Тёмный
No video :(

MENEJA DING'ANO ALIVYO MCHANA DIAMOND KUSEMA KATAPELIWA NDEGE YA BILIONI // ASITUONE SISI MACHIZI.. 

PTVTANZANIA online
Подписаться 506 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

#harmonize #diamondplatnumz #live

Опубликовано:

 

24 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 79   
@Bama959
@Bama959 10 месяцев назад
Diamond muongo sana aisee
@BAHATIKIBA-ul6wx
@BAHATIKIBA-ul6wx 10 месяцев назад
Ndege Siyo Gari , Wasanii Wa Tz Achen Uwongo 😂😂😂😂😂😂
@jackhans7708
@jackhans7708 10 месяцев назад
Ninafanyakazi kwenye kampuni za ndege hapa ulaya,ninakuambia diamond hawezi kumiliki ndege,labda afanye biashara na sponsa wake.
@abduljafari881
@abduljafari881 9 месяцев назад
Unamaanishann
@jackhans7708
@jackhans7708 9 месяцев назад
@@abduljafari881 ninamaanisha kwamba kununua ndege Sio kitu cha kawaida na Sio kila mtu anaweza, Tanzania kwa Sasa mtu anayeweza kumiliki ndege ni azam group na serikali.
@shabanihaji3896
@shabanihaji3896 9 месяцев назад
Ivi mashoga muta acha Lin ivi mond akiongea kit Kuna mijitu Ina teseka Kama katapeliwa si kimpango wake asa kuliweka kichwan ili iweje achen ufala nyinyi uyu dingano nae shoga t sula mbaya
@jackhans7708
@jackhans7708 9 месяцев назад
@@shabanihaji3896 Kama hao watu nimashoga 🤔basi kumbuka na umondani🤬
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 9 месяцев назад
Labda uuze kundulu ulaya!!😅😅
@user-if9mg6ou7r
@user-if9mg6ou7r 10 месяцев назад
Mondi usiache ulevi unakufaa sana baba
@Harmo-Mki01
@Harmo-Mki01 10 месяцев назад
Jama katafuta kiki zauongo tena zaujinga tu, namcheka kwa mbali 😂😂😂😂😂😂
@JulianaMushi-nq3kc
@JulianaMushi-nq3kc 10 месяцев назад
Labda ndege kasuku🤣🤣🤣🤣
@theroots2743
@theroots2743 10 месяцев назад
Ndege aina ya ungo pengine kaichukua shangazi yake maana mzee Abduli yeye sio mwanga wa kuruka na ungo
@user-ww9gd8pb7o
@user-ww9gd8pb7o 9 месяцев назад
Manage Dingano, nakukubali sana, unasema ukweli. Chukua Maua yako na Mtangazaji PTV🌹🌹💐💐🌻🌻🌻🌺🌺
@user-bf9xj3nf1o
@user-bf9xj3nf1o 10 месяцев назад
Monday anatafuta kiki ndege sio gari bro
@Ben_infotv
@Ben_infotv 10 месяцев назад
😀😀😀😀 Muongo sana Diamond
@frankmeney6775
@frankmeney6775 10 месяцев назад
Ptv bila diamond haiwezekani 😅😅
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 10 месяцев назад
Kashindwa kumsamehe Rayvan na harmo Kwa milioni 600. Leo aongeee eti bilioni 4 nnimezulumiwa...😂 Jamaa ana kick za ...
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 9 месяцев назад
Mm ninavyomjuwa Mond,ndege kashanunua tayari na anafanya hv kuona kama ndege yake ita trend
@sidikassim6759
@sidikassim6759 9 месяцев назад
We ndege unaijua
@musarashid3482
@musarashid3482 9 месяцев назад
Ttz anapend kufek sn maisha ..anadhan dunia na tz ya ssa ni kma zaman asaiv ushamba wa ivo vitu amn..kila kitu kipo waz.anapnd kujipaish kipuuzi.ndo man watu wanamdharau na kumtoa akil
@SamyJetlee-xq3ue
@SamyJetlee-xq3ue 10 месяцев назад
Île ni bongo nikutu kweli aiweze kane
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 9 месяцев назад
Kwani uyu jamaa shoga nini kumalamamaake!! mbna anamuongelea mwanaume mwenzie kila siku au anafosi amaarufu!!!
@user-bc8kw3tg6j
@user-bc8kw3tg6j 10 месяцев назад
