Тёмный
No video :(

PAPII KOCHA: Huu ndo WIMBO wa BONGO umepigwa sana GEREZANI, Msanii huyu AMETUOMBEA kwa RAIS tuachiwe 

LilOmmyTV
Подписаться 546 тыс.
Просмотров 33 тыс.
50% 1

LilOmmyTV channel maalumu ya Burudani na EXCLUSIVE interview kutoka kwa masta unaowakubali.
Hakikisha una Subscribe hapo chini, Angalia show mwanzo mwisho, Gonga Like, Angusha Comment yako kisha Share Link na wenzako kwa Whatsapp au mitandao yako ya kijamii (facebook na twitter).
Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.
/ lilommy
/ lilommy
www.lilommy.com
for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc tembelea lilOmmy.com

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 54   
@joshuakaminyoge4954
@joshuakaminyoge4954 6 лет назад
Wimbo wa Waambie naupiga asubuhi mpaka jion wala haunichoshi.... Papii bigup sana
@gambetonny5963
@gambetonny5963 6 лет назад
joshua kaminyoge nakuona kaka joshua
@Vanisikaka
@Vanisikaka 6 лет назад
Ommy safii sana...clouds wapeta chance ya kuwahoji ila wamehoji pumbaa.....ila ommy wewe ni the baddest
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
*LilOmmy* unajua nice your job bro.
@OnlyRuky
@OnlyRuky 6 лет назад
Bora hata interview hii umewahoji different questions ommy keep it up bro
@mangalamlala3516
@mangalamlala3516 6 лет назад
Lil ommy wewe nomaa
@momylaviel
@momylaviel Год назад
Waambieeee naipenda sana jaman
@georgeelumba8413
@georgeelumba8413 6 лет назад
Fire
@boscoaugen7618
@boscoaugen7618 6 лет назад
sanaaa lilommy
@adolphyamin1245
@adolphyamin1245 2 года назад
Rip Magufuli
@timotheokileo4335
@timotheokileo4335 6 лет назад
lil ommy ur great
@godypatrick6485
@godypatrick6485 6 лет назад
Mzee nguza afanye kazi na diamond
@shaikhamct3744
@shaikhamct3744 6 лет назад
😁😁😁
@kedmonmaquiz
@kedmonmaquiz 6 лет назад
Best show in town
@aminadaba740
@aminadaba740 6 лет назад
Iko pow sana
@ShaibuOthmanshaibu
@ShaibuOthmanshaibu 6 лет назад
Aaise mungu awabaliki
@asmabintikiwashatz9321
@asmabintikiwashatz9321 6 лет назад
nice babu sea
@rahimajuma688
@rahimajuma688 6 лет назад
papii unashangaa camera sn 😂😂 mzee baba
@emmanuelfeli7392
@emmanuelfeli7392 6 лет назад
hongereni xna
@barickprogrammer
@barickprogrammer 6 лет назад
Always u ze best bro....
@mosesjnr8436
@mosesjnr8436 6 лет назад
Hapa Lilomy umefanya interview ya kibabe sana,Ni fupi ila imebeba content kubwa sana Hahah sema papii mjanja mjanja sana huyu jamaa
@karthala6676
@karthala6676 2 года назад
Sasa walifanya hicho kitendo. Na Kama kweli wamefanya basi huwezi kuwatowa jela
@umydaddy4697
@umydaddy4697 6 лет назад
Daaah hawa kweli wamekula calenderbado wana mpunga sasa kuna mkwanja🤣🤣🤣
@fredypeter29
@fredypeter29 6 лет назад
fredy peter
@patricktravis6575
@patricktravis6575 6 лет назад
hapa kwlii Tabweeee ww ni motooo kweny hii show
@mwanaidijumanne4146
@mwanaidijumanne4146 4 года назад
Njoo unioe mm naupenda sana natamani uwe mumewangu nipo silias
@assaningyoku5948
@assaningyoku5948 10 месяцев назад
Hey
@shareefkamtande4692
@shareefkamtande4692 6 лет назад
14 yrs duuh.... si mchezo
@peterzjohn6260
@peterzjohn6260 6 лет назад
Hv hao wasanii hko pembeni wanaangalia nini maana kila msanii anaangaliaga hko
@davidwambura5915
@davidwambura5915 6 лет назад
Peter John Acheni ushamba huko nyuma kuna sklini wanacheki ngoma
@peterzjohn6260
