Тёмный

SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki" 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 466 тыс.
50% 1

Subscribe / uwazi
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, amemshukuru spika wa Bunge, Job Ndugai, kwa kuwahakikishia wabunge wote kuwa kwa sasa wanapohudhuria vikao vya Bunge mjini Dodoma watakuwa salama, halitatokea tukio kama lililomtokea Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, ambaye alipigwa risasi na watu wasiojulikana alipokuwa nyumbani kwake Mjini Dodoma.
Aidha Mh Sugu ameliomba Bunge hilo kuwahakikishia usalama hata wanapokuwa maeneo mengine mbalimbali ya nchi.
"Kwa sababu ni uwazi dunia yote inajua wabunge wote wa upinzani na watu wengine wenye mawazo mbadala hawako salama, sasa hatuwezi kujadili mipango katika mazingira ambayo siyo salama, 'So Please Don't Shut Me', natoa ushauri, mawazo, maoni yangu kwa serikali, tubishane kwa hoja na siyo Bullet.
Subscribe / uwazi1 FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli. .

Опубликовано:

 

8 ноя 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 335   
@bensonfrank643
@bensonfrank643 6 лет назад
MH. SUGU KILA AKIONGEA ANAONGEA POINT 💪✊ MUNGU AKUWEKE SANA BRO.
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 6 лет назад
umeona eh. Yaani kihuni kihuni flani lakini full point mwanzo mwisho
@denisexpchannel3684
@denisexpchannel3684 6 лет назад
benson frank √√√√
@lastpage488
@lastpage488 5 лет назад
"Kutofautiana mawazo na mitazamo ni utamaduni wa watu wanaofikiri na walioelimika" Prof. Joseph Mbele
@donboscolunguya2936
@donboscolunguya2936 Год назад
Huyu jamaa aliongea point sana na sasa hii speech yake leo ndio inareflect ukweli Big up sugu
@emmanuelsilungu446
@emmanuelsilungu446 6 лет назад
mbeya city president much respect president
@nicodemocharles5566
@nicodemocharles5566 5 лет назад
respect sugu
@antarysuleiman5338
@antarysuleiman5338 6 лет назад
Kusoma san sio kwamba utakua muelewa sana 😂 kuna walio jielewa tangu tumboni yani wakishushwa duniani utapenda ......SUGU BABA UPO VIZURI SANA
@mwambirekwamboka9525
@mwambirekwamboka9525 6 лет назад
Big up Sugu keep on moving with genuine reasons n fact #BeBlessedEver
@kitangacharles5818
@kitangacharles5818 6 лет назад
waeleweshe maana wanajua c hatujui
@chapamtukironge2375
@chapamtukironge2375 6 лет назад
yo sugu damn you killed it 😀😀😀😀!
@geraldstanslaus6471
@geraldstanslaus6471 5 месяцев назад
2024 and still the best speech ever
@vicentigiboregibore1007
@vicentigiboregibore1007 5 лет назад
chadema wooote nivichwaaa kwanza niwasomi napoint wanazjua kwahiyo tunajivunia hilo
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 6 лет назад
Hahahaha daah aisee Sugu kanifurahisha sana, nothing serious lakini ujumbe umefika. Mwalimu mzuri ni yule anayeburudisha darasa akili haichoki uelewa unakua juu word by word ni rahisi kukumbuka huwezi sahau.Big up Sugu
@ilumbukibi4169
@ilumbukibi4169 6 лет назад
Dah!We haumo bwana!
@morathraphael6287
@morathraphael6287 6 лет назад
Sugu hivohivo wakuelewa atakuelewa mbona musukuma walasaba na anaeleweka
@emanueljtluway1265
@emanueljtluway1265 6 лет назад
joji georige kwa kweli huynoma
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 6 лет назад
joji georige true
@fabianvenance2891
@fabianvenance2891 6 лет назад
Twende kazi sugu
@danieljoseph6309
@danieljoseph6309 6 лет назад
This is the way to send message across 😂😂😂😂😂😂😂
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 6 лет назад
daneil joseph yeah
@vincentmokenye4465
@vincentmokenye4465 4 года назад
Barable of seed1🤣🤣
@festomeshack8581
@festomeshack8581 6 лет назад
Massage delivered mh. Sugu
@jumacostantine8003
@jumacostantine8003 6 лет назад
nimekuelewa Sana sugu Asante kwa kutuwakilisha
@essaumtawa2344
@essaumtawa2344 5 лет назад
Juma Costantine
@samwellaizarsamwellaizar5839
@samwellaizarsamwellaizar5839 4 года назад
Asantee baba.
