Тёмный

MFAHAMU STRAIKA MREMBO WA SIMBA QUEENS OPAH CLEMENT/MABALAA YAKE UWANJANI UTAPENDA. 

Mpenja TV
Подписаться 512 тыс.
Просмотров 51 тыс.
50% 1

Leo disemba 28 2021, Mpenja Tv inakuletea makala na mahojiano na Straika wa Simba Queens na timu ya Taifa ya Wanwake Twiga Stars Opah Clement.
.
Opah amezungumza na mtangazaji wa Mpenja Tv Alwatan Abdulaziz kuhusu maisha yake ya Soka pamoja na vingi usivyovifahamu kuhusu yeye.
.
Fungua video hii kupata uhondo wote wa mahojiano haya.
.
#opahclement #simbaqueens #mpenjatv

Спорт

Опубликовано:

 

27 дек 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 21   
@barakalema4358
@barakalema4358 2 года назад
Mchumba wangu oppa namkubali saaana yaan anajua kuliko kina bocco
@godymobile
@godymobile 2 года назад
Mzee alwatan kingereza yako imenyooka zaidi ya watangazaji wakubwa kibao umesoma shule ya kishua bila shaka
@peterphilipo4152
@peterphilipo4152 Год назад
Nampenda sana huyu dem golin halembi stars wangeiga mchezo wa hawa madem tungekuwa mbali
@zakariajoseph5454
@zakariajoseph5454 2 года назад
Nampenda sanaaa dahhh anafanya vizuriii sana🤲🤲🏰
@emmanuelmnuna1821
@emmanuelmnuna1821 2 года назад
Hongereni sana Mpenja TV mpo vizuri kwenye kutoa habari sahihi
@MpenjaTV
@MpenjaTV 2 года назад
Shukran sana Karibu tena
@hajimhapa4166
@hajimhapa4166 2 года назад
Nawapata mpenja tv
@pachazungwe7488
@pachazungwe7488 2 года назад
Hongera kwa oppa
@geofreysenka7091
@geofreysenka7091 2 года назад
Atakuja kuchezea Mbeya city au Mbeya Kwanza ya wanaume
@husseinhemed6707
@husseinhemed6707 2 года назад
Nna dhida na namba ya alwatan mweny nayo anisaidie plz
@geofreysenka7091
@geofreysenka7091 2 года назад
Anatokea alipo Mama yangu mama mwangoka mapelele ilemi
@leejems142
@leejems142 Год назад
Kam haj olew Alwatan nifanyie mpang nimuoee
@yusufmahamed43
@yusufmahamed43 Год назад
She's brilliant
@bitreszaha1639
@bitreszaha1639 Год назад
Opah usiondoke simba kwan nimependa san unavocheza simba
@uwezogeoffrey9985
@uwezogeoffrey9985 Год назад
Oppa hongera
@geofreysenka7091
@geofreysenka7091 2 года назад
Mtoto wa nyumbani Ilemi Mbeya watoto wanao tokea ilemi wanajua kufunga
@chiefmtoto1365
@chiefmtoto1365 2 года назад
Kafanana na Baba yake
@fadhiliandrew2186
@fadhiliandrew2186 2 года назад
Mimi ananikera hatakikutumia Jima la sanga
@robathdamiani1744
@robathdamiani1744 2 года назад
Acha utahila ww sanga lina nini kenge ww
@johnboscomohamed2775
@johnboscomohamed2775 Год назад
Simba tafuteni tu mchezaji mwingine wa kuziba pengo la OPPAH,acha nimuoe tu😂😂😂😂
@kaizakuyava9672
@kaizakuyava9672 Год назад
Very poor interview, you need to work on your questions, hujui maswali ya kuuliza na Unaonekana kubahatishabahatisha. Improve your knowledge on what you do for living
Далее
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
شربت كل الماء؟ 🤣
00:31
Просмотров 13 млн
ОБХИТРИЛ NIKE НА 3,5 МЛН $🏅
0:48
Просмотров 23 млн
Ronaldinho 100% Humiliating Nutmegs 👑🇧🇷
0:45
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
0:13
Просмотров 2,4 млн
Maradona
0:31
Просмотров 7 млн