Тёмный
No video :(

MSALABA Halisi ambao YESU KRISTO ALISULUBISHWA kumbe ulipatikana vipande vinatunzwa na MAKANISA haya 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 31 тыс.
50% 1

Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 127   
@ModestaMassawe-br1bw
@ModestaMassawe-br1bw Год назад
Amen tutembee Kwa Imani kwani Yesu alisema "heri wanaoamini pasipo kuona tusiwe Tomaso
@sabuomar2420
@sabuomar2420 10 месяцев назад
Namkubali Nabii Issa kwa asilmia 100%. Hivyo namini dhahiri Yesu hakuwa Mungu bali ni Nabii wa Mungu.
@josephwayesu338
@josephwayesu338 Год назад
Yesu ni njia ya kweli naipo siku watu watashangaa maana ndie mfalme kati ya wote walio mtangaza Mungu baba wa mbinguni.akumjuwa mwanamke Wala wanamke akumjuwa yesu naalikuwa mwanaume timilifu hapo inatosha kuamini kuwa yeye ndie njia yetu.kumbuka kwa mama wa yesu bikila Malia Yani maliam akumjuwa mwanaume nawala mwanaume akumjuwa Malia tunao muamni yesu like 10 basi sijawah kupata like
@neemambotola1139
@neemambotola1139 Год назад
I love my Jesus ❤
@vuaikhatib9995
@vuaikhatib9995 10 месяцев назад
sahau
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 Год назад
Ee Yesu unizidishie imani . Nasadiki kwa. Roho Mtakatifu Kanisa moja takatifu Katoliki la mitume... Amina...
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 2 месяца назад
Amina
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Год назад
Kuna watu wanatesekaga wakisikia neno YESU TU wanaropokaaaaa wanasahau herode alianza kumtafuta YESU toka ciku kazaliwa tuacheni na YESU WETU tunachokiamini tokaaaaaa Pepo kwa JINA LA YESU
@zainashendera9814
@zainashendera9814 Год назад
Yesu Ndio njia ya kweli na uzima📖☦️✝️
@damasmayanja2930
@damasmayanja2930 Год назад
NJIA, KWELI na UZIMA NURU, CHAKULA, MAJI
@kanezajoella6663
@kanezajoella6663 14 дней назад
Asante sana hi inanisaidia sana Mimi napenda kusoma bibilia nakujifunza mengi ila hizi historia hazipo kwenye bibiliana wafwata sana ili kuendelea kujifunza Asante sana MUNGU azidi kuku weka na kukupa afya njema
@herrymajumbeni7971
@herrymajumbeni7971 Год назад
Yesu pekee ndiye njia ya kwenda peponi
@amourmohamedfaki4506
@amourmohamedfaki4506 Год назад
Pepo ipi na kwenye dini ipi faa masihala nn
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding Год назад
Ndug mung hapendelei Wala hazidishi
@orotancnelly3047
@orotancnelly3047 Год назад
Amen 🙏
@happinesskitali164
@happinesskitali164 Год назад
Ameeen
@happinesskitali164
@happinesskitali164 Год назад
@@amourmohamedfaki4506 wewe ni mpinga Kristu Ila ujijui tu
@magrethmagonza186
@magrethmagonza186 Год назад
Kipindi hiki ni kizuri sana hongera sana kwa.ubunifu naomba simulizi zaidi maana hata km nafanya kazi huwa naacha ili kusikiliza simulizi za kuvutia❤
@partnersah8802
@partnersah8802 Год назад
Mkiendelea kubishana nani anaHaki basi Tambueni Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema anayaona yote na Akiamua ata leo hii migongano iishe basi Anaamua. Basi Yeye Aturehemu pale tunapokosea.
@estermunuo
@estermunuo 8 месяцев назад
Well said ☺️
@Kelvinchristopher072
@Kelvinchristopher072 3 месяца назад
Izo ni ibada za sanamu atakama ukipata nywele za YESU upaswi kutumia izo nywele ati kisa ni za YESU, yeye mwenyew anasema tumuite atatuitikia. Yermia 3:33
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 2 месяца назад
Acha ujinga. Uprotestant utakupeleka motoni
@lazarojoseph7541
@lazarojoseph7541 Год назад
ma papa ni mafreemason sahv wanasupport ushoga
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 2 месяца назад
Acha uadui na kanisa katoliki...
