Тёмный
No video :(

Mfalme Nero: Katili aliyewaua Paulo na Petro Mitume wa Yesu Kristo; Adhabu ya vifo vyao Inatisha 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 86 тыс.
50% 1

Mfalme Nero wa himaya ya Rumi historia yake ni nini? Maisha yake kwa ujumla yalikuwaje? Kwanini matendo yake mengi yamemwekwa katika vitabu vya historia na kuonekana kama ni matendo ya kiovu yasiyo na utu. Nikukaribishe katika makala hii ili nipate kukujuza kwa undani kuhusu mtawala huyu wa Kirumi na kuhusika kwake na vifo vya mitume Paulo na Petro ikiwemo kuuwa wakristo wengi. Tega sikio lako;

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 251   
@selbub3064
@selbub3064 Год назад
Jina la yesu kristo lihidimiwe milele amina
@annointamani3285
@annointamani3285 Год назад
Woow safi sana kaka Sky, Yani hapa ume wafanya walio wengi wanao amini habari ya Yesu na wokovu ni Mambo ya kuaminika tu, Sasa waanze kuamini zaidi kupitia story kama hizi ambazo ni tofaut kabisa na Biblie, Kwakweli Hongeren sana #SimulizinaSauti# tuko pamoja sanaa 💪
@noelyjonh1607
@noelyjonh1607 Год назад
Pamoja kaka nakwelewaga sana tangu radio free
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
Hata Muhammad ni stor tu maana alishindwa kumponya hata kipofu imeandka Quran 80:1
@mustafamsatimuhenga253
@mustafamsatimuhenga253 Год назад
Kiponya anaeponya ni mungu sio nabii nabii hua anaomba mungu ndo anaponya huko kuponya kama ndio utume bas waganganao ni mitume jamanii miujiza hata shetani anawezafanya
@hancevalence4936
@hancevalence4936 Год назад
@@mustafamsatimuhenga253 hiyo ya waganga sio miujiza, miujiza hutufanya tumpende Mungu bila mipaka, ni Yesu peke yake kupitia watumish wak manabii na mitume na yeyote anayeamin anaweza kutumika, hyo ya waganga siyo na haimpi Mungu utukufu, uponyagi wa Mungu unaokoa wa waganga unaangamiza
@user-py2pb2ks7v
@user-py2pb2ks7v 10 месяцев назад
ACHA. WALIOPOKEA WOKOVU. WAAMINI. MIMI NIMEOKOKA.
@jeromejuma6110
@jeromejuma6110 Год назад
Tuzidishie zingine maana hii carn yet tunapotoka sana bilakujuwa ila kwahili wenyebusara tutajuwa mengi Asante mungu akuzidishie
@neemambotola1139
@neemambotola1139 Год назад
Karibuni tumpokee yesu mioyoni mwetu ..ni wa kweli kabisa.
@therezapetro5725
@therezapetro5725 Год назад
God bless you..! Stori kama hizi zinatujenga ki imani. Kam wakristo wenzetu walipitia mateso makubwa namna hiyo na wakaweza kustahimili sisi wakristo wa nyakati hizi hatuna cha kusingizia. hii neema tuliyopewa na Mungu tusipoitumia vizuri tuna cha kujibu siku ya hukumu.
@edwardoscar8829
@edwardoscar8829 Год назад
Ooooouuuullp
@edwardoscar8829
@edwardoscar8829 Год назад
Y
@gabrielsaelie8091
@gabrielsaelie8091 Год назад
Kwa kipindi hiki cha utandawazi hakuna mtu wakukuzui kuimani. Lakini kwa kipindi hiki, dunia imetekwa na shetani vibaya sana. Na ni vigumu kuliona hilo. Je umeshajiuliza hii dunia ingekuwa na ushabiki Mkubwa wa masuala ya soka kuliko kwenda kanisani kumwabudu Mungu? Dunia ya leo imetekwa na anasa kuliko kumwabudu mungu. Tuma uhuru wa kuabudi lakini tumeendelea kuwa mbali zaidi na Mungu. Tumetekwa na anasa za kila aina. Starehe. Masuala ya familia. mitandao n.k.. TAFAKARI
@user-sh1rj6pe5k
@user-sh1rj6pe5k 5 месяцев назад
Nimekukubali msimlizi kwa dondoo hii nzuri
@bryson0772
@bryson0772 Год назад
Dah vifo vya mitume vimeniuma sana moyo unauma eeh Mungu nipe muongozo mwema ktk kukuabudu na kukusujudu ww tu
@samsonnyasilu268
@samsonnyasilu268 4 месяца назад
Ubarikiwe na mungu baba kwa elimu hii Amina
@osmanmohammedosman5493
@osmanmohammedosman5493 Год назад
Napenda Sana hii chanel walah
@nanyamasheilah5695
@nanyamasheilah5695 Год назад
Ujumbe mzuri sana imani yangu isitingizike ikiwa hii ndio ukristo basi nami nife hivi🙏🙏🙏🙏
@user-dq9bf5qy6n
@user-dq9bf5qy6n Год назад
Amen 🙏 Mungu azidi kukulinda utukufu wa Mungu ukawe juu yako Amen 🙏🙏
@vansclassic2131
@vansclassic2131 Год назад
My jesus!! Mungu awabariki SNA! Sns huwa mi siamini mastory brow naomini uwepo Wa mungu kwenye Bible so!!!
