Тёмный
No video :(

MH.KIKWETE AWAPA MAKAVU KAMATI ZA UFUNDI "MAFANIKIO YAPO KWENYE KUWEKEZA WACHEZAJI WAZURI NA KOCHA" 

Bona Tv
Подписаться 392 тыс.
Просмотров 84 тыс.
50% 1

Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
MH.KIKWETE AWAPA MAKAVU KAMATI ZA UFUNDI "MAFANIKIO YAPO KWENYE KUWEKEZA WACHEZAJI WAZURI NA KOCHA"
#Bonatv #mkutanomkuuwayanga #kikwete

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 52   
@thomasbutingo17
@thomasbutingo17 3 года назад
Mzee wetu Rais mstaafu tunakupend sana Mwenyez Mungu akulinde akuangazie kila ufanyalo
@cathbertmitoga9713
@cathbertmitoga9713 3 года назад
Kikwete utampenda tu.....mtu wa watu yaan kumsikiliza raha sana
@thomasbutingo17
@thomasbutingo17 3 года назад
Yes Mzee wetu Hana makuu
@henrystanley4077
@henrystanley4077 3 года назад
Hahahahahaha... Rais wangu mstaafu ujue wewe ni muhuni sana...yani nmefurahi sana hotuba yako...nmecheka sana sbb unaongea ukweli huku unachekesha sana Sana yani...unafaa kuigiza..kazi nzur kbs inafuata sasa ktk kuokoa jahazi😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣yani sijachoka na sichoki kbs kuirudia hii...hahahahaha
@mchandsometz2644
@mchandsometz2644 3 года назад
Wa pili kucomment apa naomba like zenyu🔥🔥🔥
@stn4873
@stn4873 3 года назад
Mzee Mpili huyo
@evarensiabamala1864
@evarensiabamala1864 3 года назад
Upo sahihi.....
@scolakayanda7171
@scolakayanda7171 3 года назад
Kaongea point sn kuwalipa muhim sn kiukweli
@yusuphabsaid8151
@yusuphabsaid8151 3 года назад
Wape salaaam
@josephatmathayo2355
@josephatmathayo2355 3 года назад
Wambieeeee
@sanityonline4512
@sanityonline4512 3 года назад
Huyu mwamba anaongea kwa motisha snaa hata huchoki kumskiliza
@elisantewawa5824
@elisantewawa5824 3 года назад
Na kikwete akiedelea kuizamin yanga haitakaa ifanikiwe kamwe
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 года назад
Jamani watu Wana rahaaa hata waliokunja nyuso miaka kadhaa,hv kwann?Mungu utusaidiie duniani.
@FRANSKALITUSI4937
@FRANSKALITUSI4937 3 года назад
Mzee kasema kweli
@sawakilulu7425
@sawakilulu7425 3 года назад
Safi sana
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 3 года назад
Ndiomaana walikimbia uwanjani🙄 Kwa imani Ya Kamati Ya Ufundi🤣🤣
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 3 года назад
Unasema nn ww???? Mauyaaaa
@hassankajembe8805
@hassankajembe8805 3 года назад
Hiki kichwa nakikubal sana
@ameniameni617
@ameniameni617 3 года назад
Magufuli Enzi za uhai wake akuwai kucheka kama .Kikwete
@hildantandu5909
@hildantandu5909 3 года назад
We nawe,ujinga wako una PhD
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 3 года назад
@@hildantandu5909 😆😆😆😆
@bahatijoseph8763
@bahatijoseph8763 3 года назад
Alikuwaa anacheka kwa step huyo
@mendradfabiani9117
@mendradfabiani9117 3 года назад
Mmmh utafufua makabuli
@khamissalim2132
@khamissalim2132 3 года назад
Washirikina wakubwa nyieee
@amirlehao8945
@amirlehao8945 3 года назад
Ganga hongo fc😂😂😂😂😂
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 3 года назад
😀😀😀Mzee umeongea fact saana na icho ndo kilichowafanya wakimbiyee iyoo tar. 8 na ilee bus yao inayochomokaga eksel shaft...
@jamilamwenguvu8567
@jamilamwenguvu8567 3 года назад
Manji ake,,,
@henrystanley4077
@henrystanley4077 3 года назад
Kama usikia kicheko cha Rais wa watu piga like za kutosha hapa kuonyesha unamkubali Sana...hahahaaa
@paskalinadaniel2753
@paskalinadaniel2753 3 года назад
I'm hmm hmm
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 3 года назад
Jakaya kawaumbua Utopolo NJAAAAAA.
@mathiasmsese6128
@mathiasmsese6128 3 года назад
Mikia uchawi wao hadharanj. Well said
@johnkavura750
@johnkavura750 3 года назад
Jakaya ni yanga kijani ila leo hajaweka siasa
@gastonponera7962
@gastonponera7962 3 года назад
@@mathiasmsese6128 acheni uchawi, kikwete kadhihirisha uchawi wenu wa utopolo hadharani. Sote tumemsikia.
@allyseyyed6775
@allyseyyed6775 3 года назад
@@gastonponera7962 ndo nn
@uwesusinde9976
@uwesusinde9976 3 года назад
Waambie hao utopolo wenzako tukiwaambia sisi wanaona tunawatania na kuwadharau sisi c kama hatutaki yanga iwepo ila ifike mahala mpir pesa iwekwe mezani.
@karoliwilliam8877
@karoliwilliam8877 3 года назад
Na Mapaka je?
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 года назад
Story ya ng'ombe nime cheka hatari
@kalaluwakisaka3211
@kalaluwakisaka3211 3 года назад
Wambie wale Wa utopolo
@jumamnyambwa3490
@jumamnyambwa3490 3 года назад
B
@hermanmzule8271
@hermanmzule8271 3 года назад
Uto bwana,,,,,uchawi mwingi saaaana
@yusufufikiri5005
@yusufufikiri5005 3 года назад
Mpili msikie jakaya anachokuambia.
@mendradfabiani9117
@mendradfabiani9117 3 года назад
Yaani yanga nimeamini ubigwa wamiaka minne mlikua mnabebwa nahuyu mwamba ndomana hakufanikiwa krabu bingwa Afrika wala siuwezo
@rajabuissa6107
@rajabuissa6107 3 года назад
Waaambie utox aka utopolo
@duniamapitosotewamungu3467
@duniamapitosotewamungu3467 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@geofreysenka7091
@geofreysenka7091 3 года назад
Hakuna lolote wote nyie yanga ni majangiri hakuna mpira happy kila mmoja anawaza atoke vipi hapo
@nadymhamad2655
@nadymhamad2655 3 года назад
Watakao sema vijiwan n wachawi wanajijuw
@selemanhamis4799
@selemanhamis4799 3 года назад
🤣🤣🤣
@geofreysenka7091
@geofreysenka7091 3 года назад
Hakuna lolote wezi tu
@pungwem4306
@pungwem4306 3 года назад
Yanga Afrika nahipenda sana kwa moyo wangu ila Kikwete si mpendi kwa kifu cha MAGUFULI.
@luganomwakyusa7697
@luganomwakyusa7697 3 года назад
Kikwete utupolo na yanga utupolo
@zakariaandrew6976
@zakariaandrew6976 3 года назад
Huna luhala
Далее
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Просмотров 2,9 млн
SOKA KIJIWENI: Zawadi Peter Mauya
28:22
Просмотров 36 тыс.
Kagere alipowatungua Yanga kuwapa Simba pointi tatu
41:20