Тёмный
No video :(

MBWADUKE: YANGA YAPENYA KIBABE TOP 10 LIGI MABINGWA CAF/ PIGO KWA WYDAD, SIMBA, BERKANE, USMA... 

Mbwaduke Stats
Подписаться 79 тыс.
Просмотров 118 тыс.
50% 1

Usisahau ku-subscribe, ku-like na kucomment...

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 220   
@yusufunguruko8080
@yusufunguruko8080 3 месяца назад
Mbwaduke you are very smart & intelligent, hivi wewe professionally ni mwalimu ? mtu asieelewa kwako haji kuelewa tena maishani mwake - hongera sana kiongozi.
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 3 месяца назад
Mbwaduke ndo mchambuzi bora kwa sasa nchini Tanzania ✌️✌️✌️🇹🇿
@richboaz
@richboaz 3 месяца назад
Hakika Mwamba unajua hadi somo linaelewekaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mchambuzi wangu namba moja Tanzania
@user-np4om6hz4m
@user-np4om6hz4m 3 месяца назад
Mzeewangu uko vizuri kwa wachambuzi wa tanzania kwangu wewe ni mchambuzi namba moja❤❤❤❤🎉🎉
@BillWille
@BillWille 3 месяца назад
❤❤jamaa nikipata mkanganyiko katika soka ... Nakuja Mara moja kumsikia yeye anasemaj anajua kuelekeza .... Angekuwa shule, wanafunzi wasingefeli kudadek ❤❤🎉🎉🎉🎉
@ChaheChahe-tc4zs
@ChaheChahe-tc4zs 3 месяца назад
Rm Mbwanduke hongera kwa uchambuzi mzee wadata hii nishule kwa wote hata sie mashabiki hongera
@firdawsrammy9992
@firdawsrammy9992 3 месяца назад
Uchambuzi niliokuwa nausubiri, baada ya ule wa mwanzo kama huu❤
@user-sp2fm4qd2h
@user-sp2fm4qd2h 3 месяца назад
Aisee Rama upo vizuri .....nakukumbuka darasani BBA UDSM ulikuwa mtulivu na kibegi chako . hongera kaka
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats 3 месяца назад
Ha ha ha ha haaa...unamkumbusha Rama enzi zenu kwa Prof. Ame, Dk. Diana, Prof. Mbura, Dk. Swabir...
@AbdulrahmanFatawi
@AbdulrahmanFatawi 3 месяца назад
​@@MbwadukeStatspl
@kateadam8204
@kateadam8204 2 месяца назад
nakukubali saana genouse wa mpira achana na mashamba ya efm😅​@@MbwadukeStats
@MugumsaGidioni
@MugumsaGidioni 3 месяца назад
Aise acha tu yanga iitwenyanga yanga noma sana❤❤❤❤
@allykarupa1411
@allykarupa1411 3 месяца назад
Naiyombea Mungu Yanga hizidikufikambali zaidi
@romanmwaisela
@romanmwaisela 2 месяца назад
Nondo tosha ktk kulijua soka,safiiiii kiongozi Ramaaas
@issakakolwa
@issakakolwa 3 месяца назад
Mbwaduke unajua sn ndg yng, na unaelewka sn, ila kuna wa2 wanaumizwa sn na ufafanuz huo, honger sn TEACHER.
@user-hu2sf3so9c
@user-hu2sf3so9c 2 месяца назад
Nakupenda jamani kwa mwalimu mzuri
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 3 месяца назад
KILICHOWAFERISHA SANA SIMBA NI WIVU ULIOPINDUKIA KWA YANGA KUWA KWENYE KIWANGO CHAKE BORA.. YAANI WANAWEWESEKA NA YANGA..YANGA IMEWAPAGAWISHA MPAKA WANASHINDWA KUISAIDIA TIMU YAO
@user-bw1hs2nd8p
@user-bw1hs2nd8p 3 месяца назад
Good explanations for real ❤❤❤❤❤ I'm satisfied and we'll understood
@frankvianey2438
@frankvianey2438 3 месяца назад
Sure brother
@allyngimba430
@allyngimba430 3 месяца назад
good teacher, good performance
@mansourlikamba6289
@mansourlikamba6289 2 месяца назад
Kama mpaka hapa hujaelewa basi una matatizo. Kazi nzuri mkubwa wa Shule.
