Тёмный
No video :(

MBUNGE WA MTAMA AMEKULA MTAMA| BAADA YA KUTENGULIWA ALIRUDI VIPI NYUMBANI? 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 52 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 83   
@kelvinmalahu3522
@kelvinmalahu3522 Месяц назад
Waswahili Wanasema.! Kesho Ina Siri Kubwa Sana. Usimdharau Mtu Kwa Leo Yake🎉
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Месяц назад
Nape kaongea ukweli ila ingekuwa sahihi zaidi kama angekishauri chama chake kiache kuhujumu uchaguzi kwa kuiba kura na kibadilike kwa kuendesha chaguzi za HAKI.
@user-vy9bl6ei2x
@user-vy9bl6ei2x Месяц назад
Magu aliwagundua mapema akawatimua mama kawaludisha
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 Месяц назад
Zembwela bhana yaani #Byabato baada ya kutumbuliwa leo hii anamuita ety "Yule bwana mdogo"😅😅 ila kipindi ni waziri alikuwa anamuita MH.
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Месяц назад
Umenifanya nicheke sana ndugu yangu 😅😂
@rogersiddy
@rogersiddy Месяц назад
Mbunge wa Mtama Nape Nauye ameridi jimboni kwake kula mtama😂😂😂😂😂🙌
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 Месяц назад
Kama urais unaweza kupatikana nje ya Box, basi hata uwaziri unawezekana nje ya box 😂😂😂😂
@MahdouMomba
@MahdouMomba Месяц назад
😂😂😂
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Месяц назад
Sio nje ya boxi jamaa kaaga dunia mrisi anaendeleza kazi
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 Месяц назад
@@alzawahirabdallah2299 🤣🤣🤣🤣
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Месяц назад
Watangazaji wadaku sanaaaa haya kazi kwenu Waziri wenu huyo
@emanuelkidali9733
@emanuelkidali9733 Месяц назад
Jpm alikuwa sahihi Leo ndio mtamkumbuka kikulacho ukinguoni mwako
@user-lm5fu5tu5z
@user-lm5fu5tu5z Месяц назад
Hawa wazee wanafiki sana😂😂😂
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk Месяц назад
January koti analirudusha Jana la kuazima na
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly Месяц назад
Usifurahi pale baya linapomkuta mtu,kuweni wastaarabu,hiyo ni roho ya Wivu. Nyinyi ni wanafiki na pia ni mazuzu,kwa kuwa hamtachaguliwa nyinyi. Tumefundishwa kuwa”TUISEME ILE KWELI ILI BASI ILE KWELI ITUWEKE HURU KWELI KWELI”
@rabiusvm
@rabiusvm Месяц назад
Hata hawa walikuwa wanatania tu 😅
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Месяц назад
​@@rabiusvm😂😂😂 anachukulia maisha serious sana huyu
@gracemima5234
@gracemima5234 Месяц назад
Inategrmea ni mitu wa aina gani.
@almasabdul428
@almasabdul428 Месяц назад
Wazee wambea hawaa duh😂😂😂😂❤
@user-vh7ll3vp7w
@user-vh7ll3vp7w Месяц назад
😅😅😅😅
@NurudinZuberi
@NurudinZuberi Месяц назад
Ila nyie wanfki 😂😂😂
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 Месяц назад
Kweli wana habari sio watu leo mnamkejeli bosi wenu wa zamani Nape😂
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 Месяц назад
ndugu yangu hii nchi wanafiki sana hata huyo waziri ni mnafiki alijiona nchi yake hii
@hamisimwinzagu6624
@hamisimwinzagu6624 Месяц назад
Daaa!!!! Hatukueleweni ebu zungumzeni Kwa kupeana nafasi sio munapiga ukulele Tu mnatuchanganya kwenye kuwasikiliza
@malindaugama6559
@malindaugama6559 Месяц назад
mwambieni tajiri atengeneze hiyo TV au mpiga picha abadili angle...WASAFI NI DUDE KUBWA SANA HATUJAZOEA HAYO MAMBO
@MdugiVumbi
@MdugiVumbi Месяц назад
Ulikua utani tu.
