Тёмный

MC Pilipili afunguka Wachungaji Matapeli wanavyoibia waumini, aeleza alivyoitwa na Kiboko ya Wachawi 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@winnieamanya665
@winnieamanya665 11 дней назад
I like this man of God ❤very vacaland humble...🙏🙏
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 10 дней назад
Mmmhh ninyamaze
@cosmasmilanzi7117
@cosmasmilanzi7117 10 дней назад
MATHAYO 11:24 "Na manabii wengi wa uongo watatokea na kudanganya wengi!"
@mwl.michaelsainethmlowe2641
@mwl.michaelsainethmlowe2641 10 дней назад
Si kweli Daidi alikuwa alisema nitakaa nyumbani mwake Bwana siku zote! Na kazi za mikono tunafanya
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 10 дней назад
KWENYE SWALI LA KUHUSU KUFUNGA KANISA HUJAJIBU VIZURI KAKA ANGU
@Sangaadam
@Sangaadam 9 дней назад
RUDIA KUMSIKILIZA...... UTAMUELEWA ALICHO MAANISHA!
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 9 дней назад
@@Sangaadam safi sana ndo nilichotaka icho
@FrankMganga-x9k
@FrankMganga-x9k 10 дней назад
Nimeichukuahii,,kama bado upohai unaweza kufanya jambo likafanikiwa,,,,
@rerisamba
@rerisamba 10 дней назад
Lakini Billnass amemu pambania Nandi sana hata nilikua na muhurumia
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 9 дней назад
Bundala unanogesha sana kipindi,na Star Mpilipili anaonekana bado ana imani na hofu ya Mungu tofauti na Mastaa na wasanii wengi. Hana wivu,husda mbaya,wala kufuru
@irenelaurent6479
@irenelaurent6479 11 дней назад
Very humble guy
@EmmyNamoyo
@EmmyNamoyo 8 дней назад
Kweli!I sikuwahi kujua walikuwa na mahusiano na Nandy na Nicole kweli kisicho ridhiki hakiliki 🤷‍♂️but mungu amempa mrembo mwingine
@oscanyakunga
@oscanyakunga 9 дней назад
Usimfananishe Daimond na Yesu kwamba anaondoka na kijiji YESU NIMKUU SANA ndugu hivi umeshindwa kuona wakumfananisha ww ushapotea.
@rerisamba
@rerisamba 10 дней назад
Wau Nandi itabidi uandike wafanyikazi 10
@FatmaHamad-g6s
@FatmaHamad-g6s 11 дней назад
😂😂😂kumbe watu wameumizwa jmn dah ulipeleka samaki kwa paka
@ZUWENADELLOW
@ZUWENADELLOW 11 дней назад
🎉🎉🎉
@braggadachu1723
@braggadachu1723 10 дней назад
Sasa braZA😂SKY Mwanamke kumzidi pesa mwanaume ni kawaida yeye anaweza pewa na wanaume
@mwl.michaelsainethmlowe2641
@mwl.michaelsainethmlowe2641 10 дней назад
Hapo anachanganya mambo yesu kristo hakuwa Selebreti hata kidogo ndio maana walimuua 😊
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 9 дней назад
Kama kina Nduttu wake cjui wanachekesha nini yaani
@iam_sami
@iam_sami 10 дней назад
Eti unapumua kwa sabab umetoa sadaka gani wajapani Wanaish mpk miaka mia na 20 na awamjui mungu wko
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 10 дней назад
Na mafuta yaliyoketwa na kahaba mariamu ndo yaluandaa mazishi ya yesu,shida watu hawasomi neno na kuelewa
@zuwenaabdallah7748
@zuwenaabdallah7748 10 дней назад
Yeye mwenyewe tapeli aende huko
@OnlyRuky
@OnlyRuky 10 дней назад
Lol😢 mwanaume anaongea yeyeee tuuuu mtihani
@ClaraLyimo-g8s
@ClaraLyimo-g8s 10 дней назад
Je nabii wa uongo anaetumia mashetani wakubwa kuwatoa watu mapepo na kuwaponya watu magonjwa kwakutumia shetani wake mkuu akikuambia utoe sadaka je Ile sadaka itakua sahihi?
@rerisamba
@rerisamba 10 дней назад
Wacha nicheke dunia bana
@jamalkishangu
@jamalkishangu 11 дней назад
Maisha ni safari ndefu.
@dorahmavazi111
@dorahmavazi111 9 дней назад
Maisha haya kweli usimcheke mtu wala kumdharau mtu,,chochote kinawezekana katika haya maisha
@iam_sami
@iam_sami 10 дней назад
Mungu ypo ila vil wa hizi dini za kuwanufaisha watu trust akuna uislam wala ukristo ni njia tuu ya wajanja kupiga pesaaa na wajinga kuliwa
Далее
Какой звук фальшивый?
00:32
Просмотров 184 тыс.
MAZINGAOMBWE EP 12 MKOJANI - SAMOFI - MTANGA
19:10
Просмотров 24 тыс.