Тёмный

MCHINA ALIYEKUJA TANZANIA KUMTAFUTA BABA YAKE | AIR TANZANIA YA KWANZA YATUA CHINA | NYINGINE ZAJA 

Spesho Kabwanga Online
Подписаться 105 тыс.
Просмотров 207 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 392   
@plujorilugano9489
@plujorilugano9489 3 года назад
Hongera sana mtangazaji una utulivu, huna mbwembwe, sauti yako iko vzr, umetulia na sautt yako. Watangazaji igeni style hii, mnaboa sana una mhoji mtu halafu ww mwenyewe ndo unakuwa na maneno mengi
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 3 года назад
Sana
@shyfettymtunda1928
@shyfettymtunda1928 3 года назад
Aisee kametoka bomba.Hongera sana wazazi wake. Kwakweli bwana Mwapamba kaliwakilisha Taifa vizuri.😄
@sudymgeni701
@sudymgeni701 3 года назад
Tusinge kua nazo izo ndege ingekuaje.MUNGU ilaze mahali pema peponi mwanzilishi wetu .pombe magufuli.. AMENI
@uhurunyereremusa8592
@uhurunyereremusa8592 3 года назад
kwani kabla ya hizo ndege watu walikuwa wanakwendaje China?? hakuna cha ajabu
@subirajohn728
@subirajohn728 3 года назад
Amina.
@subirajohn728
@subirajohn728 3 года назад
@@uhurunyereremusa8592 Walikuwa wakenda na ndege za watu sasa tunazo za kwetu tunajivunia Magufuli Mwenyezimungu amrehemu uko alipo amjalie pepo isiyo na mwisho! Amina.
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 года назад
Eee kelele wivu tu kabla ya Magufuli yalikua yansnufaika mataifa mengine uelewe
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 года назад
Kama sio juhudi zako magufuli na mindege tungeipata wapi Tena magufuli aka endelea kusema UWIII! KWELI NIKIONDOKA IKITOKEA MUNGU AMENICHUKUA MINDEGE ITA NUNULIWA? PUMZIKA KWENYE HERI DADDY FROM TANZANIAN
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 3 года назад
Umetokea bomba sana nusu china nusu Tz❤❤
@fatimambaruku1833
@fatimambaruku1833 3 года назад
Kweli kabisa
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 2 месяца назад
Nice mix 🇨🇳🇹🇿 from 🇯🇵❤❤❤❤❤
@luganomwaigomole8849
@luganomwaigomole8849 3 года назад
Mnyaki km Mnyakyusa Respect kwa Baharia mwenzangu... Karibu Mbeya kijana.. We Proudly as well For Our Nation... The Blessed Land.
@caltongenmercantile4651
@caltongenmercantile4651 3 года назад
Mwandishi hongera sana , unajua kuhoji kukidhi maswali na uhitaji wa watazamaji wako - keep it up brother
@rajabuhondo4973
@rajabuhondo4973 3 года назад
Chuma Ali fanya kazi Allah 🙏 msamehe mabaya yake
@stephanominja8927
@stephanominja8927 3 года назад
Nimemkubali sana. Kwani anajiamini!! Big up ton mwampamba,
@blandinamyinga9489
@blandinamyinga9489 3 года назад
Nyakyusa boy🔥🔥🔥
@cliffordrighton3598
@cliffordrighton3598 3 года назад
Anaitwa Ton Mapamba na sio Mwampamba
@cliffordrighton3598
@cliffordrighton3598 3 года назад
Huyu ndugu namfaham na baba yake anaishi Tukuyu kijiji cha ushirika karbu na Shule ya Msingi Masebe.
@kimmchepeweb2344
@kimmchepeweb2344 3 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@المهلهلالحراصي
@المهلهلالحراصي 3 года назад
@@cliffordrighton3598 ndo umwelekeze sasa
@plujorilugano9489
@plujorilugano9489 3 года назад
Una uelewa sana dogo, umuhimu wa nia yako ya kutaka kumjua baba, hongera sana
@derrickmutuma7185
@derrickmutuma7185 3 года назад
Congratulations Tanzania. Love from Kenya.
@adam_speech-languagepathol11
@adam_speech-languagepathol11 3 года назад
Love you too.... Hapa kwenu, K.U.
