Тёмный

TAMKO LA RAIS SAMIA NGORONGORO “WAPENI HUDUMA NA UCHAGUZI UFANYIKE” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@Kelviniemileemile
@Kelviniemileemile 2 месяца назад
Naomba kuuliza mama samia suluhu hasani raisi wa jamhuli ya muungano wa tanzania hawezi kuenda ngolo ngolo mpaka atafute mahali pa kukutana na wawakilishi wa ngolo ngolo sawa hatuikosoi selikali ila kuna matatizo mengine wawakilishi hua hawafikishi ,mimi naona ni vzr kama ataenda ngolo ngolo mwenyewe kama raisi wa mpito j p m akasikilize hoja na matatizo ya wananchi
@Godfreyolekidongo
@Godfreyolekidongo 2 месяца назад
Raisi Aende mwenyewe huko ngorongoro akakutane nawanachi wake siokutuma mwakilishi
@DMARVEL-qf5wy
@DMARVEL-qf5wy 2 месяца назад
Wakwanza hapo naomben likes zangu by D MARVEL
@TEDY-MTEMY24
@TEDY-MTEMY24 2 месяца назад
Baada ya hapo nini kitatokea 😂😂
@STELLAMARCELY
@STELLAMARCELY 2 месяца назад
​@@TEDY-MTEMY24.WAle wengine waloondoka kwenda Tanga watarudi
@Kelviniemileemile
@Kelviniemileemile 2 месяца назад
Pia naombeni mtusaidie selikali ,hivi mama yetu raisi ni mzee sana kiasi kwamba hawezi kufika ngolo ngolo mbona nje ya nchi hua anaenda sana kwani ngolo ngolo pana umbali gani
@ImmanuelGurty
@ImmanuelGurty 2 месяца назад
Hapo ni kulinda kura
@ImmanuelGurty
@ImmanuelGurty 2 месяца назад
Ni hatari san sahiz mnatak kusem hamkujua kua watu walikua wamahitaji hayo
@khadi-z4o
@khadi-z4o 2 месяца назад
WAHIYO MULIZIONDOWA KUSUDI. SASA MMEZIREJESHA HUDUMA TENA. KAMPENI HIZOO WACHENI UJINGA.
@dancerboy2686
@dancerboy2686 2 месяца назад
yan aka kamchezo bana ni upumbafu serikali yenyewe inatengeneza matatizo alaf tena wanatatua wenyewe ni ujinga mtupu et pelekeni huduma kwan ni nan alkua amesitisha siasa ni mchezo mchafu xana
@OleLucas
@OleLucas 2 месяца назад
Kwa hapo naona mmewantedea haki Wana ngorongora
@johnsonzuma4932
@johnsonzuma4932 2 месяца назад
Hacheni ujinga CCM mbona mpo mapoyoyo hivyo...
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 2 месяца назад
Huyu waziri WA nchi mi namkubali
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 2 месяца назад
Watanzania amkenii mamiloo apewe mitano tenaaaa.😮😮😮😮😮
@IreneMacha-g8o
@IreneMacha-g8o 2 месяца назад
Heheheeeee aise wanaboa alafu wanajengaa huu nika mchezo wa masai msikubal.. walio toa ruhusa ya kutoa hizo huduma ziondolewe wawalipe fidia full stop
@Patrick-w1j
@Patrick-w1j 2 месяца назад
Kwani aliyeondoa hizo huduma ni nani na ni nani anazirejesha... Tusipotezeane muda ..Yaani muhamishe vituo vya kupigia kura msomera Tanga kisha muwanyime huduma za Afya kwani wapinzani ndio wanaongoza serikali sasa
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 месяца назад
Kiboko yenu huyo wapotoshaji 😢😢😢😢
@edwardpeter8063
@edwardpeter8063 2 месяца назад
Sasa solution nn! Umeulizaaswali ambayo nahisi majibu utakuwa nayo then, wewe ulikiwa unapendekezaje make usilalamike bila kutoa solution ya tatzo
Далее
Думайте сами блин
18:15
Просмотров 663 тыс.
Always Help the Needy
00:28
Просмотров 7 млн
Думайте сами блин
18:15
Просмотров 663 тыс.