@neemambotola1139
@neemambotola1139 Год назад
I love my Jesus ❤
@joycescophia2573
@joycescophia2573 Год назад
Shukrani kwa hii jambo la msalaba halisi
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 8 месяцев назад
Historia nzuri sana hii hakika kaka umeiandaa vyema 🤝🤝
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Год назад
Swali langu sky kwanini ugriki ya zamani ilikuwa na nguvu hasa dini ufumbuzi walipoteaje kwenye nguvu walikosea Nini imekuwa nchi ya kawaida Sana kwa sasa
@aliasaally
@aliasaally 6 месяцев назад
hata mimi najiulizaga hili jambo, japo wao ndio watu wenye elimu sana na wanafalsafa wengi wametoka kwao
@chamyfx9377
@chamyfx9377 Год назад
Sawaaa twendee kaz
@guillaumekambale8080
@guillaumekambale8080 Год назад
Frédéric bundala your voice is 🙏🙏💥
@hajiali8820
@hajiali8820 Год назад
Ndiyo stori nzuri kabisa acha kutuletea habari ambazo azina maana baba nimependa,;abari ambayo aitatusaidia ata kufika habari izi ndo habari nzuri
@josephsimba3007
@josephsimba3007 Год назад
Pole nakazi broh mungu akulinde
@theresiaseverino6947
@theresiaseverino6947 Год назад
Amen Amen
@johnjulius3092
@johnjulius3092 10 месяцев назад
Jamani mi naomba kujua kwanini wasabato ni wabishi kuhusu msalaba na mambo mengine
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Thank you sky.
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 Год назад
Amina.🙏
@johnjulius3092
@johnjulius3092 10 месяцев назад
Sasa mimi nikiwa najiuliza mafindisho ya la seventday day nikiskiliza story hizi Yan wanapotosha saan watu hasa ukuskiliza kumuhus Konstantin
@Tino_Official_tz
@Tino_Official_tz Год назад
Safi sana SnS🔥🔥🔥
@edisonmaliva1719
@edisonmaliva1719 Год назад
Barikiwa sana.❤
@user-cc6ce1vg2f
@user-cc6ce1vg2f Год назад
Amen🙏
@janethegidius855
@janethegidius855 Год назад
Amen
@princeyabili789
@princeyabili789 Год назад
Amen 🙏 amen 🙏
@stiangabrirl
@stiangabrirl Год назад
Suala muhimu zaidi kwa Wakristo wa kweli linapaswa kuwa kama inafaa kuabudu kifaa kilichotumiwa kumuua Yesu. Iwe aliuawa kwenye mti wa mateso, msalaba, kwa mshale, au kisu, je, inafaa kutumia kifaa hicho katika ibada?
@partnersah8802
@partnersah8802 Год назад
Hapana
@angelsblackboard8008
@angelsblackboard8008 Год назад
Hakuna mkatoliki anaabudu hivo vitu, jaribu kutuelewa. Tunajitambua sana.
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 2 месяца назад
Hii ndiyo fahari ya kanisa katoliki la mitume
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 Год назад
Natamani siki moja nifike uko Roma
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Год назад
Kaka sky nakufatilia sana hasa unapotuletea story za ukristo huwa nakuelewa sana na nakuomba siku ukipata muda jaribu kumtafuta mtu mmoja anaitwa Bishop ngonyani au jaribu kufuatilia video zake you tube akielezea kuhusu ukristo naamini atakupa madini
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 2 месяца назад
Huyo ngonyani ana.historia ya uprotestant.. hana historia ya kweli
@ArnoPita-co7jk
@ArnoPita-co7jk Год назад
Nilingoja nifike nyumbani nioge maji nile then nikae kwa utulivu nisikilize makala kwa umakini zaid NakubaL sana sns
@FrankKashamakula-xb1pc
@FrankKashamakula-xb1pc 11 месяцев назад
YESU ALIANZA KUWINDWA KABLA HAJAZALIWA NA UKITAKA WATU WAKUCHUKIE WEWE MKILI TUU KUWA YESU NI BWANA NA MWOKOZI WAKO APO HATA NDUGUZO WATAAKUKATAA😭😭😭 SIKIA ANAVYO SEMA Mathayo 10:34-39 “Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga. Maana nimekuja kuleta mafarakano kati ya mtu na baba yake, kati ya binti na mama yake, kati ya mkwe na mkwe wake. Na maadui wa mtu ni watu wa nyumbani mwake. “Ampendaye baba au mama yake kuliko anipendavyo mimi, hanistahili. Ampendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili. Mtu asiyechukua msalaba wake na kunifuata, hanistahili. Anayeyashikilia maisha yake, atayapoteza; lakini anayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu, atayapata.