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Год назад
#Sky huwa nakukubali Sana kiufupi makala zako huwa nizakweli kabisa,kiufupi unajua sana nakubali sana Wakristo wamepitia mateso zaidi ya miaka 200, Enzi hizo kulikua na wakristo WA kweli tangu kanisa la Kwanza la Efeso , ukienda Roma mpaka Leo kuna sehem inaitwa katacot Yani makaburi ndo ilikua sehem pekee salam ya Ibada, ILA nakuomba siku ukipata nafasi mtafite bishop ngonyani, mwanathiologia naimani watu watapenda
@KiT.KaT.Cute.
@KiT.KaT.Cute. Год назад
Tunashundwa kumuamini Mungu kwa hiyari, wenzetu wa kale waliteswa vibaya kwa ajili ya kuhubiri injili
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 5 месяцев назад
Ukiacha mihemko ukifuatilia kwa makin dola ya rumi na roma zilikuwa dola ambazo zilifanya ukatili na mauwaji mengi pengine hazikutofautiana sana na dola ya mongolian
@user-jo1cx4zo1i
@user-jo1cx4zo1i 7 месяцев назад
Bigap sana kaka sky upo vzr kweli unajuwa
@nelsonmdaimali431
@nelsonmdaimali431 27 дней назад
Ubarikiwe kwa somo
@PethiasSiwila01
@PethiasSiwila01 4 месяца назад
ubarikiwe sana! nimejifunza kitu
@gervasshepi6351
@gervasshepi6351 2 месяца назад
Hongera sana kwa simulizi hili
@gazaomar677
@gazaomar677 Год назад
Lakini ni story nzuri Sana brother congratulations
@felicianfrancis9895
@felicianfrancis9895 Год назад
Ujumbe mzuri sana sky
@shabanabdul8979
@shabanabdul8979 Год назад
Sina tabiya yakoment ubarikiwe
@kanezajoella6663
@kanezajoella6663 14 дней назад
Katorika Ndio ndini ya kwanza inayo mpinga YESU na Ndio dini ya 1 inayo abudu masanamu pia Kama wa Roma walikuwa wakipinga YESU itakuwa je wamu amini Leo papa ndie anae aminika sana na malia kuliko YESU CHRISTO
@entertainmentforum1772
@entertainmentforum1772 Год назад
Safi sana sky... Tuletee story ya mwanamuziki wa marekani 2Pac kuna kitu kinachanganya watu hawajui kama 2Pac alikufa ama alifake kifo zake... Please tuletee hii story tunajua uko vizuri sana kutuelezea.... Please
@user-nt3xr1he8o
@user-nt3xr1he8o Год назад
Haitusaidii hii ya nn jifunze ukuu wa Mungu si ya walimwengu hawana mbingu
@user-oq7jw6kp6w
@user-oq7jw6kp6w 4 месяца назад
​@@user-nt3xr1he8oUmenena 🙏🏻🙏🏻 tujifunze kuhusu neno la Mungu sio historia ya maisha ya wanadamu
@simbamnyama2589
@simbamnyama2589 Год назад
Very deep.. Hapa umetatua maswali mengi sana.. Sababu hatukujua walienda wapi na hata viongozi wa dini wengi hawajui haya ko inakua ngumu kumuaminisha mtu bila maelezo yaliyonyooka.. Thanks brother
@catherineswai5900
@catherineswai5900 Год назад
Unasomaga bible au kwenda kanisani ?.
