Тёмный

mchawi muuaji ajisalimisha madhabahuni 

UKOMBOZI TV
Подписаться 143 тыс.
Просмотров 2,8 млн
50% 1

Binti Huyu alijisalimisha mbele ya madhabahu ya ukombozi na kukiri kuwa ni mchawi alishiriki kumuua babu yake na baba yake mzazi kwa njia za uchawi na kula nyama za watu walio kufa makaburini.
Ungana nasi sasa ili uweze kupata habari,mafundisho na shuhuda mbalimbali za matendo makuu ya Mungu kupitia Whatsapp
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp....

Кино

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 631   
@benjamindenice53
@benjamindenice53 6 лет назад
Ahsante mchungaji karbu arusha nasisi utuwombee, amina mungu akupe nguvu za kusaidia wanadamu
@piusbaraka4848
@piusbaraka4848 4 года назад
Acheni kudanganya watu wasenge nyie upako gani unatolewa Dodoma kwa hiyo mungu anapatikana dodoma
@estherfaidamalkia4021
@estherfaidamalkia4021 4 года назад
Shalom.amen mchungaji tuombee nasi mungu atufungue
@joylinejoy7989
@joylinejoy7989 3 года назад
Mungu abariki uyu pastor na akubariki sana nami pia naomba uniombe
@joneskhayanje2481
@joneskhayanje2481 5 лет назад
Amen wacha Mungu atawale wachawi washindwe katika jina la Yesu kristo.
@KhadijaJacob
@KhadijaJacob 20 дней назад
Hata mm nilitagetewa kuuwawa namshukuru Mungu amenifungua
@mourinenekesah4002
@mourinenekesah4002 5 лет назад
Ata neno la Mungu lasema tusiruhusu mchawi kuishi na washindwee kwa Jina la Yesu kristo aliye hai
@evellineireneus9402
@evellineireneus9402 2 года назад
God bless you my prophet
@damarisosebe390
@damarisosebe390 2 года назад
Amen mtumishi naitaji maombi kutoka kwako
@AriseniDanierikangoma
@AriseniDanierikangoma 6 месяцев назад
Mungu akupe wito wakuomba Mungu akubariki
@GetrudeNaomi-wx1zd
@GetrudeNaomi-wx1zd 4 месяца назад
mungu akulinde zidi ya wapinga unabii
@ibrahimedward8439
@ibrahimedward8439 4 года назад
YESU hakuja kuua wachawi bali kuuundoa uchawi[roho ya uchawi] ndani ya watu na kuwaokoa hao watu wawe watumishi wake MUNGU katika YESU kristo
@winnyfabian5622
@winnyfabian5622 4 года назад
Unawahurumia? Neno linasema simwache mwanamke mcgawi kuishi
@amonsteven5751
@amonsteven5751 3 года назад
Hawa watu watazidi kudanganya watu mpaka siku za mwisho
@hawahalfani8134
@hawahalfani8134 7 лет назад
Na walaniwe kwa jina la yesu wananitesa sana na wameua mtt wangu na kufunga nyota na ndoa yangu na washindwe kwa damu ya yesu..
@alawifarahani4788
@alawifarahani4788 6 лет назад
Hawa Halfani kuna ndugu yako anakuchezea
@zinazotrend
@zinazotrend 5 лет назад
pole mm
@credokashinga1918
@credokashinga1918 5 лет назад
Hawa Halfani mmmh
@michellewangechi5606
@michellewangechi5606 5 лет назад
Hawa Halfani t VT
@michellewangechi5606
@michellewangechi5606 5 лет назад
Fu ygylj. L
@faridashaban8853
@faridashaban8853 4 года назад
Amina mungu nimwema sana
@marykimei4581
@marykimei4581 3 года назад
Barikiwa mungu akupeleke viwango vingine vya unabii
@Chizi.mfame.ke-if5t
@Chizi.mfame.ke-if5t 7 месяцев назад
Uniombe pastor wachawi wamekamata ndoa yangu mume wangu moses omido afunguliwe kwa jina la yesu kristo ni josphine luhunga kutoka kenya
@namankakindilo8121
@namankakindilo8121 4 года назад
Siku hizi tunataka utukufu sisi wenyewe,kuliko kumtukuza mungu.roho mtakatifu atusaidie tuhubili injili ya kweli, katika roho na kweli.
