Kuna mtu anabisha? Hakuna! Habari imekwisha!!!! Labda ufafanuzi.......😁😁😁😁😁😁😁 I love so much Mkuu wa mkoa wa Tabora! Hana masifa unaona kabisa kuwa anafanya kitu kilicho-ndani ya damu yake sio maigizo wala nini! Ni maisha yake halisi yaani ["nashauri tu"] ni bora kila kiongozi aishi kama huyu mzee maana haigizi bali ni hivyo ndivyo alivyo!!!!! 1.NI MAGUFULI 2.NI HUYU MKUU WA MKOA Yaani hawana hata chembe ya maigizo duh!
Safi sana Mzee wetu washenzi hao wamezoea kudhulumu sana haki zetu na kuona sisi ni watumwa na hatuna haki shukrani sana kwa kuelimisha wanyonge juu ya haki zao tumenyaswa kiasi cha kutosha.
Niliwahi kucoment katika moja ya clip zilizopita za huyu Mzee Mwanri na leo narudia tena yale maneno yangu, watu huwa wanamchukulia poa huyu mzee na kumwona kama mchekeshaji kutokana na misemo yake lakini ukifuatilia vizuri Mzee anafanya kazi adimu sana za kusaidia jamii. Kwangu mimi kwa sasa ndiye mkuu wa mkoa bora hapa Tanzania.
Uko sawa kabisa Tony touch. Uko right maana msema ukweli ni mpenz wa mungu huyu mzee sio mchekeshaji wanaosema anachekesha watafakari vizuri ili waweze kuchukua hatua. Mwanry ni zawadi ya Rais kwa wanatabora pia kumjua mungu peke yake ni HEKMA isiyomfano.
This fella RC is soo patriotic. .this is what our leaders should do always i mean to defend the interests of our fellow Tanzanians...shout out to you big fella RC Mwanri
My dear people watu ni watu tu usiseme wakomeshwe wahindi hao that itakua like ubaguzi what the RC done is better but it’s not easy even kwa Tanzanian investors wakenda some around of the word juror that mkatba do don’t say wakomeshwe is not good
I dont understand any single word of swahili ila hata mimi huyu RC namuelewa mno. Kuna mtu ananibishia kuwa cjui kiswahili? Kuna mtu anabisha? Kama yupo ajifanye kama anajikuna tu. IMEKWISHA HIYO.
Hawa mabozo wematuzoea, kutufanya watumwa mpaka nchini kwetu.Mbona wakuu wengine wa serikali humu Africa hawawambii ukweli wao vile anavofanya huyu Mheshimiwa. Hapa kwetu Kenya ma contractor wanatuletea mpaka watu wa kazi ya mkono ambao sio mafundi chochote.Wanatupokonya ajira..PONGEZI SANA MKUU WA MKOA TABORA.
Mzee huyu Ana uchungu na watanzania kwa anayajua maisha halisi ya mtanzania na shida umaskini zinazotuandama. Hayo ndio madhara ya ufisadi uliofanywa na hao viongozi waliopita. Tumshukuru mungu kwa kutupa neema ya viongozi kama Magufuli, Agrey, Majaliwa, DOTTO BITEKO na WENGINE walio wema wapendao haki
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 English on point RC nimekukubali sana ktk swala zima la CONTRACT big up RC . TZ lets wokeup tushikane mkono tuelimishane watz kwa watz mostly investors wanawanyonya wazawa kwa sababu wengi kwanza hawa elimuu jamii ukiacha ya taaluma . Let’s be one tuisongeze nchi
HILI JEMBE LINGINE LA TANZANIA,TUWE PROUD NALO, HAKIKA ANAJUA MACHUNGU NA ANAIFANYIA KAZI NCHI YAKE,TUNASHUKURU SANA MKUU WA MKOA, TANZANIA MOJA INAWEZEKANA!
