Тёмный

ROSTAM: "KUNDI LITAVUNJIKA NDANI YA WIKI MOJA, DOGO JANJA KUBWA ZIMA LILE, NAY KUJIUNGA ROSTAM? pt 1 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 266 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 305   
@alorneyaxa7653
@alorneyaxa7653 5 лет назад
Kijiwe nongwa bonge la ngoma htr 🔥🔥 🔥🔥 🔥 km umeikubali tujuane hp
@dille_td
@dille_td 5 лет назад
Alorney Axa Hi karibu uone wimbo wangu mpya hapa ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-mHqRjmenCMI.html Enjoy na usisahau kusubscribe .ahsante 🙏🏻
@SalouMiracle
@SalouMiracle 5 лет назад
Milad naomba unisaidie
@jimsonkinyonga4063
@jimsonkinyonga4063 5 лет назад
Nice
@capeafricatourssafari175
@capeafricatourssafari175 5 лет назад
I like Rostam, and what i like the most is that these guys already knew of the outcomes from what they did , they know the art of artists in their industry. Its like an inteupreneur who comes into project knowing all the calculated risks and everything. So what is happening now its not something that will threaten them, they already knew this will come . So Big up big brothers. Thats my level of seeing this.
@chikundeboy9450
@chikundeboy9450 5 лет назад
Kama unawakubali Rostam na kichupa chao cha kijiwe nongwa gonga like la kibabe tuende sawa 👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@dille_td
@dille_td 5 лет назад
KING CHIKUNDE Hi karibu uone wimbo wangu mpya hapa ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-mHqRjmenCMI.html Enjoy na usisahau kusubscribe .ahsante 🙏🏻
@CONFIDENTIALNTUDABOY
@CONFIDENTIALNTUDABOY 4 года назад
Ctak
@fredinyamba1251
@fredinyamba1251 5 лет назад
Nyimbo iko poa sana rostam hongela
@sellah4603
@sellah4603 5 лет назад
Gong like km unamkubali @Millard kwenye interview
@dille_td
@dille_td 5 лет назад
SELLAH TV Hi karibu uone wimbo wangu mpya hapa ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-mHqRjmenCMI.html Enjoy na usisahau kusubscribe .ahsante 🙏🏻
@mahelamnazaletimahela1823
@mahelamnazaletimahela1823 5 лет назад
Oky
@jaypili7837
@jaypili7837 5 лет назад
millard na kuku bali sana nikiludi bongo na kuja ni kutembelea studio kwako bro hujawahi niangusha kwenye interview zako u always inspire so much bro
@dille_td
@dille_td 5 лет назад
Jmdadila TV online Hi karibu uone wimbo wangu mpya hapa ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-mHqRjmenCMI.html Enjoy na usisahau kusubscribe .ahsante 🙏🏻
@namlessnamless1207
@namlessnamless1207 5 лет назад
Acha ujinga kumax ww ! kiswahili chenyew hujui kuandika et na kuku bali ahahahahahahahahahahahahh unauza zegeta uko !!?
@jaypili7837
@jaypili7837 5 лет назад
Namless Namless so if I don't know how to write that fucking Swahili what's up about you, u seems laka your vagabond in tz
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 5 лет назад
@@namlessnamless1207 kwahiyo mtu akikosea ndo ajibiwe vibaya km unaona amekosea basi rekebisha na sio kuendelea kutukana sio vizur
@saadajumanne8656
@saadajumanne8656 5 лет назад
@@namlessnamless1207 we shoga usijidai unajua san
@dutchballaka3422
@dutchballaka3422 5 лет назад
Kijiwe nongwa ndo nyimbo yangu bora ya mwaka,, big up ROSTAM,,, Roma & Stamina
@mwajejasson6995
@mwajejasson6995 5 лет назад
One jiwe to jiwe strong man da shilole hao jamaa ni hipopo balaa uwawezi hata kidogo
@AshilineMakombani
@AshilineMakombani 3 месяца назад
Kazi bora sana Ila kuna msani mako boy toka drc Congo kijana mudogo amefatilia sana kazi zenu ingé kuwa Heri mumupe ,hâta nafari
