Тёмный

JERRY SILAA ATOLEWA NJE YA BUNGE, SPIKA ATANGAZA ADHABU KWA ASKOFU GWAJIMA NA JERRY SILAA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 53 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 503   
@nebuchadne33ar
@nebuchadne33ar 3 года назад
Mnalipa kodi? Maana sijasikia sehemu yoyote mkisema Silaa ni muongo, basi tu amewavunjia heshima kwa kusema ukweli
@freetv9958
@freetv9958 3 года назад
Bungeni wabunge wawili tu big up Gwaji Boy and Silaa hapa kz tu
@kisengoabdallah1366
@kisengoabdallah1366 3 года назад
BUNGENI KUNA WABUNGE WAWILI TU
@shadrackdamiani1418
@shadrackdamiani1418 3 года назад
Nakubali kaka👌💎💪🏿🏹😲 gwajima and slas
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 3 года назад
Hongera sana jery Silaa kwa kuwatetea wananchi wako
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 года назад
Mungu amsimamie inshalah
@gracegrace6200
@gracegrace6200 3 года назад
Aibu kwa hawa mafisi kumushambulia Slaa anayesimama na ukweli huku wakiyumba na uwongo wao usiokuwa na ukweli. Wanasiasa malaya malaya. Leo Bagamoyo ni uwekezaji mbaya, kesho wanabadirika na kuusifu kwa uwongo kuwafanya Watanzania wajinga.
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 3 года назад
@@gracegrace6200 Yaan haya ndo alioyasema Nyerere Malaya malaya aisee Et wabunge wanachangia Jery aongezwe adhabu aliopewa haitoshi yaan kuna watu wapo kutoa utu wao kwa pesa aisee
@gracegrace6200
@gracegrace6200 3 года назад
Wanasiasa wenye akiri kama Jerry hawatakiwi. Wanatakiwa wajinga wajinga wenye kukubali kila kitu na kupiga makofi. Tutafika tunakoenda kweli. Oh! Kwanini Magufuli na asiwe Ndungai
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 года назад
@@gracegrace6200 my acha tu, hudhuni kwakweli 😭
@nuruamry
@nuruamry 3 года назад
Walio sikia Yesu anatembea na mke wake gonga like hapa mana tume danganywa
@uajeupe4299
@uajeupe4299 3 года назад
😆😆😆😆 imagine eti Yesu alikuwa anatembea na mke wake. Huyu mzee kiazi tu. Nani alimwambia kutembelea maeneo Yesu alipoishi ndo kuwa na utu
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 3 года назад
@@uajeupe4299 yaani mbatata iliyoiva 😬😬😬😬😬
@bahatirobart7380
@bahatirobart7380 3 года назад
@@uajeupe4299 Mungu akiamua kuumbua huumbua haijalishi wewe ni nani ktk Dunia hii katolewa ufaham kidogo kasema yesu alitembea na mke wake
@danielmllay8332
@danielmllay8332 5 месяцев назад
😂😂😂😂
@danielmllay8332
@danielmllay8332 5 месяцев назад
Make wa Yesu anaitwa nani Jamani 🤔
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 года назад
Usitolee Nchi zingine kwa sabb Nchi zindine wanalipa Kodi,elezeni wananchi mnalipa Kodi? Msiwaonee waliosema ukweli na ulikuwa ni Siri zenu,tuambieni ukweli.
@rhodawilly5083
@rhodawilly5083 3 года назад
Dakika ya 6:18 kwenye maongezi ya Mh. Spika sijamuelewa kabisa ama ni masikio yangu yanashida maana nimesikia kama Yesu alipotembelea na mke wake. Au nimesikia vibaya Jamani?