@simbamnyama2589
@simbamnyama2589 Год назад
@@catherineswai5900 najua theology kwa ufasaha.. Ko usilete ujuaji.. Hiz habari ni ngeni kwa almost 95 percent ya watu.
@catherineswai5900
@catherineswai5900 Год назад
Oooooh 😮😮😮😮
@FrankKashamakula-xb1pc
@FrankKashamakula-xb1pc 11 месяцев назад
WEWE NDIO HUJUI HII STORY 90% IPO KWENYE BIBLIA
@user-oq7jw6kp6w
@user-oq7jw6kp6w 4 месяца назад
​@@catherineswai5900Hizi taarifa hazipo kwenye Bible mpendwa, bali kwenye kitabu cha Historia ya Watakatifu, kila mtume utajua alifanya nini na alikufia wapi na wapi 🙏🏻🙏🏻
@yohana1242
@yohana1242 3 месяца назад
Najiuliza san kuhusu Paulo utume kapewa na nani wakati yeye alikua akiupinga ukristo na wakati yesu kashaend mbinguni ndo akaanza Kuwa mtume na yesu akawa mungu wake😢
@kanezajoella6663
@kanezajoella6663 14 дней назад
Ukisoma bibilia ukasoma historia yote utajuwa ukweri wote chanzo chake kuanza kumtumikia MUNGU na utajuwa alio ya pitia alipo mjuwa MUNGU na kuamini YESU CHRISTO Kama ni MUNGU
@user-xc7dj5jy9j
@user-xc7dj5jy9j Год назад
Safi sana kaka Sky, if i can receive notifications on such stories like this will be great.
@user-sh6te4qn7x
@user-sh6te4qn7x 6 месяцев назад
mambo ya mfalme Nero ni katiri lakin injiri ilihubiriwa
@maganyarobert7008
@maganyarobert7008 Год назад
Mungu akubariki sana
@monicapaul8480
@monicapaul8480 Год назад
Hongera,kazi nzuri sana
@raymondngamilo9226
@raymondngamilo9226 Год назад
🎉🎉 inayofuata iwe ya mfalme constantine
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Год назад
Stor ya kussmuwa kbisa hii voice ktoka kwa frack bundala
@MNexNexI
@MNexNexI 3 месяца назад
Good
@thisboyisgreat
@thisboyisgreat Год назад
Hongela bro
@frankmushi8892
@frankmushi8892 Год назад
Nakubali sanaaa
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 Год назад
Dah story nzuri sana sns yani uwa sijuti taftatafta kama hizi zinapendeza kwakweli
@timotheojumal894
@timotheojumal894 Год назад
Itafika wakati kwa wote wanadhiaki kifo cha Yesu kristo, watajua kumbe kulikuwa na siri yenye mafanikio kwa kila Binadamu katika kumtii Mwenyezi Mungu maana hata Qurani inathibisha kuwa kristo Alikufa na wale wanaomfuata Yesu( Issa Bin mariam) watakuwa juu mpaka siku ya kiama, [Surah Âl-`Imrân: 55] { إِذۡ قَالَ ٱللَّهُ يَٰعِيسَىٰٓ إِنِّي مُتَوَفِّيكَ وَرَافِعُكَ إِلَيَّ وَمُطَهِّرُكَ مِنَ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ وَجَاعِلُ ٱلَّذِينَ ٱتَّبَعُوكَ فَوۡقَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓاْ إِلَىٰ يَوۡمِ ٱلۡقِيَٰمَةِۖ ثُمَّ إِلَيَّ مَرۡجِعُكُمۡ فَأَحۡكُمُ بَيۡنَكُمۡ فِيمَا كُنتُمۡ فِيهِ تَخۡتَلِفُونَ } Ali Muhsin Al-Barwani: Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana. Hata mimi nitahubir kama maandiko yanavyosema kama Mitume walivyoweza Kuhubiri mpaka umauti ukawakuta, lakn katika yote sitasahau Upendo kwa kila mtu sitachukia mtu kwasababu yuko kinyume na kile ninachokiamini.