@ushiwamarandu7433
@ushiwamarandu7433 3 месяца назад
mbwaduke upo vizuri sana unaeleweka vizuri mno!
@pollynmsoffe7983
@pollynmsoffe7983 3 месяца назад
Congrats bwaduke uko super
@yahyahamisi2038
@yahyahamisi2038 3 месяца назад
Mbwaduke wewe ni genius 👍👍 kuna ma Profesa kuliko hawa tulio nao ktk vyuo vikuu vyetu 🤔 ur talented
@peterwachara4404
@peterwachara4404 3 месяца назад
Very good 👍👍
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 3 месяца назад
Uyu jamaa namuelewa Sana anajua Sana. Big up mwaduke bro kazi mzuri 🎉.
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 3 месяца назад
Ana degree kutoka UDSM pia
@nahimanafiston6518
@nahimanafiston6518 3 месяца назад
Wawuuu from Burundi 🇧🇮 nakupenda sana
@consesaphelician9266
@consesaphelician9266 3 месяца назад
Ahsante mbwaduke
@rajabukimosa3377
@rajabukimosa3377 3 месяца назад
Daaah hatari sana Naiona Yanga ikipanda hadi points 40+
@mwanangusana
@mwanangusana 3 месяца назад
Pigia mstari happy kwenye + ndo target yetu huko
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 3 месяца назад
Unafahamu sasa ina points ngapi hadi ipande kwenye 44+?
@mwanangusana
@mwanangusana 3 месяца назад
@@bahatimshali2731 31
@IssakaMisholo-wy7mf
@IssakaMisholo-wy7mf 3 месяца назад
Good job
@emanuelsamwel999
@emanuelsamwel999 2 месяца назад
Ahaaa😂😅 furaha kwa Yanga maumivu kwa Simba
@jumashedafa
@jumashedafa 3 месяца назад
Simba watupishe kwa kwel panapo majaaliw inshaallah yanga ataend kuwa top six...Mbwaduke si mzalendo kwel uiandike simba then uifute utaifa vip...Hahahahah😂😂😂 NB; Wakat wa Mungu ni wakat sahihi unapandishwa pasipo tarajia na kwa timu hiz tukitulia huend tutafika mbal
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 3 месяца назад
Yaani hiyo ni kwenye orodha ya timu zinazoshiriki ligi ya mabingwa, siyo viwango vya ubora acheni ushamba
@jumashedafa
@jumashedafa 3 месяца назад
@@davidsimbeye1548 ushamba uko wap hapo? ...Umesoma hiyo comment yangu ukailewa..Yanga ana point 31nafasi ya 13 ...mwakan akifanya vzur zaid atakuw wapi? Ndio maana nikasema simba mwakan atupishe...Usisome comment kwa hisia za chuki na ushabiki tu pasipo kuelewa na kufikir kisha ukatoa jibu
@NassoroSipemba
@NassoroSipemba 3 месяца назад
Mkiambiwa kolo ligi ya ndani inamuhimu mnashangaa Shangaa sasa mnatoa macho Nini,hii tlela bado picha kamili msimu hujao ndio mtaona picha kamili,hapo ndio mtajua hamjui.
