Тёмный

AKILI YA MBOWE IMEFIKA MWISHO.TANZANIA INATAWALIWA KIUFALME.DEMOKRASIA HAIWEZI KUONDOA UFAMLE. 

huduma ya kristo
Подписаться 18 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

24 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 7 дней назад
Pole. Wizi wa kura hauuoni. Tutaona km Mhe Raisi atampisha Gwajima!! Ama la afe km ulivyotabiri. Yangu macho 😮!! Usije tuu ukaona haitokei, ukabadili tena ooh MUNGU ameghairi. Acha hivyox2 tuone kiuhalisia tuamini.
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 5 дней назад
Heli awe Ni Mungu kweli aliye watuma lasivyo madhara nimakubwa Sana kwenye kazi Yake Mungu
@MarwaWambura-l7u
@MarwaWambura-l7u 6 дней назад
Toka na projo zako ulitwambia gwajima atapewa kijiti na mbowe pale uliposema gwajima atatoka ccm acha kududanganya wee umeanza uchawa mimi nilikua nakuzikiliza sana stafungua crip zako katafute kazi nyingine broo nimekweka kwa nabii wa ongo acha kutumia nguvu nyingi tumekushusha tamani acha mbowe afanye siasa kaungane na msigwa mkapige projo kwendaaa huukooo
@godfreymeagisa1871
@godfreymeagisa1871 5 дней назад
Kweli mpaka kwenye injili kumeingiliwa
@RoseMmbaga-y4g
@RoseMmbaga-y4g 7 дней назад
Wao hawajaoshwa mtumishi
@HebronMalatila
@HebronMalatila 7 дней назад
Ufalme wa Samia Suluhu Hassan! Ni ufalme batili tangu enzi ya hayati JK Nyerere. Mkuu wa dunia ktk taifa la Tanganyika,ndo anayesimika wafalme au umalikia ktk taifa letu hili la Tanganyika. Na Leo ndiyo unaosimamia ufalme unatakiwa uje ktk mikono ya Gwajima . Na huyu Nabii ni siyo na Nabii wa Ufalme wa Mungu. Bali ni Kwa ufalme wa duniani Chini ya mkuu wa dunia.
@NehemiaNyato
@NehemiaNyato 4 дня назад
Mungu atutangulie
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 5 дней назад
Hero unabii mnaoutoa uwe wakutoka kwa Mungu na Kama sivyo mtaichafua kazi Yake Mungu kupita maelezo
@moviesgreatdirectors3193
@moviesgreatdirectors3193 2 дня назад
Wewe hujui ukristo, kwa sababu wewe mwenyewe siyo mkristo. Mkristo ni mwanafunzi wa Yesu ( Matendo 11:26). Mwanafunzi wa Yesu hujifunza na kujifunza yale aliyoyafundisha Yeye (Mathayo 24:20). Yesu alisema usichanganye mambo ya dunia na ya Mungu (Mathayo 22:21); wewe unasema ya kwako. Unatakiwa kutubu kwa kujikweza na kudai unazungumza na Mungu. Acha mafundisho ya uongo. Mfalme Herode alipomkata kichwa Yohana Mbatizaji (Mathayo 14:10, 11); Yesu alipopelekewa taarifa ( Mathayo 22:12), hakujihusisha, badala yake aliondoka huko akaenda kuendelea na kazi yake ya ukuhani (Mathayo 22:13). Wewe na wenzako mnaojiita Kristo (Mpakwa Mafuta wa Mungu), ni waongo mnaotumia jina la Kristo (Mathayo 24:4, 5).
@deodatusmugalulamugalula
@deodatusmugalulamugalula 4 дня назад
Siku hizi ukitaka kufungua kanisa wengi wao wanakuja na kick kama hizi dini zimeingiliwa kila mtu ni nabii
@rwegoshoraharunamirkajwaul5862
@rwegoshoraharunamirkajwaul5862 6 дней назад
"At hand " sio maana yake sio hiyo ya upo mikononi !
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 7 дней назад
Bangi nayo inamadhara yake
@JosephLadisilaus
@JosephLadisilaus 7 дней назад
Kwel mtumish ni watu walio ndan ya ufaulme tu ndio wanakuelewa uko sahihi ubarikiwe sana
@GasperAyo
@GasperAyo 6 дней назад
Muombee mboe Mungu ampe nguvu
@blasiustibwakawa6258
@blasiustibwakawa6258 4 дня назад
amina
@CLEMENTNDOLE
@CLEMENTNDOLE 2 дня назад
Je, unathibitishaje kuwa unayemtaja ana nia ya kugombea hiyo nafasi?
