILA KONA ANGALIA.WENZIO.TEMEKE NA MIKOANI WANAKUZIDI,,MOSH BAR KIVULE VIPANDE VYA KITUNDA MAJOHE NA BAHAT MBAYA NI NJIA ZENYE MAGAR MENGI SANA FANYA KAZI YA WANANCH
@yahayagimbu4216
@yahayagimbu4216 2 года назад
Sasa barabara hiyo burget ya wizara ya miundombinu atailetaje hapo muwe mnaelewa kwanza jaman.. Vijana wenyewe uwelewa ndio huu atatusikiliza nani?
@ndalelias3195
@ndalelias3195 2 года назад
Kwann vitivo vingine vya elimu vimesahaurika ? mf waliosoma kozi ya mazingira udom, udsm na mipango mbona hatusikiiiiii ajira zao ooooo???
@kiuyl0
@kiuyl0 2 года назад
Vitu vinapanda bei mnasemajr nyie
@nurdinngwegwe2943
@nurdinngwegwe2943 2 года назад
WANAONGEZANA MISHAHARA WANAOVAA SUTI ZA GHARAMA. ILI HALI WANAOWAFANYA WAONGEZWE MISHAHARA HAWAJIWEZI WANA BAKI KUVAA MI DA BWA DA MIDABWADA NA UGUMU WA MAISHA YA MITAANI. WE/MUNGU EEH. HATA DINI HAMZIKUMBUKI KUZIPA OFFER. MFNO Kupungua kwa Bei ila WANANCHI wajikimu japo kiainaaina. Duh!.Hi inji duh!
@gracemima5234
@gracemima5234 2 года назад
Wabunge wote Sasa wamekuwa mazezeta wanapiga makofi kwa upuuzi mtupu. Slaa na musukuma alikuwa ni tegemoe la Watanzania. Kwa Sasa wameingia kwenye kundi ka wapigia makofi wa kijinga.
@johnjackson9665
@johnjackson9665 2 года назад
huyu jimbo.lake linaoza linateketea kila mahali bara bara mbovu miundo mbinu kwenye jimbo lake ni hovyo watu wanateseka hapo unatoa sifa za kijinga
@yordanyona1234
@yordanyona1234 2 года назад
huyu chizi barabara mbovu kila.kona anaongea utumbo .
Далее
Cleaning🤣 #shorts #トイキッズ
00:18
Просмотров 6 млн