@TheopistaMuheta-qp1bc
@TheopistaMuheta-qp1bc 3 месяца назад
Hajakuelewa
@jumashedafa
@jumashedafa 3 месяца назад
@@NassoroSipemba Hahahah watanyook yan sisi tunaenda kuingia ktk mapambano na wale top four pale juu hasa hii project yetu ikiendelea hivi bila kupata changamoto na mungu akatubarik...watasimulia ad samia aache madaraka...sio Caf au ligi ya ndani ni record after record zinaandikwa yan mpk waseme
@agnesssanga6544
@agnesssanga6544 3 месяца назад
Nimeskiliza kwa makini naomba tu pyramid ichukue ubingwa Ili Yanga tuwe P2❤❤❤
@YUSUPHMagohe
@YUSUPHMagohe 3 месяца назад
The best football analyst 🙌🙌🙌🙌🙌
@Stevekapugi
@Stevekapugi 3 месяца назад
Unajua🎉🎉🎉🎉🎉
@SelemanCharles-yt5op
@SelemanCharles-yt5op 3 месяца назад
Baba nmekukubari unachambua vyema sanaaa,,,God bless you
@MussaSelemani-sm3hv
@MussaSelemani-sm3hv 3 месяца назад
Asante cn mungu akupe maisha marefu
@hassanchiwambo687
@hassanchiwambo687 3 месяца назад
Asiyeelewa hapo aende akashangilie netball huku kutakuwa kumemshinda.🎉🎉
@ABALKASIM1
@ABALKASIM1 3 месяца назад
Really broo
@evertheobald1811
@evertheobald1811 3 месяца назад
You're a good teacher ❤❤❤
@kessylyuma2593
@kessylyuma2593 3 месяца назад
Mtaalam
@manasecharles894
@manasecharles894 3 месяца назад
Mwamba kweli kweli🤝🤝🤝🤝
@GAZARAZSPORTS2123
@GAZARAZSPORTS2123 3 месяца назад
nice stat champion
@EdwardJeremiah-bd8rl
@EdwardJeremiah-bd8rl 3 месяца назад
Mbona simba umeandika kwa heruf ndogo jaman au ndo kusema hata kwenye uchambuzi bado simba n dhaifu tuu jaman😢😢
@novaelias5010
@novaelias5010 3 месяца назад
Daaa una fulahisha sana man
@mwanangusana
@mwanangusana 3 месяца назад
Kwasababu katoka kwenye CCL mana CAF CHAMPION LEAGUE na kwenda kwel ccl yani caf confederation league .... Si umeona tofauti ya CAPITAL LATERS na small laters zilivyotumiwa hapo 🤣🤣🤣🤣
@HafidhAlly-mh2yy
@HafidhAlly-mh2yy 3 месяца назад
Nakukubali saaana kwakuwa huegamiii Tim yoyote penye ukweli weye huongea kwa ajili ya faida ya Tim zetu
@jonathantimani6394
@jonathantimani6394 3 месяца назад
Naioona mechi ya Yanga na mamelod next season
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p 3 месяца назад
wataelewa 2 maana hua wanajidai sisi no 7 bila kujua akikwama kufuzu haitawasaidia kolo nafikiri mnasikia
@avitusmichael5
@avitusmichael5 3 месяца назад
Mbwanduke unajua sana mkuu
@user-ub3xh7ug6c
@user-ub3xh7ug6c 3 месяца назад
Kichak kingine tunaend kukikat Cha club lenk
@mwanangusana
@mwanangusana 3 месяца назад
😂 wataelewa tu ..... Tukifika ndo watajua kuwa hawajui 😊😊
@chekapromax5116
@chekapromax5116 3 месяца назад
Upo vizuri
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 3 месяца назад
Yanga Imeweka Record Kubwa Kwa Tanzania Na Africa.
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 3 месяца назад
Record ya wengine kutoenda na ndio yenyewe kupata nafasi? Kumbuka kwamba sio kwamba points zao zimepanda hadi pale mfanye vzr
@EvodiaAdam
@EvodiaAdam 3 месяца назад
​@@bahatimshali2731asa si ndo makolo mmefanya vibaya au tushafanya vizury tyr hapo wew mshashuka mkubaly tuuh
@ngunochugga8761
@ngunochugga8761 3 месяца назад
Jamaa unaijua Kazi yako🎉
@longinoSimon-dz2eb
@longinoSimon-dz2eb 3 месяца назад
Uko juuuu
@DORCASWANGOKO
@DORCASWANGOKO 2 месяца назад
I lov uu
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 3 месяца назад
Wamesaidiwa😂 Mbwaduke
@worksherphilbert4710
@worksherphilbert4710 3 месяца назад
❤❤❤ mchambuzi makini sana 💯💯
@alexkihongola798
@alexkihongola798 3 месяца назад
Mkuu, upo vizuri. Unatufundisha vizuri mno.
@shukurumgaya5950
@shukurumgaya5950 3 месяца назад
Asante kwa ufafanuzi
@muhumbilaelly7219
@muhumbilaelly7219 2 месяца назад
Hakika unajua kaka.