@candidadilemile5882
@candidadilemile5882 Год назад
Amen Amen Amen 🙏in Yesus Christ name ❤
@mbelecimukandama6688
@mbelecimukandama6688 Год назад
8
@babuloliondo74
@babuloliondo74 9 месяцев назад
Ndio uyo ariye bebeshwa msaraba naomba kuriza kwasababu mimi simjuwi au uyo wapiri
@idrisakassim3533
@idrisakassim3533 Год назад
Wakristo mpk leo bado mnatafta dini ma mungu alishawatabilia hlo mtaangaika sna coz mnaamini sna kweny miujiza na vitu ambayo vimeumbwa na mungu kuliko mungu mwenyew na mbaya zaidi ni wepesi kuaminishwa uwongo , ndio maana mnakufa kama kule kenya
@stellah3844
@stellah3844 Год назад
Nenda kwa kina mwamposa akina Aisha,,,Shaban,, Ashura wapo kibao kama hujui
@user-oq7jw6kp6w
@user-oq7jw6kp6w 4 месяца назад
Ukristo wa kweli hawaamini ktk miujiza ya kugushi kwani tunaamini kwa imani Mungu ndiye anaweza kuonekana kati yetu 🙏🏻🙏🏻
@neemambotola1139
@neemambotola1139 Год назад
Mi nilisikia kwamba katika hiyo vita walitekwa ma sister wawili na vitabu vya bible ndipo wakachukua baadhi ya vitabu kuweka kwenye kitabu chao...mungu awarehemu.
@angelsblackboard8008
@angelsblackboard8008 Год назад
Story mob 😂
@piustombili9921
@piustombili9921 Год назад
pale waliosulibiwa na yesu wanaitwa Alexander na Dismas ile siku nilikuepo nikaskia wakiita hivyo
@angelsblackboard8008
@angelsblackboard8008 Год назад
Alafu wanasema oh wakatoliki wanaabudu sanamu sijui nini
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 2 месяца назад
Ni kuwaombea tu
@KIMALEX254
@KIMALEX254 Год назад
Na bna waislam wanasema yesu hakusurubiwa😢, Bible yenye tunasoma inasema yesu alikufia kwa msaraba,so kama quran yenu inasema sijui Issah was not crusified,huyo ni wenu na ni tofauti na Yesu mwenye sisi tunatabua sababu mwenye tunajua alisurubiwa,alah msituletee🦜
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Год назад
✌️🙏👊.
@youngcleva7841
@youngcleva7841 Год назад
Amem, Jesus our lord, quran 9:31❤
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 Год назад
Kwanza mtangazaji yesu hakusulubiwa kama kasulubiwa leta ushahidu
@josephwayesu338
@josephwayesu338 Год назад
Ulisurubiwa ww.naww tupe ushaidi kuwa yesu akusurubiwa
@elizabethmkude9452
@elizabethmkude9452 Год назад
Uku apakuusu tuachie wenyewe na yesu wetu
@elizabethmkude9452
@elizabethmkude9452 Год назад
Mbona uongei Mambo yakwenu shobo tu
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 Год назад
@@josephwayesu338 kwa sababu maandiko yanatafautiana ushahidi wa mwanzo😅
@Odogwu9667
@Odogwu9667 Год назад
JESUS IS MY SAVIOR
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 Год назад
Ebana jamaa kabla ya kuchenjua vitabu na kuweka uongo wao walitumia akili kubwa sana waliondoa maneno ya ukweli baadhi wakaweka maslai mpaka leo watu wamepokea na wanatumia maandiko yao pasi na kujua ila bila shaka mashetani waliusika katka kutunga mana c mazingaobwe yale
@user-oq7jw6kp6w
@user-oq7jw6kp6w 4 месяца назад
Shetani ana nguvu zaidi kuliko Mungu??