@mimimoop2617
@mimimoop2617 3 года назад
JPM Safi Sana japo Wana,ipo davlkn zinawafaa upumnzike kwa amani amen
@kawiche4911
@kawiche4911 3 года назад
Mwana mwema wa Afrika daima TUTAKukumbuka . Shujaa wa Afrika John Pombe MaGufuli. WALIOKUPIGA VITA HAWATAFANIKIWA DAIMA TUTAKUTETEA ALUTA CONTINUA. . RIP JPM. MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI
@omarmatuta7709
@omarmatuta7709 3 года назад
Umemalza kumuombea dua mwendazake
@salummuhija4435
@salummuhija4435 3 года назад
Jpm forever. Hatuna jinsi kwa sababu wewe mungu ndio muweza wa mambo yote I wish ungetuachia jpm tumalize nae miaka kumi tu tungekua mbali sana.
@dothomwandaliw4057
@dothomwandaliw4057 3 года назад
Hakuna km maguu mungu ailaze mahali pema peponi
@Jenniferspace
@Jenniferspace 3 года назад
He looks like Filipino or Thai❤️👍🏾
@zannachrischen791
@zannachrischen791 3 года назад
Yes ur right he so handsome
@estheremmanuel3198
@estheremmanuel3198 3 года назад
Exactly
@husseinramadhani1345
@husseinramadhani1345 Год назад
Sure, i was wondering the same
@johnkigina1696
@johnkigina1696 Год назад
Kweli kma filipino
@rahmazahor4333
@rahmazahor4333 3 года назад
Wowww this Tz/Chinese guy is very smart
@irakozejclaude7869
@irakozejclaude7869 3 года назад
Full popo eti China wananita muafrica nikija Africa wananita Mu China😂 Safi sana brother mapamba Hio nayo fursa kichina na kiswahili utapiga pesa
@slemansleyoum9400
@slemansleyoum9400 3 года назад
Hahaha
@yusuphkapilimka
@yusuphkapilimka 3 года назад
Ni Mwampamba mnyakyusa
@precioussilungwe7365
@precioussilungwe7365 3 года назад
Huyo kashindwa kutamka jina lake halisi ni Mwampamba. Very smart young man
@samwa9496
@samwa9496 Год назад
ni mwambapa china hawana mwa
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 года назад
Safi sana ATCL, maendeleo hayo, kwa sasa biashara kutoka China kuja Tanzania imerahisishwa, Kikubwa mlinde sana mizigo inayotoka na inayoingia tusije kuletewa mabomu ya mbalimbali, na mizigo inayotoka mchunge mali zetu zisiondoke kiholela
@mambachagulaga7234
@mambachagulaga7234 3 года назад
Ni kweli kuweni makini siyo kila kitu yes!
@ruthmaeja6340
@ruthmaeja6340 3 года назад
Huu mchanganyiko uko pouwa kabisa yaani Handsome Mungu fundi🙏🏾
@saralusinde53
@saralusinde53 Год назад
sana hb
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@amigodossantos4129
@amigodossantos4129 3 года назад
Duuh Tanzania yetu iko forward na Ndege straight to China
@tuterlakapo2016
@tuterlakapo2016 3 года назад
Powa Sana.. inafurahisha mno kuona kijana wa kichinatanzania.. ambae ni mchangamfu mno wa kujitambua/kujinasibu kuayeye ni MtanazChaina.. hkk inapendeza sna na kufurahisha inastahil.
@patrickKitambo
@patrickKitambo 3 года назад
jaman mkienda nchi za watu kutuwakilisha hakikisha unaacha mbegu kama hizi inakua poa sana
@reginasawe3356
@reginasawe3356 3 года назад
😂😂😂😂😂😂😂
@aishaanthony4508
@aishaanthony4508 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@briansancedo9336
@briansancedo9336 3 года назад
Safi Tony mapamba karibu Mbeya Tukuyu
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 года назад
Kweli Tanzania hakuna Corona.
@faidanblack6250
@faidanblack6250 3 года назад
Ughonile nkamu ghwitu
@josephinanikwelimdacki3330
@josephinanikwelimdacki3330 3 года назад
I love jpm walio sema ndege hazina aibu sasa wa naona aibu tuna muitunze nchi yetu mlioko madarakani
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 3 года назад
Mweee..mweee... Mwampamba. Wanyakyusa hoyeeee. Na sisi tupogo kimataifa.
@deusoden3614
@deusoden3614 3 года назад
😄😄
@juliusjohn9453
@juliusjohn9453 Год назад
Hongera sana Tonny Zhang (Mapamba) You have tracked your origin.
@nicholasamosbakar6182
@nicholasamosbakar6182 3 года назад
Kajieleza vizur sana mchinzania mwenzetu.