@peterzjohn6260 6 лет назад
David Wambura asante kwa kunitoa ushamba
@shekhekhandereizer559
@shekhekhandereizer559 6 лет назад
jamaa ana shangaa nn uyu
@mariamangel1264
@mariamangel1264 6 лет назад
Kbs baba inabidi aache tuu mziki maana kakuwa
@danielmwinyi3158
@danielmwinyi3158 6 лет назад
papii ganzi dunia lkn sio mbya mambo poah
@zainabualtz1455
@zainabualtz1455 6 лет назад
Saf
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 6 лет назад
Nchi yetu inashangaza sana mtu kupata pasport ni lazima ukamuke jasho wakati nchi za wenzetu mtu anaomba pasport anapewa baada ya siku mbili na ikichelewa siku tatu sijui kwetu kunakuwa kuna matatizo gani?
@munaahmed8499
@munaahmed8499 5 лет назад
Wapenda rushwa ndiomn mm nimetengeneza kwa laki mbali na nusu na hapo nimepitia njia za panya yaan kutoa rushwa wakat shs elf hamsini tu unapata passport lkn sasa ndio hivyo
@hasnaali3879
@hasnaali3879 6 лет назад
Walifungwa kwa nini naomba mnijuze mie siwajuw hawa walivotoka ndio nawaona kila mtu amefurahi Nataka kujuwa kwnn walifungwa mtu na baba ake na miaka mingi 14
@badmanno.1650
@badmanno.1650 6 лет назад
sweetyy Ahood walishtakiwa kwa kesi ya kurubuni wanafunzi kimapenzi..
@hasnaali3879
@hasnaali3879 6 лет назад
Ok Asante
@munaahmed8499
@munaahmed8499 5 лет назад
Walifungwa kwa kuuziwa kes ya kubaka mtoto lkn sio kweli lkn kwa vile sio kosa lao ndioman walivyotoka watu wengi wanashangilia mno na wengine kufanya hadi vijisherehe kidogo lkn ndio wamepata uhuru hivyo ndivyo ilivyokuw
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 6 лет назад
Huyu mzee kila nikimuona namueneaga uruma hadi naisi kulia
@munaahmed8499
@munaahmed8499 5 лет назад
Anatia huruma mno ukiangalia uzee umemuingia akiwa jela inauma mno mm kam mm huyo ni sawa na babu yangu kabisaaa ila mungu alivyomkubwa ndio wametoka wapo huru alhamdulillah
@geraldpaul9937
@geraldpaul9937 4 года назад
Dawa ya sukari ipo ya mzee tutafutane
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 6 лет назад
Sipati picha kamili,hivi ni wana Tanzania?
@haskao77
@haskao77 6 лет назад
Alikuwa anaangalia nini pembeni
@timotheokileo4335
@timotheokileo4335 6 лет назад
pale anaangalia si pana Tv kwa juu pale
@valentinamussa4212
@valentinamussa4212 6 лет назад
nami nataka kukiona hicho unacho kiangalia
@umydaddy4697
@umydaddy4697 6 лет назад
Nyinyi ni wazaire sio waTzee. Sema africa hakuna kuomba uraia unahamia tuu. Isipokua zanzibar ndo wanataka wawajue walikuja lini na wanatokea wapi. Hawajui kisiwa kinatengenezwa na wasafiri kutoka nchi za mbali wanaopita halafu wakafanya makazi
@mariamangel1264
@mariamangel1264 6 лет назад
wey nay inaongea nini
@msellemsalim690
@msellemsalim690 6 лет назад
umy daddy..hata mabara ni watu waliotoka sehem mbalmbal kutafuta chakula ama makaaz n.k.. Allah anasema" Tumeumba kabila na mataifa na luqha mbalmbal il mupatee kujuana" Kwa maana io km ni TAIFA la ZANZIBAR bx hao ni WAZANZIBAR. ..
@umydaddy4697
@umydaddy4697 6 лет назад
Msellem Salim true
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 6 лет назад
umy daddy hujasoma history ndomana unasema hivo
@boscoaugen7618
@boscoaugen7618 6 лет назад
sanaaa lilommy
Далее
Papii Kocha - Waambie (Official Video)
4:01
Просмотров 1,2 млн
Funny Clip 06
2:26
Просмотров 859 тыс.
Salima
6:46
Просмотров 14 тыс.