@sayunimtey4916
@sayunimtey4916 3 года назад
Nafikiri ameteleza alitaka kumaanisha Yusufu na mke wake
@travismichael5190
@travismichael5190 3 года назад
🙆🙆🙆kwel kasema 🤣🤣🤣
@lawrencealoyce7280
@lawrencealoyce7280 3 года назад
labda waangrikana wana yesu wao alieoa 😂😂
@mwauratesha3758
@mwauratesha3758 3 года назад
Haelewi
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 года назад
Basi mie tena niliamini kuwa yesu na mkewe 😆😆😆
@cmsa1r
@cmsa1r 4 месяца назад
Ndungai is out Jerry is shinning. Praise be to Jesus
@gracegrace6200
@gracegrace6200 3 года назад
Huyu speaker ana roho mbaya sana.
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 3 года назад
Cku zke zinahesabika huyo,acha tu ajifanye pilato.
@adamfundikira1620
@adamfundikira1620 3 года назад
@@kichenjekichenje2072 tukutane 2025
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 3 года назад
@@adamfundikira1620 Nikweli ndugu.
@adamfundikira1620
@adamfundikira1620 3 года назад
@@kichenjekichenje2072 niliipenda Sana ccm lakini tangu kifo cha magufuli nimetokea kuichukia ccm sana Yale Mambo tuliyoyasahau kwa miaka 5 yamerudi kwa kasi ya 5G
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 3 года назад
@@adamfundikira1620 sio ww tu,ni wengi tuliipenda.Ila kwa haya mambo yanayoendelea baada ya kifo cha mpendwa wetu Magufuli,hakuna tena 7bu ya kuwa CCM.Tuchukueni hatua stahiki kwa hawa viongoz uchwara.
@petrojohn8250
@petrojohn8250 3 года назад
Nchi hii imejaa usaliti,RIP Magufuli
@susankilimtali5025
@susankilimtali5025 3 года назад
Kama wewe ni mzee wa kanisa soma vizuri biblia ishu sio kuwa maarufu kwenye dini ishu ni utu
@jamesmasome359
@jamesmasome359 3 года назад
Mzee wakanisa asiyejuwa maandiko 🤭🤭🤭
@messiahsilozi1890
@messiahsilozi1890 3 года назад
Bunge letu bwanaaaaa
@gracegrace6200
@gracegrace6200 3 года назад
Huyu hana dini. Dini ni tumbo lake. Anajifanya kaenda Jerusalem, kwani kwenda herusakemu ndiyo unakuwa mukiriso safi? Atuondolee upuuzi wake. Tanzania sio mali ya baba yake
@modestapeter2997
@modestapeter2997 3 года назад
Yes! Ishu ni utu
@myfetty1960
@myfetty1960 3 года назад
@@gracegrace6200 umeona sijui wanajikuta wakinanani kwenye vyeo vyao awajawai fikili dunia mapito cheo chake mwisho duniani tu kwamungu atakijutia icho cheo mana akuwatendea aki binadam wezie kwakujivunia cheo chake
@emarrgeorge8536
@emarrgeorge8536 3 года назад
Inauma so Kidogo,, Sipat Kapicha Hii chanjo ingekua Lazima..Sie wengine si tungeenda Ishi Porini Jmn,, Coz Ukisema Uhamie Kenya Ama Wapi, ndo kwanza Unaanzanayo Mpakani...Daah!!! Nashusha Pumzi Yenye heruf 6 (R.I.P JPM)
@teddytedy248
@teddytedy248 3 года назад
Kama kuna kitu Mungu anakichukia ni majivuno,hakuna chenye mwanzo kikakosa mwisho,
@benedictoryona9186
@benedictoryona9186 3 года назад
Aaaaaaaaah aaaaaah eti yesu katembeaa na mkewakeee,yesu akurehemu
@rhodawilly5083
@rhodawilly5083 3 года назад
Kumbe na ww umesikia Yesu kuwa na mke. Huyu jamaa kapagawa na ukweli aliosema Silaa
@kiuremvungi1123
@kiuremvungi1123 3 года назад
Sijaelewa kama Yesu alikuwa na mke, naomba mnieleweshe....
@kiuremvungi1123
@kiuremvungi1123 3 года назад
Huyu mheshimiwa spika, tunaomba atuweke wazi kama kweli Yesu alikuwa ameoa kwa maana hili sio jambo la Kibunge.
