Тёмный

MEDICOUNTER: Fahamu ugonjwa wa Bawasiri, chanzo na matibabu yake 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 139 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 176   
@upendomabena908
@upendomabena908 Год назад
Ahsante sana dr nimeelewa Sawa maana nilikua nasumbuliwa sana pia nilikua naogopa kumwambia mtuu kwa sababu nilikua najua ni ugonjwa mkubwa
@EzekiaMwandute
@EzekiaMwandute Месяц назад
Asante sana doctor Mimi mwenyewe nimpatwa na Hemorrhoids lakini nashukuru sana mungu nimefanyiwa operation naendelea vizuri
@HerenRichard-cq7rc
@HerenRichard-cq7rc 20 дней назад
Wapi apo na ni shingap mana Mimi natamani kufanyiwa operation mana nateseka mno 😢
@mzulamwadini241
@mzulamwadini241 4 года назад
Ahsante Sanaa Dokta kwa Kutujuvya Juu Ya Haya Maradhi Ya Bawasili
@shanimkina4481
@shanimkina4481 2 года назад
Asante sana
@lucrensiaplasdus7396
@lucrensiaplasdus7396 3 года назад
Duuh asante Sana kwakutuelewesh nikitaka kukupat nakupataje maan namatatzo
@suzyemil8275
@suzyemil8275 3 года назад
Habari ntafute watsap ntakusaidia +255624474113
@nice_kitchenstore
@nice_kitchenstore 3 года назад
Nicheki WhatsApp+255768682832 nikusaidie
@suzyemil8275
@suzyemil8275 3 года назад
@@innocentkisamo6316 0624474113 ncheki kwa no hizo
@sarangowi
@sarangowi Год назад
Doctor shukrani sana..maana nina hii shida muda mrefu...hasa kukaa muda mrefu bila kupata na nikipata ni kwashida tumbo linakua na gesi
@nin6324
@nin6324 2 года назад
Asante sana Dr . Huu ugonjwa ni night mere umenisumbua sana, na imegundulika kuwa utumbo wangu ni mrefu kuliko kawaida ndio sababu napata choo kigumu. Ukipata nafasi address redundant colon and diverticulitis.
@mayally1384
@mayally1384 Год назад
Ulipt dawa
@mawondomawondo9412
@mawondomawondo9412 2 месяца назад
Asante kwa mafunzo mazuri sana. Mimi tangu utotoni nilijua bawasili ni ugonjwa wa tumbo. Nilikua nikiskia wakisema ana tumbo la bawasili. Sikuelewa.
@AHOBOKILEMWASYIKA-rx6rl
@AHOBOKILEMWASYIKA-rx6rl 10 месяцев назад
Thank you very much GOD Bless you
@nduwimanahafsa4611
@nduwimanahafsa4611 Год назад
Niko mbali bawasili inanitesaaa😢😢😢😢 nishatumia dawa nacookaaa can
@neemainabikorwa5570
@neemainabikorwa5570 4 года назад
Asante sna kka Allah akuhifadhi
@akwilinastanley2014
@akwilinastanley2014 Год назад
Good my Muhace fellow good let us still consume what God putted and still consume us through many ways
@valencevalerian3037
@valencevalerian3037 4 года назад
Chief somo limeeleweka sanaaa.hongeraaa.