@mustafamsatimuhenga253
@mustafamsatimuhenga253 Год назад
Wanao mfuata yesu wanasari kwenye kanisa au misikiti? Maana yeye alikua akifundisha na kufanya ibada kwenye misikiti sasa wanaofuata mafundisho ya yesu ni wpi? Wale wanaosema yesu ndiomungu au sisi tunaosema yesu ni nabii wamubgu na kafundisha waisrael wamuabudie mungu na kumsujudia? Wepi wanamfuata yesu?
@mustafamsatimuhenga253
@mustafamsatimuhenga253 Год назад
Alaf pia naomba msaada unijuze hivi kanisagan ambalo makaomakuuyakevau lilianzishwa islael
@mustafamsatimuhenga253
@mustafamsatimuhenga253 Год назад
Haraf ujue kua hio qur an tukufu iliteremshwa kwa mihamad ambae wachrist hamumuamini kua ni nabii wa mungu nyie mnamuamini paulo ndii mtume wa mungu pia ilishuka kukiwa tayari watu waneshaazisha ucristo yesu baada ya kuondoka kwaiyo qur an nikweli imefundisha namna ya kuwaambia watu namna ya kuwafundishawadu dini na wakikataa usiwavunjie nyumbazao uwaache nikweli amani ni nzuri
@mustafamsatimuhenga253
@mustafamsatimuhenga253 Год назад
Ila wewe unaonekana ni msomi mungu atakuongoza wengine hua wanatukana tu hovyo wewe unasomaga vitabu
@timotheojumal894
@timotheojumal894 Год назад
@@mustafamsatimuhenga253 makao makuu ya kanisa Aliko Yesu kristo huko ndio yaliko makao makuu Maana mwanzirishi ni Yeye mwenyewe hata kipindi yuko Duniani Aliyatamka Maneno ya kuanzisha kanisa Akiwa Israeli,
@hellenrichard187
@hellenrichard187 Год назад
Hii nzuri sana
@bongonews6542
@bongonews6542 Год назад
Unaeleza vzr bt unaconfuse ukatorik na din ya kikiristo ýa kwanza ukatorik ni din ya kikristo iliyoachanganyika na upagan wa roma na ilianzishwa na constantine baada ya kuamn ukristo
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 2 месяца назад
Acha bangi
@josephinematemba5100
@josephinematemba5100 Год назад
Tuletee historia ya mfalme Costantino
@taynburhanialeey3148
@taynburhanialeey3148 Год назад
Pauolo hajawai kukutana na Yesu maana Petro alikua mwanafunzi wa Yesu wakati Yesu anahubiri Injili Paulo alikua hajazaliwa paulo alipata utume kwenye ndoto Paulo kaja baada ya miaka 500 kupita
@saitotisapiyo5997
@saitotisapiyo5997 29 дней назад
Kasome wewe umesoma MATENDO YA MITUME kwanza ama porojo
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 13 дней назад
Umenichekesha😂😂😂😂 M nafikiri umesoma gazeti la waarabu
@shepherdizotarimo8227
@shepherdizotarimo8227 Год назад
Hongera bro tuletee histori ya huyo mfalme aliyeukubali ukristo
@javanwatson6675
@javanwatson6675 Год назад
KAZI NZURI SANA, MKO DEEP 🔥🔥
@fabianmainchanyangachika5017
Mimi naomba kuuliza hivi kwanini kila picha ni wazungu mnaweka hamjui kwamba sisi tulimjua MUNGU kabla yao?
@woah.africa99
@woah.africa99 Месяц назад
Hata mzungu hana na bee ukae ukijua mitume wote ni wa mashariki ya kati
@woah.africa99
@woah.africa99 Месяц назад
Hao sio mitume Paulo na petro ni wafuasi mtume ni na be isa as ) ila wazungu walimpinga mmungu kwa kubadilisha kila kiti na wapagani na rome walikaa kuibadilisha injili
@washingtonv199
@washingtonv199 Год назад
Naomba kujua tofauti ya kaisari na mfalme
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
Kaisari ni jina la mtu ufalme ni cheo
@therezapetro5725
@therezapetro5725 Год назад
@@zaburi2386 siyo kweli .kaisari siyo jina ni cheo ambacho wafalme wa kirumi ndivyo walivyokuwa wakiitwa hivyo. Ni sawa na farao kwa misri ya kale wafalme wote wa misri ya kale ndo walikuwa na cheo cha u farao.