@ramambongo4069
@ramambongo4069 6 лет назад
Kamanda sugu uko vizuri wapasue mimacho imewatoka haamini kama ni ww sugu wachane kaka wanamuogopa sana
@SHPI156
@SHPI156 6 лет назад
"UNALETA JANGWA,,,.. KARATASI NYIIIINGI""
@saidinalmsofethatsgoodwaya6454
@saidinalmsofethatsgoodwaya6454 4 года назад
Dah Brother you are real Genius
@lucasabunuas4662
@lucasabunuas4662 6 лет назад
Sugu ndio mbunge wetu anaekuja kupambana nae kwenye jimbo lake mby city atapunguza wingi wa kura zake tu but ushindi uko palepale.
@aboubakarkaseko8670
@aboubakarkaseko8670 6 лет назад
Nimekuelewa bro,ujumbe umefika hivyo2 hakuna namna.
@nasserkomba6231
@nasserkomba6231 6 лет назад
True say Mr Sugu.
@nurunswebe4203
@nurunswebe4203 4 года назад
sugu big up bro your the best member of parliament respect to you up coming president of tanzania
@abhambomihambo6754
@abhambomihambo6754 5 лет назад
Safi sana MP Sugu!
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 6 лет назад
Kweli NDALICHAKO maelezo yake hayakuwa n.a. mantiki. Sigu bwana umenivunja mbavu.n
@scarletscarlet5363
@scarletscarlet5363 6 лет назад
Nimekukubali mbunge wangu I sarut you
@mfedeful
@mfedeful 6 лет назад
Salehe Yassin ni salute sio sarut...
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 4 года назад
@@mfedeful hahahahahaha
@petermwanyondo6459
@petermwanyondo6459 6 лет назад
umekomaa vizuri mkuu
@siwemaalphoncy2452
@siwemaalphoncy2452 4 года назад
Salute sugu
@evanslugoya1232
@evanslugoya1232 6 лет назад
mjinga mjinga hawez kumuelewa sugu timamu pekee ndoatamuelewa
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 6 лет назад
Evans Lugoya kabisaaaa
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 5 лет назад
Evans Lugoya ..umeonaeeee..
@samsonkusupa6809
@samsonkusupa6809 6 лет назад
kweli sugu umeongea
@rasnchimbi
@rasnchimbi 6 лет назад
Kweli kabisa yote yanayofunguliwa Leo yalianzishwa Na kikwete
@edsonmosha7418
@edsonmosha7418 6 лет назад
Big up broo
@rosemarysempombe8559
@rosemarysempombe8559 6 лет назад
Akili za huyu mheshimiwa anazijua mwenyewe
@mbumbulicomedians3286
@mbumbulicomedians3286 6 лет назад
point
@fauziaharuna6397
@fauziaharuna6397 4 года назад
Mbilinyi ni fire mungu azidikukulinde
@bungapaul5221
@bungapaul5221 3 года назад
Respect bro
@seifmohamedseif9467
@seifmohamedseif9467 3 года назад
We miss this 😂😂
@victorjames3730
@victorjames3730 4 года назад
Mbunge wangu huyu nampenda sana,
@isackpaulo7946
@isackpaulo7946 6 лет назад
oooh my god
@samsonkusupa6809
@samsonkusupa6809 6 лет назад
kweli sugu umeongea maana kula MTU siku hz ni kambale kila SKU tunasikia mapya
@salmaibrahim9585
@salmaibrahim9585 4 года назад
BP sana mh.sugu tuchape kazi
@mselematiku2318
@mselematiku2318 6 лет назад
safi sana sugu una akili sana
@richardmanyelezi5826
@richardmanyelezi5826 6 лет назад
nimekubali sungu
@athumaniomary1245
@athumaniomary1245 5 лет назад
sugu we need you 2020 to be our president
@mbarakaathumani3035
@mbarakaathumani3035 Год назад
Speach nzuri
@mosamossile9113
@mosamossile9113 4 года назад
Mashindwa kwenda Butihama kwa baba wa Taifa, Mtawezaje kwenda Chato
@rutashubanyuma4546
@rutashubanyuma4546 6 лет назад
Ni dont shoot me sio shut jamani global vp??