@victoriagasper4478
@victoriagasper4478 4 года назад
Yani katika doctor kaongea wewe umeongea vizur
@user-rn3qs3ct4t
@user-rn3qs3ct4t 8 месяцев назад
Asante Sana doctor nikitaka dawa napataje😢😢
@MarthaHaro-l7j
@MarthaHaro-l7j 23 дня назад
Pia mm nko na hiyo hali yangu iko inje lkn nikienda choon napata maumivu sana
@MarthaHaro-l7j
@MarthaHaro-l7j 5 дней назад
Saa nitaweza vp kujitibu na nko inje ya kenya
@zawadiselemani4923
@zawadiselemani4923 Год назад
Nashukuru mungu akubariki kwa kazi yako
@eliasasherichakupewa-ck9gy
@eliasasherichakupewa-ck9gy Год назад
Asante sana daktari tumekuelewa Sana mze Wa kazi kumbe ni sio ugonjwa?ila unaweza kuifanya ugonjwa mmm.umenipa mwangaza
@patrickmbanya8335
@patrickmbanya8335 Год назад
😭😭😭nimeumia sana
@user-yp3vn1ku6v
@user-yp3vn1ku6v 8 месяцев назад
Jmn mm nipo na huo ugjw unansumbua sn naomb mawasiliano
@LucyJackisoni
@LucyJackisoni 2 месяца назад
amani doctra mm uwo ugonjwa unanisumbua sana adi sasa nimevmba kinyama na nawakati kinapotea sasa nifanyaje
@bakaromar8135
@bakaromar8135 2 месяца назад
Thanks doctor
@fabrianjr9163
@fabrianjr9163 4 дня назад
Mwamba amekunywa shule atariiii😅😅
@MRKIBONALAPTOPTZ-hk9yw
@MRKIBONALAPTOPTZ-hk9yw 2 месяца назад
Mm bado na sumburuwa sans nataka dawa
@JoyceRajab
@JoyceRajab 4 месяца назад
Munguu akuweke dr nmeelews xaan
@StevenLiponisye
@StevenLiponisye 9 месяцев назад
Mimwenyewe nimuhanga wa tatizo nimefanyiwa upasuaji bado tatizolinaludi naupasuaji unatakiwa fedha maisha ndyo haya mtu unakufa uku unajiona sante kwa mafundishomazuri
@berthashaibu6927
@berthashaibu6927 4 года назад
Asante umeeleweka xana yan
@ThiagoMessi10-f4g
@ThiagoMessi10-f4g Год назад
Ameeeen asante Dr
@OliverDaudi-lo7rx
@OliverDaudi-lo7rx 10 месяцев назад
Mungu akutunze kaka
@jonasjaphetthomas6434
@jonasjaphetthomas6434 2 года назад
Upo vizur sana doctor
@MosesFocus-t2j
@MosesFocus-t2j 2 месяца назад
Doktari nakushukuru kwa elimu, naomba msaada wa namba ya mawasiliano
@jafarimbwambo8245
@jafarimbwambo8245 Год назад
Vile vinyama ndio vinavyonisumbua sana hats tendo la ndoa linanishi da
@tunsumemwakinyuke661
@tunsumemwakinyuke661 10 месяцев назад
Pole natamani unitafute nikushauri
@lisaurio1198
@lisaurio1198 9 месяцев назад
@@tunsumemwakinyuke661hello naomba unisaidie namba zako ..
@mkandaoabdul
@mkandaoabdul 26 дней назад
Naomba msahada nashida na hii kitu
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Год назад
Napenda unavoelezea upo vzr Mashallah
@fetychina3969
@fetychina3969 2 месяца назад
Doctor ukiwa na ratizo hilo unaweza kuoata changamoto ya uzazi??
@idrissaramadhan3271
@idrissaramadhan3271 8 месяцев назад
Tafadhali docta ninahizo dalili Ila nataka kujua bawasiri inachangia pia kuumwa mgongo na ama mwili mzima hasa idara ya mifupa maana mm naumwa sana mgongo nishapiga Hadi x-ray sikupewa majibu tafadhali dictator tunakupataje
@AnnaMbedule-lk7oh
@AnnaMbedule-lk7oh 9 месяцев назад
Nakupataje dr maana nina hy shida
@elizabethnaaly2314
@elizabethnaaly2314 2 года назад
asante san dockta je nikitaka mawasiliano yako napataje??
