Тёмный
No video :(

Mfahamu Aunty: "Nimeishi Na Bibi, Kwenye Chumba Kimoja, Sina Rafiki" | SALAMA NA AUNTY PART 1 

YahStoneTown
Подписаться 396 тыс.
Просмотров 142 тыс.
50% 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
Nikuibie tu siri ya kabatini kuhusu haya mazungumzo yangu na Aunty Ezekiel, kwanza ilikua ngumu sana mpaka alipofika hapa kwenye kiti maana mazungumzo haya yalighairishwa zaidi ya mara tatu mpaka ilipofika siku hii. Kwa imani yangu nisema Mungu ana mipango yake, yaani kila kitu kwa wakati wake na bila ya shaka wakati wa hii ulikua haijafika bado ndo maana haikutokea na kwa kutokea siku hii, huu ndo ulikua wakati sahihi kabisa.
Mimi na yeye tunafahamia ki vyetu, si watu ambao tunakutana kila siku ila ni watu ambao tukikutana tuna click tu vizuri na mambo yanaenda. Marafiki zetu wengi pia wanafahamiana kwahiyo tunaenda tu vizuri. Na nia na madhumuni ya sisi kumtaka kwenye kiti chetu ni kwasababu wote tunajua amepitia mengi na kwa yeye kutusimulia kuhusu makuzi yake na mahangaiko yake yanafaa nafasi kwenye kiti chetu.
Toka mara ya kwanza kusikia jina la Aunty Ezekiel naamini miaka mingi tu ishapita, kama wewe ni wale wa zamani kama mimi basi utakua unamjua toka miaka ya katikati ya 2000 baada ya kuwa mmoja ya kundi la wasichana wazuri ambao walishawahi kushiriki Miss Tanzania. Kwenye mwaka ambao Aunty alishiriki kulikua na warembo kama Wema Sepetu, Jokate Mwegelo na Irene Uwoya kuwataja tu wachache. Aunty yeye naye alikua kati ya wale waliongia Top 10. Mwaka huo ulikua mwaka wa ushindani sana lakini wengi ambao walimaliza vizuri ndio hawa mpaka leo wanaendelea kufanya vizuri katika nyanja mbali mbali ambazo wao wamezishagua.
Aunty sasa ni Mama wa watoto wawili ambao ameniambia ni kila kitu kwake, wanampa sababu ya kutaka kuendelea kuishi na kuwa bora kwao kila wakati, nilimuuliza siku ya kwanza alipompata mtoto wake wa kwanza, na hisia yake ilikuaje, na anakumbuka jinsi ambavyo aligundua ana ujauzito na mara ya kwanza anamshika Cookie mikononi mwake.
Aunty pia anakumbuka ‘ujana’ wake na mengi aloyapitia mpaka akawa hivi alivyo leo.
Kuna suala la yeye kuwa na mahusiano na wanaume ambao ni wadogo kuliko yeye, au wale ambao alikua nao zamani ambao walikua wakubwa kuliko yeye, Aunty amenielezea maoni yake juu ya hili. Mahusiano yake na Marehemu Mzee wake, Mama yake.. Alivyolelewa na machaguzi ambayo aliwahi kuyafanya wakati anakua na pengine maamuzi mabaya au kama ana majuto katika maisha yake.
Kama binadamu kuna baadhi ya mambo yanakua magumu kuwa nayo wazi au kuyaelezea kinaga ubaga, Ila hata kwa haya ambayo tuliongea nae natumai utapata ya kujifunza kupitia yeye.
Tafadhali Enjoy.
Love,
Salama.
Support us through anchor.fm/yahs...
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidS...
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 178   
@terrychaupole9473
@terrychaupole9473 2 года назад
Ant nimekupendaaa unajibu vizur mapenz na umri wapi na wap Bora upate furaha ya moyo wako
@TinaTana-i5s
@TinaTana-i5s 7 дней назад
Nakupenda sana anti tangu nikiwa mdogo,nikiona movi uko wewe siachi kuangalia
@aishamunezero6840
@aishamunezero6840 2 года назад
Aunty yani nakupenda mbaka basi tunafanana wousi waku ngaa unashingo nzuru kama yangu MashaAllah ❤️❤️❤️
@christercheru8328
@christercheru8328 2 года назад
She is so real and Kusah looks good on her. Salama hebu mlete Diamond na muulize hivi hivi mbona anacheza na wanawake
@floramlowe7078
@floramlowe7078 2 года назад
Haswaaaa kabisa mungu atusaidie wanaoishi na wazee wanachangamoto yanikupelekana mahakamani kisa mali.
