#MelodyMbassa #PapiiKocha #Upepo
Songwriter & Song Composer ; Melody Mbassa .
Singers : Melody Mbassa And Papii Kocha
Yes ! Welcome to watch new video by #Melodymbassa ( Melody Mbassa) as general composer and singer of alto voice voice at the chorus and verse two and three in collaboration with #Papiikocha ( Papii kocha ) as singer of verse one and baritone and bass voices at the chorus...nicknoted "Upepo" as (Second Version).
Video director ; Kwetu studios ( Travellah )
Audio produced by Erasto mashine ( istudio )
Guitar played by kiso mundende
Music arrangement : Erasto mashine
Song composer : Melody mbassa
Special Thanks to @MELODYMBASSA_SUPPORTERS ❤🙏🏾💪🏽 and Kwetu studios Team..
Follow @melodymbassa on
Instagram : / melodymbassa
Twitter : / melodymbassa_
Facebook:
/ melody.mbassa
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
||||||||||||||
||||||
𝔻𝕀𝔾𝕀𝕋𝔸𝕃 ℙ𝕃𝔸𝕋𝔽𝕆𝕄$ ||
𝐀𝐔𝐃𝐈𝐎𝐌𝐀𝐂𝐊
audiomack.com/melody-mbassa
_________________________
𝐁𝐎𝐎𝐌𝐏𝐋𝐀𝐘
www.boomplay.com/share/artist...
_________________________
*𝙴𝙽𝙹𝙾𝚈 "Melody Mbassa" 𝙰𝚄𝙳𝙸𝙾's 📀& 𝚅𝙸𝙳𝙴𝙾's *📺
𝙿𝙻𝙴𝙰𝚂𝙴: Follow, Subscribe, 𝙻𝚒𝚔𝚎, 𝙲𝚘𝚖𝚖𝚎𝚗𝚝 & 𝚂𝚑𝚊𝚛𝚎
#Melodymbassa
#𝙼𝚊vokale
For booking information contact :
[ mavokale20@gmail.com ]
Artist | Bookings 📲 + 255627445769 ( Booking Agent )
M A V O K A L E ( 2019 )
MAVOKALE ©2019
© COSOTA 2019
Ina Hakimiliki na Imesajiliwa
COPYRIGHT © SOCIETY OF TANZANIA
* Hairuhusiwi Kunakiri Mashairi au Kutumia Wimbo Huu Pasiporuhusa Kutoka Kwa Melody Mbassa ( Mavokale ).
Hatua za Kisheria Zitachukuliwa
Also Listen to " UPEPO " by Melody Mbassa on boomplay 👇👇
www.boomplaymusic.com/share/al...
UPEPO VIDEO BEHIND THE SCENES 👇👇 • Melody Mbassa Feat Pap...
Song : #UPEPO🎶
Singer : Melody Mbassa feat Papii Kocha
Song composer : Melody Mbassa
LYRICS
INTRO;-🎶🎼🎵
(i.studio)!
Erasto Mashine
Melody jah leh toto scala leverite….!!
Ahaa…………….!! Papii Kocha..aah
VERSE I.. (Papii Kocha)
Mapenzi ya miaka mingi, yatoweka kwa meseji
Tupendane bila kujali, tutakuwa wapi kesho
Tangu tuchukiane, Hakuna aliyeniimbia wimbo mzuri tena
Ingawa gitaa hili, ni sawa na lile la zamani
Silangu tena, Limesaulika…ahhaa....!!
Ukweli unapanda ngazi,uongo utapaa daima..!!
Chorus 1
( Melody Mbassa & Papii Kocha )
Upepo unafanya mauwa yachanue
Na mapenzi yalifanya mimi nisitulie
Upepo unafanya majani yapukutike
Usaliti ukanifanya na yeye mapenzi achukie
Baba … alisema....!!
Pre chorus 1
Nani nani?
Atanihurumia
Nami …. Ihii…ihii anipende pia...
Bridge 1 (Melody Mbassa)
Mambo ya dunia si ya kwako hayakuhusu
Acha dunia iongee pekee yake
Ukweli wa mapenzi si wa kwangu, haunihusu tena?
Naachia mapenzi yaongee pekee yake ehhee...!!
VERSE II (Melody Mbassa)
Kipi kimefanya macho
Yapatee ukungu
Nani kaangusha kabati ni
Kizazi kilichopita
Nani amefanya macho yetu
Yapate uchungu
Nani kaangusha kabati ni
Kizazi kilichopita ...ahaaa!
Mwezi mchanga mrembo anakuja
Upepo utavuma tena?
Ujana maji ya mto yakienda hayarudi
Chorus 2
( Melody Mbassa & Papii Kocha )
Upepo unafanya mauwa yachanue
Na mapenzi yalifanya mimi nisitulie
Upepo unafanya majani yapukutike
Usaliti ukanifanya na yeye mapenzi achukie
Baba … alisema....!!
Pre chorus
Nani nani?
Atanihurumia
Nami …. Ihii…ihii anipende pia * 2
Bridge 2 (Melody Mbassa)
Mambo ya dunia si ya kwako hayakuhusu
Acha dunia iongee pekee yake
Ukweli wa mapenzi si wa kwangu, haunihusu tena?
Naachia mapenz yaongee peke yake ehee..
Nakumbuka ndoto yetu ya awali ehh
Kuoana mimi nay eye, mimi nayee
Wala msishangae mimi kuwa mbali na yeye X2
Najipa moyo ipo siku itakuwa
Ahh ahh !!ahh ahh
Upepo unafanya mauwa yachanue....!!!
Na mapenzi yalifanya mimi nisitulie.....!!
n
**** The end ******
19 авг 2019