msanii kulipwa milioni kumi sio tatizo dudu, issue inakuja uyo msanii anaweza leta watu wakaingiza iyo amount na kupata faida ,ili walio andaa warudishe hela zao walizolipa msanii uyo, mziki wetu bado ujashika vizuri kwenye jamii hata club nyimbo za wasanii wetu hazichezwi sana wapo wawili watatu,tunawashuru watu wa radio wameuinua mziki wa ndani, dudu hapo alipo nani atamlipa wakati hana ngoma za maana sasa ivi zilizoshika kwenye jamii na media zote...dudu punguza kuponda