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 2 года назад
Aunt mineno hyooo👌👌👌wazee wanachosha jamanii 😆😆😆😆🤣vijana wana radha zao mzee ana koroma huyoo kama injin ilyokosa majiii🙄🙄
@annamsuluja228
@annamsuluja228 2 года назад
Akhiiiii nimecheka kwa nn lakini Cathy🤣🤣🤣🤣🤣
@asia9930
@asia9930 2 года назад
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
@elmasroj9712
@elmasroj9712 2 года назад
Nampenda aunt, napenda perceptions zake, anaridhika na maisha
@kashindijohn5145
@kashindijohn5145 2 года назад
I wish this interview could be longer than it is, Salama you’re professional I like your show, Aunt also is so kind, I didn’t expect her to answer those questions deeply also politely.I LOVE YOU Aunt❤️❤️❤️❤️❤️🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@aminasaid7456
@aminasaid7456 Год назад
Yeah
@shadyaloaf8694
@shadyaloaf8694 Год назад
Mashaallah km mzuri utafatwa na wtt ht uwe umri mkubwa kasbbu analipa ant zeki mzuri hajachuja
@arleneilunga9202
@arleneilunga9202 2 года назад
I love her, she's proud of herself 💋
@deusdedit789
@deusdedit789 2 года назад
Ni kweli ukiwa na marafiki wa kiume wanakua na msada kuliko wanawake. Wanawake wengi ni wanafiki... wambea... waongo sana.. wezi wa mab....na wengi wachawi 🤐🤐🤐🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️
@janebernad3349
@janebernad3349 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣 hapo kwenye uchawi
@jamesmugala8944
@jamesmugala8944 2 года назад
I love the way she is straight up 😍👌 I gatch u aunt
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 года назад
Huwa nampenda sana ant Coz mkwel sanaa
@Interracialcouple.
@Interracialcouple. 2 года назад
Mimi ni Nicky kutoka Rwanda, nawapenda sana
@christinenzobambona456
@christinenzobambona456 2 года назад
Yani Aunt ww ni 🔥🔥🔥
@BGHaule
@BGHaule Год назад
Aunt ezekiel is very matured kuliko nilivyokuwa namfikiria
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 2 года назад
Nampenda sana aunt, kwanza n muwazi an interview zake na enjoy 🥰🥰
@alvinmbugua9830
@alvinmbugua9830 2 года назад
Salama I love your project...aunty is too matured. Your very passionate about everything. Nairobi tuko rock
@abedkarume9088
@abedkarume9088 2 года назад
Mdada unty anaakil kubwa na busara zaid ,na salama ana busara zaidi kupindukia
@TheMastertz
@TheMastertz 2 года назад
Auntie, Mungu akuzidishie. Nimependa SANA uwazi wako. Hii nitaicopy nimtumie mtu wangu. Nitamwelekeza asikilize hapo ulipoongelea kuwa namba 1. Na unavyoridhika na hapo ulipo. Akisikiliza na kuelewa sawa. Akiona mchosho poa pia. Mimi na wewe tumeshavuka mengi. 😉Leo umenipa sababu ya kuishi zaidi niwe MIMI. Ahsante.
@njeringugi7939
@njeringugi7939 2 года назад
Aki my favorite venye nilikua namuandika kwenye Kila vitabu vyangu nikiwa shule 🤣🤣🤣🤣🤣
@eddobiz9452
@eddobiz9452 2 года назад
Natamani siku moja dada na me nije kwenye hiyo interview #@swahili vibes tz
@anthonymathias6442
@anthonymathias6442 2 года назад
Salama aisee you are very smart
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
💯
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 2 года назад
She is thankful ❤️❤️❤️
@esthermasolwa1340
@esthermasolwa1340 2 года назад
Nakupenda ant ezekiel upo muwazi sana ktk maongez yako nahisi pia hata kwenye mahusiano migogolo inapotokea nahc hao jamaa ndo wanaokukosea
@roseafrael75
@roseafrael75 2 года назад
Penda kile kinachokupa amani,,,🥰☺️👌
@lastsimbatv1497
@lastsimbatv1497 2 года назад
Salama maswar yako tu ukwer unafunguka wenyewee nakukubar sanaa
@asmajuma618
@asmajuma618 2 года назад
Salama allah mungu akuweke salama km jina lako Mrs kusah ni mwanamke bora nampenda allah amrinde na kila dhira la dunia ampe kila hitaji la moyo wake lililokuwa la kheri
@rafikiyangu34
@rafikiyangu34 2 года назад
Salama nuff respect ✊ Interesting interview it’s love all the way 🇰🇪
@noru9028
@noru9028 2 года назад
🇴🇲🇴🇲❤️show number one
@mussanchimani4839
@mussanchimani4839 2 года назад
Noma sana
@Tigressnjoki.
