Тёмный

Hii ndio hadithi ya Malkia wa Sheba na alivyomchanganya Mfalme Solomon/Suleiman 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 82 тыс.
50% 1

Hadithi ya Malkia wa Sheba imesimuliwa kwenye vitabu vya dini mbalimbali kama vile Wayahudi, Wakristo na hata Waislamu. Biblia imemsimulia kuwa alikuwa ni Malkia wa kutoka Mashariki Ufalme wa Aksum huko Ethiopia.
Na pia kuna wanahistoria wanaosema kuwa pengine ilikuwa ni kutoka ufalme wa Saba huko Yemen au toka katika hizo Falme mbili zote kwa maana ya kuwa pengine alitawala sehemu zote mbili. Endeleea..

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 154   
@hassanmkotya8167
@hassanmkotya8167 5 лет назад
hadithi nzurii mzee tulimisi vitu hivi ninaimani watu wanapenda sana maana hat story book ya wasafi inavuta watu wengi uzuri wako wewe unasifa za ziada unasauti nzuri na yakuvutia hasa kwenye makala ninaimani kama utarudisha hadizi na makala hizi basi followers wako watapanda haraka kutoka laki 4 na kukua kwakasi mimi binafsi napenda sikumoja nione unazaidi ya waffjasi m1 kwani nitafurahi sana ila inshaalah utafika
@user-qx3im4xe2k
@user-qx3im4xe2k Год назад
😊
@user-qx3im4xe2k
@user-qx3im4xe2k Год назад
😊
@user-qx3im4xe2k
@user-qx3im4xe2k Год назад
B
@IsaacParuz
@IsaacParuz 5 лет назад
Good job brother Fredrick I appreciate... Nawwpa changamoto wasomi wa biblia kuwa huyu ndo chanzo za utajiri mkubwa wa Mfalme Suleimani...na malkia huyu alikuwa Ni muafrika ... Ingawa waafrika tumedhaurilwa Sana, ukiangalia historia wa Africa waafrika wamemezwa na waandishi wengi wa karne ya kumi na Saba, kumi na nane ,kumi na tisa Hadi 20... Lakini still hiyo haifichi ukweli kuwa waafrika ni matajiri na utajiri wetu Ni chanzo Cha maendeleo ya mataifa makubwa
@eastafrica6858
@eastafrica6858 4 года назад
Hakua mwafrica alikua myemen na jina lake bilgis na ndege alie muona anaitwa hudhud soma quruaani ndio hihi zilizo bakii zote wamechovya huku na wakaongezea ila quuruan haijawahii kubadilishwa hata kidogo ni maneno ya ukwelii
@mkude
@mkude Год назад
Nenda kasome historia vizuri,ndo utajua Sheba IPO wapi.queen of Sheba hiyo ni Yemen na inajulikana na yeye kiti chake kilikuwepo huko huko Sheba in Yemen,huyo alikuwa ni mwarabu wa Yemen na alitawala eneo la bara la Arab na eneo kubwa la bara la Africa
@mkude
@mkude Год назад
​@@eastafrica6858 hata kwenye bible pia haijasema ni kutoka Africa imeeleza queen of sheba.hiyo Sheba inajulikana kama ni Yemen.