@benedictbalelekalunde4140
@benedictbalelekalunde4140 Год назад
@@therezapetro5725 sidhan
@godcompeter9844
@godcompeter9844 Год назад
Sky your a mean of genius
@missp1814
@missp1814 Год назад
Aisee Sky hongera..story zako zinavutia siku zoteee sijawahi kosa
@tecratzmwakyambomwakyambo7243
Yaani unamueelewa
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 Год назад
Yupo vzr kwakweli
@titus_maridhia
@titus_maridhia Год назад
Shukrani. Mengine hatuwez kuyapata kwenye Biblia
@saiddimarley8445
@saiddimarley8445 5 месяцев назад
Alafu kitu chakushangaza wale ambao waliuwa wanafunzi wa Yesu nakumpinga Yesu warumi.Ndo wakubwa wakanisa la katolik.Kuliko watu wakwao na Yesu ndo wamiliki dini lakatoliki imekuwa tofuti wazungu ambao sio wayahudi ndo wanamiliki kanisa.Kuna siri kubwa hapo.Kutawaliwa na wapinga Cristo wakiwadanganya yakwamba wao ndowanamjua Yesu.
@bonbuggatTV
@bonbuggatTV Год назад
Hapo sijaelewa mwanzon BK na YESU kristu.. unasemaje kabla ya YESU then unamwongelea YESU...
@ichicarodan6931
@ichicarodan6931 Год назад
Baada ya kristo Ndio BK Kabla ya kristo Ndio KB
@gazaomar677
@gazaomar677 Год назад
Don't trust the story but u can trust the book yesu ambae Ni mtume wa mungu hajawai kufa ao kuzikwa
@irenegudluck1214
@irenegudluck1214 Год назад
We nae embu tutokee hapa 🙄
@hopechidera
@hopechidera Год назад
Kwendra huko ww nguruwe ndo panadol yenu...
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Год назад
We Shetani siku zote anaepinga kifo cha Yesu hufananishwa na Shetani , maana unaonekana kama mkosa akili, na punguani amini nakwambia bila Yesu kufa hii Amani uliyonayo Leo usingekua nayo
@user-pj8ed9kn6g
@user-pj8ed9kn6g Год назад
​@@francisjoseph1074 🙄🙄🤣Pole
@gazaomar677
@gazaomar677 Год назад
Yesu akiwa amekufa inamana sio mungu kutokana mungu hawezi kufa izosifa zakufa mungu hana sifa Kama izo zaku uwawa nawatu aliyo umba
@jumakataka81
@jumakataka81 Год назад
Amina ❤
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 Год назад
Nc San br
@autoimmunesecurity2140
@autoimmunesecurity2140 Год назад
Yesu hakufa msalabani alikufa kwenye mti ( nguzo ) wa mateso.
@dazicharoodazicharoo
@dazicharoodazicharoo Год назад
Tuko pamoja kaka🔥🔥🔥
@fettymarijani2415
@fettymarijani2415 8 месяцев назад
Petro aliuwawa na warumi, na kaburi lake limewekwa mnara mrefu pale ltaly na Paulo pia aliuwawa alishikwa ugoni.
@yustinodavidmillungu4585
@yustinodavidmillungu4585 2 месяца назад
Hacha uongo, ugon ulimuona
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
ISSA BIN MARYAM ISA R.A🤲
@anastaziamathias8861
@anastaziamathias8861 Год назад
ISSA ndo Nani? Ana husiana vipi na hii habari?
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
@@anastaziamathias8861 Issa kamtafute ndio nani unaweza Google pia utapata jibu
@lazaromakungu3499
@lazaromakungu3499 3 месяца назад
hii story ipo poa sana.....kwa wanao penda pia anaweza aka tafuta movie inaitwa QUO VADIS inaelezea story hii pia
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Naam.
@maalimjaffar5563
@maalimjaffar5563 Год назад
Yesu (Nabii Issa A.S),,hakuwahi kuwa na Mitume,,,bali alikua na wanafunzi,,,huyo Paulo na wenzake sio Mitume na wote waliowaandaa watu wawe wakristo Hilo jambo lilikua niutashiwao nasio maagizo ya Mungu kuwafanya watu wawe wakristo.