@godfreyally-ps3fo
@godfreyally-ps3fo Месяц назад
Mbunge wa mtama amekula mtama. kitenge miyeyusho sana😂😂
@MS.independent8934
@MS.independent8934 Месяц назад
😂😂😂aisee nyieee
@vicenttarimo2203
@vicenttarimo2203 Месяц назад
Waandishi wa habari kazi Yao ni ukuda kwa kusemwa umepatia ni mara chache ila mabaya yanachambuliwa sana viongozi wajifunze kujitahidi kutenda mema ili wasishuliwe
@user-vl6hd4lb6s
@user-vl6hd4lb6s Месяц назад
Duu maskin poleyak
@daudlongho8947
@daudlongho8947 Месяц назад
Kazi nizaman 2 Kila m2 hatujui kesho yetu
@bilalabas9636
@bilalabas9636 Месяц назад
Acheni undumilakuwili we kitenge huyo nape ni rafk ako na unajua kua anahamishiwa kwenye chama kwsbb ya kwenda kufanya manuva uchaguzi wa mwakani mtawaletea siasa za kitoto wasiojielewa
@gracemima5234
@gracemima5234 Месяц назад
Nape cheo cha uwaziri kilimpa kichwa na kuwaona watanzania wote washamba kama alivyomuona Hayati Magifuli. Mwemye tabia yake haachi. Rais Samia kumpa uwaziri watamzania wengi ilituuthi sana
@mussahussein4619
@mussahussein4619 Месяц назад
Hawajamaa wanafki san
@isambongo935
@isambongo935 Месяц назад
duuuuh mnajua kunyambua za ndan
@elardmassawe5513
@elardmassawe5513 Месяц назад
Mbinguni mtapasikia tuuu😂😂😂
@Official83640
@Official83640 Месяц назад
Kchwa cha habari sasa😂😂😂😂
@samsungtz9148
@samsungtz9148 Месяц назад
Nyie msiwe mnadharau maono ya magu
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 Месяц назад
Magu aliwapiga down wakarudishwa
@MsAggie5
@MsAggie5 Месяц назад
Watoto wao hao, sasa ndo wameona hawawezi kazi. Magu alikuwa chuma
@vickyadrian1503
@vickyadrian1503 Месяц назад
Chalamila mast go huyu Baba ni maji Kupwa na kujaa Kauli zake hazina jasho ya mkuu wa mkoa . He doesn’t know the difference between yes and No Sometimes anaongelesha watu kama vile anaongea na watoto wake Ulevi wa madaraka/ matumizi mabaya ya mamlaka. Sometimes the leaders keep wondering why people hate Government so much ?! This kind of leaders are the reason
@knight6757
@knight6757 Месяц назад
Leaders chosen by ........??
@visionstudios6804
@visionstudios6804 Месяц назад
​@@knight6757her excellence
@hopesengo6972
@hopesengo6972 Месяц назад
​@@knight6757😅
@MachibyaGedi
@MachibyaGedi Месяц назад
😅😅 Maulid Kitenge daah😅😅 unachokochoko sanaa daah hatari
@mwitamwikwabe6611
@mwitamwikwabe6611 Месяц назад
Kweli sipedi wadishi wa habri wa bongo wengi majawa
@user-ge7hz3xf7q
@user-ge7hz3xf7q Месяц назад
Alisema bahari ni swari sijuwi sasa bahari imekuwaje
@robertmasatu8423
@robertmasatu8423 Месяц назад
Kamati kuu ya wanafiki Tanzania
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 Месяц назад
WANYONGE WANAO ZULUMIWA ARTHI WAMEKWISHA MTETEZI WAO SLAHA KESHA ONDOKA WATALIA WATANZANIA WALIO KUWA WANA PORA ARITHI WANAWATU WAO WAKO NA RAIS KARIBU KWAKWELI HAPO MKUWETU WA NCHI AGALIE RAIS ANAPO KOSEA HAKUNA MTU ANAE WEZA KUMTEGUWA RAIS SAMIA NA YEYE AFIKIRIE
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule Месяц назад
Dah 😂
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 Месяц назад
Kwani hamwezi kuongea bila kupiga makelele? Mnatuumiza masikio Hivi nyie mmesoma kweli chuo cha habari?