@thadeipeter2592
@thadeipeter2592 3 года назад
Uyu Mzee anadata walahi !
@susankilimtali5025
@susankilimtali5025 3 года назад
Siku zaja mnafanya yasiyofaa Marehemu mlimuunga mkono kwa yale aliyokataza kufanyika tanzania leo mnajifanya manunda Mungu awarehemu pia spika kumbukeni wanaoumia sio nyie mnaolipwa mishara kuna watu wanalipwa viposho na hata havitoshi kukidhi mahitaji yao ila haohao wanaumizwa nchi haijengwi kwa siku moja mnafosi watu kufanyiwa yasiyofaa
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 года назад
Hakimu Wa haki yupo naye ni mungu pekee kumbuka kwa mungu hakuna rushwa, rushwa ipo duniani na uwonevu upo duniani ila akhera hakuna HAYA so tumuwachie mungu atatenda inshalah
@gracegrace6200
@gracegrace6200 3 года назад
Hawa ni wasaliti wakubwa. Wamelifanya bunge kama mali yao binafsi. Kwa mala ya kwanza Watanzania wote tuombe mabadiliko ya katiba ili watu binafsi waweze kupigania ubunge bila chama tuwaindowe hawa nyang’a wanaowatia watu kichefu chefu.
@kenedikuyava6262
@kenedikuyava6262 3 года назад
Mhh ila sikuzote ukwer hupingwa Ila gwajima na jelly msinyamaze kusem ukwer niher wanadamu wakushushe cheo ila uheshimike mbinguni
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 года назад
Kwani uongo hamlipi kodi, kmb inauma eeeeh 🤣🤣🤣🤣
@mamawadudu48
@mamawadudu48 3 года назад
Mungu aturehemu sana. Hujui kuwa Dini na Mungu ni vitu viwili tofauti? Unaweza ukawa muumini mzuri wa dini yako lakin ukawai humjui Mungu. Mungu ni mtakatifu hapendi dhambi.
@donjb3178
@donjb3178 3 года назад
Umeongea point kubwa sana
@kwilasacharles1747
@kwilasacharles1747 3 года назад
Mzee wa kanisa alituficha kumbe Yesu alioa ni yupi muongo kati ya Askofu na mzee wa kanisa😂😂😂
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 3 года назад
Mzee wa kanisa kilaza Sana.
@myfetty1960
@myfetty1960 3 года назад
Yesu yupi uyo alietembea namkee wake ww baba
@ZINDUKAMUISILAMU30
@ZINDUKAMUISILAMU30 3 года назад
Yesu kaowa
@piusraymond6177
@piusraymond6177 3 года назад
Kweli spka hatuna
@omaryjuma8002
@omaryjuma8002 3 года назад
Wabunge vilaza tu nyie endeleeni kutetea ugali amtaki watu waseme ukweri
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 года назад
Huna mpya Ndugai , mnaendesha nchi kiimla , bila kuwepo uwazi na democracy ya kweli. Mnaendesha nchi kishenzi sana
@deniszimbihile2505
@deniszimbihile2505 3 года назад
Akuna kitu apa R.I.P magu
@muddysasma3037
@muddysasma3037 3 года назад
Mimi naona kama watu hawajielewi alipokuwepo magufuli nyote mlikuwa pamoja na magufuli na mkawa mnachekeleA na kumuona ni mjeda haswa ameondoka leo wengi mumemgeuka mpk mnawasulubu akina gwajima.God forbid awasamehe wote wasiojielewa
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 года назад
Na wameyumba ila wanaojiona wako sawa,, asaivi hakuna hata hoja za mana bungeni wa naongea pumba tu,, hoja zisizo za msingi kwasasa ndio ziko bungeni loh hatari, na hizo chanjo Sasa Ukichanganya usaliti na chanjo wewe hapo sijui unaitwa mkorogo wakina gani sjui
@sidodeni3468
@sidodeni3468 3 года назад
Silaha amewavunjia heshima kwa kusema ukweli jamani daaah
@martinegeorge4696
@martinegeorge4696 3 года назад
Waonyeshe salay slip zabunge lakini mbona wao hawajapewa waongee Kama wabunge wengine duu
@shabanimsonga6339
@shabanimsonga6339 3 года назад
RIP HAMZA
@hawamabira1499
@hawamabira1499 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 года назад
😄😄😄
@mligoreginah6210
@mligoreginah6210 3 года назад
Spika achauongo Yesu hakuoa utatuonesha mkewake. Kweli nawe shetani tuu.