@edmondjr17
@edmondjr17 3 года назад
Daah eti Mchinzania 😂😂
@elibarikimaganga9571
@elibarikimaganga9571 3 месяца назад
Daaah hii nimeipenda... Mchinzania...😂😂😂😂😂
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 года назад
Mambo ya Magufuli hayo mandege! Waliomtukana ooh ananunua mandege!
@magrethndola6988
@magrethndola6988 3 года назад
Kweri mmh!
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 3 года назад
Wanaona haya hasaaa!
@kabulamhembe1024
@kabulamhembe1024 3 года назад
Mnanitonesha kidonda sitamsahau magu anaishi moyoni mwangu,tuonane nae baadae
@seifmketo2421
@seifmketo2421 3 года назад
@@kabulamhembe1024 hauko peke yako
@phillipmatola6964
@phillipmatola6964 3 года назад
WANYAKYUSA noma... Watoto mpaka China duuuh
@ahmadseif7241
@ahmadseif7241 3 года назад
Hahahaha
@richardmwandali7722
@richardmwandali7722 3 года назад
Mwanetuu hojo mwaisa
@user-jk5ir4ke3z
@user-jk5ir4ke3z 3 года назад
Magufuri atakuwa kapewa kazi za kuwaongoza malaika maana kila kukicha nikuongelewa mazur tu mungu amsamehe baba yetu
@hillarymustapha5252
@hillarymustapha5252 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 года назад
@@user-jk5ir4ke3z amka kumekucha naona unaota balaa
@rehemamkalawa3801
@rehemamkalawa3801 3 года назад
Kumbe wachina mkichanganya dammu mnanoga hivyoo!
@isaacvtv547
@isaacvtv547 3 года назад
Hata hapa USA watoto kama hao from white + black = rangi huwa kama hiyo. Changamoto watoto wanabaguliwa na wazungu maana si mzungu halisi piya na akienda kwa wa black napenyewe wanasema siyo black
@donaldmwahalende4841
@donaldmwahalende4841 3 года назад
Handsome
@fatimambaruku1833
@fatimambaruku1833 3 года назад
😀😀😀
@isayasway4892
@isayasway4892 3 года назад
Nawewe tafuta mchinaa😂😂😂
@isayasway4892
@isayasway4892 3 года назад
Nawewe tafuta mchinaa😂😂😂
@fuadabdalla7097
@fuadabdalla7097 3 года назад
MAMA SAMIA AMPE UBALOZI WA CHINA HUYU CONNECTION ITAKUA KUBWA
@amaliweston3963
@amaliweston3963 3 года назад
VERY GOOD IDEA. THE YOUNG MAN IS VERY WELL SPOKEN. HE WOULD REPRESENT OUR COUNTRY VERY WELL. CAN SPEAK BOTH LANGUAGES WELL. WISHING HIM THE BEST.
@helangumusana5219
@helangumusana5219 3 года назад
Huyo raia wa tz kumbuka
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 2 месяца назад
​@@helangumusana5219ye
@rosa629
@rosa629 3 года назад
Anaongea kiswahili kizuri sana chaaa...
@revocatusmkude4049
@revocatusmkude4049 3 года назад
Uwaambie kwamba tunajua wao wanachotaka kwetu ni kutuchuma tu awana urafiki ni watu wabaya ikiwezekana ludi home achana nao
@mwanjekeyz8671
@mwanjekeyz8671 3 года назад
Mungu atupe hela kwakwel airport yetu lakin wachina walivoo jaa hapo utafkir sio kwetu
@prettyh7509
@prettyh7509 3 года назад
🤣🤣
@maryamtassama494
@maryamtassama494 Год назад
Broo wewe nintangazaji mzuri kwa Tanzania nnzima.keep up utafika mbali
@vumiliachacha2743
@vumiliachacha2743 3 года назад
Kweli mpaka nimemkumbuka magufuli jaman huku masaka tonge bado yanamkejeli
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 года назад
Very interesting i love it. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@berthamasanja3512
@berthamasanja3512 3 года назад
Kijana amshukuru Mungu Sana kwa kupata babake na kapendeza Sana kwa rangi
@fctlinesfactlines2817
@fctlinesfactlines2817 3 года назад
Mtanzania Mwenye asili ya China aliekuja kumtafuta Baba yake
@elenzianjk5543
@elenzianjk5543 3 года назад
Bwana Tony Mnyakyusa anahamasisha saaana hahaah!!