@phylisemaly8016
@phylisemaly8016 Год назад
Jaman nko na ujauzito wa miezi 4 Nina wasiwasi nmepatikana na huu ugonjwa nawashwa nashika hiyo nyama sijui nitapata vipi tiba
@user-ju1pl7rr8n
@user-ju1pl7rr8n 3 месяца назад
Shukran
@AbdallahShaabani
@AbdallahShaabani 2 дня назад
Dawa yake ni mualovera tu👈
@KulwaKiteja-ii6wt
@KulwaKiteja-ii6wt 4 месяца назад
Asante br
@MaryEsya
@MaryEsya 8 месяцев назад
Doctor mi nimejifungua tar 2 mwezi huu ila nilichanika Sasa naona Kuna kinyama kimeota sehemu za Siri shida nn?
@twalkhatjumanuh-lk2sz
@twalkhatjumanuh-lk2sz Год назад
Hatujafika miaka 20ila tuna hilo tatizo la bawasiri
@SalumSalum-no3sc
@SalumSalum-no3sc 2 месяца назад
Naomba nambaako docta
@maximillianmpaname2878
@maximillianmpaname2878 4 года назад
vipi kuhusu liver cirrhosis ...kama a risk factor
@alhandroraj8009
@alhandroraj8009 4 года назад
Je bawasiri inaeza lete ugonjwa wa stomach hernia? na inatibika aje kama mgonjwa haezi fanyiwa operation ju ya miaka?
@scolamwanisasu8499
@scolamwanisasu8499 3 года назад
Kuna hatua abazo mgojwa anatakiwa atumie Ana dawa za kutumia pia
@harounramadhan2831
@harounramadhan2831 3 года назад
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!! ~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na Inje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe. CHANZO CHA TATIZO ~chanzo halisi cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷ 👉KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE 👉KUHARISHA KWA MUDA MREFU 👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO 👉MATATIZO YA UMRI 👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU 👉UZITO KUPITA KIASI 👉MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU DALILI ZA BAWASIRI 👉Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa 👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia 👉kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa 👉kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo 👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana 👉kupata upungufu wa damu (anemia) 👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo 👉hupunguza nguvu za kiume kwa wanaume, na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake 👉kuathirika kisaikolojia 👉kukosa moral ya kufanya Kazi kutokana na maumivu makali Kwa msaada zaidi tucheki whtsap/call +255712126669 0683147077
@nice_kitchenstore
@nice_kitchenstore 3 года назад
Nicheki WhatsApp+255768682832 nikusaidie
@damaricygeofrey2444
@damaricygeofrey2444 2 года назад
@@harounramadhan2831 naitaji msaada wako pleas
@user-qu4nu9se4e
@user-qu4nu9se4e Год назад
Namba ya cm doctor
@UpendoMkuwele
@UpendoMkuwele Месяц назад
Mi naomba namba nataka nikuone ninashida sana
@happinessjidayyaanihaunaak8521
@happinessjidayyaanihaunaak8521 2 года назад
Jaman mm pia nina hili tatizo limeanza na saiv naona muwasho naitaj msaada
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j Год назад
Hivi dalili zake nini
@patrickzacharia7483
@patrickzacharia7483 Год назад
@@user-po8hz7xw9j *B. DALILI ZA BAWASIRI* -Kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia -Maumivu au usumbufu katika njia ya haja kubwa -Kutokwa na kinyesi bila kujitambua(kuvuja kinyesi) -Kijiuvimbe katika eneo la tundu(mlango)wa kutolea haja kubwa. -Ngozi katika eneo la tundu la haja kubwa kuwasha. -Bawasir kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.