@ramseyhusseinkhamis8258
@ramseyhusseinkhamis8258 3 года назад
Hajui kitu huyu
@194summer
@194summer 3 года назад
Nini maana ya heshima? Na unapovunjiwa heshima ni lazima ujitetee,,Yesu alitemewa mate na kudhalilishwa na alinyamaza kimya,nawatakia heshima njema wote wenye kustahili heshima!
@abelabuza3863
@abelabuza3863 3 года назад
Uongozi ni suala pana jamani hasa inapokuwa siasa...hatuwezi jua mkweli ni yupi..mungu atusaidie sana
@EMMANUELCHINE
@EMMANUELCHINE 3 года назад
Mungu atusaidie...
@teddytedy248
@teddytedy248 3 года назад
Mungu atusaidie,maana dunia hii,tunajifanya tunamjua ila hatumjui kabisaa,Maisha yetu ni mafupi sana
@enockwear7820
@enockwear7820 3 года назад
Wazifa wake ni kubwa sana yl ni manpower gwaji oyeeee
@mtoto_wa_Mfalme12
@mtoto_wa_Mfalme12 3 года назад
It's just the matter of time
@antonymasamaki8659
@antonymasamaki8659 3 года назад
Mmh unaliaibisha Kanisa Yesu hakuwahi kuwa na mke unafiki unakutafuna Spika!!
@muddysasma3037
@muddysasma3037 3 года назад
Msimuongeze mama kwenye mambo hayo wakati bado hajaaambiwa wala hajalazimisha mtu kuchanja
@dianafredrick2092
@dianafredrick2092 3 года назад
Mungu akutie nguvu spk wetu was bunge wasikupe presha bure
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 года назад
Nashangaa wale wanaokufa ndio wema wale kama wakina nungai ambao ndio kama Hawana faida ndio wa nabaki loh nisamehe mungu wangu
@simonnick1242
@simonnick1242 3 года назад
Heshima bila kula zetu mnategemea kupata kwanye familia zenu na kama zinawatosha mbona mnagombea ubunge? Wengine nyumba nzima mama, baba , mtoto kweli hiyo mlisoma peke yenu
@194summer
@194summer 3 года назад
Yesu hakua na mke umekosea omba radhi mh spika
@kamilusmgaya4806
@kamilusmgaya4806 3 года назад
Huyu speaker amejariwa kichwa tu lakini hakina kitu
@modycadabra8721
@modycadabra8721 3 года назад
Celew 2025 nipige kura chama gn Mana nikiwaangalia Chadema nawaona wote walewale tuu yan nmevurugwa chama nilikuwa nakipenda hiki lakin mijitu yaliopo sasa hata hayaeleweki kabisa bigup on you mbunge mchungaji na bro Jerry slaa
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 3 месяца назад
SLAA YUPO JUU HADI SASA NI MKWELI
@clintonlyimo5765
@clintonlyimo5765 3 года назад
M4C 4life ✌️
@jumahassani8866
@jumahassani8866 3 года назад
kaendeshe gari za batani ukoo 😂😂😂😂
@changanataliforlife3760
@changanataliforlife3760 3 года назад
✌️
@luzigakapande6921
@luzigakapande6921 3 года назад
Tunawasubili 2025 sijuwi mtasemaje labda CCm mtapata viti 100
@gracegrace6200
@gracegrace6200 3 года назад
Munaungana mikono bila ya support kwa wananchi. Mumekuwa wanasiasasa malaya malaya. Wewe speaker hauheshimiki. Unazungumuza kama hujakanyaga darasani. Hapa Tanzania hamujuwi haya ni nini. Mutaheshimiwaje wakati muko bungeni kwa matumbo yenu. Kwani speaker ndiyo nani? Cheo ni dhamana. Speaker chuchumaa wewe, kwa kujifanya Mungu wa Watanzania. Kama ni kosa kusema ukweli. Tangu Watanzania wamekuona China unapokea mauwa kisha kumugeuka Hayati Magufuli, heshima yako iko jalalani. Mzee wa kanisa wa wapi. Kama wewe unamushauri asikofu basi Anglican imekosa hadhi. Slaa keep your head up. The people are on your side. The truth will set you free.