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 Год назад
Mitume Nini kama siyo akili finyu
@anastaziamathias8861
@anastaziamathias8861 Год назад
Ndo maana huwa nawaambia Waislam huyo lssa sio Yesu huyu tunaemzungumzia Sisi Yesu alikuwa na mitume 12 nini maana ya mitume? Mitume ni watu wanaotumwa sasa Yesu aliwatuma mitume wake wakaihubili injili Huyu Yesu tunaemjua Sisi ndiye Kristo yaani anaitwa Yesu Kristo hapo ndipo Neno ukristo lilipozaliwa Sisi ni wafuasi wa Kristo hivyo Sisi ni wakristo na Dini Yetu ndipo ukaanza kuitwa dini ya kikristo na ukristo Umeanza kabla ya uislamu nikimaanisha Yesu alikuja kabla ya Muhammad nadhani umeelewa nini maana ya ukristo
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Год назад
Lete usibitisho
@atonemusicstudio9155
@atonemusicstudio9155 Год назад
Amen
@supershopdubaifalis6249
@supershopdubaifalis6249 Год назад
Sns no1
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
Pamoja na yote hayo Bado waislam hawatak kumkiri YESU
@mustafamsatimuhenga253
@mustafamsatimuhenga253 Год назад
Kumkili yesu kua ndio mungu?
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
Km hujui imani za watu bora ujifunze au uulize km hujui bora unyamaze,,hakuna dini inayompenda na kutukuza mitume yake kama islam,,,unajua Issa R.A.ametajwa mara ngapi kwenye quraan,,?Islam follow issa kuliko unavyomfollow ww
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
@@mustafamsatimuhenga253 hajui asemalo huyo
@wardw3022
@wardw3022 Год назад
Waislam tunajuwa Isa bin Mariam na ni Nabii kama manabii walotagulia kama Ibrahim Musa Ismail na wengineo
@allykomsonde7813
@allykomsonde7813 Год назад
Niru alimhasi kijana wakiume namkimfanya mkewe nabado roma hadileo ndio taifa lenye kiongozi wadini ya kikrito inayo biga upatu watu waingiliane kinyume namaumbile je unataka muislamu gani afuate uovu kamahuo jitafakari kwahili
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Год назад
shida ya kuwapa vijana madalaka makubwa huku wamekosa hekima na busara wanajiona wao ndio dunia yao
@samsonhumbe8220
@samsonhumbe8220 Год назад
Historia ni nzuri, ula yafaa makala hii ungetia kitabu chake ingefaa zaidi. Yote kwa yote ubarikiwe na Bwana Yesu, nakushukuru sana..
@user-oq7jw6kp6w
@user-oq7jw6kp6w 4 месяца назад
​@@samsonhumbe8220Kitabu kipo mpendwa kinaitwa Historia ya Watakatifu cha kanisa katoliki, Kila mwanafunzi wa Yesu anayo Historia yake pia na hatima yake
@haruniaisha5905
@haruniaisha5905 10 месяцев назад
Utasikia israeli sio wakristo uezi watenganisha yesu myahudi jamani
@lordgardmtui1748
@lordgardmtui1748 Год назад
Tunatamani kusikia historian ya wafuasi wa yesu mmoja mmoja
@user-oq7jw6kp6w
@user-oq7jw6kp6w 4 месяца назад
Tafuta kitabu cha Historia ya Watakatifu, kila kitu kuhusu mtume alikufaje na wapi alikufia na nini hatima yake
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 Год назад
Jna nilitaka kuomba utupachikie story baada ya kurudia rudia sana za miezi 5 iliyopita
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 Год назад
Kanisa la Roma ukifatilia huwez salii viongoz wake walikiw makatili sna na Bado Wana part za unyonyaji mpka leoo
@gh7naa
@gh7naa Год назад
Wambie wale kwanza ni fremason ila kumkinga kwa uongo wao wa dini kumsingizia yesu kwanza waguasi wa yesu si mitume mitume walio shushiwa vitabu paulo alizidisha maneno
@madetetv6576
@madetetv6576 Год назад
@@gh7naa hapana si kweli halafu kanisa Katoliki haliendani na dola la rumi ndio maana Mitume waliuwawa na himaya ya rumi Ila kanisa lilikueepo rumi fatilia ma papa wa Katoliki utagundua Mtume Petro alikuwa ppa wa kwanza wa Roman Catholic
@catherinechifebe5800
@catherinechifebe5800 Год назад
UELEWA NI ZAWADI TOKA KWA MUNGU ROHO MTAKATIFU...HII HADITHI INATAJA UKATILI WA KAISARI NERO....MPAGANI NA WEWE UNACHANGANYA NA KANISA KATOLIKI....LOH WALIMU WANAKAZI
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 2 месяца назад
Acha upumbavu wa akili...Elewa kuwa dola ya rumi ni kitu kingine na kanisa katoliki ni kitu kingine...warumi waliuwa wakristo ..na wakristo waliouwawa ni wakristo wakatoliki...maana ndilo kanisa lililokuwepo... Makanisa yote ya kiprotestant unayoyaona leo yaliibuka karne ya kumi na tano .waanzilishi wa makanisa haya walikuwa ni wakatoliki. Mfano padre martini Luther ndiye mwanzilishi wa kanisa la. Lutherani..huyu aliasi kanisa katoliki na kufunguwa kanisa lake ...ukija kwa kanisa la Anglicana hili nalo lilianzishwa na mfalme Henry wa nane wa uingereza ..huyu alikuwa ni mkristo mkatoliki na mtawala wa uingereza.. kuanzia wakati huo kupitia makanisa haya ndipo yakazaliwa madhehebu mengi ya kikristo...ndiyo haya unayo yaona leo...
