Тёмный

MILANGO YA KUINGILIA MAPEPO MAJINI MSHETANI EV PASCHAL CASSIAN 

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE
Подписаться 160 тыс.
Просмотров 107 тыс.
50% 1

#paschalcassian #call0688199370 #watsp_status #

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 227   
@benithomligo9074
@benithomligo9074 2 года назад
Ninani awezaye kunena injili ngumu kama hii kwa kizazi hiki, Mtumishi Mungu akutie nguvu ,
@furahajastin8649
@furahajastin8649 Год назад
Hakika mtumishi 🌲 wenye matunda ndiyo hupingwao mawe.tufundishe maana tunaangamia kwa kukosa maarifa
@elizathomas7442
@elizathomas7442 Год назад
Wapo ndo huyo moja wapo mpdwa
@FrankwasafiJustin-fn6pm
@FrankwasafiJustin-fn6pm Год назад
Mungu pia akurinde kwa sababu mimi niliona kama hivyo unavyo sema hii injili imenibadirisha maoni na muelekeo
@mauwasafi3430
@mauwasafi3430 Месяц назад
Barikiwa sana baba wangu mungu akulide sana
@MorineKamwera
@MorineKamwera 6 месяцев назад
Natamani sana Tanzania ingekuwa hata na wasema kweli ya Mungu ata watano walio kama wewe tusinge kuwa hapa tulipo.... maana mda mwingine mpaka nafikiria kuwa hivi Mungu alisha tuacha kwenye nchi hii ...kwa sababu ya uwepo wa Roho zote chafu zitokazo kuzimu... nawaomba sana watanzania wenzangu tushikamane pamoja katika kuiombea nchi yetu ya Tanzania ili istawaliwe na manabii wa uongo na Mungu atawabaliki sana ..Amina🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ASHERIYOSIAANDREA
@ASHERIYOSIAANDREA 17 дней назад
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@jemaluvanda9443
@jemaluvanda9443 Год назад
Ubarikiwe mtumishii namm nlkuwa uko lakin tang naskiliza mahubiri nmebadrika Mung akubarikii sana
@ElizabethMakwaia
@ElizabethMakwaia Месяц назад
Barikiwa mtumishi. Sio wengi wanakwenda vivijini kuhubiri kwa kuwa hakuna sadaka. Lkn wewe unahubiri neno la uzima na wala sio maokoto. Hakika barikiwa na Bwana wetu YESU KRISTO MNAZARET ALIYE HAI. AMEN.🙏
@AnneCherotich-gj9eg
@AnneCherotich-gj9eg Год назад
Mchungaji usiwaogope waabudu mapepo au shetani wasikiapo mahubiri mazito, yenye nguvu na ukweli bayana kama huu utakapowafikia .Simama imara na itetee injili ya kweli ya Mwenyezi Mungu kwa kuwa unabii ulioandikwa na kutabiri nyakati umetimia na nyakati hizi ni hatari na za mwisho.Ole mimi nitakaye ghairi injili kama hii kwa maana ipo siku,injili hii haitakuwepo tena.Thank you Lord for using your servant in a very special way amen. 🙏
@irenejoram8687
@irenejoram8687 2 месяца назад
Barikiwa mtumishi, hakika wewe ni mtumishi wa Mungu aliyehai
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 Год назад
Yes pascal wewe ni Mhubiri wa kweli! Mola akutangulie, akutetee
@advelalumanyika5754
@advelalumanyika5754 2 года назад
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU unanibariki mnoo kwa neno
@suzanalucasemanuel7006
@suzanalucasemanuel7006 Год назад
Amen
@estonmnthali3719
@estonmnthali3719 Год назад
Amen Amen powerful preaching 🙏
@saramuna1173
@saramuna1173 Год назад
Huyu Mtumishi yuko sahihi .. Mungu akulinde na kukuficha maana vita yako ni kubwa kwa vile unausema ukweli
@honeyshemweta1166
@honeyshemweta1166 Год назад
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU sema kweli yote wengi watakushambulia lkn kaza buti BWANA YESU yupo pamoja nawe, achana nao wanaotaka mafundisho yakubembeleza pasuaaah Mimi nakukubali sana. MUNGU akutunze
@Crabtree1844
@Crabtree1844 Год назад
Kweli kuna tamaa kusikia injili. Waone vile watoto, wazazi mpaka watoto wachanga wamesimama kusikiliza ujumbe. Ah Yesu mwokozi tusamee dhambi kwa hisani yako. Naomba msamaa.