@magesakhamis4808
@magesakhamis4808 Месяц назад
Wapiìi zembwela au
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 Месяц назад
Ila nye watangazaji mna dharau saana
@HashimYahaya-hd3zm
@HashimYahaya-hd3zm Месяц назад
Shida kubwa awa vijana wamejiona nchi niyao Mimi nakushukuru mku make nape kakichafua chama changu kwKauri zake zakijinga umeiba arafu unamuomba mungu akusaidie apana bwana
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Месяц назад
Kakichafuaje chama wakati ndo staili yao ya maisha? Sema katoa siri za ndani, kathibitisha tuhuma zinazowakabili hivyo kawaumbua!
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Месяц назад
​@@festokemibala5832uko sahihi
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 Месяц назад
Ila Kitenge bhna😅😅😅😅 eti Mbunge wa Mtama amekula Mtama
@mwitamwikwabe6611
@mwitamwikwabe6611 Месяц назад
Kama hapo mnapiga umbea siwaelewi kabisa
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Месяц назад
😂
@emmanuelmlekwangano9991
@emmanuelmlekwangano9991 Месяц назад
Wanafiki wakubwa tu ninyi hamna lolote
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 Месяц назад
Chief jiandae kuchukuwa jimbo la Bukoba mjini🎉🎉🎉 kwanza huyu Byabato alipitaga kwa wimbo wa Rose Muhando#Nibebee
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 Месяц назад
Alichokikosea Nape ni kuongea ukweli wa yanayofanyikaga nyuma ya pazia
@EnockNkamatwa
@EnockNkamatwa Месяц назад
Amekula mtama
@michaeljames3480
@michaeljames3480 Месяц назад
😂
@mvanoissa9197
@mvanoissa9197 Месяц назад
Wazee wa minyama wanafiki sana nyie
@MahdouMomba
@MahdouMomba Месяц назад
Heheheheeheheee
@user-fj5qu1qy4u
@user-fj5qu1qy4u Месяц назад
Ukiitazama kwamakini sana Ile video nape haikumponyoka nawala haikua utani alizamilia kualibu Alijua kitakacho tokea .A..B nyuma yake Kuna agenda gan iliyo mfanya kualibu kazi kilahisi?
@TinnhaAlly-en7kq
@TinnhaAlly-en7kq Месяц назад
Mbunge wa mtama amekula mtama nyie Tena 😂
@mussahussein4619
@mussahussein4619 Месяц назад
Wamtama amekuala mtama😂😂😂 😂
@zuhrazuhra637
@zuhrazuhra637 Месяц назад
😂😂😂
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly Месяц назад
Hivi WASAFI media mbona ina WACHAFU humo ndani? Hivi mnaongea nini? Mmesomea hiyo kazi au mmekusanywa tu machawa?? Jifunzeni maadili ya utangazaji washamba nyinyi!!!😚
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 Месяц назад
Bahari imekuw shari iyo kauli ilskika kutok mtama🤣🤣
@AminiMoshi-cn9wi
@AminiMoshi-cn9wi Месяц назад
Woote ni walewale hamna jipya kúrap ngonjera tu
@user-op5gz7vj6w
@user-op5gz7vj6w Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂
@monicachacha455
@monicachacha455 Месяц назад
hahaà
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Месяц назад
KALA MTAMA NA MBOGA GANI ?
@azizajamary576
@azizajamary576 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂
@user-xv7mo8tw7c
@user-xv7mo8tw7c Месяц назад
Kakiiza chama uyo bora akae pemben atajfuza kpi cha kuongea
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly Месяц назад
Nani ataiona Mbingu kupitia Chama? Acheni kudanganya watu hapa.
@ShakyBye
@ShakyBye Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MahdouMomba
@MahdouMomba Месяц назад
MBUNGE WA MTAMA AMEKULA MTAMA🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Далее