@a.y.a.kmwamba26
@a.y.a.kmwamba26 5 лет назад
NDUGU ZA.. Niegeme kweny qur an,hao wote ndege na wanyama ni Lugha za kimajaz yan mifano au tuseme kwamb zaman wat walipend kujiita kw majin ya vituwanyam flan hali hiyo ata sasa ipo mfan mtu huitwa mwamba mjusi n.k nitoe dogo kuhusu ndege hudhud uyo alikua ni askari wa nabii suleiman na si ndege km ilivy uyo illa ni askar tena komandoo alimtum kumchunguz malkia bilqis/wa sheba na alipochelew mfalme/nabii suleiman alihamak na kudhani uyo hudhud/askari amesalit lakin kumbe alijiongeza kuchunguza zaid (km ulivyo mdom wa hudhud kwa kuchimbua) ndio mana akachelew ilikua kawaid kwa sbb alikua askar komando na mjuvi hii inayumkinika pale alipompelekea mfalme suleiman habar kubwa na mzur zaid ndy mana suleiman akapoa na kutambua uhodar wake uyo ndiye hudhud si ndege hasa km idhanivy itakua ni jambo ambalo haliingi akilin na huu si uislam manabii hawakuja kuongea na ndege bali watu(mina nnas) na kuna mifan mingi ya vitu ikiashiria wanadam ndivyo lugha za kimbingu hii ieleweke vzr.pia pengin hajaelez lakin kuna kisa cha mchwa kuongea pale jesh la suleiman likipokaribia makaz yao jamn wale si mchwa wadudu bali ni watu ambao walikua ktk mji flani ambao suleiman akiw umbali mkubwa akiukaribia mnadi katika mchwa hao akasema jificheni asije suleiman akawapond na jesh lake hii ni jamii ambayo ililihofia jesh la suleiman.haya ndio yanaingia akilin kudhan walikua ndege au mchwa kweli hayo yatafaa sn kweny hadith km za halfu lela uleila na abunuasi chura akasema hiyo si qur an,qur an inatutak ttmie akili inasema afaala taakirun hamtumi akili(15:88) Tazamen aya asante (ahmadiya knowledge)
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 5 лет назад
Unakipaji bro allah akupe maisha marefu insha allah
@susanruo8087
@susanruo8087 5 лет назад
Waow, Simulizi ya kibambe sana
@tamaraeliz7114
@tamaraeliz7114 5 лет назад
Wow wow Mr. Pastor You great voice
@tamaraeliz7114
@tamaraeliz7114 5 лет назад
Wow wow Mr. Pastor You have a great voice
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 2 года назад
Is he a pastor?
@othmanmgongo8850
@othmanmgongo8850 5 лет назад
Mm napenda sana jinsi unavyo tupa hadithi,
@stansmorland5072
@stansmorland5072 4 года назад
Nakukubali sanaaa sky, amazing story 😒
@thenextmvp8568
@thenextmvp8568 5 лет назад
Kiukweli brother sky kwahadithi kwaupande wangu aupo freshi,,,,..,, hiyo seemu niya pesa mane mapenechenji,... ausio wadau wa sns,,,,,........
@zuwenahamoud7792
@zuwenahamoud7792 5 лет назад
Jean Malilo yuko vzr mnooo
@sylviamsumba2212
@sylviamsumba2212 Год назад
He is so good ,sauti yake ni noma sanaa
@kobajumakuziwa9976
@kobajumakuziwa9976 3 года назад
Hapo ya kuwa jini ndio alieleta kiti hebu soma vizuri hiyo quran imesimulia vizuri sana kisa cha barkis
@victormneney1475
@victormneney1475 Год назад
Nisawa ndiyo maana kanisa la kwanza Africa ni orthodox na kalenda yao ya Gregorian calendar 📅 Ethiopia 🇪🇹 Na mpakq leo kuna wayahudi weusi Ethiopia 🇪🇹
@mkude
@mkude Год назад
Unamaana gani? Huyo queen hakuwa hakuwa wa Ethiopia mbona IPO wazi queen of Sheba hiyo Sheba ni Yemen na kiti chake Cha utawala kulikuwa huko huko Sheba Yemen na yeye alikuwa ni mwarabu wa Yemen na mpaka sasa makumbusho ya kiti chake Cha enzi na mji aliokuwepo IPO yemen
@swaleheathumani4184
@swaleheathumani4184 4 года назад
Hongereni sana ila ndege wa Suleyman anaitwa hud hud
@abdalaauame3863
@abdalaauame3863 2 года назад
Mashalla,kumbe wacristo wanujuwa kuwa minabiy wakale warikuwa wanamwahabudo alla(awakuwa wacristo)warikuwa wahislamo kwelli kwelli 👐👐👐👐
@gracelema4849
@gracelema4849 Год назад
Hakuma kitu kama icho
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 5 лет назад
Asante tunasubiria muendelezo🔥🔥
@joviangeofrey7212
@joviangeofrey7212 5 лет назад
amazing. ila umesema kwa ufupi. nataman uendeleze story maana ina mambo mengi
@hervemani9600
@hervemani9600 5 лет назад
Umetisha sana
@fredricknkole5481
@fredricknkole5481 5 лет назад
Bro nimekubali nipo number two 🧢💪💪
@isayaalfred8515
@isayaalfred8515 5 лет назад
(SimuliziNaSauti) Usitusahau katika Simulizi za namna hii Bro Unanifanya nikumbuke {HANDAKI LA KIFO,HUKUMU YA MBUNGE n.k}So Pls smtms Do this kind of documentary I love GUYS u Peace.