@HanifaUrassa
@HanifaUrassa День назад
Umechanganyikiwa
@fredyleonardmaths2546
@fredyleonardmaths2546 6 дней назад
Umenena vyema mtumishi
@adammjomba5814
@adammjomba5814 6 дней назад
Usimtumie Nguvu nyingi Ccm NDIO watawala na familya zao hakuna mwingine yoyote ktk Tanzania Hii, kwa Sababu zaidi ya 70% pasent ya watanzania wamesha katatamaa ya kujitoa madarakani CCM ,kwahiyo wamesha Chaka hawasumbuki tena.
@GasperAyo
@GasperAyo 6 дней назад
Sasa mtumishii wa munguu mboe ana kosa lolote unaposema anadaiwa dam Basi sema demokrasia ifutwe Basi
@eliasilwimba187
@eliasilwimba187 6 дней назад
Binge la mwongo,Mungu hawezi kuishiwa nguvu.
@adammjomba5814
@adammjomba5814 6 дней назад
Kwahilo la mamma kutokugombea 2025 Hilo haliwezekani MZEE kikwete amesha sema hakuna mwanasiasa kama mamma Samia ktk Tz Hii kwahiyo Sahau Hilo la gwajima Rsisi ni mamma Samia mitano5 tena.
@ondieckotoyo1143
@ondieckotoyo1143 День назад
Tuna haki na kuwa na mashaka na uadilifu wa gwajima
@DicksonRwechungur
@DicksonRwechungur 5 дней назад
Mambo ya rohoni utambulikana kwa jinsi ya rohoni ubarkiwe sana
@precioussao7065
@precioussao7065 7 дней назад
Mimi nakuelewa vizuri unachokiongea
@neliusgosbertbaguma8693
@neliusgosbertbaguma8693 7 дней назад
LAKINI NAKUMBUKA, KAMA VILE ULIKUWA UNASEMA WATU WAONGEE, NA WAPIGE KELELE, UKASEMA AKINA MWAKASEGE HAWAPIGI KELELE!, LAKINI MAMBO YA MWILINI HUBADILISHWA KIROHO, WALA HAKUNA ANAYEWEZA KUPINGA
@LaurentErnest-l3d
@LaurentErnest-l3d 4 дня назад
Ni kweli sauli alitawala vibaya akaondolewa... tuuombee utawala pale wanapokosea wafanye toba na kugeuka njia mbaya binadam anatawala ila si mkamilifu hivyo watawala wajitathimin watubu mambo yaende
@SalomeFrens
@SalomeFrens 3 часа назад
Changamoto watimishi wa Leo nao ni machawa
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 2 дня назад
Naye wajima wajima
@HanifaUrassa
@HanifaUrassa День назад
Una udini
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 2 дня назад
Kama akili yake imefika mwisho, basi uchaguzi uwe huru mwone mambo. Umeota ndoto za Abunuasi hizo.
@JosamubabuJosamu
@JosamubabuJosamu 13 часов назад
Asa gwajima ana akili
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 7 дней назад
Nnk wengi wanetabili ivyo lakini hawjafanikiwa unapomba mboe amalizike mungu humpanguvu upya.na kama demokrasia ilikuwa c mpango wa mungu basi usinge anzishwa.we siasa naimani wapi mawapi? We kaa kwa kutulua
@hoseamwambambale3503
@hoseamwambambale3503 6 дней назад
Siasa sio kitu kilichp letwa na mungu ila siasa imeleta shetani mwanzilishi wa siasa ni shetani
@KhadijaSaidi-bg6nc
@KhadijaSaidi-bg6nc 6 дней назад
Wewe akili huna na hujielewi 😢
@Hefsiba-gs4zk
@Hefsiba-gs4zk 7 дней назад
Amina mtumishi unachosema kweli.
