Тёмный

MGOGORO WA KANISA NA SERIKALI ULIODUMU MIAKA 30 WATATULIWA NA RAIS SAMIA/ASKOFU AFUNGUKA WALIYOPITIA 

JAMBO TV
Подписаться 938 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@fratelltutiilaudatosi4153
@fratelltutiilaudatosi4153 9 дней назад
Baba askofu ni mnyenyekevu kweli Yuko kimya TU anatafakali na hiyo ndo tunu ya wakatoliki
@deomusyebi9930
@deomusyebi9930 8 дней назад
Kwa mara ya kwanza homeboy Makonda nakupa 💯 % hongera sana kwa ufuatiliaji mzuri ikawe nuru kwako.
@justinelukumay5308
@justinelukumay5308 8 дней назад
Mungu Akulinde sana BROTHER MAKONDA, KAMA UKO NA MADHAMBI KIBAO NAZIFUTA KWA JINA LA YESU UWE HURU ZAIDI KWA DAMU YA YESU.AMEN
@patrickmunisi7234
@patrickmunisi7234 4 дня назад
Mkuu nikutumie jina la mwenyekiti wetu wa mtaa ili umfutie madhambi?Maana anazingua sana kwenye issue za ardhi
@musapfute6608
@musapfute6608 9 дней назад
Wakristo hasa wakatoliki n wanyenyekevu sana, Mungu awabariki
@robertzamani5612
@robertzamani5612 9 дней назад
Kwa nje sawa
@aqcqpissa6887
@aqcqpissa6887 8 дней назад
Kwa ndani ni mkeo tu ukimjua inatosha😂😂 acha chuki robert
@gwanda27
@gwanda27 8 дней назад
Kwandani wewe wanakujua​@@robertzamani5612
@menelus911mene5
@menelus911mene5 7 дней назад
Mashaallah mhe mungu akulinde sana mkuu wa mkoa wa Arusha ❤❤❤🎉🎉🎉
@williammtui5790
@williammtui5790 9 дней назад
Barikiwa na Mungu kwa kazi njema ya haki.
@rithaurassa
@rithaurassa 5 дней назад
Watu wakusaidia watu kwenye hii nchi ni wachache san. Mungu tunaomba utupe wtu wema kama hawa wawe wengiiiiiiiiiii. Barikiwa mh. Makonda
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 9 дней назад
Thanks, haki huinua Taifa ball dhambi ni aibu ya watu wote.Amen
@gidionYeremia-n5z
@gidionYeremia-n5z 9 дней назад
Mungu asipo kulinda makonda unamaadui wengi. Tunakuombea sana
@halimamasai2234
@halimamasai2234 9 дней назад
Mungu yupo naye Makonda inshaallah tunakuombea Usiku Na mchana 🤲🤲🤲
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 9 дней назад
Congratulations ev;makonda,Godbless you too.eimen.
@andrewassey5108
@andrewassey5108 9 дней назад
Mungu wetu ni mwema sana kwa waja wake. HAKI HAKI HAKI kwa Mungu haipotei!!!!!!! Asante YESU.
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 8 дней назад
Sema Asante mungu
@josepherjosephpaul1138
@josepherjosephpaul1138 9 дней назад
Mh. Paul Makonda nami nahitaji msaada wako😢
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 7 дней назад
Miaka 30 ya kilio cha kanisa imetufirikisha injili ya hakimu dhalimu na mjane aliyelilia haki yake Luka 18:1-8 . Tusikate tamaa kupigania haki zetu..
@ChristopherjuliusMahahila
@ChristopherjuliusMahahila 8 дней назад
Amina👏👏
@MzeeAdam-l2q
@MzeeAdam-l2q 8 дней назад
Mh. Raisi . MUNGU akubaliki kwakusimamia Haki hii. Na Mh. Mkuu wa Mkoa P. Makonda MUNGU Akubaliki Sana.
@AlexBoniphaceKamomole
@AlexBoniphaceKamomole 9 дней назад
Makonda uko vizuri,kama vile Tulia Akson.
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 7 дней назад
Sio warabu sio wakoloni ni sisi wenyewe tunakulana wenyewe. Unaomba mali yako na unauziwa mali yako. Hatutapata baraka kwa Mungu.
@christosiadanieli6512
@christosiadanieli6512 8 дней назад
mambo yaongewe lakini makosa mengi yanaendekezwa halafu yanaleta migogoro yaajabu,yakijinga yenye dharau kwa serikali
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 9 дней назад
Name suluhu make suluhu for everything and everyone, madame president Godbless you.too. eimen
@reginamwendwa6709
@reginamwendwa6709 8 дней назад
Askofu yuko Makini hachekicheki ovyo
@dismasmtui729
@dismasmtui729 8 дней назад
Wanatakiwa kupitisha ukuta mapema kabla mambo hayajabadilika tena!
