Тёмный

MIAKA 60 UHURU WA KENYA NA MAGEUZI YA KISIASA NA KIUCHUMI 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 3,6 тыс.
50% 1

www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 13   
@user-bt8wh8cd3g
@user-bt8wh8cd3g Месяц назад
Mm nmkenya nko mombasa lakn naipenda sanaa idhaa hii sasabu mnajjua kuichembua nch yetu vzur kulko hata sis wenyewe
@billjames1216
@billjames1216 5 месяцев назад
I love this am a Kenyan u should do this more often
@abigelmombasa2323
@abigelmombasa2323 2 месяца назад
Asante Sana Mimi Ni Mkenya Na Niukweli Kabisa Mombasani
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 8 месяцев назад
Pongezi kwa uchambuzi mzuri wa Siasa za Afrika natumai kutakuwa na mwendelezo maana mlipotea sana baada ya Uchambuzi wa mwisho wa Palestina na Israel. Wasafi for Life baby
@alibinali_
@alibinali_ Месяц назад
Ruto hato fanyikiwa kwa sababu yeye ndio kirusi wa kila jambo #rutomustgo
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 8 месяцев назад
Wasafi Jogging mkiongozwa na Maulid Kitenge naomba muwape hamasa ya mazoezi hawa watangazaji waondoe hayo matumbo makubwa. Watanzania tunapenda kuwaona mkiwa na Afya Njema basi tengeni muda wa mazoezi hayo matumbo makubwa ivo mtapata maradhi . Wasafi for Life baby
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 месяца назад
siku nyngine mkiongelea Kenya alikeni mgeni kutoka kenya awa moja wapo wa hiii panel sasa nyie ni watanzania watupu jmni..alikeni jirani yetu moja au wa2 au?
@hassanngayaga3202
@hassanngayaga3202 8 месяцев назад
Safi sana
@panafrican.nation
@panafrican.nation 8 месяцев назад
Mimi ni jirani Mkenya na shahidi kwamba mnayajua mnayoyazungumzia kabisaaa... nyinyi kweli ni watafiti
@meschackyav7238
@meschackyav7238 8 месяцев назад
😅😅😅😊😊😊😊😊😊😊
@geoffreymutisya9747
@geoffreymutisya9747 5 месяцев назад
Aliyewapatanisha Raila na kibaki ni Kofi Annan wala sio kikwete.
@panafrican.nation
@panafrican.nation 8 месяцев назад
Nawavulia kofia. Mmezungumza mengi mazuri kuhusu Kenya. Ninaweza yataja mengi vilevile juu ya Tz, lakini kwa sasa nitataja media tu. Ni kama kwamba mna kipaji cha media maana mna nyumba za media kama vile nyie Wasafi, Millard Ayo, Dar news TV, Global TV Online na kadhalika. Mnazungumza Kiswahili, jambo ambalo linapunguza soko yenu sana, lakini bado sisi Kenya hatuna _media houses_ za kisasa ambazo zina wafuasi wengi kama zenu. Mnanishangaza sana. Ningelipenda kama sisi Wakenya tungezungumza Kiswahili mno kama nyinyi, maana, pamoja na Uganda ambao majuzi tu wameanza kufunza Kiswahili mashuleni, tungekuwa soko kubwa ambayo ingewashawishi Waafrika wengine kuzungumza lugha hii. Ushawishi huo ungekuwa ushawishi ya kiuchumi -- tungepunguza sana kiasi cha pesa kinachotoka huku kwa wingi kununua bidhaa na huduma za nje
@geoffreymutisya9747
@geoffreymutisya9747 5 месяцев назад
If you want to talk about Kenya, you must invite a Kenyan to explain about us!
Далее
Kaunti ya Lamu na Garissa wazozania mpaka
3:50
Просмотров 5 тыс.
HIZI NDIO SIASA ZA KENYA
4:19
Просмотров 20 тыс.
UCHAGUZI WA KENYA KURUDIWA?
2:54
Просмотров 12 тыс.
KULA 'APPLE' BAADA YA NUSU SAA- PROF. JANABI
2:47
Просмотров 25 тыс.