Pale anapo sema ni mapenzi ya Mungu kwa Kila sehemu ya mahojiano yanayohusu kupiga hatua Fulani ,ananifanya nianze kumfuatilia huyu dada , Asante kuwaleta watu kama hawa broo
Napendaga kumuita sister mela sio kwa sabab ya umri hapana, ni kwa sabab ya vle alivyokuwa kiakili God bless u, ni mdada mmoja ivi ukiwa humjui unaweza kumtafiri kwa namna nyengne ila ukiwa unamfaham she is smart mno