Frida Amani f/ G.Nako - platoon.lnk.to/can-i Frida Amani "This Is Me Live" Performance - • Frida Amani "This Is M... Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
Kaka SKY tuletee DJ FETTY anaua Sana Power Breakfast.... Ikiwezekana fanya utofauti kidogo walete PB baadhi yao wafanyie interview I believe itakuwa ya utofauti lkn itakuwa enjoyable sana mlete Fetty, KP na Sza wafanyie interview nahis kitakuwa kitu kipya na italeta maudhui mapya.
@@faudhiakhaji thank you...itatupa picha maisha yao nje na ndani ya kazi... Na jinsi utofauti wao unatengeneza chemistry nzuri kwenye PB yaah ni great idea sana
I am a professor in a Kenyan university with research interests in conservation biology utilizing environmental DNA (eDNA). When she gets to studying environmental conservation, she is welcome to reach out for guidance.
Her eloquence, articulation, her Vision and ambition and the Way She Views and Approaches Life tells you how Smart Frida Amani Is! Way to go Beautiful, Keep It Up 👍🏾
Sky ,its so humble of you personally interviewing people. Your listening and communication skills is at top...thank you for bringing content that are not only informative but so entertaining. 🙏🙏
Unajua kuna watu unaweza kuwasikiliza siku nzima na usichoke. Hawa hapa sasa ndo watu wenyewe.Kuna mdau kasema kwenye comment humu kuhusu Dj Fetty,na mimi naunga mkono hoja. Skywalker,tuletee Dj Fetty tafadhali.😊😊