Тёмный

MEDICOUNTER - FAHAMU UGONJWA WA USONJI NA MATIBABU YAKE 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@josepaulo3608
@josepaulo3608 2 года назад
Naomba namba maana nataka nimlrte mwanangu umuone
@josepaulo3608
@josepaulo3608 2 года назад
Nataka kuktana nawewe doctor
@sofiaahmad1926
@sofiaahmad1926 3 года назад
Mtoto nilimzaa na usonji lakini si kujuwa mpaka Sasa Ana miaka 23yrs bado mienendo yake kama ya kitoto, JEE NIFANYE NINI DAKTARI? Mtoto wangu ni wa kike.
@ibrahimraymond1647
@ibrahimraymond1647 4 года назад
Miaka mitano anaweza kupona?
@athumankissoma5640
@athumankissoma5640 5 лет назад
Nashukuru sana kwa.elimu hii maana Mimi mwanangu tayar nshaanza kuona dalili hzo
@TofridaKampa
@TofridaKampa 4 месяца назад
Je nn tiba yake?
@agnesnsangizyo8198
@agnesnsangizyo8198 Год назад
Jamani naenda hospital gani mwanangu ana dalili zote hizo na ana miaka miwili na nusu nisaidieni jamani
@yugakiyumbi9909
@yugakiyumbi9909 Год назад
Dada habari,ukipata matibabu ukaona mabadiliko nikumbuke na Mimi,wangu ana miaka ,3 na nusu
@happylakison2938
@happylakison2938 Год назад
Mko sem gaan mama
@fridaswai4656
@fridaswai4656 5 лет назад
Je kwa mtoto mwenye miaka 5-11 anaweza kupona usonji??
@haikadismas9257
@haikadismas9257 6 месяцев назад
Mko wapi jamani miaka sita nàteseka nimekata tamaa
@princess4217
@princess4217 3 года назад
Je mtoto kuwa muoga sana ni tatizo
@fridaswai4656
@fridaswai4656 5 лет назад
Je mtoto mwenye uzito mwenye matendo yake na aibu nyingi ni moja ya dalili za ugonjwa huu??
@peterngatunga1527
@peterngatunga1527 2 года назад
I need more information about autism/ usonji
@abdulkilufi9230
@abdulkilufi9230 4 года назад
Je kwa mtoto mwenye umri wa miaka 5 anaweza kupona?
@badriamgeni8273
@badriamgeni8273 4 месяца назад
Mm nna mtt mwenye autism ana miaka mitatu je anatibika? Naomba nisaidieni nateseka na huyu mtoto
@sadaalsheibani7106
@sadaalsheibani7106 4 месяца назад
Anatitibika mimi wangu miaka mitatu ndio nyanza matibabu sasa
Далее
Ice Bear would appreciate some cheese 🧀
00:18
Просмотров 11 млн
I Spent 24 Hours With The World's Tallest Man!!
15:07
Azam TV - MEDICOUNTER: HOMA YA INI
22:34
Просмотров 12 тыс.
Uelewa wa usonji nchini Tanzania
2:53
Просмотров 2,2 тыс.