I love Mimi she is so real! She is beautiful Alafu talented! Guys tembeleya page yake mumpe support! She needs us! Before check my page kuona story ya Diamond na Zari from D to Z!
Mh huyu dada nampenda sana.lkn .sikuoenda alivyoamua kuimba! Alipendeza sana kua mtangazaji..alikua anakipatia sana kile kipindi cha wasanii..lkn kuimba angemwachia Vanesa.mh lkn ni maamuzi yake.
Dozen shabiki wangu imenisikitisha sana yani channel yako ndio ina andika kichwa cha namna hiyo kweli amko serious igeni basi kwa Millad ajawahi andika kichwa cha uwongo