Mimi ndio mwenye kampuni ya kuuza ndege hapa ulaya.... kwanza Diamond ntamchukulia hatua kwakutuchafulia jina....hatujapokea pesa yoyote kutoka kwake alafu huyo kijana bado hajakua na uwezo wakununua ndege....
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 9 месяцев назад
Ndege joni au njiwa
@udizungwahimalaya5213
@udizungwahimalaya5213 9 месяцев назад
Kumamaaako
@user-mx8fq1uy3o
@user-mx8fq1uy3o 10 месяцев назад
I love this guy
@RukundoSedrick-vb6zr
@RukundoSedrick-vb6zr 10 месяцев назад
Hana lolote huyo diamond wenu ,nikichaa
@CarlosHenriquesNankodya-nl5ps
@CarlosHenriquesNankodya-nl5ps 10 месяцев назад
Uongo umezidi 😂😂😂😂
@HusseniKijonjo
@HusseniKijonjo 10 месяцев назад
Anakuwa chizi sasa jamaa ahahaha noma mpekeni Mirembe uyo
@AntonizerDaddy
@AntonizerDaddy 9 месяцев назад
Pumbav zake
@user-zq4ii6ju9m
@user-zq4ii6ju9m 10 месяцев назад
mchiyenu ya Tanzania imenunuwa ndege awamu ya marehemu magufuli wewe utatowa wapi hella zakununuwa ndege diamond acheni kufeki mahisha
@m___ck799
@m___ck799 10 месяцев назад
😂🤣 it's even embarrassing to say it loud! Angekaa tu kimya ..😅
@mulangakaliba2902
@mulangakaliba2902 10 месяцев назад
Ume maliza maneja
@sidikassim6759
@sidikassim6759 9 месяцев назад
aliomba kolabo na Lilwayn 😂 sio basta rayms zko wapi kolabo yni bdo hmjashtuka kma hyu jmaaa anaish kw sifa
@kedwaboi8226
@kedwaboi8226 10 месяцев назад
Soko gani katepeliwa
@saidilome-ue2df
@saidilome-ue2df 9 месяцев назад
B 4 labda helicopter sio private jet maana private jet ni takriban dola milion 100.mfano ile ya Drake,haya piga hesab dola milion 100 kwa shilings ni kias gani.
@FrankKiondo-fq8hf
@FrankKiondo-fq8hf 9 месяцев назад
Bado kodi hapo ya nchi bado huja jumlisha.
@edwinamos9734
@edwinamos9734 9 месяцев назад
Mimi nafikiri hamkumwelewa yeye alisema ndege mnyama lkn akipata billon 4 atanunua sanamu ya ndege.
@shukurukitamuka6829
@shukurukitamuka6829 9 месяцев назад
ptv acheni kutu zinguwa mbona rahisi uyo mondi atu oneshe risiti tu ya deposit😂😂😂
@user-fy4bh2rw4f
@user-fy4bh2rw4f 9 месяцев назад
Hana hela zakununuwa ndege
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 10 месяцев назад
Hii story ya kutapeliwa 😂😂😂
@ElvisSimba
@ElvisSimba 10 месяцев назад
Uku kenya tunasema(STRORY ZA JABA)😂😂😂
@sigfridchristian1890
@sigfridchristian1890 10 месяцев назад
Jaba 😁😁😁😁😁
@jackhans7708
@jackhans7708 10 месяцев назад
Ile jet aliyokodi ni € ml 15 mpya.
@user-ws5sd8wf1t
@user-ws5sd8wf1t 9 месяцев назад
Huu niuwongo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ndege au bajaji
@user-rr6sq7up5n
@user-rr6sq7up5n 9 месяцев назад
Diamond anashida sana mziki umeisha atulie amuachie mziki konde boy
@johnman4619
@johnman4619 9 месяцев назад
Akiona upepo wa zuchu umeicha kanza wasafi media saivi kaanza ndenge kwanini huyo diamond hataki kukubari music hamna mambo mengi yakisenge
@errickisigo948
@errickisigo948 9 месяцев назад
Acha usenge,.. Kasema kianzio bi nne
@sigfridchristian1890
@sigfridchristian1890 10 месяцев назад
Stak maswali ya ndge😊😂😂😂😂
@IssaMuhamed-sg6np
@IssaMuhamed-sg6np 10 месяцев назад
Muongo sana daimond hana lolote
@simaonasoliverpool6492
@simaonasoliverpool6492 10 месяцев назад
Ndege shio kama babá levo.
@user-ch3ku3yx2z