@marinamooh4055
@marinamooh4055 5 лет назад
Fact👌
@stephanieeunice8572
@stephanieeunice8572 5 лет назад
Wow Asante,nimejifunzaa
@mustayoo
@mustayoo 4 года назад
Soma quran suratul namli kisa Allah amekieleza
@mzeemzee2467
@mzeemzee2467 4 года назад
simulizi nzuri. ila kuna kasoro kdg ni kuwa alieleta kiti cha enzi cha malkia alikua ni mtu mwenye elimu na wala sio jini.
@venancegaspatv1961
@venancegaspatv1961 2 года назад
Kwa Mujibu wa Quran ni Jin
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 5 лет назад
imeeanza vizuri sana hongera
@rachellebahati7512
@rachellebahati7512 5 лет назад
nakupenda bure. wewe na family yako yote
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 4 года назад
Iko pw sana bro be blessed.
@zahorsuleyman7617
@zahorsuleyman7617 5 месяцев назад
Unasimulia vzr,ila huskmulii kwa uhakika,kwani alie kileta kitabu si jini,bali ni mtu mwenye elimu ya kitabu/mcha mungu,tena alikileta hata kabla ya mpweso wa jicho.
@rukusanmanase1175
@rukusanmanase1175 5 лет назад
Adithi nzur sana jamani
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 5 лет назад
Yaan sikutamn ht hadithi ihiishe dah ikifika kipengele cha hadithi napenda sana sky umetisha htr
@mytelecom2019
@mytelecom2019 5 лет назад
nakuona nakuona unavo enjoy
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 5 лет назад
@@mytelecom2019 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 wew tena
@mytelecom2019
@mytelecom2019 5 лет назад
@@lilianjeremia1024 sky ni fire uyo jama namkubali adi mwisho aendeleye kutupa mambo na Mungu ampe umri mrefu
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 5 лет назад
@@mytelecom2019 amen
@habibhamza9766
@habibhamza9766 2 года назад
nimeshasema sana ila narudia, Skywalker ni mkali sana aisee, ila nirekebishe hapo kwenye kiti cha enzi, aliyelileta sio jini bali mcha Mungu.
@stevenkigoda6879
@stevenkigoda6879 5 лет назад
Mwendelezo
@AlvesiSiwelwa
@AlvesiSiwelwa 3 месяца назад
POa sana mzee
@starboytv5293
@starboytv5293 5 лет назад
First one to View
@zulfamohamed4549
@zulfamohamed4549 5 лет назад
achen uwongo nabii sureyman akuwa natabiya izo munazo zisema nyinyi kasomen kwenye Qur'an mutajuwa kila kitu munamkashifu nabii wa Allah kuhadithi zenu zakutunga subuhana llah nabii sureyman akuwa mnyaudi bali n mwislamu piya nabii waAllah anae pokeya wahi kutoka kwaAllah achen kumchafuwa
@nurumuna7297
@nurumuna7297 5 лет назад
kuhusu tabia kweli wameongopa '
@zulfamohamed4549
@zulfamohamed4549 5 лет назад
@@nurumuna7297 sana t
@joelmilendo4705
@joelmilendo4705 4 года назад
Solomon alikuwapo kabla ya uislam ndugu yangu (alikuwa myahudi kwa kipindi hicho) acha kupotosha. ..