@edithagurti8072
@edithagurti8072 3 года назад
Amina.tusiwaamini hao manabii
@miriamnafula4037
@miriamnafula4037 2 года назад
Mungu anaweza postar wachawi washindwe kwa nguvu za mungu kupitia kwa maombi emem
@mwajumakassim6632
@mwajumakassim6632 4 года назад
Kila Mchungaji anatoa mapepo na kuponya watu.. ! hubirini watu kumjua mungu na hayo mengine yote yanapatikana humo ndani...!acheni uongo jamani,kuna kifo
@mamawawili6111
@mamawawili6111 4 года назад
Jamila
@ReginaTheobald
@ReginaTheobald 11 месяцев назад
Mungu akupe maisha marefu
@christinadaniel3274
@christinadaniel3274 4 года назад
Mungu akuinue nabiii BGMalisa umekuwa baraka sana kwetu
@mosessimiyu5550
@mosessimiyu5550 3 года назад
Pst mungu anawesa ubarikiwe
@henriethakabuhaya7633
@henriethakabuhaya7633 3 года назад
Hakika Mungu nimwenye nguvu sana na anasamehe tupambane kimaombi tutamshinda shetani
@alifredlyaruu4146
@alifredlyaruu4146 2 года назад
Mwacheni Mungu aitwe Mungu jaman
@gloryoiso7126
@gloryoiso7126 6 лет назад
Nakupenda buree mtumishi Mungu alikutumia wew kunisaidia wakati nikifanyiwa jambo nikakuona na suti yako na Biblia Mungu akuzidishie Nuru isiyozimika kwa jina la Yesu sikujui unijui ila Mungu alinifanya nikakujua sura yako ndo niliiona
@hemedihassani4424
@hemedihassani4424 6 лет назад
Glory Oiso mmmmmmmmk
@BjorndominicKagio
@BjorndominicKagio 3 месяца назад
Hiyo church iko wapi
@persijoram3289
@persijoram3289 3 года назад
Hiv wachaw wanamaendeleo gan na wanafaida gan kwanza wachaw washdwe na walegee kwajina la yesu
@rahmahimba2734
@rahmahimba2734 2 года назад
Asante Yesu.
@JanetNyabuti
@JanetNyabuti 10 месяцев назад
Yesu wangu usiniaje AMENI
@jamesmwita6020
@jamesmwita6020 3 года назад
Ooo God tusaindi hk amen
@ngurukitv4584
@ngurukitv4584 Месяц назад
YOU looking good ilov you video 📹 ❤❤❤❤❤❤
@EsterPatrick-x6l
@EsterPatrick-x6l 11 месяцев назад
Nakupenda dear Dad
@ilovemyfamily8925
@ilovemyfamily8925 5 лет назад
Ni kweli au nn munaongelea uchawi mm hudhan ni movies is it really
@elizabethkobilo3174
@elizabethkobilo3174 2 года назад
,God bless you
@barakadaniel7811
@barakadaniel7811 3 года назад
Baraka daniel
@deogratiasamani9760
@deogratiasamani9760 2 года назад
Mungu mkwubwa
@nancymichaelkwelikabisauba8271
Amina mtumishi lazima roho chafu ziondoke ili neno lingine ndani yeti zaid
@heritiermanest199
@heritiermanest199 4 года назад
Mungu akupe uzima wa milele
@lamerocklamerock
@lamerocklamerock 5 лет назад
mungu atusamehe & mungu anisamehe maswali cyaelewi kabisa
@reubenelia10
@reubenelia10 6 лет назад
Wacha hao wachawi wafe kwa jina la yesu amen
@huldaholiud5428
@huldaholiud5428 6 лет назад
Mimi nashauri tutumie muda mwingi kueleza ukuu wa Mungu kuliko kuwaruhusu watu kuelezea uchawi na uganga.