@gustavompemba1781
@gustavompemba1781 3 года назад
Asilimia kubwa ya wabunge Awamu hii wanafiki
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 года назад
Sana
@credo7837
@credo7837 3 года назад
Ayo wamekuw waongo sana mbn sijaona hiyo clip anatolew njee
@saulonmathias66
@saulonmathias66 3 года назад
Majitu ya vichwa vikubwa ni shida 2 madaraka ya kuazima ukajiona mungu mwisho wake aibu
@raphaelntabago3149
@raphaelntabago3149 3 года назад
Nina uchungu mkunbwa na chama changu CCM 2025 EEE MUNGU ibaliki TZ
@gracegrace6200
@gracegrace6200 3 года назад
Hauko peke yako. CCM kilikuwa chama cha matumaini baada ya Hayati Magufuli kukisafisha na watu kukipenda. Sasa wanarudi kule kule kwenye siasa za ubinafsi kama Tanzania ni mali yao. WATASHINDWA. TANZANIA NI YA WATANZANIA WOTE.
@gmdecoration6044
@gmdecoration6044 3 года назад
God bless lema alisema watakosa wakuwakosoa watageukiana wenyewe Sasa yamekuwa mpaka mkewa YESU sijui imetoka wapi unawataja watu tunao waeshimu wakina mwakasege kwamambo yahovyo tozo nikubwa kweli
@oscarmisiru9725
@oscarmisiru9725 3 года назад
Heshima vp mzee kuambiwa hawalipi kodi imekuwa nongwaaaa
@yunusujjuuko6799
@yunusujjuuko6799 3 года назад
Tangu niwepo hapa duniani cjawai kuona spika mnafika kama ndugai lkn Mungu yupo ipo cku yake
@officialsayvent648
@officialsayvent648 3 года назад
Kumbe inawakela vijana typo tutashindana bado 2po na jerry pamoja na gwajima boy msema ukweli ni mpenzi wa mungu namkmbka jpm
@omaryyusuf9405
@omaryyusuf9405 3 года назад
Enzi za jpm mulitiwaa gundi midomo sasa imeeachwaa wazii munapayukaa tuuu asante muhemiwa spikaa watanyookaa kwa mihemuu walioyonayo asante mheshiniwa rais kwa kutekele majukuyakoo
@bestscene5730
@bestscene5730 3 года назад
@@omaryyusuf9405 na mbowe 😂😂 vp rais yuko wapi kutetea haki? Acha UDINI
@RD-ml7pi
@RD-ml7pi 3 года назад
Kama ukwel asiseme???
@anordkingstar5793
@anordkingstar5793 3 года назад
Nyie waoneeni tu,,, ukwel siku zote haujifich,,, yani kusema ukwel leo mmemuona adui,,, jaman kwel Tz
@annamwangaza605
@annamwangaza605 3 года назад
Au sijasikia vzr Yesu anamkee?
@hajiiddi1085
@hajiiddi1085 3 года назад
HUYU SPIKA KWELI SIO MTANZANIA, RUDI KWENU BURUNDI, GWAJIMA 2025 RAISI!!