@user-ch3ku3yx2z 9 месяцев назад
Kesho atasema anamuota zari😅😅
@erickzephania1030
@erickzephania1030 9 месяцев назад
Burnaboy, Lema na Asake nk wameanza mziki juzi tu lakini sas ivi dunia yote inawajua na wanafanya biashara ya mziki popote duniani. Wasanii wetu wapo na media zipo busy na Upumbavu.. Kiki kubwa mziki mdogo
@bornifacecharles2
@bornifacecharles2 9 месяцев назад
Burnaboy ameanza mwanaka gani nimesahau kidogo
@khatibumasudi
@khatibumasudi 9 месяцев назад
Mombasa tunasema story za mongoka na sigara ya rosta mbwee mbwee tu za buree wenye pesa kumliko Yeye kina wizkid na davido na bado hawajanunua itakuwa Yeye katapeliwa 😂😂😂😂
@shaphiasabani5760
@shaphiasabani5760 9 месяцев назад
Kweli ndege yake imelipulia Palastna ilikua inakuna uko Tz
@saidilome-ue2df
@saidilome-ue2df 9 месяцев назад
😁😁😁😁😁😁 imelupuliwa Gaza inakuja Dar.
@shaphiasabani5760
@shaphiasabani5760 9 месяцев назад
@@saidilome-ue2df Humeona enh
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 9 месяцев назад
Wivu na umasikini ni vitu kibaya sana yaani watu wanazunguka kwenye Mitandao kukanusha Maneno ya Maendeleo ya Mwenzio..Vijana wa hivi ndo wanakufa Masikini
@user-iw9zm7zh2u
@user-iw9zm7zh2u 9 месяцев назад
Diamond ni kmmmk mmae! Landa ndege kasuku😅😅😅😅😅
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 10 месяцев назад
Anarudi utotoni
@shabanJuma-fe6wf
@shabanJuma-fe6wf 10 месяцев назад
Uyu jamaa ni bonge moja la fala dingano
@sidikassim6759
@sidikassim6759 9 месяцев назад
kwhio wwe unakubli kma hyo diamond alinunua ndege sio we unaijua ndege wwe unajua parking yake kwa jisaa moja kias gni
@shukurukitamuka6829
@shukurukitamuka6829 9 месяцев назад
mondi kasawa hau anelisema 4 millions not 4 billions😂😂😂alikuwa amekwisha vuta unga
@user-uk6pt5so3q
@user-uk6pt5so3q 9 месяцев назад
Sijaona ndege ya b4 mmmmmmm😂😂😂😂😂
@user-lm6iy1xx6w
@user-lm6iy1xx6w 9 месяцев назад
Anaweza nunuwa nikukosa kwenu akili tuuuu kwani kuwa ulaya donini
@hamisisalim
@hamisisalim 10 месяцев назад
Kweli ameisha huyu jamaa anachotafuta ni kiki tu
@frankdzombojun1343
@frankdzombojun1343 9 месяцев назад
Labda ametapeliwa ndege mnyama.
@meereggfd5574
@meereggfd5574 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂
@MJ-rr6dy
@MJ-rr6dy 10 месяцев назад
hiyo PTV kila siku kumuongelea mond, na kuhoji hao hao wasiompenda kila siku, pumbavu nyie
@LenatusPosiano-hi7tk
@LenatusPosiano-hi7tk 10 месяцев назад
Hawa ndivyo walivyo hawa mbwa yani ptv wananikela sana hawajui tu yani
@babiddi8620
@babiddi8620 10 месяцев назад
Mushazoea kudanganywa kila jambo ndomana akili zimedumaa kwa uongo
@davidibrahim9138
@davidibrahim9138 9 месяцев назад
Hivo zi vicamera uchwara vinamvyomilikiwa na wasanii wasiompenda mond wanawatuma mkamtukane mond acha wale kpitia mond
@ClauclauNiyoyandemye-zg8pb
@ClauclauNiyoyandemye-zg8pb 9 месяцев назад
Kama hakununuwa ndege basi acha akununuwe wewe
@CharlesMapua-sw9re
@CharlesMapua-sw9re 9 месяцев назад
ata wanunua akina baba levo sio ndege chizi wwee
@justerkaregi8044
@justerkaregi8044 10 месяцев назад
Kama yeye amesema sisi ni kina nani tumpinge?
Далее
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Просмотров 12 млн
🎙А не СПЕТЬ ли мне ПЕСНЮ?
3:09:39
Просмотров 1,6 млн