Тёмный

Unavyoweza kukabiliana na tatizo la vidonda vya tumbo (MEDICOUNTER - AZAM TV) 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 60 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 83   
@neemanwa7807
@neemanwa7807 3 года назад
Asante Sana. Dalili zote ulizozisema kwangu zipo jaman, napata shida sana
@mwajumabushiri523
@mwajumabushiri523 11 дней назад
Umeelezea vizuri sana dr mimi nimetoka kupima huyo mdudu h.pylori hakuonekana lakini hapo nimepata sababu umesema kukaa na njaa mda mrefu na mimi huwa nakaa mda mrefu sili naogopa kunenepa shukran dr ngoja nirudi hospital
@denifridamwalongo3559
@denifridamwalongo3559 4 года назад
Asante kwa somo zur doctor, sasa ukishaingia hyo stage ya pili ya vidonda vyenyew hakuna njia au dawa ya kutibu kabisa hivyo vidonda , nisaidye maelezo hapo
@lucychilimo5078
@lucychilimo5078 3 года назад
Asante kwa somo zuri doctor Mimi vinanisumbua kweli nimetumia kila aina ya dawa za hospital ila bado
@edendehazard5416
@edendehazard5416 3 года назад
+255628317970 piga au whatssap nikusaidie
@laylatmlacha4729
@laylatmlacha4729 3 года назад
Km unaweza kutumia kitunguu swaum ni kizur sana chukua punje nne hadi tano chop chop chukua maji ya moto kiasi unayoweza kunywa meza kama unaweza vidonda asbh kabla ya kula chcht na jioni nusu saa kabla hujala Inshallah utakuwa sawa nilikuwa naumwa mpk naanza kuaga but now Alhamdulillah tumia ndani ya siku saba bila kuachwa utapata majibu ila vitunguu swaum viwe sehem ya maisha yako kwani vina faida kubwa sana mwilini
@jasminjumanne4157
@jasminjumanne4157 2 года назад
Mie napata choo kigumu alafu naumia kwenye kifua mpaka moyo nao unawaka moto nikila
@jasminjumanne4157
@jasminjumanne4157 2 года назад
Nanikijisikiaga ivo naishiwa nguvu kabisa
@jasminjumanne4157
@jasminjumanne4157 2 года назад
@@laylatmlacha4729 unatwanga ivo vitunguu au unameza kama dawa
@lehanapaulmoeti850
@lehanapaulmoeti850 4 года назад
Asante sana dokta kwakutuelewesha tunateseka saana mmi naishi Baja naomba nambazako utakuwa umenisaidiya
@edendehazard5416
@edendehazard5416 3 года назад
+255628317970 piga au whatssap nikusaidie
@SijawaSeleman
@SijawaSeleman Год назад
Asante sana Kwa ushauli mana nawaza sana mpak napunguwa
@PendoBura-op6qu
@PendoBura-op6qu Год назад
Asantee somo zur me pia nina dalili zote hizo lakin huwa natapika nyongo isio isha
@jacquelinemajollo2113
@jacquelinemajollo2113 3 года назад
Asante sana daktari kwa elimu ya vidonda vya tumbo
@happinessmakua3737
@happinessmakua3737 Год назад
nashukuru sana dr elimu hii
@alexlwanika2857
@alexlwanika2857 4 года назад
Dokta asante sana nimekuelewa ndo hali niliyonayo
@assanerachidenkomua3506
@assanerachidenkomua3506 7 месяцев назад
Umekamilika sana kaka assante
@waudugujuma6782
@waudugujuma6782 4 года назад
Asante doctor nimekuelewa
@edendehazard5416
@edendehazard5416 3 года назад
Piga +255628317970 au whatssap nikusaidie
@neemaeppah2992
@neemaeppah2992 4 года назад
Dr umeelezea vzr sana mm vinanisumbua tunaomba tiba