@shabanadam9150
@shabanadam9150 3 года назад
Safi sana mh spika
@muhumbilaelly7219
@muhumbilaelly7219 3 года назад
Yani ckutegemea maneno ya kutoka kwa spika kusema yesu katembea na wake zake daa
@kamaratungaraza779
@kamaratungaraza779 3 года назад
Namkumbuka lema aliwai kusema kuwa ipo siku mtagombana wenyewe na leo yameanza kutimia
@mtesigwalulale5867
@mtesigwalulale5867 3 года назад
Crazness
@wilfredaxwesso7394
@wilfredaxwesso7394 3 года назад
Ndugai acha ubabe eti we spika utapita wap,.Nakuambia na wewe utapita wapi kwa Mungu.Pia kujua dini c kutembelea sehemu mashuhuri aliyozaliwa na kupita bwana wetu yesu kristo bali nikuishi Katika matendo yampendezayo Mungu.
@joshuanyonyi3313
@joshuanyonyi3313 3 года назад
Kwanini JPM.. Akupelekwa India .. nadhan tatizo la ugonjwa wake .. lilikuwa kawaida.. Huyu hapo Bila JPM kukupeleka India Mshukuru Sana..
@ausonjustinian2080
@ausonjustinian2080 3 года назад
We we we, utaeleza vzr Yesu alitembea na mke wapi? Alafu unajifanya eti dini unazijua.
@josephkiwale3495
@josephkiwale3495 3 года назад
Hii nchi kweli niyawadanganyika
@samwelseverine7838
@samwelseverine7838 3 года назад
Mhe, Jerry na ask gwajima watanzania tupo nyuma yenu
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 3 года назад
Hivi Yesu alikuwa na demu, na wakakosa gheto? 🙌🙌🙌🙌 😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
@timotheojumal894
@timotheojumal894 3 года назад
HUYO yesu ni wake sio wa injili
@esauenock2642
@esauenock2642 3 года назад
Tunaumizwa mioyo sana mungu. Ivi yesu alitembea namke wake wap??
@williampojoss8446
@williampojoss8446 3 года назад
Natamani kuwa mubunge kwenye bunge la ndugai naamini nitatolewa mara kwa mara inje ya bunge kama Jerry Silaa..... Kwa kutounga mkono uongo unaondelea bungeni
@aronmtui597
@aronmtui597 3 года назад
Yangu macho
@chekatucomed9141
@chekatucomed9141 3 года назад
Hamlipi kodi wabunge silaa kweli kabisa mwamba sema kabisa
@moriscollins4494
@moriscollins4494 3 года назад
Yesu na mke wake mweeee
@oseajames270
@oseajames270 3 года назад
🙌
@mishecklukali2104
@mishecklukali2104 3 года назад
Wewe sipika acha kupotosha umaa yesu alitembea na mke wake wapi na wapi yesu hakuoa wewe umesoma bibilia gani
@jimolaruben4860
@jimolaruben4860 3 года назад
Ndugai mungu anawaona nyie haya
@michaelmwalukasa147
@michaelmwalukasa147 3 года назад
Kusema ukweli kwani nikosa? Hiinchi inaenda pabaya
@elinajacksonharusha7155
@elinajacksonharusha7155 3 года назад
Jamani kutembea sehemu tofauti tofauti siyo kionesho kuwa wewe ni mwokovu. Wokovu ni kuacha uovu, acheni kumtukana Mungu wetu aliye hai, nyie endeleeni na vimbwanga vyenu tu ila jueni baada ya kifo ipo hukumu. Mungu naomba isaidie Tanzania.
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 2 года назад
HAYA 🤗 LEO HALI IKOJE¡!! UMEPIGWA na KUSAGWASAGWA na JITU LA MBINGUNI. 🤔
@moriscollins4494
@moriscollins4494 3 года назад
Kuna matatizo mengi sana ya kujadili kuhusu maisha ya watanzania ila bunge mnalifanya kama la watu wawili
@gidiusthomas6239
@gidiusthomas6239 3 года назад
Mbunge zungu kusema wananchi wakatwe tozo kwenye simu si kosa kosa ni jery kusema wabunge wakatwe kodi mungu tulinde
@davisnkoba2683
@davisnkoba2683 3 года назад
Speaker vipi kuhusu mshahala wa mwl. Mbona chini sana ikilinganishwa na mbunge.