Mzee Mwanry anaelewa matatizo tunayokumbana nayo sehemu za kazi pia kajua MTUMISHI anashindwa kusema mengi machafu. Watu weupe wanatubagua sana yaani wanatufanya kana kwamba sisi ni watumwa na hatujui lolote pia wanashirkiana na vibaraka wachache weusi.
Nani kasema wanakufa njaa..?? Cha msingi wafuate sheria.. Mfanyakazi akifanya kazi zaid ya miaka mitatu aandikiwe mkataba.. Alafu hawa watu wanaroho mbaya sana huwa wanawalipa wafanyakazi wao hela ndogo sana nina rafiki yangu anafanyakaz kwa muhindi analipwa 7k per day na kazini anaingia saa moja na nusu asubuhi na kumaliza saa... 12 kamili jioni.. Ukiwa absent zaid ya 2 days anakufukuza.. Kuhusu kuendelea kwao.. Ndio wameendelea zaidi yetu .. Lkn ni miongoni mwa nchi ambazo zina maskini wengi zaidi duniani..
@@younginspired3899 kwa taarifa yako hebu Fanya tafiti Waajiri weusi wanawalipa kiasa gani cha fedha waajiriwa ambao Ni weusi wenzao. Utabaini wanawalipa robo tatu ya hiyo fedha ambayo mhindi anamlipa mfanyakazi wake tena mweusi. Mfano mzuri Ni mahouse tuliyowaajiri fuatilia Ni kiasi gani sisi weusi tunawalipa . Tatizo sisi hatujiangalii tunabaki kuwasimanga watu basi tu kwasababu tuna Ngozi tofauti na wao. Huyu rafiki yako analipwa hela nzuri tu tena sana. Kuna watu wanahangiaka toka asubuhi hadi giza linaingia unakuta hata buku hana mfukoni.
Rafik yangu anafanya kaz garrage analipwa hicho kiasi.. Na isitoshe bado kula ni juu yake na nauli yakwenda na kurudi.. Sasa nakushangaa unavyosema habari za ubaguzi wa rangi.. Unaona kunarelation hapo.... Kaz za ndani na hiyo ya garrage.. As a mattet of fact.. Mfanyakaz wa ndani halipi.. Nauli.. Kula anakula free.. Na akiugua anatibiwa na mwajiri wake.. Wanapokosea waambiwe.. Hakuna ubaguzi wa rangi hapa wala nn juz juz rafiki yangu alipata ajali kwenye hiyo kampuni fedha za matibabu ni juu yake kwa shilingi elfu saba unadhani kuna haki hapo kwelii.. Bado niko kwenye point yangu wahindi waache roho mbaya.. Na wanapokesea lazima waambiwe regardless to the colour of their skin let us not worship them.
@@younginspired3899 gereji zote zinazomilikiwa na watu weusi wanalipa kiasi cha 4k kwa siku. Hapo ukute Ndiyo kafanya nzito kweli. Siku zingine wanatoka bilabila Kama Hakuna Kazi. Ndiyo maana nasema Kabla ya kuwanyooshea kidole watu wengine angalia vidole vingapi tena Vya kwako we mwenyewe vinakuelekea. Kama huyu mwenzako anaona pale maslahi hakuna si akatafute Kazi Pahala pengine? For what reason unaumiza Kichwa.
Tz nzima wahindi huwa hawatowi mikataba ya kazi wanaogopa sababu wanazuruma saana uksema wanakufukuza Kali, wao wanalpana vzuri namshukuru mkuu kwa kuliona hli
Yaani huyu kiongoz yuko sawa.. Wakuu wa mikoa wengine wajifunze piaa kupitia huyu na Makonda Kwa kweli sisi waafrica tunabaguliwa sana. Ipo siku tutajua ukweli who are we?
Mimi sijawahi kusikia Mkuu wa Mkoa anaenda kwenye makampuni na kuongelea maswala ya mikataba huyu wa kwanza anafaa kuonwa kwa jicho la pili ni mzalendo wa Kweli, Kama unabisha jikune!! Habari imekwisha.