@alleymau6998
@alleymau6998 5 лет назад
Yaaani nyinyi RoSTaM wabishi na dakika moja mtu angeruusiwa kuingia kwenye nyoyo zenu basi angetoka na vifurushi vya ukweli woote ila inakuwa inposible. Nawakubali sn100%
@venansmstari3747
@venansmstari3747 4 года назад
Kijiwe nongwa ni ngoma kali kwa kweli pigeni kazi wakali
@hajimnyanzoka8364
@hajimnyanzoka8364 5 лет назад
Sawa kabisa bro nakubali so (fundi wao anakuja toka ubelgi)
@lameckkamanga46
@lameckkamanga46 4 года назад
Maqn kama ume wakubali gonga like
@jeremiahkyande7023
@jeremiahkyande7023 5 лет назад
Kijiwe nongwa bongee dudee nalikubali mbk kesho rostam big up sana👍👍
@muktarmohamed7101
@muktarmohamed7101 5 лет назад
Millad ayo anajua kihoji wstu vzuri sana, hslafu hatakagi kiki, kama unamkubali gonga like
@deusmichael4679
@deusmichael4679 5 лет назад
Jackson Daud h"8-h""8gz
@deusmichael4679
@deusmichael4679 5 лет назад
7ih8'89cicizxx:"oz9:8"
@deusmichael4679
@deusmichael4679 5 лет назад
9*9':o-89*i8'8!'7-og9'*98oi!CD's "9oxiocjzxi"*8oxxzixig'9x"8ho'-jhhv"9''*o"'"!-"**"'-cz"99coxi9"x&'ohgc'*9"*8-hcci989xu98'9x*"**'
@vickbwoyafricana6261
@vickbwoyafricana6261 4 года назад
@@deusmichael4679 aminia Sana kaka
@vickbwoyafricana6261
@vickbwoyafricana6261 4 года назад
Alafu Kuna dogo langu anaitwa kazungu kafrica naomba umtafute kaka umulete studio ,pia ningependa apige colabo na rostam
@paulojumbe9747
@paulojumbe9747 5 лет назад
Roma makini sana kwa kujibu maswali
@wizyjunior5771
@wizyjunior5771 5 лет назад
Hongeren Rostam maana mnatumia lugha ya picha xo hakuna mtu mliye mtaja xo shilole aache kujishitukia maana sana ni ufundi na ubunifu
@deuselizeo9694
@deuselizeo9694 5 лет назад
Nawakubali kinoma Rostam ,ngoma imesimama
@allitovmohamed8286
@allitovmohamed8286 5 лет назад
nice interview 💪👏👍
@thenicegeofrey6033
@thenicegeofrey6033 5 лет назад
Ni og San namkubali Sana stamina one love broo
@fortunatustarimo7653
@fortunatustarimo7653 5 лет назад
hawa jamaa wajanja sana wanvojibu maswal kana kwamba hawajawagusa wasanii flan hivi but kiukwel sababu kwenye hyo interview wanasema kwamba wametaja wasanii, wanasiasa na mpira ila hapo wanvojibu wanaweka siasa nying sana but ukijaribu kusikiliza vizur watu wanaowahisi kwenye hyo mistari ndio hao hao....but hyo ni sanaa ambayo inakuwa na majibu meng
@ommysaphone1832
@ommysaphone1832 5 лет назад
Roma ni mwalimu mzuri sana kwenye stadi na ameongea point sana tatizo LA sisi waafrica vitu vya kipumbavu tunavishabikia San kuliko vya maana
@bigdaddy_faustinjumong4427
@bigdaddy_faustinjumong4427 Год назад
Wana siansa100% Sikumja #rostam umja wao atakuwa kiongozi frani nnchiniTZ🇹🇿
@willvintrends4179
@willvintrends4179 5 лет назад
Appreciat kwa kile anachokifanya
@shahamtindo
@shahamtindo 5 лет назад
Hawa jamaa ni akili nyingi sana. Nawakubali sana.
@jacksoncharles7846
@jacksoncharles7846 5 лет назад
Jambo ambalo nilikua nikirifikilia mda mrefu sana kua wakitoa nyimbo rostam na nay ltakuaje nilikua naisbr sana leo lmetimia big up sana kaka zangu 👍👍👍👍👍👍
@gideonleonceelias5423
@gideonleonceelias5423 5 лет назад
Hawa ndio wasanii Pelee naweza kaa nikaskiza nyimbo zao,,,,, wako funny,,,,, Ila hao wengine matusi washaona ndio fani
@mariammariam6307
@mariammariam6307 5 лет назад
Yani mnakataa kitu kiko wz
@johnkwabi8150
@johnkwabi8150 5 лет назад
Hiyo goma hatari
@jacksoncharles7846
@jacksoncharles7846 5 лет назад
Toeni nyingine rostam nay na kalajeremiah hiyo ltakua good sana.