@sudymgeni701
@sudymgeni701 3 года назад
Mnawaonea wananchi bule.
@lucympelembwa7836
@lucympelembwa7836 3 года назад
Heshima ya kutokulipa kodi?
@deboraadolfu4011
@deboraadolfu4011 3 года назад
Hizi mamlaka mtaenda kujibu kwa Mungu hamtaki kuambiwa ukweli nyie nani bwana lipeni kodi ya kaisari mpeni kaisari acheni wizi lipeni kodi mtalaaniwa na Mungu na ww ndugai Mungu anakuona utaazibiwa hapa hapa duniani
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 года назад
Lakni mumkumbuke Dunia hi,, wako wapi wenzenu ambao walikuwa hapo hapo Leo hi wako wapi,, chukueni hatuwa kabla adhabu haijafika
@sudymgeni701
@sudymgeni701 3 года назад
Je? Mnalipa kweli? Tuaminisheni tujue.
@dshadow174
@dshadow174 3 года назад
Sisi chanjo atuitaki jamani kwani shida ipo wapi hatutakiiiiiiiiiiii
@muddysasma3037
@muddysasma3037 3 года назад
Speaker please achàna na mambo yako hayo kuwa mbabe kwa kila kitu.kwani mama amekosewa wp?
@salehemaga8733
@salehemaga8733 3 года назад
jery kapiga utosini wabunge wote wopita walikuwa wezi jery mkombozi TANZIA YETU
@charlesmwampeta801
@charlesmwampeta801 3 года назад
Duh!
@sabasjacob9038
@sabasjacob9038 2 года назад
Ila wewe sipika Job ndugai nimnafiki Sana na wewe sipika Job ndugai ni BENDERA FATA UPEPO UKIELEKEA KAZISKANI upo UKIELEKEA KUZIMU upo kwaiyo wewe ni BENDERA FATA UPEPO.
@filexgallas3562
@filexgallas3562 3 года назад
ila kikweli uyu ndugai tumemchoka ila ilikuwa kosa letu kuamini nakujaza ccm bungeni
@HashimYahya-ic2wn
@HashimYahya-ic2wn 4 месяца назад
Ndugai roho mbaya mjinga kabisa wewe mungu atakupa azabu
@hatari9591
@hatari9591 3 года назад
Yesu alitembea na mke wake? Wewe mwongo.
@jeremiahpaul9345
@jeremiahpaul9345 3 года назад
😂😂😂😂
@sannycpaul9423
@sannycpaul9423 3 года назад
yesu alioa!!!!ebooooo😁😁😁😁😁
@jeremiahpaul9345
@jeremiahpaul9345 3 года назад
Dah spika hatuna
@luzigakapande6921
@luzigakapande6921 3 года назад
Hivi Mh spika kumsimamisha Mh Gwajima ni kumukomoa yeye au wananchi wa kawe au ni kuiharibu CCm tu
@umbaliche
@umbaliche 3 года назад
Yesu alitembea na Mke wake....mmmh au nimesikia vibaya?
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 6 месяцев назад
Kumbe Yesu alikua na mke hafu mpo kimya tu😂😂😂
@RBEhop
@RBEhop 3 года назад
Duuuhhh hapa maswali ambayo jibu inajulikana umekula Ndio unanjaa Ndio sasa Ndio maana yake nini
@emmanueljackob4414
@emmanueljackob4414 3 года назад
Hapo kuna sehemu sijaelewa...... Yesu na mke wake mhmhmhmh
Далее
ГОЧА ПРО NISSAN 400Z
00:51
Просмотров 35 тыс.
JERRY SILAA AAGIZA KUKAMATWA KWA BAKARI GONGO LA MBOTO
3:24