@zulfamohamed4549
@zulfamohamed4549 4 года назад
@@joelmilendo4705 nini amepotosha mimi au kama mimi sijasema kuwa soromon alikuwepo au ajakuwepo bali nilicho sema kitu kumuingiza nabii surehmani kwenye uchafu ndiy nilicho wabishiya nabii surehnan awezi kuwa mfanya zinaa wala ajawai fanya zinaa abadani
@nurumuna7297
@nurumuna7297 4 года назад
@@joelmilendo4705 eti myahudi #akili ni muhimu sana ..okay tuonyeshe evidence ya kua Solomon alikuwa myahudi Angalau ya andiko tu ili tuone kuwa wewe sio muongo '
@aliabdallah8686
@aliabdallah8686 10 месяцев назад
Yani mjomba hii stori kwenye upande wa uislamu umeipindisha sana mtaalam nibora uhadithie storizako kwenyeupande unaouweza zaidi
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 лет назад
Pamoja sana mwamba 🙌🙌🙌🙌🙌
@mytelecom2019
@mytelecom2019 5 лет назад
formidable big up sky
@dirayaduniageneralviews312
@dirayaduniageneralviews312 4 года назад
Nimekusikiliza sana lakini kwa historia ya suleyman kwa huyo malkia umedanganya kabixa
@eastafrica6858
@eastafrica6858 4 года назад
Alitwa bilgis toka yemen
@sadikimohamedmangasala7245
@sadikimohamedmangasala7245 4 года назад
Ulichoeleza kina mapungufu au makosa kidogo. Aliyeleta kiti cha malkia hakuwa jinni Kama ulivyosema. Alikuwa ni mwanadamu mwenye elimu ya juu. Rudia tena kuisoma hiyo kwenye suratl Nnaml utaona vizuri. Aliyeleta kiti mbele ya Mfalme Suleiman hakuwa jini bali mwanaadam aliyeitwa A'sif
@dottocharles1636
@dottocharles1636 3 года назад
Sauti nzuri sana
@mkude
@mkude Год назад
Queen of sheba,hiyo ni yemen na alikuwa ni myemen na hiyo sheba ni yemen inajulikana na kiti chake cha enzi kilikuwepo sheba in yemen alitawala eneo kubwa la bara la arab na eneo kubwa la africa
@shakira1301
@shakira1301 5 лет назад
Naomba iendelee
@wolfgangkichai8577
@wolfgangkichai8577 5 лет назад
Wazungu wabaya sana. Kwani queen of sheba alikuwa mweusi, sema wakatubadilishia stori 😏😏😏
@mkude
@mkude Год назад
Alikuwa mwarabu kutoka Yemen queen of Sheba hiyo Sheba ni Yemen inajulikana na utawala wake ulikuwepo huko na alitawala eneo la bara la Arab pamoja na eneo kubwa la africa.ila warabu wa Yemen pia asili Yao ni dark colour sio weupe kama wazungu
@mohamedidd7385
@mohamedidd7385 5 лет назад
Nakubali
@sadikathumani1003
@sadikathumani1003 5 лет назад
Safi sky worker!
@uwitekamimy3431
@uwitekamimy3431 5 лет назад
Nimekubali 😍 tuko pamoja
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 5 лет назад
Nice ,unajua sana
@RemmyWilliams
@RemmyWilliams 3 года назад
SAUTI YAKO HUWA NINAIKUBALI. WOW.
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 5 лет назад
Asante kaka sky
@ibrahrich4807
@ibrahrich4807 4 года назад
Hivi ndo vitu mimi napenda
@hassan_ibungu
@hassan_ibungu 5 лет назад
Nakuelewa
@allyshabani8680
@allyshabani8680 5 лет назад
Walio ikubali hio beat like
@ziadazidi2658
@ziadazidi2658 5 лет назад
Hamna kitu hapo isome Qur-an utaijuwa hadithi hiyo vizuri sana
@jabirbinjabaar7864
@jabirbinjabaar7864 5 лет назад
hivi ipo kwenye surat gan hii kwenye Qur an
@a.y.a.kmwamba26
@a.y.a.kmwamba26 5 лет назад
@@jabirbinjabaar7864 naml ya 27
@casttraining1575
@casttraining1575 4 года назад
Huu ndio ugonjwa wa wa Islam kuwa kila habari nzuri imeandikwa vizuri kwenye quiran. .