@victormbekomize8154
@victormbekomize8154 Год назад
Hayo ndio maajabu ya kitabu kitakatifu cha BIBLIA
@Sheba4651
@Sheba4651 Год назад
Kitabu kitakatifu biblia? Wakorintho 1:25
@user-oq7jw6kp6w
@user-oq7jw6kp6w 4 месяца назад
Hizi story hazipo kwenye Bible mpendwa bali ni kwenye kitabu cha Historia ya Watakatifu
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv Год назад
Yawezekana hata mwana marundi wa mwanza alikuwa mtume maana alinyongwa na hakufa
@gh7naa
@gh7naa Год назад
Nyiyi maingia motoni hakuna mtume akija bila kutajwa kila mtume mana bee huwa wanatajiana ktk vitabu kuna mitme wengi ila sio kuja tu
@Sheba4651
@Sheba4651 Год назад
Duh 🙄!
@ElibarikiLevava
@ElibarikiLevava 3 месяца назад
Bk au after christ kuzaliwa
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 10 месяцев назад
Anakuja mjinga mmoja anakuambia Israeli sio ardhi ya wayahudi
@androidamanimmollel6662
@androidamanimmollel6662 6 месяцев назад
Huyu mtangazaji anaitwa nani
@autoimmunesecurity2140
@autoimmunesecurity2140 Год назад
Katika kuhubiri kwake petro hakufika roma hivyo hakufia roma.
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 2 месяца назад
Alikufa Roma na kaburi lake lipo hadi leo pale Vatican.. ndipo ilipojengwa kanisa la mtakatifu petro..l
@thisboyisgreat
@thisboyisgreat Год назад
Sijawahi kusikia kiundan kanisani kuhusu yesu na watumishi wake
@mustafamsatimuhenga253
@mustafamsatimuhenga253 Год назад
Utasikia mitume wa yesu ila hapo kwa paulo ndio usiamini paulo hakua mtume wa yesu na sio mueslael hakuwai kutana na yesu na pia uchrist na pia soma biblia utagundua yesu hakua mchristo
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Год назад
@@mustafamsatimuhenga253 Yesu hawezi kua mkristo sababu yeye ndio Kristo wafuasi wake ndo wakristo, sababu wanamfuata tumia akili kabla hujaropoka na sio kukaririshwa
@user-pj8ed9kn6g
@user-pj8ed9kn6g Год назад
​@@francisjoseph1074 hahaha sasa kama yesu ndo Kristo acha uongo yesu hakuwa Kristo wapi umeona waisrail ni wakirst kama ukristo umetokea huko roma
@mustafamsatimuhenga253
@mustafamsatimuhenga253 Год назад
Hahaha sasa yesu kama nikweli hakua mchristo bas alikua muumini wa dinigani? Ili nanyi muifuate mimi situkani napenda kujifunza na swali jengine ni je huko alipotokea yesu islael kuna makao makuu ya kanisagani kamakweli ucchristo unamausiano na yesu
@mustafamsatimuhenga253
@mustafamsatimuhenga253 Год назад
Matendo 22 28 poulo ni mrumi yesu hakua na mwanafunzi mrumi huyu poul ndio alishirikiana na petro na kuanzisha uchristo na kanisa la kwanza lipo rom italiy ndo kanisa lakwanza na ndiokubwa dunianzima yesu hakuwai kuingia kanisani yesu alikua akifubdisha na kufanya ibada kwenye miskiti hukokwao tusome vitabu ili tuelewe tusimezeshwe imani bila maandiko
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv Год назад
Ila uarabuni tu ndy hao mitume walishindw a kuhubiri injili
@dimitrimugravech
@dimitrimugravech Год назад
Acha dhihaka Kwan Mohammad alienda roma or European
@abuluqmanal-athay8223
@abuluqmanal-athay8223 Год назад
Try to go back to research... To confirm how Paulo becomes a real in Jesus propagation.