@marcusdonald1472
@marcusdonald1472 6 лет назад
Big up brother
@shabbymakapane3212
@shabbymakapane3212 6 лет назад
Huyu jamaa Dah
@amirmotors9735
@amirmotors9735 6 лет назад
nice ones
@samwelimwinyi9327
@samwelimwinyi9327 6 лет назад
Mipango bila taratibu ni VURUGU ucseme co mipango! Nafurahiaga uongeaj wako tu Mh.
@christophersypriano7824
@christophersypriano7824 6 лет назад
big up sugu
@mselematiku2318
@mselematiku2318 6 лет назад
ahaaaa ahaaa anamaliza miti yetu hao mpe makavu bwana sugu
@oscaromary7437
@oscaromary7437 6 лет назад
good
@babytee4901
@babytee4901 6 лет назад
nakuelewaga sana mheshimiwa sugu.......
@fredrickmsomba4123
@fredrickmsomba4123 6 лет назад
APPRICIATE NYINGI KWAKO SUGU
@johnnillan3990
@johnnillan3990 4 года назад
Ongera xana sugu unapoint nzuri xana
@victormaimu3748
@victormaimu3748 4 года назад
2020 bado nacheki
@husseinseif9856
@husseinseif9856 6 лет назад
Viva sugu
@e-mzambuli6647
@e-mzambuli6647 2 года назад
Big up
@bertineddyne610
@bertineddyne610 6 лет назад
You so funny!
@godblesskyangala3785
@godblesskyangala3785 6 лет назад
Smart politician
@a.j9964
@a.j9964 6 лет назад
Shut????!ulieapload hii video ulipatat ngap english??nadhn ni shoot
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k 3 месяца назад
Binafs nawaomba selikali yangu jimbo la mbeya mjini ligawanywe maana sugu ni muhim sana kurd bungeni
@lawrencebundala5769
@lawrencebundala5769 6 лет назад
Eti anamaliza miti tu, Dah! Ama kweli kazi ipo.
@amonsanga6209
@amonsanga6209 6 лет назад
dah ebwana nimeielewa sana hii speech
@onionpeeling5822
@onionpeeling5822 5 лет назад
🤣🤣 stand up comedian with sense in it..
@notabenemwakamala7590
@notabenemwakamala7590 6 лет назад
Mh Sugu huwa unazungumza mazuri daima jitihada ya kuzuia radi naziona we jipange kwa yote
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 5 месяцев назад
👍✌️👊.
@mbogomagembe6318
@mbogomagembe6318 6 лет назад
huyu mbuge bana kweli msanii anachomekeza ukweli
@ernestomaphie1475
@ernestomaphie1475 5 лет назад
Suguuuu
@MWIHAVAGF
@MWIHAVAGF 6 лет назад
hahahaha @BIGup Mh.sugu
@pauloalufayo6145
@pauloalufayo6145 6 лет назад
Kweli tundu lisu wapo wengi ila tundu lisu yuko bungeni haleluya upinzani roho wa bwana yu juu yenu atawalinda kweli
@henrygwalema8508
@henrygwalema8508 6 лет назад
Hamjibu kwa hoja mnasubiri tukoke nje mtufanyie pyuu pyuu Pyuuuu😂😂😂😂😂😂😂😂
@fadhilimgohamwelu1891
@fadhilimgohamwelu1891 6 лет назад
Duh kweli wapinzani wa tanzania ni chenga leo unamsifu kikwete ikiwa ndiyo mlikuwa mnamtukana hovyo hovyo azarani
@brownmshan2629
@brownmshan2629 6 лет назад
Huyo ndio sugu moto chini!!