@mathayocheni2280
@mathayocheni2280 5 лет назад
Yani hawa jamaa wanajua kama unawakubal gonga like twende sawa
@siasamtika5747
@siasamtika5747 4 года назад
Awa jamaa ninoma
@elishannko3666
@elishannko3666 5 лет назад
Millard daaaaa aseee maswali ulipitia wap make umetisha my brother
@kingrasdee445
@kingrasdee445 5 лет назад
Naikubal,naipenda,naifatlia ROSTAM mnatsha.
@geraldpallangyo7726
@geraldpallangyo7726 5 лет назад
Millard nakubali kazi zako 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@deuskasanile7632
@deuskasanile7632 5 лет назад
Kila mtu atakavyo tafasri lakini huo ndio sanaa Rostam noma
@suitstv5889
@suitstv5889 5 лет назад
Roma umejaa Romantic mdomani
@shadhilibakari8405
@shadhilibakari8405 5 лет назад
Dogo janja kubwa zima lile.. millard upo vizur..
@anelkaking9342
@anelkaking9342 5 лет назад
Nawakubali wanangu rostam.MTU akijihisi yumo.ngoma Kali sana.big up Millard ayo..
@franktimothkisimbo5354
@franktimothkisimbo5354 5 лет назад
Kwelii fasihi mnaijua vzr nd kaz ya fasihi.... Hutaj mtu jiwe kizani...... Yalaaaa
@gebbyketto
@gebbyketto 5 лет назад
Mi nawakubali sana rostam kama upo pa1 na mm dondosha like hapo
@kambonamajaliwa4677
@kambonamajaliwa4677 5 лет назад
Daaah kwamba kateni simu niko njiani ney noma
@ommysaphone1832
@ommysaphone1832 5 лет назад
Daaa kijiwe nongwa ni noma nawaona walimu was fasihi
@dozenshija3765
@dozenshija3765 5 лет назад
Ety ney hafiii kama umesikia hiii gonga like twende sawaaa
@bilombelekilozodieudonne123
@bilombelekilozodieudonne123 5 лет назад
Inapendeza sana kbs
@mr25d99
@mr25d99 5 лет назад
Hawa jamaa wanacheza na akili za watu kama unaelewa kile namaanisha gonga like☀️☀️😂🤔🤔🤔
@PambanoZagalaza-go7yv
@PambanoZagalaza-go7yv Год назад
Manyoko
@elishavonlacsharytz80
@elishavonlacsharytz80 5 лет назад
Roma stamina nawakubali kinyama ila fanyeni mpango ney ajiunge na Rostam ingekua bomba kinomanoma na ingekua bonge la shoo ama mtoe kizazi kingne ingetisha kinoma noma mzee
@neemafrank1123
@neemafrank1123 5 лет назад
Hahahahah.. Eti inakujakuja. Hahahah uuuw nyie ni noumaa. Ila ngoma Kali saana
@athumanwalleo3877
@athumanwalleo3877 5 лет назад
Neema Frank VP sister kwema
@issachonza4518
@issachonza4518 4 года назад
Hahahahahaaa
@shebynizedaudi336
@shebynizedaudi336 5 лет назад
nawakubali sana rostam
@eliudeliakayela9598
@eliudeliakayela9598 5 лет назад
Kama inakuja kuja kuja hivi haki ya Mungu ninyi mafundi kweli
@hetchnixxmig9356
@hetchnixxmig9356 5 лет назад
Weka likes kama unaamini rostam wanatuogopea....kijiwe nongwa ndo habari ya mjini
@joca994
@joca994 5 лет назад
2pac wa hii generation....[teardrops and closed caskets poetry version] thumbs up bro's. keep up
@filbertkapama8824
@filbertkapama8824 5 лет назад
Cio kwa aibu hyo ya stamina
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 5 лет назад
Nikimuangalia Roma ni mtu makini sana, yani ana akili na upeo mkubwa sana, watu wa hivi huwa ni wachache sana, i love you Roma hakyanani 😜 msalimie mama Ivan
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
anautulivu sana
@mishaelmisana1973
@mishaelmisana1973 5 лет назад
Nmeipenda sana
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 5 лет назад
Ney katengeneza sn chorus ila mnakumbuka mlipo sema "ata udiwani hauwafai kwnz mmoja ana kithethe" mlimchana Ney..
@godfreymahavile4688
@godfreymahavile4688 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂
@bensonsanga3471
@bensonsanga3471 5 лет назад
Lakini kwa Ney haikuwa bifu
@abdulihamadi2358
@abdulihamadi2358 5 лет назад
Haaa!!!!! Millard baba hawa jamaa anganyengine ukiwapeleka huku wanakupeleka huku dah!!!!