@edendehazard5416
@edendehazard5416 3 года назад
+255628317970 piga au whatssap nikusaidie
@hidayajuma3068
@hidayajuma3068 Год назад
Asante doctor
@rehemamalengas6677
@rehemamalengas6677 2 года назад
Vidonda vinatesa sana kwangu hadi nafikia siwezi kuswali kwa maumivu,nilishapima vidonda kwa njia ya damu,barium hadi cha endoscopy nimeshaambiwa ni Gastro clonic ulcers.... Nisaidieni dawa za asili maana za hospitali nishatumia sana lkn bado hali
@daudipaurlo8353
@daudipaurlo8353 2 года назад
Amesha sema kua vidonda vya tumbo atua ya awali ndo vinapona apa amenikatisha taamaa😭😭😭
@moyomzurionline9718
@moyomzurionline9718 5 лет назад
Namba ya doctor tafadhari 🙏
@khazinaabeid4154
@khazinaabeid4154 5 лет назад
Naomba no ya doctor
@viviancastori2947
@viviancastori2947 4 года назад
Nasumbuliwa sana nahili tatizo tuambieni dawa gan tutumie
@edendehazard5416
@edendehazard5416 3 года назад
+255628317970 piga au whatssap nikusaidie
@edendehazard5416
@edendehazard5416 3 года назад
@@khazinaabeid4154 +255628317970 piga au whatssap nikusaidie
@edendehazard5416
@edendehazard5416 3 года назад
@@viviancastori2947 +255628317970 piga au whatssap nikusaidie
@khadijauwimana2357
@khadijauwimana2357 3 года назад
Uyu Dr alisoma kabisa ana waza sana 🇧🇮🇧🇮
@IddyKabuahh
@IddyKabuahh Год назад
🎉🎉dawa inaitwaje
@msalabanreko7001
@msalabanreko7001 4 года назад
Dah upo sahihi maziwa ayasaidii
@aminaaboud5461
@aminaaboud5461 3 года назад
Mashallah .. Mungu akubarik
@tatumcollin5128
@tatumcollin5128 3 года назад
i know Im randomly asking but does anybody know a trick to log back into an Instagram account?? I stupidly lost the login password. I love any tricks you can offer me
@torinquinton4742
@torinquinton4742 3 года назад
@Tatum Collin instablaster ;)
@tatumcollin5128
@tatumcollin5128 3 года назад
@Torin Quinton I really appreciate your reply. I got to the site thru google and im trying it out atm. Looks like it's gonna take a while so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.
@tatumcollin5128
@tatumcollin5128 3 года назад
@Torin Quinton it worked and I actually got access to my account again. Im so happy! Thank you so much you saved my account !
@torinquinton4742
@torinquinton4742 3 года назад
@Tatum Collin No problem =)
@sarahmwaijumba4282
@sarahmwaijumba4282 2 года назад
Nashukuru kwa ushauri na mafunzo mazuri Dr. Maana hili tatizo limenisumbua sana
@kingsmansforexsociety895
@kingsmansforexsociety895 2 года назад
Kwakwel inasumbua sana umepata Tina ? Na mm Nina iyo shida inatesa sana...
@fredyfredy7155
@fredyfredy7155 4 года назад
Docta nimejifunza jambo kubwa sana kupitia mafundisho yako na naomba msaada kwakua nasumbuliwa na hilo tatzo sijui nitakupataje
@Madamfettykulakule5385
@Madamfettykulakule5385 4 года назад
0622204495 nitafute kweny namba hii
@tinasurusi5314
@tinasurusi5314 4 года назад
Tunakupata wapi doctor, Yani dalili zote ninazo nateseka sana nimeshaenda hospital lakni spati nafuu.