@Tigressnjoki. 2 года назад
I love Aunty she is so real😍😍💕💕
@AfiSoul103
@AfiSoul103 2 года назад
Nampenda 🤗🌻 Aunt since with marehem kanumba.. young bilionea
@fatumaomary9635
@fatumaomary9635 2 года назад
Nakupenda sana mama kuki 🥰🥰
@ndayiragijehassan6086
@ndayiragijehassan6086 Год назад
muwa journaliste wa tzn salama anajuwa kuhoji ongera sana
@desirenathan3734
@desirenathan3734 Год назад
Aunt ume nifilahisha. Nakupenda. Sana😂😂😂❤❤❤
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 2 года назад
Nice salama kutuletea mpenzi wetu
@nasrashami5853
@nasrashami5853 2 года назад
Salama mtafute tea....ndumbangwe misayo plz...
@imgiven7584
@imgiven7584 2 года назад
This is good I request for navykenzo
@desirenathan3734
@desirenathan3734 Год назад
Nakupenda sana Anti😊
@chimezd5502
@chimezd5502 2 года назад
Bien parlins😍
@rabielfadhili994
@rabielfadhili994 2 года назад
mwalike Mrisho Mpoto na Odama.
@julianamaganga4803
@julianamaganga4803 2 года назад
👌
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 9 месяцев назад
Ilove you so much mama anty❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
@ab3ab313
@ab3ab313 2 года назад
Maman kuki nakupend bure❤❤❤❤
@jacklinemhina8337
@jacklinemhina8337 Год назад
Mbavu zangu hoi
@shadyaloaf8694
@shadyaloaf8694 Год назад
Safi cna upo sahihi majibu yko ht dini inaruhusu mwanamke mkubwa kuolewa na mwanaume ht km umemzidi umri hakuna kitu tofauti au mabadiliko ni sawa
@victoriakhatibu2288
@victoriakhatibu2288 2 года назад
Nakupenda shoga
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 года назад
Sallam iknw you from long time kunasikuu nita uliza shwahil ngumu
@sifamugwaneza8774
@sifamugwaneza8774 2 года назад
Nakupenda sana twin wng #Anty
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 2 года назад
Jamani nampenda anti anajielewa
@dayana5513story
@dayana5513story 2 года назад
Aunt love you 💗
@eshasozy69
@eshasozy69 2 года назад
Asante sana anty uko vzr nakupenda tuu jmn
@janetlasoi4918
@janetlasoi4918 2 года назад
I love her so much please bring wolper
@namsifumihungo8504
@namsifumihungo8504 5 месяцев назад
Wewe ni Mimi kabisaa😂😂😂Rehema Luwanja anajua😂😂😂
@cristinasofla5090
@cristinasofla5090 2 года назад
Wow
@halemmmbarak16
@halemmmbarak16 2 года назад
Gud vibes
@tigerclassic7340
@tigerclassic7340 Год назад
Nampenda sana auntie Ako poa naomba kufanya kazi na yy
@jaquilinekivunge331
@jaquilinekivunge331 6 месяцев назад
Smart
@bonphacesaha864
@bonphacesaha864 2 года назад
I love u auntie😘😘😘
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 2 года назад
Aunt ulipoacha kugandana na wema ndio ukaacha ku fake 😅
@airashpopa2960
@airashpopa2960 2 года назад
I love you aunty
@joycemollel7698
@joycemollel7698 2 года назад
Safi sana antie ake .