@amandawanka5530
@amandawanka5530 Год назад
@@patrickzacharia7483 mimi nawashwa sanaa sehem za haja kubwa ni wiki sasa najikuna paka nikijamba nasikia maumivu lakini choo changu nikijisaidia hakina dam ila nikigumu sanaa napata sanaa maumivu makali shida nini
@patrickzacharia7483
@patrickzacharia7483 Год назад
@@amandawanka5530 choo kigumu ni moja ya sababu zinazosababisha Bawasili inaweza ikawa ya (nje ama ndani). Nakuwashwa pia ni DALILI za bawasili kama umejigundua TIBU mapema
@adraikasyanzila4486
@adraikasyanzila4486 8 месяцев назад
God help us
@sarangowi
@sarangowi Год назад
Naomba usiache kutoa msaada kama huo Dr
@godfreysospeter4947
@godfreysospeter4947 Год назад
Mbona hii ilinitokea nipo mdogo sana kama darasa la 4 nikijisaidia kinatoka kama kinyama kinatoka kama kinyes lakin saiv naona kimechomoka juu lakin hakina maumiv wala muwasho imekaaje hii na apa nina miaka 20
@haruningiliule7606
@haruningiliule7606 Год назад
Mambo
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Год назад
Mbona mimi ta ngu niko duniani naona ga watoto wa umri wa myaka 2 adi 10 wana ugonjwa wa hemorrhoid niwengi ila mwanangu kwa sasa ameteseka iyo hemorrhoid imeonekana inatoka nje hatowe choo kubwa analia sana hakai umri wake ni myaka 3
@ShukranMichael-fd8nm
@ShukranMichael-fd8nm 11 месяцев назад
dockita mm ninavinyama sehehemu zasili nazo shida nn naomba msaada
@geophreygwarasa6789
@geophreygwarasa6789 Год назад
Doctor muwasho wa mda mrefu sehemu ya haja kubwa je, ni dalili ya bawasiri pia?
@DrMercy-uh6pj
@DrMercy-uh6pj Год назад
Ndio ni dalili za bawasiri
@KhadijaAliMohd-rn6mn
@KhadijaAliMohd-rn6mn Год назад
BAWASILI" INAITWA NASIYO "BAWASIRI"😉😉
@PeterYusuf-ye6uf
@PeterYusuf-ye6uf 7 месяцев назад
Ni brother ngu ako na bawasiri so naomba uniabiye naeza ipata wapi iyo dawa😂😂😂
@fetychina3969
@fetychina3969 2 месяца назад
Doctor unapatikana wapi?
@PeterYusuf-ye6uf
@PeterYusuf-ye6uf 7 месяцев назад
Hujambo dakitari dawa ya kutibu bawasiri yaitwaje😂😂😂
@victordaniel9909
@victordaniel9909 Год назад
Annusol
@saidimaganda4423
@saidimaganda4423 2 года назад
Atharizake ninini
@mbarakachande789
@mbarakachande789 3 года назад
Kuna tofauti gani kati ya bawasiri na fistura
@joshuakatana8909
@joshuakatana8909 2 года назад
Sasa ugojwa huu ukona dawa ama nakama ukonadawa inaitwaje , kwa maana mimi nko na hiishida kwa muda mrefu tangia 2001 hadi sasa
@irenekenedygudu.8375
@irenekenedygudu.8375 2 года назад
Inbox me plzzzz
@sakinahamza5325
@sakinahamza5325 2 года назад
@@irenekenedygudu.8375 Mm apa
@victoriamkilya928
@victoriamkilya928 Год назад
@@irenekenedygudu.8375 nakutafuta
@jamessaimon5439
@jamessaimon5439 Год назад
@@irenekenedygudu.8375 Mawasiliano yakooo pls
@chummuddy1840
@chummuddy1840 Год назад
@@irenekenedygudu.8375 Namm naomba dawa
@zuhuraomali920
@zuhuraomali920 3 года назад
Hii namba mloandika Apo nikiingia watsapp najibiwa nimekosea namba anasema yeye sio doctor
@suzyemil8275
@suzyemil8275 3 года назад
Habari ntafute watsap ntakusaidia+255624474113
@nice_kitchenstore
@nice_kitchenstore 3 года назад
Nicheki WhatsApp+255768682832 nikusaidie
@Lovechezuee4793
@Lovechezuee4793 8 месяцев назад
​@@nice_kitchenstore😢😢 naogopa walah
@EstherSuleman-fj3hw
@EstherSuleman-fj3hw 6 месяцев назад
Je,inaambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine?