@othmaniddi9458
@othmaniddi9458 4 года назад
@@casttraining1575 nawe pia.yawezekana kuwa ni ugongwa wako, hakika Qur'an imeieleza kisa hicho kwa ufasa mkubwa
@othmaniddi9458
@othmaniddi9458 4 года назад
@@casttraining1575 Qur'an ni.kitabu kisicho na shaka ndani yake, hawawezi binaadamu yeyote kukibadilisha
@samuelm6928
@samuelm6928 3 года назад
Tafazali tuleteye historiya ya #romanempire.
@rehmadamian8020
@rehmadamian8020 5 лет назад
Nyc
@asiaasia-pl4fl
@asiaasia-pl4fl 5 лет назад
Umeticha san👏👏👏👏👏👌
@chazkoillah2652
@chazkoillah2652 2 года назад
Vyanzo vingine vinadai Malkia wa Sheba alikua nusu mtu nusu jini.. lakin bado kuna vyanzo vinasema Solomon alkua na majesh adi majini so queen of Sheba history yake inatatanisha maana kama Solomon aliongoza adi majini iweje uyu nusu mtu nusu jini amsumbue adi kumwasi Mungu hellow wanawake wana nguvu
@gracelema4849
@gracelema4849 Год назад
Uongo uo.Kurani ni uongo mtupu
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 3 года назад
Ktk qur an sio jini aliekileta kiti cha mslkia balqis aliekileta kiti cha malkia ni binaadamu mwenye elimu apo umekosea mchambuzi fatilia vizuri
@ZionTZ09
@ZionTZ09 Год назад
hivi kwanini hadhithi za quraan lazma zihusishe majini zaidi hata ya malaika?
@mkude
@mkude Год назад
Hili lipo wazi na limehadithiwa kwenye bible na quraan,huyo anaitwa queen of sheba hiyo ni yenen.hiyo sheba ni yemen na yeye kiti chake cha utawala kilikuwepo huko sheba yemen lakini alikuwa kiongozi shupavu na mwenye hekima na akili sanaa.alitawala maeneo ya Arab na Africa
@kibukilaalfred4816
@kibukilaalfred4816 4 года назад
Penda sana story hii
@hoseamgema9107
@hoseamgema9107 4 года назад
Ndege woodcok aliridhika namna gani wakati hakuhudhulia sherehe..🤔
@peterkingili5305
@peterkingili5305 5 лет назад
Tunaomba mwendelezo plz bro sky.
@lucylyuki4852
@lucylyuki4852 6 месяцев назад
Kisura balaaaa
@sarahdanny9568
@sarahdanny9568 4 года назад
Sounds ya nyuma itoee
@Iragibarune1.
@Iragibarune1. 3 года назад
Asant Nilikua nasubiri nisikilize sauti yako tu! Kwamana mmmh
@aishaaisha2957
@aishaaisha2957 5 лет назад
❤❤❤❤❤❤❤
@rubbymassawe788
@rubbymassawe788 5 лет назад
tam sn simulz
@jeygelgerald674
@jeygelgerald674 4 года назад
Follow Instagram kama NAHITAJ mkopo wa riba nafuu @jacquirine_lowasaa @jacquirine_lowasaa
@fahadnassor9367
@fahadnassor9367 4 года назад
Tupeni habari mpya sio za manabii wa zaman maana ikiwa sasa hivi baadhi ya wakiristo wanajiita manabiii hv hamna haya nyinyi historia ni ya wale wanaoheshimu ukweli sio wanaoamni tuliaombwa kama nyani... Kitabu cha kweli ni quran sio agano jipya linalobadilishwa kama mke kila wakati
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 5 лет назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@fedricklubigisa139
@fedricklubigisa139 5 лет назад
💪💪💪
@ajuuraaneu4279
@ajuuraaneu4279 3 года назад
Kingdom Solomon Muslim
@sawbaa6332
@sawbaa6332 4 года назад
Alie leta kini ni bina ada siojini acha kupotosha
@dinocastico8495
@dinocastico8495 4 года назад
Daaaah ... yani inamaana nabii alizini? Maneno machafu tena zaid ya uchafu kwa kisingizio cha fikra za watu.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
@mhthesamemh7303
@mhthesamemh7303 5 лет назад
Hivi najiulizaga mwenzenu kuuusu huyu malikia wa sheba mfano wa swali mojawapo huyo malikia alikuwa hana mme? Maana mm kwauelewa wangu mdogo cheo cha malikia lazima awe na mme sasa huo siniuzinzi? Mbona hilo uwa linafichwa na huwa halizungumzwi?