@NewtonOskar
@NewtonOskar 3 месяца назад
Me mshabik wa yanga Lakin Tanzania ingetakiwa simba iwepo maana Azam sna iman nayo
@mengiuswege3654
@mengiuswege3654 3 месяца назад
NILICHOJIFUNZA KATIKA MAISHA NI KUFOCUS BILA KUANGALIA ADUI AU MPINZANI WAKO ANASEMAJE AU ANAFANYA NINI
@billgussy6099
@billgussy6099 3 месяца назад
Ukitaka kujua yanga kafanya kazi kubwa kias gan we muulize Simba
@user-bq4wi1sg7i
@user-bq4wi1sg7i 3 месяца назад
Ukichambua Kwa kutumia screen utakuwa Bora Bora na Bora zaidi stats zako hazina mawaaa👏👏👏👏👏
@NassoroSipemba
@NassoroSipemba 3 месяца назад
Nani kaona simba imefutwa.
@mwitanyahiri4586
@mwitanyahiri4586 3 месяца назад
Rama,unatusaidia Sana kuelewa mambo haya
@gidionmibaluro7085
@gidionmibaluro7085 3 месяца назад
nmekupata vizuri kaka............
@MohamediMahamudu
@MohamediMahamudu 3 месяца назад
Unatisha Mwalimu
@ZeyanaAbdi
@ZeyanaAbdi 3 месяца назад
Mchambuzi wangu pendwa
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 3 месяца назад
Yanga kucheza katika ligi ya making mabingwa hauifanyi simba kupoteza namba saba ya ubora Afrika . Baada ya mchezo huo itakuja African ligi hii Simba itashiriki
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 3 месяца назад
Hawaelewi
@ChaheChahe-tc4zs
@ChaheChahe-tc4zs 3 месяца назад
Hongera Rm mzee wadata shule umeenda mkuu data kama kawaida mkuu
@buddawolf
@buddawolf 3 месяца назад
Cr belouizdad nae haendi cafcl next season
@FrecoEquipmentSuppliesLimited
@FrecoEquipmentSuppliesLimited 3 месяца назад
Hongera sana kaka
@ZAIDISWEDI
@ZAIDISWEDI 3 месяца назад
Kwa uchambuzi huu simba atakua nafac gan ili tumcheke vizur maana nackia tu shabiki zao wakisema tumewaacha nafac 6. Yaan Toka wao walipokua nafac ya 7 ad 13 Kwa yanga.
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 3 месяца назад
Kuondoa vibonde😂 Kuna timu ilikuwa inaondolewa kwa miaka 25
@user-yy5xb7ey8n
@user-yy5xb7ey8n 3 месяца назад
Na wew ukipanda unaanzia uko sasa utakuwa unatolewa
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 3 месяца назад
@@user-yy5xb7ey8n Labda itokee nafasi ya 7 tuipoteze. Kumbuka ya kwamba nyie mkiongeza points bado hamtaingia 10 bora. Msimu ujao wenye nafasi zao kama Simba na Wydad watarudi🤣
@rayvannychui1409
@rayvannychui1409 3 месяца назад
Mzeeee nakukubali sana
@JacksonFrances
@JacksonFrances 3 месяца назад
Upande Wa Pili Mjipange Maana Msimu Ujao Moto Wa Jangwani Utakuwa Mkubwa Hata Motsepe Rais Wa CAF Anaijua Yanga Moto Utaongezeka Lazima Usajili Ufanyike KIMKAKATI "
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 3 месяца назад
Kama msiba huwa unatokea kwenye familia moja ni sawa, ila msiba hutokea popote. Endeleeni kukariri.
@yahyahamisi2038
@yahyahamisi2038 3 месяца назад
TFF tinahitaji viongozi wa soka na michezo mingine ka huyu mbwaduke 👍👍 hii ni kichwa 👍👍 sio ka hawa tulio nao Big up bro 👍 wengineo wanakaria tu 🤣🤣
@edwindaniel7306
@edwindaniel7306 3 месяца назад
Mwl unaelewaka vizuri
@mauthamani
@mauthamani 3 месяца назад
Mzee wa data
@josephmbilinyi1573
@josephmbilinyi1573 3 месяца назад
Jamani why Aziz ki want to leave Retain Aziz ki please
@user-vw6ic4ho4r
@user-vw6ic4ho4r 3 месяца назад
Jemedari umemuacha kuleeeee
@isaacsimon3580
@isaacsimon3580 3 месяца назад
Unajua mpaka unapitiliza, ni raha kukusikiliza we bwana
@hawambeho9984
@hawambeho9984 3 месяца назад
Ndio maana mnafanya hujuma sisi tushuke kiwamgo kazaneni tu mtafika tu
@Allymofati
@Allymofati 3 месяца назад
nimekusoma vzr kaka mwaduke Sina ubish kwenye Hilo asie elewa na asielewe
@joelnamkwahe5928
@joelnamkwahe5928 3 месяца назад
Huku makorokocho hakuwahusu..kiwango Chao ni kibovu..mtuache wenyewe mafundi wa mpira
@salumutilla7672
@salumutilla7672 3 месяца назад
Uyo mwamba ni noma kaka
@AsiaNgoleka
@AsiaNgoleka 3 месяца назад
Sifa ndo kilichowaponza simba.