@bahatisunga1642
@bahatisunga1642 Год назад
Popote ulipo Mwampamba hongera sana kwa kutoa kopi Japo ukiwa uchi za watu huwezi kutumia mwa kama mimi Babangu aliishi nchini Zambia jina lake Mwaisunga ila Zambia alikua anatumia jina la Sunga badala Mwaisunga na mimi nimezoe kujita Bahati Sunga
@awalimunishi
@awalimunishi 3 года назад
Mshukuru Baba walau umekuwa mchina mwenye macho makubwa.
@annasalum3366
@annasalum3366 3 года назад
Alafu wachina wenzako kivip ww n myakusa bwana sio mchina
@fatimambaruku1833
@fatimambaruku1833 3 года назад
Mwenzako Ana post makini China anatambulika
@pendomarco8928
@pendomarco8928 3 года назад
Rip baba yetu magufuri maono yako hakika yalikuwa mbali faida ya ndege inaonekana sasa
@mohammedabdala7526
@mohammedabdala7526 3 года назад
yani namkumbuka baba yetu
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 3 года назад
Kweli kabisa kubadilisha ndenge ni shida
@dothomwandaliw4057
@dothomwandaliw4057 3 года назад
Magufuli oyeeee
@precioussilungwe7365
@precioussilungwe7365 3 года назад
Wisile ndagha Mwaisa🤣🤣🤣🤣🤣eJho umwana jho Mwambamba. Wanyakyusa mpo juu mbegu mpaka China khaaaa
@aginiweyessayakyando5594
@aginiweyessayakyando5594 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@barakalukumay
@barakalukumay 3 года назад
🥰 ndaaga mwaisa hahahaa
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 3 года назад
Hahahahaaaa
@petersakariwakube8215
@petersakariwakube8215 3 года назад
Please use two microphones. It's part of the media protocols.
@hssandogoli8446
@hssandogoli8446 3 года назад
Mambo ya kizamami mic moja
@jescaswai9332
@jescaswai9332 3 года назад
ana bahat huyu jamaa ni kweli ndio mzee wako na kuna wenzio kama wewe kama edy galamwenda'na emy galamwnda wenyewe wanyaru wazaz wao rest in peace 'mshukuru mungu mnyak mama alicheza brother MZEE mapamba mzee wa kanisa langu coal mining kyela mbeya
@hramadhaniramadhani5328
@hramadhaniramadhani5328 3 года назад
Jux Aje Amchukue Mwanawe Uku/
@masupildula
@masupildula 3 года назад
Haha mimi ni mtanzania lakini sijui kitu chochote inayo husu tanzania 😢 因为我一生来就在中国(北京)九岁时,觉得汉语是我母语<>kasababu niko china(Beijing) tangu nimezaliwa, miaka 9, nimehisi luha kubwa ni kichina
@omarysaidmussa1532
@omarysaidmussa1532 3 года назад
Mbn wakiandika kama hukijui
@alluabdallah6893
@alluabdallah6893 3 года назад
Wanyaqusa mwaka wenu huu mumepata damu ya kichina ambay inatuwakilisha
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 3 года назад
Afadhali 😬😬😬😬😬😬
@samiramawby8252
@samiramawby8252 3 года назад
Nimecheka
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 3 года назад
@@samiramawby8252 😂😂😂😂😂😂😂😂
@dominicakamwela4799
@dominicakamwela4799 3 года назад
nimecheka kwa sauti
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 3 года назад
@@dominicakamwela4799 upoooo 😂😂😂😂😂
@mursalsaid3327
@mursalsaid3327 3 года назад
Safi sana 👍
@omarmatuta7709
@omarmatuta7709 3 года назад
Yule mwanangu wa kihindi wallah namfata mana daah mie damu yngu haipotei
@emmanuelmaiko8503
@emmanuelmaiko8503 3 года назад
Jamaa nimempenda sana mnyachusa
@frejascompany6094
@frejascompany6094 Год назад
Oooh karibu mbeya kwenu mnnyakyusa mmwenzangu
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 3 года назад
Angekuwa mbongo ungekua unasikia kiingereza kidogo kiswahili kidogo "
@prettyh7509
@prettyh7509 3 года назад
Sahihi huyu hawek lugha yeyote zaid ya kiswahili
@jeskapetero2881
@jeskapetero2881 3 года назад
Unge sikia yes no
@nasramohamed3353
@nasramohamed3353 3 года назад
HhhhhhhhHahahHH mnavunja mbavu nyie
@ahmadomar2711
@ahmadomar2711 3 года назад
