Тёмный
No video :(

MH MAZRUI SASA AFUNGUKA RASMI BAADA YA KUHUSISHWA NA CCM "MIMI BINAFSI NIMEFURAH SANA, KUFANYA KAZI" 

Riyadh Tv Online Znz
Подписаться 295 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

#RiyadhTvZnz #Zanzibar

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@AminiMuhammed-pi6dx
@AminiMuhammed-pi6dx Месяц назад
Mbona hiyi ni ya mwaka 2022
@suleimanmrisho3527
@suleimanmrisho3527 2 года назад
Mr Rais taratibu they will understand.
@ashamohammed3612
@ashamohammed3612 2 года назад
Wamekufanya mlemavu Allah atalipa tu hana haraka .
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 2 года назад
Mitano tena somo
@w4058
@w4058 2 года назад
Yote hayo yasingepatikana ingekuwa nyie wapinzani kukubali kuwa sehemu ya mashirikiano baada ya kusamehe maovu yao walokufanyieni
@salemhemed6051
@salemhemed6051 2 года назад
Amefunguka kitu gani? Hatujaona kufunguka na kuhusishwa na CCM
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
Hizo ndio siasa zinavyotakiwa,,,,sio kutukanana, ni kujadiliana Kwa Hoja!
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 2 года назад
@Juma Kapilima Ni kweli "kujadiliana Kwa Hoja" lazima na "sio kutukanana. Lakini pia kujadiliana sio kwa msaada wa jeshi la Tanganyika kwenda kuwauwa Waislam wa Zanzibar siku za uchaguzi.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
@@khatibal-zinjibari6956 hivi Zanzibar kuna waislam?
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 2 года назад
@@jumakapilima7295Waislam wa Zanzibar waliouliwa na Makafiri kuanzia Mapinduzi Matukufu (I1964), wote hawapo.😂😂Na kwa vile Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoundwa na Nyerere kwa faida ya Tanganyika, Waislam wa Zanzibar waliobakia watauliwa mpaka wakubali Dini ya Makafiri. Lengo la Makafiri kwa Waislam ni moja: "Wala (Makafiri) hawatoacha kupigana nyinyi (Waislam) mpaka wakutoeni katika Dini yenu....[Qur'an; 2:217].
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
@@khatibal-zinjibari6956 Nani aliyekudanganya kama Zanzibar ni nchi ya kiislam?
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 2 года назад
@@jumakapilima7295 Kinyume cha KIISLAM ni KIKAFIRI na nani aliyekudanganya kama Zanzibar ni nchi ya KIKAFIRI?
Далее
МЕГА МЕЛКОВЫЙ СЕКРЕТ
00:46
Просмотров 407 тыс.