@mustaphakambangwa1407
@mustaphakambangwa1407 3 месяца назад
❤❤❤
@emiryfaida2437
@emiryfaida2437 3 месяца назад
Swari Kwa Mr mbwaduke hivi nawewe ukibeti waga unachaniwamkeka kweli?
@jacksonjoseph6303
@jacksonjoseph6303 2 месяца назад
Huyu anatakiwa awe mwlimu wa wachambuzi nchini
@eltonezra1247
@eltonezra1247 3 месяца назад
Mbna mzee wangu kwenye Simba Tz Umefuta sana?🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥
@JoelMichael-fr2pv
@JoelMichael-fr2pv 3 месяца назад
Inamaana hata alhilal haipo ccl" mkuu?
@OS-pf6op
@OS-pf6op 3 месяца назад
🔰🔰🔰
@kelvinfussi5210
@kelvinfussi5210 3 месяца назад
Paka akiondoka lazima panya awe huru.
@jacksonjoseph6303
@jacksonjoseph6303 2 месяца назад
Uchammbuzi usio na wivu wala unafki
@abdulmsofe8017
@abdulmsofe8017 3 месяца назад
Ngoja Hawa Viongozi wa Simba Wavune Walichopanda Baada ya Kusajili MAGARASA
@Othmansheby
@Othmansheby 2 месяца назад
Mbwaduke nsitaji kua mwsnafunzi wako
@kinyutatonha8831
@kinyutatonha8831 3 месяца назад
naomba kuuliza swali ivi timu kupanda inapanda point ngapi kwa msimu
@daudikomware
@daudikomware 3 месяца назад
Inategemeana imemaliza kwenye stage ipi na kuna calculation inafanyika kwa kuchukua misimu mitano
@Rumayo_006
@Rumayo_006 2 месяца назад
Atakaeona comment ya cmba anishtue😂
@GOLDIANEDRICK-sm6xk
@GOLDIANEDRICK-sm6xk 3 месяца назад
Wewe jamaa ni mwamba Sana ubarikiwe kabisa umenipa cha kuongea kijiweni
@user-mf3ub4px4m
@user-mf3ub4px4m 3 месяца назад
Daa nimekukubali mchambuzi
@errydeo8865
@errydeo8865 3 месяца назад
the only person ninae nkubali bongo;the rest are RUBBISH ; NAPENDA DATA[NTU WA HESABU HAPA] NBRS DONT LIE ; 1 plus 3 is 4 haiwesi kuwa kuwa 5
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 3 месяца назад
Huyu jamaa uchambuz sio makao yake namuombe awe walau waziri au kitengo kikubwa kwaselikali yetu yuko IQ kubwa sana
@user-zg4yz7je8d
@user-zg4yz7je8d 3 месяца назад
Uchambuzi mzuri shida yako mwaduke unarudia rudia sana maneno, tunakuelewa endelea kuliko kuturudisha tena nyuma ni afadhari muda huo ungeongeza je! Yanga endapo atafuvu. Je ataongeza point ngapi jumlisha na izi?
@musamaganiko8999
@musamaganiko8999 3 месяца назад
Hata darasan huwahawafaulu ote wengne mpaka saiv hawajaelewa mpaka mashindano yaanze ndio waamini simba hayumo
@farajistory
@farajistory 3 месяца назад
🔥🔥🔥🔥
@user-yy5xb7ey8n
@user-yy5xb7ey8n 3 месяца назад
Maana kama yanga atafuzu mpaka nusu fainal msimu unaokuja atapanda mpaka nafas ya sita
Далее
Паук
01:01
Просмотров 2,6 млн
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Просмотров 11 млн
MO DEWJ  UBAYA UBWELA
10:50
Просмотров 414
MANARA AFUNGUKA MAZITO KUHUSU MO NA BABRA
36:04
Просмотров 89 тыс.