@user-py2pb2ks7v
@user-py2pb2ks7v 10 месяцев назад
WEWE UNAYESIMULIA UMEOKOKA ?
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 2 месяца назад
Ni mkristo..ila siyo mfuasi wa makanisa ya watu binafsi.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Год назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌️
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
Issa RA alizaliwa Bethlehem, kwa nini kule isiwe ndio makao makuu ya Rom,,badala yake yapo 🇮🇹,,why
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Год назад
Tatizo lenu nyie mbwa mnakariri na hamtumii akili
@jameswisdomtz8580
@jameswisdomtz8580 Год назад
Hii makala imenigusa sana kabisa😒😒😒
@faridithomas4859
@faridithomas4859 Год назад
Paulo hakuwa mtume, wanatheolojia wanathibitisha hivyo!! Huyo jamaa ndio aliyekuja kuvuruga mafundisho ya Yesu
@lydiarugemalira9182
@lydiarugemalira9182 Год назад
Kivip kaka
@madetetv6576
@madetetv6576 Год назад
Mbona unapotosha Kaka Yani unatumia Quran kumkosoa Paul? Acha hizo stori pelekeni msikitini
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 Год назад
Kama hujui Paulo ndiye aliyeinarisha zaidi Ukristo baada ya kupokea maono kutoka Kwa YESU
@faridithomas4859
@faridithomas4859 Год назад
@@audifansisafari5587 eti kupokea maono toka kwa yesu🤣🤣 Binadamu atampaje ufunuo binadamu mwenzake!?? Zinduka wewe acha kuwa mjinga Fuatilia kauli za wanatheolojia wakubwa kumhusi mshenzi Paulo na si vijimaneno vya watu wajinga mfano wako
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 Год назад
@@faridithomas4859 we ndezi kweli YESU ni Mungu kweli na mtu kweli,
@africanproudly4004
@africanproudly4004 Год назад
Achaneni na haya matangopori ndugu zangu nendeni kwa Imani Mcimbwa mpate kuijua asili yenu Muumba wa kweli Kristo wa kweli alikuwa mweusi historia yenye kueleweka bila maswali .... SnS najua mnatupenda il stori za dini na historia nyingi ni matangopori tunapewa Kama hujanielewa pita hutaki kudadisi pita comment yangu sina muda wa kubishana ukweli muutafute wenyewe mpime ya kubeba
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Год назад
We nae toa ukichaa wako, hapa Asili ya MTU ni MTU mweupe MTU mweusi production ya generatio Tu, Ndomana hata MTU mweusi akikutana kimwili na MTU mweupe lazima mtoto atoke Mweupe, Kwa asilimia kubawa, kama unabisha Nenda kaoe Mzungu, mchina mhindi mwarabu , uone kama utazaa mtoto mweusi
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 Год назад
Labda nikutoe udish kichwani kwani waisraeli ni weusi au weupe ukijua ndio umjue Yesu achana na uo upofu
@africanproudly4004
@africanproudly4004 Год назад
@@jacksonngusi4122 and who can produce all color 😳
@africanproudly4004
@africanproudly4004 Год назад
@@jacksonngusi4122 huasilia wa historia hauendani na waIsrael wa sasa bali na watu weusi... Yesu ni mweupe uko sahihi but Kristo wa kweli ni mweusi
@africanproudly4004
@africanproudly4004 Год назад
@@francisjoseph1074 mtu ni mweusi binadam ni mweupe...swali la kujiuliza nikupe ni mtu au binadamu anaweza kutoa rangi zote? Asili inasema mtu wa kwanza ni mweusi binadamu walipatikana baada ya malaika walioanguka kuzaliana na watu weusi ndo rangi nyingine zikaja Alafu ukitoa haja sio unanitukana mimi kichaa toa hoja yako kwa heshima kama kweli unaheshimu unachokiabudu
Далее