@happymichael322
@happymichael322 6 лет назад
Hulda Holiud easily jay av
@happyjulius8539
@happyjulius8539 5 лет назад
Kabisa Mpendwa
@knowledgeispower1118
@knowledgeispower1118 5 лет назад
Hulda Holiud we ni mmoja wao na kufa Kwa moto Kwa jina la Yesu
@anodikavishe2506
@anodikavishe2506 4 года назад
Kinyambe@@knowledgeispower1118
@fancychelangat486
@fancychelangat486 2 года назад
Mungu atende mema
@melissabpower5009
@melissabpower5009 3 года назад
Ee ambia watu waokoke.yesu anarudi,waokolewe.amen
@ninaarmel5250
@ninaarmel5250 5 лет назад
19. M'mbuyomu, kunena kuti "ndine Mkhristu" chinali chonyazitsa pakati pa anthu, inu simumalandiridwa pamene munena choncho. Koma ichi chilinochosiyana tsopano, mawu woti "wachikunja" ali ngati chipongwe. Ndipo komabe, kweni-kweni, iwo sali Akhristu kapena mipingo ya Mulungu, ichi chilisatana kuchokera kumapeto mpaka kumzake ndipo chilichonse chimene iwo amachita, iyi ndi ntchito ya m’diyerekezi. [Mkonzi: Msonkhana unena, "Ameni!"]. #pkpchanneltv #Prophetkacouphilippe
@frankmnale1900
@frankmnale1900 4 года назад
Nimeipenda hii...
@hawahalfani8134
@hawahalfani8134 7 лет назад
Mungu mwema naomba nami nabii nifunguliwe kwa damu ya yesu
@godsonkimambo896
@godsonkimambo896 7 лет назад
@georginantibashima8120
@georginantibashima8120 6 лет назад
Hawa Halfani in
@josephprosper6958
@josephprosper6958 6 лет назад
Hawa Halfani UNCG MHD
@josephprosper6958
@josephprosper6958 6 лет назад
Godson Kimambo j hj
@josephprosper6958
@josephprosper6958 6 лет назад
Godson Kimambo j
@neemakapela7123
@neemakapela7123 3 года назад
Mungu mkomboe huyu bindi akukimbilie ww bindi uchuwi siyodili dili kwayesu
@radhanisenko3425
@radhanisenko3425 3 года назад
Eeeemungu wangu tunusulu baba
@kevinsendora6484
@kevinsendora6484 3 года назад
Najua huyu pastor alimlipa huyu mwanamke ili kipindi kiwe kuzuri 😂😂😂😂😂😂
@eliyaedward5488
@eliyaedward5488 2 года назад
Nakuelewa sana
@mussasalum4774
@mussasalum4774 5 лет назад
Yani nyinyi mnapofanya haya mambo hem mkumbukeni mungu mbona mnapindukia mipaka Jami,,,
@evelyneernest8854
@evelyneernest8854 5 лет назад
Wabadilishwe waonekane WAOMBEWE KWA JINA YESU KRISTO.....!
@floridamaziba1183
@floridamaziba1183 5 лет назад
jaman tukisoma neno hatusumbuka name miujiza ya mashetan kama hawa,, yan watu wanapenda miujiza hawamjui yesu mtenda miujiza ,,,II inasikitisha Sana Maana ata yesu alisema watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa,,, tumuombe mungu atupatie roho mtakatifu wa kutuongoza
@christinadaniel3274
@christinadaniel3274 4 года назад
Kweli umekuwa baraka sana
@davidmwanzia6877
@davidmwanzia6877 2 года назад
Wachawi washindwe katika jina la yesu
@reypaul3798
@reypaul3798 Год назад
Aman mungu ni mwem san
@barackwilliam8491
@barackwilliam8491 6 лет назад
huu uongo tu kanisa nzima mchawi mmoja😂😂 nyie wachugaji shentani anawaona kwa maingizo 😁😂😂😂😀😂😂😂😂
@aliciusalistides6748
@aliciusalistides6748 6 лет назад
Barack William 😹😹😹
@peninanaftal5417
@peninanaftal5417 6 лет назад
Barack William Wewe umejuaje kwamba ni uongo?
@winfredkarimi1664
@winfredkarimi1664 6 лет назад
Barack William ww mbona unavishana hapo,Ebu onyesha miujiza yko.
@zahararajabu4169
@zahararajabu4169 6 лет назад
Wizi mtupu
@frankelias3125
@frankelias3125 5 лет назад
Kwel Barack hata me wachuganji siwaelew kabisa Hawa ndo manabii wa mwixho wa dunia
@susternguvila4338
@susternguvila4338 Месяц назад
Ila wachawi hawana huruma bora wapigwe kwa Jina la Yesu
@haikamjema6072
@haikamjema6072 4 года назад
Mungu unastahili kuabudiwa
@omaryonga1776
@omaryonga1776 3 года назад
Dini inaingizwa sanaa huyo binti sio mchawi na wala Bibi yake sio mchawi........hapo ni sanaa tu aiseee huyo binti maelezo yake ya ujanja ujanja....duuuuuuuu...hatariiiii .