@fabianmainchanyangachika5017
Ila wayahudi walikuwa weusi sio wazungu,
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 7 месяцев назад
Unakichaa wewe 😂😂😂😂
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 13 дней назад
Ndio akili za waarabu 😂😂😂
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 Год назад
Sns shikamo 🫶🏽🔥
@EliTaarifa
@EliTaarifa Год назад
1 Wakorintho 1:18
@hafidhmohd8696
@hafidhmohd8696 Год назад
ebwana weee issa hakuuliwa sasa msalaba wa nn huo
@hussle03
@hussle03 Год назад
Tupe historiya ya Baldwin IV king of Jerusalem
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Год назад
Kwanini Kila kitu Kiko uwarabuni na wakati sehemu hizo waumini wao ni waisilamu kimefichwa nini
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
Na ndio mana Allah akasema kwa mwenye kutafakkar!
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
Kwa sbbu ukitafakkar utaanza kusoma na kuutafuta ukweli na ukiutafuta ukweli utabaini ukiristo ni mpango mzima wa watu waovu wakishirikiana na mashaitwani wa kijini kupotosha wanaadamu.
@autoimmunesecurity2140
@autoimmunesecurity2140 Год назад
Yesu alikufa juu ya mti wa mateso (nguzo) na sio msalaba yaani cross. Adhabu hii Yesu aliikuta we
@mugishagweedwine
@mugishagweedwine Год назад
Hapana alikufa msalabani
@suntzu8959
@suntzu8959 Год назад
Historia ya true cross inapatikana kwa Ethiopian Orthodox. Wanaamin kwamba kipande cha msalaba kilipelekwa kule. Kila mwaka wanasheherekea siku mbili kama sikukuu ya finding the true cross, sherehe inaitwa meskel.
@khadijaa815
@khadijaa815 Год назад
Hawakumuuwa wala hawskumsulubu bali wameshabahishiwa tuu
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Год назад
Wewe usiejitambua endelea kusikiliza uongo WA Muhammad, Yesu amekufa miaka 500 kablaya ya Muhammad na uislam then anakuja Muhammad anasema hakufa sasa hizo ni akili au matope
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
ISSA ndo hawakuumua
@kristofuraha3369
@kristofuraha3369 Год назад
Nyamaza Hujui Kitu!😒
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding Год назад
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa kamwe huwez kueleweka
@woah.africa99
@woah.africa99 Год назад
​@@francisjoseph1074 bwege ww mana bee wote ni wa mmungu mmoja na wote wameletewa mafundisho mwingine bada ya mwingine ww karate hao wazungu walio badilisha sasa mbona hukumfata ibrahim au musa na wote ni mana bee ibrahim ndio na bee alie anzisha uislam mmpaka leo watu wanahiji na ushahidi upo na isa ni muislam hakuna dini ukristo ni cheo ama mpaka mafuta
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
Hzo ni stori za Paulo naakuffar wenziwe walizotunga kwa ajili ya kupotosha wavivu wasiotaka kusoma wakaujua ukweli! Someni mtafakkar.
@siasia5469
@siasia5469 Год назад
Msalaba'... Aah Wapi! Misalaba yote Duniani haina uhusiano na Dini ya Yesu Ushahidi ili uwache Ubishi ingia 'RU-vid' andika(Zeitgeist-Part1) uone kabla Yesu kuzaliwa,Misalaba ilitumikaje?
@mapenziwilliam9382
@mapenziwilliam9382 Год назад
Sasa wataka kulia 😂😂
@herbertygeofrey2724
@herbertygeofrey2724 Год назад
Punguza ujuaji
@princegerard4704
@princegerard4704 Год назад
Kwa Wayahudi Misalaba ilitumika kama Adhabu kwa Waarifu, Ndomaana Yesu alihesabika Kama Muarifu ndo maana akaunganishwa na wale wezi wawili kwakuwa Yesu alikuwa ni Myahudi
@JoJo-xh7ph
@JoJo-xh7ph Год назад
Msalaba ulikuwa ni ishara ya laana kakini baada ya Yesu kutundikwa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadhamu msalaba umekuwa ishara ya ukombozi kwa wafuasi wa yesu yaani wakristu. Wayahidi na watu wengine si lazima mkaamini hili. Hili ni jambo letu sisi wakristu.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
@@JoJo-xh7ph. Msalaba ni ishara ya laana mpaka leo hii. Na Yesu Mtume wa Mwenyeezi Mungu haezi kulaaniwa.
@hajiali8820
@hajiali8820 Год назад
Amen
@emanuelmwihambi7994
@emanuelmwihambi7994 Год назад
Amen 🙏
Далее
what will you choose? #tiktok
00:14
Просмотров 3,6 млн