@daisyakhini9331
@daisyakhini9331 2 года назад
Ameeen, Ameen mwinjilist, nakupata vyema sana, mungu azidi kukaa ndani mwako na kukufumulia zaidi, acha tumushukuru kwa makuu yake, alikua na kusudi kukutoa pale na kukurudisha kwake ili uponye roho zilizo kaa kwa giza, Amen barikiwa sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@MsafiliPascal
@MsafiliPascal 6 месяцев назад
Mtumishi Mbarikiwe kwakutuonya kwasababu wengi wame potea kwami ujiza ambazo zimetokea
@shukurusyriack3504
@shukurusyriack3504 Год назад
Mungu akutie nguvu mtumish wa Mungu, najua unapitia wakati mgumu katika kazi hii Mungu akutie nguvu sana na akuwezeshe kuongea ukweli wote
@thomasmtindya6477
@thomasmtindya6477 Год назад
Mungu akulinde kila wanao kuwazia mabaya Mungu akawageuzie kibao
@christopherkaroli9365
@christopherkaroli9365 Год назад
Mtumishi wa Mungu anayehubiri kweli ya neno la Mungu anajulikana tu, Mungu akutie nguvu mtumishi uendelee kuinena kweli yote.
@simonlaizer6261
@simonlaizer6261 Год назад
Asanteeeeeh 🙏 bwana yesu Kwa kuwafunuli watumishi wako mambo haya
@kassebo
@kassebo 2 года назад
Umeongea ukweli. Mtumishi Wa MUNGU ✍️. Ubarikiwe Sana ✍️✍️✍️✍️
@apostlej.rministiryprophet2219
Ukweli upi ? Kwamba dawa za nywele ni mimba changa? Hereni ni milango ya kuzimu? Mikufu ni milango ya kuzimu? Huyu ni MUONGO na anafanya Watu wasionaelim ambayo hawajawahi kutoka hata nje ya wilaya Yao
@ElishaMwashiuya-rz4dn
@ElishaMwashiuya-rz4dn Год назад
Mungu akubalik sana maana kizaz hik hakuna awezae kuhubli injli iliyo kwel , nakwambia ukweli kwamba atatokea mutu wa kuhubli kweli tena Hadi kizaz chako Cha nne4 hatakama utajua haupo utaona huko uliko, mungu akubalik milele amina
@pastorisraelhaki3426
@pastorisraelhaki3426 Год назад
Barikiwa mtumishi wa Mungu, hio ndio kazi tunayo ifanya hapa namibia, tunapingwa mchana kutwa, tunaitaji maombi yenu.
@macrinycostantine4821
@macrinycostantine4821 Год назад
Hakika namshukuru Mungu kwakwel urembo umenipita kushoto nilitobolewa ckio kbl cjajitambua nikatoboa pua ila cjui kuvaa heren wala kipini Mungu atutie nguv
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 Год назад
Endelea kuhubiri ukweli kabisa…Barikiwa !