@a.y.a.kmwamba26
@a.y.a.kmwamba26 5 лет назад
Nifollow
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 Год назад
Sky umetuibia izo billion apo tuache 🤣🤣🤣
@aimanjohn3972
@aimanjohn3972 4 года назад
Unaiga sauti ya millard au ndio sauti zimefanana!!!
@iraqgirl2143
@iraqgirl2143 4 года назад
Wewe huyu kaka hii ndo sauti toka alivokuwa radio freee afrikaa hawz mwiga Ayoo
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 4 года назад
ndo raha ya dini izi tatu
@binthassancollection.6308
@binthassancollection.6308 5 лет назад
✔✔
@richardlibery7117
@richardlibery7117 4 года назад
👌👄💗💓❤💎💍
@salimshalifu9293
@salimshalifu9293 4 года назад
story nzuri ila haipo ivo hiyo story mzee ndege alikuwa ni mtumish wa solomon
@gracekaniki789
@gracekaniki789 5 лет назад
Dini iliyoanza ni ya kiislam au kikristo mnatachangnya sky
@kassimulugajo6512
@kassimulugajo6512 5 лет назад
ukristo sio dini bali ni ufuasi wa kristo
@fatma2496
@fatma2496 5 лет назад
Dini ni moja ya tangu enzi za Adam, labda uulize Jesus yani Nabii Issa na Nabii Mohammad nani alikuja mwanzo, alie kuja mwanzo ni Jesus [Yesu] ila dini yao ni moja kwani walitumwa na Mungu Mmoja kusambaza neno moja la Mungu... Sasa haya matabaka sijui ukristo, uyahudi ni zama tu ambazo wamezifanya kuwa ni dini na kubadilisha neno la Mungu.. lakini hii story sijawahi kuisikia kwenye Quran ntaifanyia uchunguzi
@estherkoya8410
@estherkoya8410 4 года назад
😂😂😂😂😂 eti dini ya uislam ilianza, mtume mwenyewe anasimulia kuhusu YESU inamaana amemkuta mnaosema uislam ulianza mnamaana gan maana mpka YESU anakufa mtume hata ajazaliwa halaf et uislam umeanza, vtu vdogo vdogo simple vya kufikir tu wala haiitaj ubish
@eastafrica6858
@eastafrica6858 4 года назад
@@estherkoya8410 uislam ulianza toka mmungu kaumba adam wa kwanza na mitume wakee walikua wanamuabudu yy ila mtume ndio wa mwishoo alie kamilisha dinii ya kislaaam na kristo wazungu walimbadilisha kivyao mana hata ukiangalia isa yupo katika quuruni na kuruani haijabadilishwa na ukrito ni masihi kwa wana esrael hata ukiangalia mitume wote hawapo kwa wazungu fikiria hata wayahudi wamempinga wana dini yao ya kiyahudi isa musa ayob sulaiman wote wako nchi za kiarabu abrahim na ismail wapo wapii but wazungu wameigeuza bibilia agano la kalee halipo na waislam wanamini injili zaburi tourat na furgan ndio guruani mmelala amkenii isa anasali kama waislam sio masanamu ambayo walichonga wanadam dhambi selemani yahaya musa misri angalia misri si kiarabu na waislam wengi israel ni nchi ya wapaletina ila wasirail wamelaaniwa kwa kumpinga mmungu masihi isa hawamwamini kaja kwa ajili yao na mwisho atakuja tena duniani kupinga kua yy sio mmungu na atamuua mwenye jicho moja
@estherkoya8410
@estherkoya8410 4 года назад
@@eastafrica6858 sisi hatumjui issa tunamjua YESU, hatumjui yobu tunamjua Ayubu, abraham tunamjua baada ya agano na MUNGU aliitwa ibrahimu halafu biblia inatuambia kua Ishmael alikua mwana wa kijakaz na alifukuzwa, lakini mwana wa agano ni Isaka ambaye ndo chimbuko la ukristo. Mtume wenu amezaliwa amekta historia ya YESU na sisi imani yetu ni YESU, sasa nan kamtangulia mwenzake hapo
@chadiaalfani4906
@chadiaalfani4906 5 лет назад
iyi turu haukutwambia yote kusu hudhud kilico sababishwa adhibiwe haikuwa iyo
@dinocastico8495
@dinocastico8495 4 года назад
Amechambua kupitia VITABU VINGINE isipo kuwa kor an. Na kama angechambua kupitia kor an ni raha zaid.