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 День назад
Kwani nchi hii chama ni CHADEMA na CCM tu. Kwa taarifa yako CHADEMA hakina Nguvu. Baada ya CCM ni ACT WAZALENDO
@OmbenOmary
@OmbenOmary 5 дней назад
MUNGU akutie nguvu mtumwa was BWANA
@AlexMlaba
@AlexMlaba 7 дней назад
Uishi mile masihi wa Bwana
@JANEBGOYA
@JANEBGOYA 7 дней назад
Kuhusu makanisa kufungwa hayafungwi na haitakuwa MILELE YESU HAJALALA
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 7 дней назад
Sijakuelewa unaosema TZ kuna Demokrasia sijakuelewa umeiona demokrasia Gani unayoyoisemea
@jitulakaleboymastr6477
@jitulakaleboymastr6477 6 дней назад
Bwana alie kuambia ivo labda bwan piddi siyo bwna yes ili kada la gwajiboy
@zariadunia6328
@zariadunia6328 6 дней назад
Huyu jamaa nilijua tu atafika mwisho na uongo wake na sasa kafika mwisho kitabu chake mwenyewe kilishapita mwisho sijui hizo ndoto ni za mchana au asubugi
@davidsamson8204
@davidsamson8204 6 дней назад
Mwisho wa wafalme wababe hua ni mbaya soma vizuri Biblia unaonekana unagusa tu hauisomi ipasavyo
@pumarice2710
@pumarice2710 7 дней назад
Nimekuerewa vzr sa mtumishi, barikiwa ila sibarikiwi na biblia ya kwenye cm, tunataka bible yenyewe barikiwa
@KeiFerouz-fn9oc
@KeiFerouz-fn9oc 7 дней назад
Lkn ni kweli democrasia ni upumbavu ni kitu ambacho kinawagawa watu wananza kuuana
@yusuphmbilinyi3913
@yusuphmbilinyi3913 6 дней назад
Mungu atupe ujasiri wa kunena haya
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 7 дней назад
Nimegundua Kuna mambo hujayaelewa kuhusu CHADEMA LENGO LA CHADEMA NI JAMII YA KIMATAIFA WAIPUNGUZIE MISAADA NA IMESHAFANIKIWA TAYARI , NA MUDA SI MREFU MISAADA ITAPUNGUZWA ambayo ni mafanikio ya chadema.
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 7 дней назад
Sasa mamlaka unayo hakuna sbb ya kuwalaumu hao unaowalenga
@malackedson7706
@malackedson7706 7 дней назад
Toka hapo chawa ww.
@njanjimlwale
@njanjimlwale 7 дней назад
Toa suhuhisho
@Alex_Anania
@Alex_Anania 5 дней назад
Wewe ni mtu wa serikali...sio mtumishi bali mnafiki tu.Huna lolote jipya.
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 6 дней назад
Sasa unashauri Nini?😏
@salama1113
@salama1113 6 дней назад
Katibukwa mchungaji
@yonasimion3130
@yonasimion3130 7 дней назад
Soma kwenye Biblia, sio kwenye simu.
@durangobasics6195
@durangobasics6195 7 дней назад
Tofauti ni nini? Nikisoma kwenye biblia " I am the light of men" na nikisoma kwenye simu " I am the light of men " tofauti ni nini? Unamwambia asome kitabu kana kwamba nguvu iko kwenye kitabu. Nguvu iko kwenye maandiko. Wewe umeangalia hii clip kwenye kitabu?
@NeemaElisante-zd2dt
@NeemaElisante-zd2dt 6 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 7 дней назад
SHIDA YA MABADILIKO SIO MBOWE ILA TATIZO NI WANANCHI WENGI HAWAJAENDA SHULE WAMEISHIA ELIMU YA LASABA
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 7 дней назад
HAWASEMI KWA SABABU MIOYO YAO IMEJAA WIVU NA UBINAFSI
@JosamubabuJosamu
@JosamubabuJosamu 12 часов назад
Gwajima wewe ni tapeli
@asheryruboze4930
@asheryruboze4930 7 дней назад
Ndo uiseme Sasa hiyo njia ya kutumia
@eliasilwimba187
@eliasilwimba187 6 дней назад
Acha porojo wewe
@ahmedalasmi8005
@ahmedalasmi8005 7 дней назад
Huyu jamaa bang mtu hafai kwa jamii ni uchafu
Далее
Why is it different from what I thought?
00:15
Просмотров 3 млн
Пресс-конференция перед UFC 308
49:51
МЭЙБИ БЭЙБИ - Hit Em Up (DISS)
02:48
Просмотров 221 тыс.