@WahidaHilaly
@WahidaHilaly 4 месяца назад
❤❤❤❤❤
@bellazara6448
@bellazara6448 2 года назад
Nampenda Aunty intvr nzuri kabisa
@asmamimy8096
@asmamimy8096 2 года назад
Nimempenda Anty bure kujiamini raha sana
@macbethcharlesmadrisha3304
@macbethcharlesmadrisha3304 2 года назад
ant nakupenda sana jaman napenda nikuone anakwaana jaman
@macbethcharlesmadrisha3304
@macbethcharlesmadrisha3304 2 года назад
nakupenda sana
@rosejoely4518
@rosejoely4518 2 года назад
Nakupenda bule 😍😍😍😍😍😍❤❤❤
@bellazara6448
@bellazara6448 2 года назад
Injoy nawatoto ndo maisha dada yngu
@nancywanjiku1554
@nancywanjiku1554 2 года назад
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nakupenda bure
@leaherasto929
@leaherasto929 2 года назад
Ant napenda rangi yake
@sharifasalum532
@sharifasalum532 2 года назад
Anti safi sana
@najimahgomez3334
@najimahgomez3334 2 года назад
Wema,,,,,,,,, je nnnnnn shoga
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 2 года назад
Tutukane tu unty wazee tuko hivo kweli
@elizabethmuia9839
@elizabethmuia9839 2 года назад
Aunt you are very clever 👍👍👍👍🙏
@Gregoiresidehustle
@Gregoiresidehustle 2 года назад
I would love to see a sit down between you na harmonize
@hidayachanga4774
@hidayachanga4774 2 года назад
Aunt nakupenda Sana
@macdee_tv7622
@macdee_tv7622 2 года назад
Kipindi kizuri...big fan from kenya
@yemgaboytz7113
@yemgaboytz7113 2 года назад
Nic
@hanifamallya1589
@hanifamallya1589 2 года назад
Napendaga anavyoongea sana yaan hapa nafeeel guuud
@ARAFATVSHOW
@ARAFATVSHOW 2 года назад
So humble
@meky9404
@meky9404 2 года назад
tuletee na watu wa football .. kina haji ..feisal .. mkude ... kasejaaa
@tausijarufu
@tausijarufu 2 года назад
Wow majibu hayana mbamba 🤗🙌
@salmatanz948
@salmatanz948 2 года назад
Mimi nimekwama hapo kwa mzee usiku ukifika ati utampeleka wap😂😂😂
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@sheilacruz6458
@sheilacruz6458 2 года назад
Tulete Harmonize but nice interview
@johannahakim8470
@johannahakim8470 2 года назад
Aunt umezeeka siyamii kama macho yangu, nikitizama pics zako na iyo interview naona niwatu wa 2 tafauti,umezeeka nashingo limeisha jikunja Ila nakupendaga sana,,🇧🇮
@nancyg8664
@nancyg8664 2 года назад
Amezeeka miaka 30 naa!?
@tiffahkidoti8954
@tiffahkidoti8954 Год назад
Sio mzee Ila kila mtu atapitia huko.
@happinessshayo2483
@happinessshayo2483 2 года назад
Salama... Unajua sikuzote... Aunt Ezekiel weuwe ni mdada pouwa Sana...trust me haujazeekaaa... Nimeipenda ulivyoongea... U speak vizur munooo hahahahahah umri it's a number... We ishiiituuu maishayako bhana...
@mariamkadio8402
@mariamkadio8402 2 года назад
Mm nampenda sana huyu anti na shemsa ford.
@karimabdoul7619
@karimabdoul7619 2 года назад
Mwanamke anye furahia alicho nacho ni wa thamani sana. Kusa asije kufanya ujinga hapo.! Aunty yupo vizuri sana 😍🔥🔥
@mimmyjijimmy5235
@mimmyjijimmy5235 2 года назад
Muite Halima Mdee
@happyalicko8571
@happyalicko8571 Год назад
😂😂
@najimahgomez3334
@najimahgomez3334 2 года назад
Daaa mrembo kikojozi huyo kaongea ukweri wasanii wa tz mna maisha ya mtumba kama ulaya mazishi bongo
@trizhkk7081
@trizhkk7081 Год назад
🤣🤣🤣🤣nimekumbuka movie binti kikojozi🤣🤣🤣🤣
@wilsonchishomi1083
@wilsonchishomi1083 2 года назад
Jack Pemba 😂🤣
@user-wk1ix1gm1p
@user-wk1ix1gm1p 2 года назад
Nikiwa mkubwa nataman kuwa kama Aunt 🤣🤣🤣🤣
@marytemba883
@marytemba883 Год назад
Salama big up unajua sana 😘😘😘
@esthermasolwa1340
@esthermasolwa1340 2 года назад
Aaah salama ulivyo nakupendaga tu nahicho kisauti ulichokiigiza apo nimependa
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 2 года назад
Nice.interview...
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 2 года назад
Aunt umeongea ukweli sana sana
@trizhkk7081
@trizhkk7081 Год назад
Fanya na maza house..Jina limepotea ila mwanadada muigizaji
@ashaibrahim6244
@ashaibrahim6244 2 года назад
Huwa nampenda Aunt Ezekiel lkn nimempenda zaidi anavyoflow kwenye interview yake na Salama
@ashaibrahim6244
@ashaibrahim6244 2 года назад
Yaani unanikosha sana kwa kuongea kwa uwazi na kujiamini sana. Kwa maelezo tu unamwona kabisa ni mama bora love you. 😘 💕
@ibba8082
@ibba8082 2 года назад
Vitanda vya Mwimbili Sasa
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 года назад
Aunty Nakupenda sana😍😍😍
Далее
Средневековый киборг
00:39
Просмотров 518 тыс.
Mkasi | SO9E06 with Aunty Ezekiel
27:02
Просмотров 270 тыс.
USIFANYE MAKOSA HAYA UTAMHARIBU MTOTO WAKO.
15:16
Просмотров 10 тыс.