@shukurukanyefu6163
@shukurukanyefu6163 4 года назад
Stright from USA nawapenda sa me a
@edsonmganyiz9520
@edsonmganyiz9520 5 лет назад
daaah jamaa wajaja awa wanavyo ruka maswari kama sungura anuruka mitego mirad umewakosa kila ukienda uku wanakupereka uku
@saidahj2543
@saidahj2543 5 лет назад
This guys are funny😂😂😂wanatuchezea akili
@theresiakaruhanga1169
@theresiakaruhanga1169 5 лет назад
Saidah licious 254 these guys not this guys my dear
@papaabarakamusic6113
@papaabarakamusic6113 5 лет назад
Support nyumbani music mzuri ku subscribe na ku share
@katukamwe8243
@katukamwe8243 5 лет назад
Rostam ibaki kama rostam asiongezeke yeyote hao jamaa wanajua hadi nomaa
@mamaimadeit.
@mamaimadeit. 5 лет назад
Kama unamkubali millard kwa interview kali bongo nzima like zake👇👇👍
@giftmsokele6681
@giftmsokele6681 5 лет назад
Hahaha hahaha, hsya majamaa noma sana big up xana nawakubali
@eliasrwechungura7503
@eliasrwechungura7503 5 лет назад
Hii interview imenifanya nacheka Sana yaani Rostam mnacheza na vichwa vya watu tu 😀😀😀
@pascalcostantine4478
@pascalcostantine4478 5 лет назад
Rostam is fireeeee
@josephchokono6633
@josephchokono6633 5 лет назад
Ime fikisha view million 1.4
@hadijashabani890
@hadijashabani890 5 лет назад
Yani nimecheka sana awa watu wajanja ataliii
@opiyoomollo5333
@opiyoomollo5333 5 лет назад
Stamina mwoga kwenye kamelaaaaaaaaaaa
@abdallahmohammed7947
@abdallahmohammed7947 4 года назад
Hapo uhakika mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@abeidmziba9363
@abeidmziba9363 5 лет назад
Akili kubwa sana mnajua sana
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 5 лет назад
😂😂😂💯🏃💪 rostam next level
@patriciaakitanda6935
@patriciaakitanda6935 5 лет назад
😀😀😀😀😀😀😀nimecheka had interview imeisha
@vitisjonh1425
@vitisjonh1425 5 лет назад
Nakubali
@warshysaid8564
@warshysaid8564 5 лет назад
Big up Millard ila mm akil yngu inaniambia kuwa hawakujiongelea wao walimuongelea king kiba Roma alipojibu tupotupo tu ila cyo kma zamani na ukiangalia kiba na mke hawapo km zamani Roma akamuuliza stamina mbona wife cmuoni nyumban na ukiangalia mke wa kiba hayupo nyumban stamina akajib kausha man cna majibu deal done ukiangalia kiba kapta mtto na mke kwa hyo deal done
@yusufukitambulio1350
@yusufukitambulio1350 5 лет назад
Dah milard ayo na maswali yako yote konki lkn umekutana na Roma bac majibu yanakuwa simple and clear 😂😂😂
@geofreyzacharia827
@geofreyzacharia827 5 лет назад
Roma umejisahau kwamba nyie HAMFARIK😩😩
@AlchamaPro
@AlchamaPro 5 лет назад
Ukoko ulikuaa mtamuuuu uleee
@ramadhaniathumanimlenge6641
@ramadhaniathumanimlenge6641 5 лет назад
Haya majamaa yanajua kucheza na akili za watu yanakataa ukweli
@tonyjulius6716
@tonyjulius6716 5 лет назад
Bro hii n team hatari akili mingi umbo ndogo hutawaeza hip-hop iko wide man bona watu wajishuku n pia bongo flava ngoma mingi pia ziko somehow kaa kijiwe nogwa bona hawaingilii uko,,#Rostam forever representing 254 nagoja show county 001 msa
@mickeykibabu6999
@mickeykibabu6999 5 лет назад
Km huna uwezo wa kuhoji ukikutana na hawa jamaa unazima maik
@aminahassan5451
@aminahassan5451 5 лет назад
Haki sijui nikwann nampenda roma hadi akicheka najikuta nasmile kama zuzu 😂😂😂 romaaa unapendwa huku jamani
@saadajumanne8656
@saadajumanne8656 5 лет назад
Hahahhaha