@AugustinoPeter-rn9bn
@AugustinoPeter-rn9bn 9 дней назад
Bado huku kigoma wilaya ya uvinza kata ya uvinza kijiji cha uvinzs tunahitaji ccm iache uroho eakutamani maeneo yasiokuwa ya kwao
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 8 дней назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@francismlembwa2733
@francismlembwa2733 8 дней назад
Mh makonda ni kweli hakuna mkuu wa mkoa Kama wewe kila aina ya changamoto unaweza kutumia Busara zako kwa kuzitatua , Mungu akulinde Sana, lkn kwa Nini wakuu wa mikoa mwingine awafanyi kazi Kama hizo,kwa ajili ya WANANCHI, wao wamekuwa Kama comedy tu inasikitisha sana
@tuzonyava8306
@tuzonyava8306 9 дней назад
Kanisa Katoriki halijawahi fanya jambo kienyeji popote pale hata kama nimiaka 10000 kupita nilazima alamazake ziwepo kwanza kunakua nampangilio wamji
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 9 дней назад
Kwa sababu wamesoma sana
@moshifrank9622
@moshifrank9622 6 дней назад
Elimu ni muhimu
@jomba6514
@jomba6514 8 дней назад
Amen
@hemedmuna1851
@hemedmuna1851 8 дней назад
Makonda nikiongozi na nusu aisee,kwamaana jambo likishakua na Police yaani nitaabu kulitatua
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 8 дней назад
Nimemuelewa mkuu wa mkoa, alivyomwambia kwa akili hii Jiji la Arusha ndio maana lina Ujenzi horera.
@charlzmboya
@charlzmboya 9 дней назад
Makonda kwa hapa nimekupa saluti .
@KanutiJoseph
@KanutiJoseph 8 дней назад
Magari yaondoke kusije kukatokea migogoro mengine kwa eneo hilo kati ya Polisi na Kanisa.
@EliasJohn-lc8nu
@EliasJohn-lc8nu 9 дней назад
Mnaumiza watu sanaaaa emu tuendelee kukaaa kimya
@maalimwenga452
@maalimwenga452 9 дней назад
Huyu baba hatabasam kwa jinsi alivyo zungushwa
@prochesytesha8040
@prochesytesha8040 9 дней назад
Ee mungu tusaidie
@DiCaprio_1
@DiCaprio_1 7 дней назад
Udhalilishaji tu ipo siku yako, inakuja
@RoseKimishabhalemi
@RoseKimishabhalemi 8 дней назад
Bandari alitudhurumu akawapa kaka zake waarabu
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 9 дней назад
Makonda hayo matatizo hayawezi isha labda ccm itoke madarakani ccm ndo inaleta uozo huo wote
@fratelltutiilaudatosi4153
@fratelltutiilaudatosi4153 9 дней назад
Jambo dogo maelezo mengi kweli uchawa hautaisha
@christianchando7041
@christianchando7041 9 дней назад
Acha wivu
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 9 дней назад
Kwenye makazi hakuna ujenzi asante sana ila Makonda jaman eti nchi gani umeshatembelea utafikiri ni rahisi kama unaenda sokoni😂
@danielshauri6390
@danielshauri6390 8 дней назад
Ili akajifunze kwa wenzake miji inavyopangwa
@PaullyzmundaPaullyamunda
@PaullyzmundaPaullyamunda 8 дней назад
Huyu mtu haelewi, mambo ya kitaalam mtipoteze muda kumwelekeza, huyu anaamini ni yeye tu ndiye anayejua! Unaadjust vipi bila kufuata taratibu za kisheria?
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 8 дней назад
Kwa miaka yote hyo walishindwaje kufuata hizo taratibu za kisheria ili kufanya Adjustment.? Yani mtu unanunuaje eneo lako mwenyewe? 😂😂😂😂. Ni full confusion kaka
@IsackWatson
@IsackWatson 9 дней назад
Politics never end
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 9 дней назад
Thts so sad technical reasons are obstructed by political chicanery.
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 9 дней назад
Wapuuzi nyinyi
@IsackWatson
@IsackWatson 9 дней назад
@@ramdanmbara8500 mpuuz Nani Sasa!
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 9 дней назад
Mipaka inasogezwa kwa maelezo ya rc
@user-ke7nb9rs5i
@user-ke7nb9rs5i 9 дней назад
Hahahaha mtaalam unafel kujieleza, panda beacon hapo barabaarani asikubabaishe, kila taaluma ina utalam wake. Sio kazi rahisi kubadilishaa approved survey, approved Tp, hati n.k. mtaalam ungeeleza taratibu zote.
@kristofankembo8443
@kristofankembo8443 9 дней назад
Huyu Surveyor ni Junior sana wakubwa zake wamemtoa kafara asingeweza kuwa na ujasiri wa kumjibu RC
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 9 дней назад
Mpuuzi wewee
@user-ke7nb9rs5i
@user-ke7nb9rs5i 9 дней назад
@@ramdanmbara8500 ardhi inasheria zake kama huelewi utabaki kusema mpuuzi..
@user-ke7nb9rs5i
@user-ke7nb9rs5i 9 дней назад
@@ramdanmbara8500 Huna unachojua sio kosa lako
@KhalidAlly-je8ky
@KhalidAlly-je8ky 8 дней назад
Kwakua mmefanikiwa
@peternanyaro8269
@peternanyaro8269 8 дней назад
Y6
@thomasmorris4779
@thomasmorris4779 9 дней назад
Kanisa katoriki liache kugawa maeneo yake na kuipa serikali kwa kigezo et kuisaidia serikali! Huko kigoma Nako pia Kuna mgogoro
@RoseKimishabhalemi
@RoseKimishabhalemi 8 дней назад
Nammchague makonda
Далее
I get on the horse's nerves 😁 #shorts
00:12
Просмотров 3 млн
Madaraka Nyerere Hajasema KWELI - Mohammed Said
35:41