Hiyi damu kweli ya ki Tz anaongea sana jama yetu hamezi mate huyu kweli ni mtizi
@chichimloli5926
@chichimloli5926 3 года назад
Lakn wachina si unaonaga wanaongea harakaharaka
@ahmadomar2711
@ahmadomar2711 3 года назад
wanaongea ila sisi ndio kipo yao
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 года назад
Hawo nahisi ndio wanaotaka bagamoyo, mbona wengi 😂😂😂
@mrsnam6897
@mrsnam6897 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@TeamKRX
@TeamKRX 3 года назад
Wanaitaka wakome jamani
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 года назад
@@TeamKRX he we kama wanataka bagamoyo wanafanikiwa niwengi Sana, wenyeji wa kikwete mwenyewe a nawapenda wa China, mie nilijuwa hyo mtoto ni wake
@damsonwillison435
@damsonwillison435 3 года назад
Kijana yuko safi kabsa
@amaliweston3963
@amaliweston3963 3 года назад
THE REPORTER IS VERY GOOD🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@marynombo5318
@marynombo5318 Год назад
No yake ilituagizemizigo
@sharifumauridi4760
@sharifumauridi4760 3 года назад
NAKUKUBALI SANA KABWANGA NAZIPENDA SANA STORI ZAKO CLOUDS. TUNAE MKUBALI MSHIKAJI GONGA LIKE APA TUJUANE
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 3 года назад
Nime soma comment zote humu walio comment vizuri wote ina onuesha nimashabiki wa simba lakini walio comment utumbo wote nima shabiki wa yanga😂😂😂😂😂😂😂😂
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 3 года назад
Kama ww ulivyocomment....Si unaona UTUMBO wako huo..!
@angelmwanjalila857
@angelmwanjalila857 3 года назад
Ukoo wa Mapamba tuna kikao tarehe 26/6/2021 karibu kaka
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 3 года назад
Kwenye kikao, ongeleeni kuhusu mchumba, mwambieni kuna binti wa kifipa huku mama yake mchina baba mfipa, tunaomba aoe huku jina la baba ni chikandaa😅
@josephmalisa2987
@josephmalisa2987 3 года назад
Hongera sana kijana mimi nakuelewa saana tu
@zamzamsuleiman6824
@zamzamsuleiman6824 3 года назад
Ilikuwa mtuoneshe wakati chombo ndio kinachimba polepole kuanza safari. It would be wonderful.....
@abdulmalickupete9015
@abdulmalickupete9015 3 года назад
Magufuli maono yako yameanza kuzaa matunda usamehewe kwa makosa yako kwa wema wako
@hajihamis5089
@hajihamis5089 3 года назад
Kwan kabla ya kua na ndege zetu wachina ilikua hawaj acheni ujinga
@المهلهلالحراصي
@المهلهلالحراصي 3 года назад
@@hajihamis5089 zilikuwepo lakini cyo zetu wewe huelewi kitu Magufuli pumzika kwa Amani baba nasi tupo nyuma yako
@surujajwie4768
@surujajwie4768 3 года назад
mashaallah asate kw kutujuza kk yetu bro hii tz au China ❤❤
@christinacharles9771
@christinacharles9771 3 года назад
Tanzania Corona hakuna. Kama nchi nyingine wanaona hatuna corona, na sisi ndivyo tunavyojua, kwa nini mtu mmoja aanze kutuaminisha kwamba Tanzania kuna Corona? Tz wake up
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 3 года назад
Wanaojielewa hao’ anakwambia Huwezi kuishi Kwa furaha bila kumjua baba yako....!....wale masingo Maza wanaowakataza Watoto kuwajua baba zao Mko wapi..!
@irenekimena2607
@irenekimena2607 3 года назад
Kama baba zao hawatakutambua watoto tuwalazimishe??
@emmadora7848
@emmadora7848 3 года назад
Na hao wababa wakimbia watoto nao wako wpi?
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 3 года назад
@@emmadora7848 Na hao wamama WAUA watoto wako wapi..?
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 3 года назад
@@irenekimena2607 .......Labda wa jirani’ mtoto mababa 30..!
@emmadora7848
@emmadora7848 3 года назад
@@ismailyusuph740 unaongelea vitu viwili tofauti, mtoto aliyeuawa atataka tena kumuona baba yake?