@ScolastikaNathan
@ScolastikaNathan 21 день назад
Naomba mawasiliano
@user-xc7cj6xi5j
@user-xc7cj6xi5j 6 месяцев назад
Dawa tunapata vip
@waltermohamed9667
@waltermohamed9667 7 месяцев назад
😭Ee Mungu daah weka number yako 2kutafute
@user-sq5ld6gc5f
@user-sq5ld6gc5f 5 месяцев назад
Naomba msada pia mimi ninao
@agycarol5928
@agycarol5928 5 месяцев назад
Napataje dawa nipo mwz
@gracemsema8492
@gracemsema8492 4 года назад
Je bawasiri inaambukizwa?
@msalapaitechnician8002
@msalapaitechnician8002 3 года назад
Hapan inalithiwa
@gaudinamosnchobe4909
@gaudinamosnchobe4909 2 года назад
Inalithiwa vip wakati umeambiwa kila binadamu ana bawasiri
@allymisanya
@allymisanya 3 года назад
Naomba mawasiliano ya doctor please
@nice_kitchenstore
@nice_kitchenstore 3 года назад
Nicheki WhatsApp+255768682832 nikusaidie
@domitilakidenya4392
@domitilakidenya4392 3 года назад
@@nice_kitchenstore Dada mbona Whatsapp hupatikani
@djtembo886
@djtembo886 2 года назад
@@nice_kitchenstore kaka namba yako
@asazac7378
@asazac7378 7 месяцев назад
Ninayo
@eutropiakirway9148
@eutropiakirway9148 Год назад
Doctor mimi ni mjamzito na nimeanza kuona hiyo dalili, kuna tiba yoyote au baada ya kujifungua nitakuwa sawa
@iktharsalum7440
@iktharsalum7440 Год назад
Hili tatizo langu haliponi utumie dawa
@mwanamwanaisha9450
@mwanamwanaisha9450 Год назад
Tunaomba namba zko
@user-xw3hn6il8m
@user-xw3hn6il8m 7 месяцев назад
Yani mimi pia nahisi ninayo mana nahisi maumivu mda wa haja kubwa na saivi nahisi kinyama kinatoka nilivoona nililia sana nina umri 24
@tamikanillan
@tamikanillan 4 месяца назад
😂Vinatishia Aiseee hatamimi ilikuwa inanipa presha Sana yakuogopa
@aminaally7622
@aminaally7622 Месяц назад
​@@tamikanillankiukweli bawasili inatia sonona inakosesha raha😢😢😢
@user-dk4ko7ms4w
@user-dk4ko7ms4w 8 месяцев назад
Napataje tba npo geita
@AminaShaban-y8p
@AminaShaban-y8p 2 месяца назад
Media counter
@abubakarabdallah2292
@abubakarabdallah2292 Год назад
Doctor nna bawasili inanitesa sana
@magrithaboay5905
@magrithaboay5905 Год назад
Ndugu vipi ulisha pona
@HappyBryton-up4el
@HappyBryton-up4el Год назад
jmn ugonjwaa unatesa huu
@phycathmeela6556
@phycathmeela6556 Год назад
Nimeelewa
@marypaulo1363
@marypaulo1363 Год назад
Docta ntapataje mawasiliano yako?
@lucykimaro1345
@lucykimaro1345 Год назад
Kwema doctor na kwa mama mjamzito inakuje
@hqueen7599
@hqueen7599 5 месяцев назад
tunatibu Kwa wiki moja tu
@lucasjohn3122
@lucasjohn3122 3 месяца назад
Naomba mawasiliano
@gerwaldandomba2694
@gerwaldandomba2694 3 года назад
Bonge la doctor....
