Wewe ulisha vaha wewe 😂😂😂😂 acha ujinga dingano uko kwenye dunia yawapi wewe nihapo tanzania akuna mwengine ulisha fika zaidi ya hapo unajua mti wenye matunda mazuri lazima ipigwe mawe daimond bwana muongo wewe unadanganya akuna msani alisha blandi akalipwa laki mbili muongo wewe 😂😂😂😂😂