@dorisambombile4973
@dorisambombile4973 6 лет назад
Mungu aendelee kuwaokowa watu wake ktk vifungu vya shetan
@lilianmeja8416
@lilianmeja8416 4 года назад
Hao wachungaji ndo watakuwa kuni zakutuunguza siku za mwisho mm simuani mtu anaye tumia mafuta au maji nataka anaye tumia neno namaombi katika jina rayesu nitapona upakoupako kwenda zenu Hawa wanataja mafta vitambaa chunvii maji mm nitalitaja jina rabwana mungu wamajeshii
@margaretmugo2235
@margaretmugo2235 4 года назад
Kabisaa wewe ndo umenena
@bellalinux3484
@bellalinux3484 2 года назад
Glory to God
@aliciusalistides6748
@aliciusalistides6748 6 лет назад
Mungu teta nao watesi wetu mungu atusaidie
@myself4128
@myself4128 3 года назад
Injili hizi za sikuhzi??😳😳😳😳😳🙄🙄🙄🙄 Kwani dhambi ni uchawi tu?hizi mambo zinanichanganya sizielewi kabisa injili hizi za kuadhibu na kuua watu Mungu uwa ana Huruma na upendo Sio Kudhalilisha watu
@captaindomie1497
@captaindomie1497 4 года назад
Waaahaaaaahaaaa! Lazima waone moto
@paulsambula941
@paulsambula941 2 года назад
Naamini katika jina la yesu
@denniswamocha6032
@denniswamocha6032 3 года назад
Moto xana
@gladysmoraa9354
@gladysmoraa9354 2 года назад
God is great
@crocodilemasala7956
@crocodilemasala7956 2 года назад
🙆🙆🙆 Mungu usituwache.
@andrewkilave3532
@andrewkilave3532 7 лет назад
uko vizuri mtumishi
@aliciagenius7779
@aliciagenius7779 4 года назад
Wasanii jamani, mchawi ajui ata kuigiza bwana
@lucasgasper5235
@lucasgasper5235 5 лет назад
Uyo sio mtumishi wa mungu maswali anayomuuliza
@hehdhhdhhhdhdjje2360
@hehdhhdhhhdhdjje2360 5 лет назад
Aki binti pole Sana.mungu akusamehe
@haseanatnsanya2079
@haseanatnsanya2079 3 года назад
Hamnaroro te engesho tu
@PauloBalisayo
@PauloBalisayo 9 месяцев назад
Amina Amina🙏
@aloyceluchagula2698
@aloyceluchagula2698 3 года назад
Aloyce luchagula ama kweli kanisani kuna kila Aina ya watu ila by the name of Jesus washindwe na walegee
@DangatEmanuel
@DangatEmanuel 5 лет назад
Paaa basi we binti tukuone ili tuamini ulikuwa mchawi kweli,...
@haikamjema6072
@haikamjema6072 4 года назад
Mungu anatenda miujiza binadamu ajue kua una weza
@haikamjema6072
@haikamjema6072 4 года назад
Emungu tendamiujiza
@haikamjema6072
@haikamjema6072 4 года назад
Asante mungu
@klystry1234
@klystry1234 4 года назад
Hajui kuuliza bora geodavie
@evelinenabire4244
@evelinenabire4244 3 года назад
Habari mchugaji mimi naitwa james niƙo na shida nilifungwa ƙutopata mtoto naomba uniombee
@ofridandanzi3349
@ofridandanzi3349 3 года назад
James jibu ni yesu sio mababii
@evodiusajuna2885
@evodiusajuna2885 2 года назад
Uende. Lee. Kuifanya kazi. Ya. Mungu
@omtimbasafi5616
@omtimbasafi5616 5 лет назад
asante yesu Kwa kumuokoa huyo bint na awe huru kweli kweli
@michaelokibo7568
@michaelokibo7568 2 года назад
Swali ! Kwa watu wote mchawi ni mmoja? Uongo mtupu.