@annerdograsipetro4941
@annerdograsipetro4941 2 года назад
Mtumishi nakuelewa sana Mungu azidi kukuinua unatufundisha vitu ambavyo atujawai kufundishwa
@EmmanuelMwangesile-gb8iq
@EmmanuelMwangesile-gb8iq 10 месяцев назад
Mungu akulinde sana mtumishi sambaza hiyo injili leta huku daar
@janeyhaule809
@janeyhaule809 Год назад
Amina Mungu yupo tuwe makini sana
@kaburajeanmarie1030
@kaburajeanmarie1030 Год назад
Mungu akubariki na akulinde,mtumishi, ni nyakati za mwisho , Mungu akubariki
@saidibaraka931
@saidibaraka931 Год назад
mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
@bahatikinyamagoha3703
@bahatikinyamagoha3703 Год назад
Hakika mungu awe nguzo ya roho yako hakuna anayeweza kusema kishujaa namna hii mungu akubariki sana mtumishi akupe nguvu ili wasikie walio potea amen
@braysondamson5969
@braysondamson5969 2 года назад
Barikiwaaaa
@adrerarauliani3518
@adrerarauliani3518 2 года назад
Kwakweli mungu atusaidie
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj 2 месяца назад
Usiongope kaka au dada maana hawoo wanafiki kunamusho Mungu anajuwa mudaa hii kwaiyo anajichia tu ili sisi tupatee changamoto
@musafiribahati8295
@musafiribahati8295 Год назад
Mungu akuongeze nguvu
@AishaEduardMbwambo-ux2dp
@AishaEduardMbwambo-ux2dp Год назад
Yesu akulinde nakukufiche kwenye mbavu zake shetani asikuone
@HellenBotondo-gd9wx
@HellenBotondo-gd9wx Год назад
Mungu atusaidie jaman shetanmbunifu lakin tumuombe mungu atuponye nahaya Hellen butondo mikese moro
@user-vc1hx7mw7c
@user-vc1hx7mw7c Год назад
Mungu akubarikisana naakuzidishie masiku kabisa pasta
@christinamkongwa3407
@christinamkongwa3407 Год назад
Mungu Akutunze ,Akulinde ,akuzingilie Kila Mahali ,Ulinzi wa Mungu Baba uonekane kwako Kila saa Kila Dakika Mungu awe Mwaminifu kwako Asikupungukie Milele Ameni
@ayubujoseph
@ayubujoseph Год назад
Barikiwa mtumishi wa MUNGU Kwa neno zuri la MUNGU hakika ni injili yenye ufunuo mkubwa sana kuhusu Dunia ya Sasa, MUNGU atujalie kuishinda Dunia hii na tutashinda katika Jina la YESU KRISTO Amen.
@fredykisamu9156
@fredykisamu9156 Год назад
Bwana yesu asifiwe Na akubariki Na kukupigania
@benjaminwafula
@benjaminwafula Год назад
ukweli mchungu lkn lazima uupate ivo ulemavu haudumu milele mungu wetu ni mwanifu Amina babangu
@VictorPenti-kx3of
@VictorPenti-kx3of Год назад
Watumishi wa uongo lazima waambiwe ukweli,Asante cassian
@AnithaNgobya-vi2nc
@AnithaNgobya-vi2nc Год назад
Safi sana mtumishi ukweli mtupu ila mtu aelewe hadi Yesu ajifunue mwenyewe haswaa naziombea akili za wasikilizaji zifunguliwe kwa jina la Yesu ndo tutapata mabadriko
@AndreaMsemwa
@AndreaMsemwa 3 месяца назад
Fanya kazi yako alie kutuma mungu
@LilianNasike-hx1yw
@LilianNasike-hx1yw Месяц назад
Amen
@irenekiwale5352
@irenekiwale5352 Год назад
Ahsante kwa ujumbe mtumishi wa Mungu,Mungu akubariki sana jamani.
@leontinebinlydi9459
@leontinebinlydi9459 Год назад
Amina kubwa mtumishi usemayo nikweli kabisa baba 🙌🙏Mungu akubariki sana 🙌🙏
@yesuanikumbukejanuary8363
@yesuanikumbukejanuary8363 Год назад
wana wake tuna mwitaji BWANA saana atusaidie maana mhmhmhmh sijui ninani atakae okoka kwakipindi hiki sijui MUNGU atusaidie tuishi maisha ya kumpendeza MUNGU.
@francischipangapole7671
@francischipangapole7671 Год назад
amen mtumishi wa MUNGU, ubarikiwe sana
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 Год назад
Halleluyha ukweli kabisa Mutumishi wa Mungu watu tufunguke macho
@maryeer6392
@maryeer6392 Год назад
Asante kwa kuniletea ukweli wako🔥🔥.