@furahajonas839
@furahajonas839 6 лет назад
kweli sugu sasa umebadilika unachangia fresh
@adsonjoseph8933
@adsonjoseph8933 3 года назад
Mr ll 2 proud
@elishamwaya4074
@elishamwaya4074 6 лет назад
Hahahahaha! mbaazi huk zinaitwa haujaulamba maana hazina bei kabisa yaani ukiomba unapewa bure tu,
@musocar408
@musocar408 6 лет назад
ELISHA MWAYA mmmmhhhh
@vincentmokenye4465
@vincentmokenye4465 4 года назад
Fact fact fact sugu
@bigdad1816
@bigdad1816 6 лет назад
Sugu umesema vizuri sans principal and organization this is what this government of ccm .
@paulmalula8714
@paulmalula8714 6 лет назад
hawa ndo wabunge tunaowahitaji katika bunge letu
@hassanmakweto4012
@hassanmakweto4012 4 года назад
ET unamaliza miti, unaleta jangwa # sugu we noma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@joycejohn7754
@joycejohn7754 6 лет назад
Ujumbe umefika
@paschalboniface8319
@paschalboniface8319 4 года назад
Uyu jamaa family yake wanajifunia kuwa na mtu kama uyu yani nikichwa sana mungu amlinde sana
@georgembilinyi2824
@georgembilinyi2824 4 года назад
Mbeya city......up
@iviejustified8109
@iviejustified8109 6 лет назад
Sugu si kwamba ana praise empty bowls... Sugu ana praise right because as the matter of fact Mh. Jakaya alipitia misukosuko saana lakini alikuwa humble.... sijui kama you get me right. sijui!
@aronadam5093
@aronadam5093 2 года назад
Yote yaliyo kuwa yanaongewa na wapinzani yana timia sasa
@elishaworkout6116
@elishaworkout6116 6 лет назад
hahhahaahhhahaaahaaajjjjjaaajj eti mnaleta jangwaaa,, hahahahaha sugu Nouma
@danielmatya373
@danielmatya373 Год назад
Daaah Sugu z still Sugu jamaa kanyooka kama chuma
@harunfamily3278
@harunfamily3278 6 лет назад
So please don't shut me"
@ericgeorge7405
@ericgeorge7405 6 лет назад
🙌motto chini
@omalisaidi3245
@omalisaidi3245 5 лет назад
nikweli kabisa
@roggersmwangumbe5382
@roggersmwangumbe5382 6 лет назад
Mi naomba mpunguze bei ya wali maharage, iwe sahani mbili buku!!
@flaviankiria435
@flaviankiria435 6 лет назад
Waambie babaaa
@kundyarajabkundya9235
@kundyarajabkundya9235 6 лет назад
dont shoot not dont shut....be smart
@ericstephenm.844
@ericstephenm.844 6 лет назад
Kundya Rajab Kundya True!.... DON'T SHOOT ME!!!..
@princekasheku8741
@princekasheku8741 6 лет назад
Kundya Rajab Kundya 😂😂😂🤣🤣😂🤣
@wingavangaga1778
@wingavangaga1778 4 года назад
H
@albertjames6845
@albertjames6845 Год назад
Wewe ndo hujuwi, “don’t shut me” usinyamazishe/usinzime. Usikariri kuwa alitaka kusema usiniuwe. English is so diverse shida ni wewe unaekariri badala ya kuelewa.
@mcjogopah8513
@mcjogopah8513 4 года назад
Wananita sugu, mbeya niyako mzee baba
@user-qw5ft8xc1e
@user-qw5ft8xc1e 7 месяцев назад
Sugu fundi sana jamaa
@SHPI156
@SHPI156 6 лет назад
"""ahhh Usijari Wewe Haumo"""" #sugu
@sidemtata2212
@sidemtata2212 6 лет назад
Salut :#Sugu
@wilbertcharles9129
@wilbertcharles9129 6 лет назад
nakuonaa
@onesmolwambano9349
@onesmolwambano9349 6 лет назад
misifaaaaa
@anthonymgogo2651
@anthonymgogo2651 6 лет назад
Ukweli mtupu!
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 6 лет назад
Duh!!! leo Kikwete kakumbukwa??
@mwakinhosantos6307
@mwakinhosantos6307 4 года назад
Maelezo mengii.....anamaliza miti tu huyu analeta jangwa
Далее
KITIMTIM BUNGENI! Wapinzani Waitwa Mbwa, SUGU Aliamsha
12:09
ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO
17:08