@aminahassan5451
@aminahassan5451 5 лет назад
Huo ndio ukweli jamani
@abrahamkasian7024
@abrahamkasian7024 5 лет назад
Sawa Amina huyo Roma Ni kipenzi cha wengi
@stephenmwaisela263
@stephenmwaisela263 5 лет назад
amina nkutumie no ya roma umchek inbox.km wataka nifate inbox 0714869019
@muniraahmed624
@muniraahmed624 5 лет назад
Rostam bhana😀😀😀
@belvannyshonzajr3184
@belvannyshonzajr3184 4 года назад
Iyo ni kalii
@lucaswalogwa3821
@lucaswalogwa3821 5 лет назад
Inakujakuja hawa jamaa wasumbufu sana
@zachariahexegesists7892
@zachariahexegesists7892 5 лет назад
ASEE HII NGOMA IT IS VERY HIT
@stephenmgombele2654
@stephenmgombele2654 5 лет назад
Mirado unafeli wapi..?? Ka mkubwa biti ilyo mbaya bana turudishie biti yetu ya interviews ambayo mirado icon
@totonuksi9277
@totonuksi9277 5 лет назад
fundi gereji ni mm nimemuoa mpishi huku huku igunga kama unaamin maeneno ya roma gonga likee
@samsonramadhansalehe7115
@samsonramadhansalehe7115 4 года назад
Roma we jamaa kichwa big up
@paulokwilu5665
@paulokwilu5665 5 лет назад
dahaa awa jamaaa miaka 100000
@johnmwita6531
@johnmwita6531 5 лет назад
Mnajibu maswali kisanii zaidi
@Babuumkinze
@Babuumkinze 5 лет назад
Hawa jamaa wako vizuri sana..
@ashamapembe6273
@ashamapembe6273 4 года назад
Mungu amelibariki tumbo la mama zenu jamaniii
@mabularashidi321
@mabularashidi321 5 лет назад
Mumetisha wazeee
@josephatmando9699
@josephatmando9699 4 года назад
Ahahhahaaaa hawajamaa n noma sn kiukwel mziki wao unakutaka kutumia akil sn
@CONFIDENTIALNTUDABOY
@CONFIDENTIALNTUDABOY 4 года назад
Kijiwe nongwa kaz nzur vjn
@epifaniamponda4491
@epifaniamponda4491 5 лет назад
Eti inakujakuja 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Nyie Jamaa mnanifanya nasahau kazi dadeki
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 лет назад
Second #KingOfInterviews after #LilOmmy🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@queensalema3084
@queensalema3084 5 лет назад
Kijiwe nongwa fireee,Milard naomba hayo maziwa ya assas
@emmanueldavidy2783
@emmanueldavidy2783 5 лет назад
Noma Sana
@filiminasulle1562
@filiminasulle1562 4 года назад
Hatar hiyo
@mudystarog1381
@mudystarog1381 5 лет назад
🤣🤣sema mnajua kukwepa sana maswali wala me mnanishinda tabia kwahiyo kila mtu mliomtaja yupo mtaani kwenu tu😂Dah acheni siasa zenu bhana waelewa tumeshaelewa
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 5 лет назад
Hahaha hawa wanavituko jamani
@hkmeme5437
@hkmeme5437 5 лет назад
😂😂😂😂
@amosmwinami3230
@amosmwinami3230 4 года назад
👍👍👍
@patgosbert185
@patgosbert185 5 лет назад
kizazi sana ngoma kalee
@phiniasphinias8963
@phiniasphinias8963 5 лет назад
stamina anaongea kizembe hiv halafu ndio kamaliza hiv,,yani anasema kama ataki hv.😀😀
@gracedismas1108
@gracedismas1108 5 лет назад
Nawakubali sana Rostam
@fidelismwapa4610
@fidelismwapa4610 5 лет назад
demu aliyeachiwa mtoto akaolewa na mtoto akaachan na mtoto kabaki analea mtoto NI IRENE UWOYA
@BigZhumbe
@BigZhumbe 5 лет назад
Kijiwe Nongwa itengenezewe sehemu ya pili
Далее
🎙А НЕ СПЕТЬ ли мне ПЕСНЮ?🕺🏼
3:06:10
skibidi toilet 77 (part 4)
05:20
Просмотров 14 млн
I LOVE MY TEACHER | 3 |
20:24
Просмотров 143 тыс.
ROMA: WALIONITEKA WALINIAMBIA NITATOKA 2030
35:25
Просмотров 801 тыс.
DOGO JANJA : WEMA SEPETU/ LAKI 9 NIMELIA SANAA!
16:05
Просмотров 656 тыс.