@marianapeter861
@marianapeter861 Год назад
AMEN MTUMISHI WA MUNGU mafundisho yako yananifungua Sanaa ...endelea kutufundisha tupone.
@mamichiza9172
@mamichiza9172 2 года назад
Amen mtumishi
@Joelhaongaofficial
@Joelhaongaofficial 2 года назад
Ameen ameeen ameen
@farajafleva
@farajafleva Год назад
Nilikuwa sikwamini ila sasa nakuelewa mungu akutie nguvu..nakukubali 100%
@servantmichael73
@servantmichael73 Год назад
Yesu akutie nguvu. Hii niinjili ya matengenezo na watu wamekalia dini et dhehebu la kipentekoste huku wameshakufa
@simonmdune9066
@simonmdune9066 Год назад
Wallai mm hakuna mwimbaji mwenye naona hakika anaimbaga ukweli na kufunza vile shetani anatutumia bila kujua .Mungu akubariki kkaangu endelea kutoboa siriiii kbixa watu wapende wasipende ukweli usemwe
@BerylSeer1
@BerylSeer1 Год назад
Amen 🙏
@joselynendamage8712
@joselynendamage8712 2 года назад
Amen amen 🙏
@johnmuhagama6291
@johnmuhagama6291 Год назад
Amin amin munjilist mungu akubaliki sana kuwafungua wat
@user-di6gq1qi6w
@user-di6gq1qi6w 6 месяцев назад
Ubarikiwe una Sema kweli
@jacoboboniface9996
@jacoboboniface9996 2 года назад
Ubalikiwe mtumishi naulinzi uwe pamoja nawe
@veronikampate9848
@veronikampate9848 Год назад
Mungu akbariki tumishi wa mungu usiongope kulisema neno la mungu nakupenda sana natamani uje serengeti 🙏🙏🙏🙏
@shukranimwanawanyali5168
@shukranimwanawanyali5168 Год назад
Hongera mtumishi kwakusema ukweli
@LukasiMganga
@LukasiMganga 4 месяца назад
Mubalikiwa
@lilianwanjala8728
@lilianwanjala8728 Год назад
Ameen ameen and ameen
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 Год назад
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa kutufungua akili zetu Bwana akufunike na damu yake takatifu
@PatientMusaada
@PatientMusaada Месяц назад
MUNGU akupe mwisho muzuri kuliko mwanzo uendeleye kusema kweli .
@shantaleasanimatu6682
@shantaleasanimatu6682 Год назад
Amena sana Ubarikiwe sana mtumishi
@aimeebusime5849
@aimeebusime5849 Год назад
Amen MUNGU akufiche
@dainesykalinga7133
@dainesykalinga7133 Год назад
Amen Amen Barikiwa mno Mtumishi kwa Mungu.
@michaelwanyanga
@michaelwanyanga Год назад
In every step we take Jesus is ahead of us. Let's not give up because of some hindrances put ahead of us. Jesus is aware of our situations. Ev. Paschal Cassian, I'm in touch with you in preaching the Gospel of Jesus Christ. Holy Spirit take more of us and give more of you, in Jesus' name.......!!!