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Год назад
Mwaisa karibu mwakaleli
@lovenessmwaitege5324
@lovenessmwaitege5324 3 года назад
Toni Mwamapamba ndaga kalibu Tukuyu kwenu
@simontamba1285
@simontamba1285 3 года назад
Uko poa kaka
@kshdbzjnxksksw6567
@kshdbzjnxksksw6567 3 года назад
Nangojea na oman ije ndonirudi Tanzania inshaallah
@mafundarashid5847
@mafundarashid5847 3 года назад
🙄🙄
@bravomwazyunga4641
@bravomwazyunga4641 2 года назад
Kumbe halfcast wa kichina ni msukuma
@doctorpheisaltv6266
@doctorpheisaltv6266 3 года назад
Jitibu ugonjwa wa ngiri busha kwa mti huu bofya apa 👉
@mariamnjama3963
@mariamnjama3963 3 года назад
Babake n mwijaku huyu ...hyo kswahil eeeh umeweza had kigugumz maskn
@leahally4618
@leahally4618 3 года назад
Mwijaku mmh ajinyee
@saidhamad533
@saidhamad533 3 года назад
Uwanja wa ndege wekeni na lugha ya kichina maana ni wengi sana tanzania
@khadijasalum624
@khadijasalum624 3 года назад
Ipo nmeona juzi
@jumakitwanajumajuma5337
@jumakitwanajumajuma5337 3 года назад
Tini uko vizuri wala ubaguzi werdan
@salehpandu2250
@salehpandu2250 3 года назад
Nice guestions and discussion and answers
@gabrieladam1065
@gabrieladam1065 Год назад
Wanyakyusa tupo kila sehemu hahaaa
@joycesichone4121
@joycesichone4121 3 года назад
Mmmmh wanyakyusa mpo vizuri😀😀😀😋
@fahimafah349
@fahimafah349 3 года назад
Nimeipenda sauti yako mutangazaji
@auntdorah9141
@auntdorah9141 3 года назад
R I P Magufuli.. Tutakukumbuka kwa mengi uliyoyafanya..umeacha alama.
@maryamtassama494
@maryamtassama494 Год назад
Kwanini
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 Год назад
Huyo mchina kaja kimkakati. Vile wachina wenzake wamemuona anautanzania kwakiasi flani wakampa shavu akae huku huku awe kiunganishi cha biashara zao.
@moisemsanga9081
@moisemsanga9081 3 года назад
Mbona kama sukuma genge 😂😂
@josephinanikwelimdacki3330
@josephinanikwelimdacki3330 3 года назад
Love jpm aibu yao
@angelinankuji7660
@angelinankuji7660 3 года назад
Kabsaaa
@azizabdallah585
@azizabdallah585 3 года назад
Mh. Mkurugenzi wa ATC abiria 180 sio asilimia 100 ya abiria...hiyo ni Boeing 787 ya abiria 260....imebidi ndege hiyo ichukue mafuta mengi (kwani hiyo ni safari ya masaa 10)....na ili uzito wa ndege usizidi uzito maalum wa kuruka.
@kapeljjkapeljj5407
@kapeljjkapeljj5407 3 года назад
Duh hawatatuletea corona yao nawako weng sana mh nouma
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 3 года назад
Hongera sn Tony.
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb 3 года назад
The guy is handsome
@joelsule6556
@joelsule6556 Год назад
Wengi hatuwajui baba zetu🤭 Ila kwa sababu wote ni wabongo, tunakubali Koo zetu zetu za kufikia na kuamini ule msemo wa kiswahili usemao; kitanda hakizai haramu 😄
@johansenrauben6166
@johansenrauben6166 3 года назад
Brother habari nawezaje kupata connection na huyo ndg
@edwardmwankemwa3877
@edwardmwankemwa3877 Год назад
Good ,nothing without dad
@olipafrank7518
@olipafrank7518 3 года назад
Nakubali sanaaa mtangazajii
@rozina2161
@rozina2161 Год назад
Huyu mtangazaji anajua kazi yake yani anauliza maswali ya msingi kbsa wastahili kombe mtangazaji bora
@majaliwaandulile8379
@majaliwaandulile8379 3 года назад
Nice tony uko bien full ma conference
@fadumayusuf6564
@fadumayusuf6564 3 года назад
Mvumilivu hula mbivu hongera Tanzania
@rachaelw580
@rachaelw580 3 года назад
Mungu akusaidie ukutane na yule aliyebabako
Далее
Sababu ya Wanaume wa China Kupenda Wanawake Wembamba
8:25
Kutana na Baba na Mtoto, Marubani Air Tanzania
6:30
Просмотров 174 тыс.
iPhone 16 для НИЩЕБРОДОВ!
00:51
Просмотров 1,1 млн