@bikemwayowele
@bikemwayowele 3 года назад
Amjambo ndugu zangu katika jina la yesu kristo naitwa nabii bikemwa mtoto mdogo anaye fanya kazi ya MUNGU kwa uwimbaji jamani munisaidiye kwakusambaza Channel yangu.
@jacksonnzai1593
@jacksonnzai1593 3 года назад
Mungu aliekpa kipaj ataksambaza usieke akili zko kwa watu itaku cost
@winifridakivike6262
@winifridakivike6262 5 лет назад
Naowaonea huruma mnaotoa comment za dhiaka mungu anawaona mungu atafunga hivyo vinywa vyenu mungu awasame maana ajui mtendalo nawapa pole
@immaculatejohn1288
@immaculatejohn1288 5 лет назад
Mara ya kwanza sikuamin ila pata shda uone kama hujui watu wanateseka mungu yupo
@ibrahimumbogela8176
@ibrahimumbogela8176 5 лет назад
Immaculate John
@hekimakihaliye3455
@hekimakihaliye3455 4 года назад
Duuh ebu watanzania tusiwe wavivu wa kusoma vtabu vya mungu
@ashahussein7544
@ashahussein7544 2 года назад
Dulla mbabe na twaa kiduku
@pauljames5704
@pauljames5704 5 лет назад
Aisee power mm nilijua umeua alivyo dodoka
@RoseHenjewele
@RoseHenjewele 3 месяца назад
Naomba nikomboe na mm maana naangaika sana kwenye mahusiano mume wangu winfrid nampenda lakin naona upendo wake kwangu ni wakujivuta sana
@carolinengugi2569
@carolinengugi2569 3 года назад
10.01 given instruction oh God have mercy did anyone notice
@johmedia3307
@johmedia3307 3 года назад
MBWA SANA NYIE MNAOJIITA MANABII KUMBE NI WAKALA WA MASHETANI TU MLAANIWE NA MUNGU MFE VIBAYA
@anordjoseph2091
@anordjoseph2091 3 года назад
Ameen
@bostonogoti1460
@bostonogoti1460 2 года назад
Aki si kwa ubaya pastor,kwan hao watu wore ivo mchawi alipatikana uyo Msichana pekee yake? Watu ni wengi mchawi haezi patikana mmoja jaman.ata bibilia inasema kwa watu wengi waovu nao ni wengi, me siamini ayo
@reginafisoo5870
@reginafisoo5870 5 лет назад
Vitu vingine bhnaa
@petrongolelwa683
@petrongolelwa683 3 года назад
Mchungaji umesema una upako mkubwa kumbe kuna siku unao mdogo haa! Hiyo siyo nguvu ya Bwana.Bwana akusaidie. Na akuokoe
@henrymugambi9270
@henrymugambi9270 3 года назад
Witches should leave their evil ways and give their lives fully to Jesus Christ
@jedidahmutheu4088
@jedidahmutheu4088 3 года назад
Infact 😐😐😐😐
@adelinakastory4337
@adelinakastory4337 2 года назад
Aminaaa
@linahjohn4301
@linahjohn4301 5 лет назад
Yaan kuna watu wanatukan madhabah ya mungu kam wew huamini tupo tunaoamin hamjalazimishwa kucoment
@estherwambuies1782
@estherwambuies1782 4 года назад
Wanaharibu bundles waende uko
@elvinamokeiraogega3013
@elvinamokeiraogega3013 4 года назад
Napenda sana keep it up
@jamesatanasio4196
@jamesatanasio4196 3 года назад
Vp
@nurdinmzuzuri1279
@nurdinmzuzuri1279 4 года назад
Nani kaanzisha hela jamani? Daah hela noma sana
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 6 лет назад
Only blood of Jesus Christ may suspend the witchcraft/witchdoctor
Далее
MALIKIA WA KUZIMU ANAETEKA WANAUME AKAMATWA LIVE.
17:32
Watuhumiwa wa Uchawi waibua Kasheshe kwenye Mkutano
10:31
MAMA MCHUNGAJI AWEKA WAZI UCHAWI WAKE
37:02
Просмотров 108 тыс.
MCHAWI WA KIJIJ CHA LUAGALA
36:38
Просмотров 319 тыс.
MWANAUME ANAPASWA KUWA HIVI
29:39
Просмотров 115 тыс.
NDOTO "17" ZINAZOFICHUA ROHO YA UMASIKINI
11:37
Просмотров 17 тыс.