@msuvasimon557
@msuvasimon557 Год назад
Mungu muumba wa vitu vyote atulinde
@user-kv7hq5mb6m
@user-kv7hq5mb6m Год назад
Wasabato wako sawa,urembo ni ibada za miungu,ee mungu tusaidie
@neemanabwangu1469
@neemanabwangu1469 2 года назад
Amen amen Mtumishi 🙏🏿🙏🏿
@joelleligate8586
@joelleligate8586 Год назад
Amen MUNGU Wa kweli akuongoze babaa
@upendoupendo4622
@upendoupendo4622 Год назад
Duuuh!!, Yesu utusaidie kwakweli maana Kwa akili zetu za kibinadam ni ngum
@robartmaiko7759
@robartmaiko7759 2 года назад
mungu akibaliki
@janenjenga5639
@janenjenga5639 Год назад
Yeshua Messiah na aturehemu na atuhurumie
@user-kl6zb6so3i
@user-kl6zb6so3i 5 месяцев назад
Sema tupone Ameena
@jumakapesa2940
@jumakapesa2940 Год назад
Nakupenda sana Paschal. Lakini kwenye hili umethibitisha Elimu ndogo na ufunuo dhaifu
@AdamuTobias
@AdamuTobias 2 месяца назад
Amina
@stellahokworo3947
@stellahokworo3947 Год назад
Amen amen glory to Jesus
@joshuwazaningo2101
@joshuwazaningo2101 Год назад
Ubarkiwe mutumshi wamungu 🙏🤝
@ntabyoetienne2508
@ntabyoetienne2508 Год назад
Kaongeya tu mambo hayaeleweki hata kidogo utamaliziya kesho kwa nini mafuta ya nyele n'a mimba binakutana wapi omba Roho wa Mungu akupe maneno ya kuhubiri ndugu
@VictorPenti-kx3of
@VictorPenti-kx3of Год назад
Utamuelewa tu kwa hayohayo mahubir
@suzanalucasemanuel7006
@suzanalucasemanuel7006 Год назад
Mungu atusamehe sana jaman
@tukumbukegebhusega6716
@tukumbukegebhusega6716 Год назад
Barikiwa mtumishi
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Год назад
Yaani we MTU wa MUNGU ubalikiwe mnooo na MUNGU ALINDE FAMILIA YAKO AAA HAYA NDO MANENO YA MUNGU WETU ALIE HAI shetani Hana ADABU anatutesa mno na madhambi haya KUVAA miwigi milangi na nikope na nguo za ajabu WW MTU WA MUNGU ULINDWE SANA
@aliaalia
@aliaalia Год назад
Mungu wa Mbinguni akuliiiinde na akufiche ndani ya damu yake, Ilo ndilo ombi langu kwa baba wa Mbinguni
@faridashabanifaridashabani5950
@faridashabanifaridashabani5950 10 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 shamba la babu la katani Mungu tusamhee
@leontinamujinga8937
@leontinamujinga8937 Год назад
Amen amen and amen 🙏
@esnartkayuni558
@esnartkayuni558 Год назад
Amen amen and amen
@fedhajoseph7687
@fedhajoseph7687 Год назад
Mungu atuwezeshe sote wana wake
@pavlovbienfait6940
@pavlovbienfait6940 Год назад
Sois béni 🔥🔥🇨🇩🙌
@kayokasabas7579
@kayokasabas7579 Год назад
Yah kwel mtumishi
@doreen2038
@doreen2038 Год назад
mahubiri haya yamekuwa adimu sana,watu wametekwa na pokea gari,pokea nyumba,alafu unarithi vitu vinavyoharibika,alafu unakosa umilele usio haribika
@isacksimonmahungilo
@isacksimonmahungilo Год назад
La ë mungu tusaidie
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 Год назад
Msikilizeni mtumishi wa mungu hakika
@emanuelmwanandenje6898
@emanuelmwanandenje6898 Год назад
Nimependa sana hiyo injili safi sana ni injili ya kweli orijino kabisa
@elizabethphilemon83
@elizabethphilemon83 Год назад
Mungu awe ngao yako
@rehemadeus
@rehemadeus Год назад
Ameni🙏🙏🙏🙏💪
@marymwapiya1274
@marymwapiya1274 2 года назад
Amen Mungu atusaidie sana 🙏
@Joelhaongaofficial
@Joelhaongaofficial 2 года назад
Kabisa
@kassebo
@kassebo 2 года назад
m.ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-AWx8S5KoHjY.html 🎥 KASSIANO KASSEBO (official 4k video) #2022 - RU-vid
Далее
WAFANYA MAPENZI KWENYE NDOTO
52:31
Просмотров 10 тыс.
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
Просмотров 40 млн
Первый день школы Катя vs Макс
19:37
MKE WANGU ALINI KIMBIA EV PASCHAL CASSIAN
31:44
Просмотров 39 тыс.
WA ACHIENI WATU VIDEO OFFICIALY PASCHAL CASSIAN
11:53
Просмотров 366 тыс.