@mamasinkamba5962
@mamasinkamba5962 2 года назад
Plz plz plz I want to visit the hospital tomorrow naomba number doctor am very very sick
@zulfa767
@zulfa767 Месяц назад
Jmn mimi ndo linauma linawaka moto natapika sina hata hamu ya kula sijui hata nifanye nini
@kwararamediaeducationcentr7234
somo ni zuri
@DavidMandago-in3on
@DavidMandago-in3on 10 месяцев назад
Vidonda vinaweza kuxababixha kikohoz cha mfrulizo unakohoa mpaka mbavu zinauma
@mwanahamisjuma689
@mwanahamisjuma689 4 года назад
Hicho kipimo cha tumbo kizur kwa sababu unajua unataatizo gani lakin kupima kinahitaji moyo
@pendoashery255
@pendoashery255 2 года назад
Umewaza kama mm
@JoicyLiziki
@JoicyLiziki Год назад
Kwa kweli mimi mwoga sizani kama naweza kupima
@velinajulius3884
@velinajulius3884 6 месяцев назад
Vp kuhusu kuumia mgongo
@hawanasir9495
@hawanasir9495 3 года назад
Kiukweli nimefurahi
@eriezarichardmbeya1233
@eriezarichardmbeya1233 4 года назад
Ivyo ivyo kama uliwahi ugua sasa umepona unavyoelezea Mimi nitapataje kupona miaka 19 sasa,,,,,,
@edendehazard5416
@edendehazard5416 3 года назад
+255628317970 piga au whatssap nikusaidie
@esterpius7423
@esterpius7423 Год назад
Kwa nini kkpimo.kinakata sehemu.ya utumbo
@Jackson-Novat
@Jackson-Novat 10 месяцев назад
Hicho kipimo kinakwangua utumbo. Badala ya kutibu vidonda waweza unatibu michubuko iliyosababishwa na kipimo.
@zunnamuhammad1970
@zunnamuhammad1970 3 года назад
jamn nataka no ya daktari
@edendehazard5416
@edendehazard5416 3 года назад
+255628317970 piga au whatssap nikusaidie
@kwekwenyotakwekwenyota183
@kwekwenyotakwekwenyota183 Год назад
iko wapi doctor kenya ama Tz
@kiparaused
@kiparaused 4 месяца назад
Mnatumia bima
@Moo1788
@Moo1788 2 года назад
du sasa tunachanganyikiwa doct mwingine anasema maziwa fresh hayatakiwi yanatakiwa mtindi mwingine mtindi nao hautakiwi yaani hata sielewi maana nimateso tuu
@khurana1384
@khurana1384 Год назад
Je ugoro kuweka mdomoni unaleta tabu kwa vidonda
@NelsonMshighati
@NelsonMshighati 5 месяцев назад
Nataka kutibu nije wapi
@salminialli268
@salminialli268 4 года назад
Upo wap doctor mi natesekaa vibay mnoo cjui nifanye nin
@edendehazard5416
@edendehazard5416 3 года назад
+255628317970 piga au whatssap nikusaidie
@rehemand0mwa657
@rehemand0mwa657 4 года назад
Doctor namba yako tafadhali
@alexpeter5773
@alexpeter5773 3 года назад
nina umwa ugonjwa huu na amoiba kali
@edendehazard5416
@edendehazard5416 3 года назад
+255628317970 piga au whatssap nikusaidie
@SabrinaLeveri-sg6lj
@SabrinaLeveri-sg6lj Год назад
No ya daktar tafadhal
@eliasmakobwe5397
@eliasmakobwe5397 3 года назад
Nilipima kwa njia ya💉damu na vidonda vikaonekana nimetumia dozi ya wiki mbili ila nahisi maumivu nliyokuwa nayo mwanzo yamepungua
@HamiduKibiriti
@HamiduKibiriti 4 месяца назад
Dozi gan iyo nateseka
@rawyasalim1608
@rawyasalim1608 4 года назад
Naitaj namba yako
@nduwamunguheaven7575
@nduwamunguheaven7575 3 года назад
Tup number
@lidyaleonce2734
@lidyaleonce2734 3 года назад
Tunaomba namba docta
@edendehazard5416
@edendehazard5416 3 года назад
@@nduwamunguheaven7575 Piga +255628317970 au whatssap nikusaidie
@edendehazard5416
@edendehazard5416 3 года назад
@@lidyaleonce2734 Piga +255628317970 au whatssap nikusaidie
@edendehazard5416
@edendehazard5416 3 года назад
Piga +255628317970 au whatssap nikusaidie
@neemarobina6240
@neemarobina6240 2 года назад
Shukurani dkt kwa mafunzo Yako maana mm nasombulia Sana na vidonda vya tumbo mpaka damu yananitoka puani
@gracerobert5271
@gracerobert5271 Год назад
Pole
Далее
Hizi ndio siku za Kushika Mimba - Dr Baiya Kissiwa
10:12
FAHAMU MADHARA YA TUMBO KUJAA GESI.
8:17
Просмотров 13 тыс.