@tuonhfhgf1605
@tuonhfhgf1605 5 лет назад
Malkia sheba alimtibu mahaba suleiman
@famitoissanawanda6295
@famitoissanawanda6295 5 лет назад
Ipo poa ila sio dini ya kiyahudi ni yakiislamu selemani ni muislamu
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 5 лет назад
Kama umesikiliza kwa makini umesikia Solomon/Suleiman amesimuliwa katika dini tatu, Kikristo, Kiyahudi na Kiislamu
@famitoissanawanda6295
@famitoissanawanda6295 5 лет назад
Ok asante kwa kunifungua zaidi Nimejifunza kitu hapa umakini wa kusikiliza jambo sio kukurupuka asante
@habibutengezatengeza231
@habibutengezatengeza231 4 года назад
Malizia hadithi yako kuusu malikia sheba alikuwa mtu wa asiri gani mweupe au mweusi
@babuayubu6215
@babuayubu6215 4 года назад
Mweusi...hawa wayahudi pia hawakuwa weupe,,,mzungu ndo aliwachora weupe..
@babuayubu6215
@babuayubu6215 4 года назад
Malkia alikuwa mtu mweusi bila shaka,hata hawa wayahudi walikuwa weusi ,enzi za warumi ,ndio walianza kuchora kila kitu kizungu(cheupe) na kumchora shetani kuwa mweusi kupitia wasanii wa enzi hizo akina Michelangelo na Leonardo da Vinci..kama njia ya kumdhaliliha mtu mweusi na kumuinua mzungu...loh.!
@iraqgirl2143
@iraqgirl2143 4 года назад
Kwan huyo malkia si alitokea Ethiopia jmn sio mweupe sema uweupe alokuwa nao niwa kiafrica kama hili kabila la wairaq nchini Tanzania ambapo hata weusi wapo sana tuu coz kwa asili ni waethiopia
@mkude
@mkude Год назад
Acheni upotoshwaji au kupotosha wengine huyo alikuwa mwarabu wa Yemen ndo maana historia zote zimemuekeza queen of Sheba,Sheba ni Yemen alitawala eneo bara la Arab na eneo kubwa la Africa
@YasiniHasani-og4hc
@YasiniHasani-og4hc Год назад
We broo unatisha sana unpokua kwenye sectar ya kazi yako huitendea haki
@thenextmvp8568
@thenextmvp8568 5 лет назад
Na hako kamziki kama ka clam tz
@pendomarco4034
@pendomarco4034 5 лет назад
Nzur
@bizabishakasamir8674
@bizabishakasamir8674 5 лет назад
😅😅
@christopherdavid7660
@christopherdavid7660 4 года назад
Allah,anangia wap,false story
@woah.africa99
@woah.africa99 2 месяца назад
Ila vingine hawawezi kuibadilisha ardhi na vilivyo kua vya ukweli kwanza mitume wote ni.kutoka madhariki ya kati na msikiti wa al aqsa upo wa sulaiman mpaka leo upo phalestina
@woah.africa99
@woah.africa99 2 месяца назад
Hajatokea sheba mnapinga mmungu ni kutoka yemeni sabaa anaitwa nilgis ndio sulaiman hao wazungu wLibadilisha
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 5 лет назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Далее
To mahh too🫰🍅 #abirzkitchen #tomato
01:00
Просмотров 4,8 млн
НЕВОЗМОЖНЫЙ ЭКСПЕРИМЕНТ
00:39
Просмотров 63 тыс.
Mhafamu CLEOPATRA, Malkia mrembo aliyeitikisa MISRI
19:33
To mahh too🫰🍅 #abirzkitchen #tomato
01:00
Просмотров 4,8 млн