@hadiajuma3261
@hadiajuma3261 4 года назад
Asnte mm natatizo nakupata vp
@hadiajuma3261
@hadiajuma3261 4 года назад
Nitakupata vp
@suzyemil8275
@suzyemil8275 3 года назад
Habar ntafute watsap ntakusaidia +255624474113
@nice_kitchenstore
@nice_kitchenstore 3 года назад
Nicheki WhatsApp+255768682832 nikusaidie
@happymichael5121
@happymichael5121 2 года назад
Mbna namba mnatoa watu wawili tofauti ya hyo docta ni ipi
@hildapeter-ok3do
@hildapeter-ok3do Год назад
Mm ninamume wangu jamani anateseka jamani
@leonardpromise
@leonardpromise 5 дней назад
Habar
@avelinamanyama7307
@avelinamanyama7307 Год назад
simu yako haipatikani
@tatuhassani1434
@tatuhassani1434 4 года назад
Je kunasababisha kwa mwanamke kutokushika mimba???
@nice_kitchenstore
@nice_kitchenstore 3 года назад
Nicheki WhatsApp+255768682832 nikusaidie
@johnmasungansolezi576
@johnmasungansolezi576 2 года назад
@@nice_kitchenstore umeulizwa jibu swali
@tumpenjabili2826
@tumpenjabili2826 Год назад
Mimi nilifanyiwa upareshen ni mwaka sasa na imerudi tena ,na mm ni mjamzito unanisaisiaje
@barbinasankemwanshende6145
@barbinasankemwanshende6145 3 года назад
Na mtoto Kama anahalisha choo cha kamasi tatzo ni nn
@rehemamgowe4131
@rehemamgowe4131 Год назад
Na Mimi mwanangu anapata Choo hicho vipi umepata majibu
@patrickzacharia7483
@patrickzacharia7483 Год назад
@@rehemamgowe4131 angalia namna yake ya Ulaji pia akihatisha muda mrefu anaweza pata bawasili pia.
@user-ey4lc1qe9s
@user-ey4lc1qe9s Год назад
Mimi nina ugonjwa huu nimevimba na kimekuwa kidonda doktari naomba maelekezo
@pilihassani2454
@pilihassani2454 2 года назад
Mm ninayo naumia sn nisaidie napata shida kimetoka nnje kinyama
@christopherraymond5459
@christopherraymond5459 2 года назад
Ukipata dawa nitonye na mm
@eyeonnature4022
@eyeonnature4022 2 года назад
@@christopherraymond5459 mimi pia nahisi ninayo ila imepungua. kuna dawa inaitwa ujana. nilitumia ajili ya tatzo lingne lakn ilinisaidia. ukiachana na hio ya bei kubwa. kula mbegu za maboga mara kwa mara angalau mkono mmoja kwa siku. mie saiv nashkuru mungu.
@avelinamanyama7307
@avelinamanyama7307 Год назад
namba haipatikani
@hadijakaganga9674
@hadijakaganga9674 Год назад
Iv uu ugonjwa ndo zamani ulikuwa unaitwa vikanga?
@BoniphasiMeshuariki-sr9vn
@BoniphasiMeshuariki-sr9vn Год назад
Mawasiliano yako tunazioataje
@valencevalerian3037
@valencevalerian3037 4 года назад
Ila umeangalia sanaa pembeni ungeangalia camera.
@tabiasaidi5529
@tabiasaidi5529 4 года назад
Tunaomba namba za cm dockta
@valencevalerian3037
@valencevalerian3037 4 года назад
@@tabiasaidi5529 0628669679
@saumuomary2117
@saumuomary2117 4 года назад
Nisaidie dawa dokta ninatatozo hilo
@saumuomary2117
@saumuomary2117 4 года назад
Nisaidie dawa dokta ninatatozo hilo
@mwanaidimuhindi6671
@mwanaidimuhindi6671 4 года назад
@@saumuomary2117 Mimi nipo nalia tu hapa nami limenitokea
Далее
Вопрос Ребром - Булкин
59:32
Просмотров 1,1 млн
Stroke | Nucleus Health
4:13
Просмотров 7 млн
PIPI KIFUA (TOPICAL MINT) INANOGESHA MAHABA CHUMBANI
4:20
JE KUNYWA POMBE NI AFYA?
15:27
Просмотров 21 тыс.