Тёмный

MIRAJI AMWAGA CHOZI DRAW NA COAST |TULISEMA YANGA WAMECHOKA LEO NDIO WATU WAMEJUA YANGA NI BORA 😂 

Finest Online II
Подписаться 22 тыс.
Просмотров 63 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 115   
@aloycefarmerfarmingbusines7697
@aloycefarmerfarmingbusines7697 6 дней назад
Chagamba mie mwana yanga kindakindaki nipo songwe vwawa napenda sana kazi yako Mungu akupatie nguvu na uvumilivu kwa kazi yako msalimie #milaji#popasaidmzee na mpatie salamu 19/10/
@MussaKaminyoge
@MussaKaminyoge 3 дня назад
Pamoko sana mkoa moja mm tunduma
@SamiraseifAlfan-ph4ke
@SamiraseifAlfan-ph4ke 2 дня назад
Napenda ukimhoji miraji huwa namkubali sana ila miraji hilo bega la chagamba ujueee😂😂😂😂
@augustinomkongwa5444
@augustinomkongwa5444 6 дней назад
Miraji miraji mirajiiiiiiiiii, nimekuita mara.3 kumbuka maneno yako timu ikiwa misri uliisifu mpaka nikasema ndugu hii timu unayoisifu hivi umeiona wapi maana mechi zote hazikuoneshwa??? Leo unamwona mutale atawachomesha tena??😂😂😂😂😂😂mnatia huruma sana
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 3 дня назад
Anaenda na upepo😂😂😂😂😂
@BarakaNtale-xe3hx
@BarakaNtale-xe3hx 3 дня назад
Miraji acha kujikanyaga ulisemaga hii ndo simba Bora unayoitaka,, Sasa unageuka
@JustineJasson
@JustineJasson 6 дней назад
mzee said leo hajaongea😂😂😂😂mwambie nampenda anipe namb yake ya kupatiq pesa aiseew
@perepetuajohn
@perepetuajohn 3 дня назад
Asante kaka Miraji hebu waelimishe hao makoloooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@DelleAlly-ei5yh
@DelleAlly-ei5yh 6 дней назад
Respect KWENU by Delle ally from mueda Mozambique
@salmoncelestine6840
@salmoncelestine6840 6 дней назад
Miraji ,,tunakuelewa sana.Huyu ni Salmon from Bukoba Kagera Tz
@JustineJasson
@JustineJasson 5 дней назад
from bk 🔥 me from karagwe1
@JamesKalory
@JamesKalory 3 дня назад
​@@JustineJasson vp mwenyewe wa karagwe 1
@yuzolove7120
@yuzolove7120 6 дней назад
Tatizo wana iwazia Yanga sasa tayr kimesha wakuta kitu sasa
@AishshibnShibani
@AishshibnShibani 3 дня назад
Wewe ndo umeyasema ayo kunasiku wachezaji wanaamka vibaya
@phabianpetro7066
@phabianpetro7066 6 дней назад
Miraji mm huwanatamani uongee hata Siku nzima Leo kipindi kimekuwa kifupi sana
@VeronicaNyondo
@VeronicaNyondo 6 дней назад
Sicheki na wowote naulinda wangu moyo 😂😂😂 Simba bhan 🤣
@MwanahamisMbega
@MwanahamisMbega 2 дня назад
😂
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 3 дня назад
Mpaka msemeee😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@msongeomary6195
@msongeomary6195 5 дней назад
Changamba tulitee mzee wetu nilikua nimewa miss saaana
@Minjum-j5m
@Minjum-j5m 5 дней назад
M.mungu atatuajalia inshaallah kka miraj
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 5 дней назад
Mtafute mzee saidi chagamba
@errydeo8865
@errydeo8865 3 дня назад
Kawapiga kelele siku hizi😂😂!
@dr.allyahmada
@dr.allyahmada 3 дня назад
Camara akasome kwa Diara, Diara anatoka kwa mahisabu na anawahi kurudi. Sasa sema mwenyewe nani zaidi 😂😂😂😂😂
@subirafelix7413
@subirafelix7413 3 дня назад
Ilo bega la Mwana 😂😂analala vema kweli😅😅
@mgallason...5686
@mgallason...5686 9 часов назад
hii nchi ngumu sana homa ya hawa watu ilianza pale alipohitajika Ateba badala ya mukwara sasa ni mpanzu zaidi ya SGR na Ahua
@MANIRAMBONAWilliam-r4c
@MANIRAMBONAWilliam-r4c 4 дня назад
Chagamba mpelekey mzee Said tumsikie anavyo ongea Mimi Niko Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 nakufatiria sana
@SuleIddy
@SuleIddy 3 дня назад
Miraj nakukubali sana unajuasan kuchambua unaongea uhalisia na sio ushabiki p.iddy apa
@LukasiMahobbe
@LukasiMahobbe 4 дня назад
milaji we mshamba kweri team ikishinda kilamchezaji unampamajina ya ulaya ila tim ikipoteza ndio unajifanya unaujua mchez wampira daa
@rizyoneboffi3662
@rizyoneboffi3662 5 дней назад
Leo hiyo kila mchezaji akupi bado hamjasema hapo ndio maji na mafuta hujitenga
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 3 дня назад
Natutajuua panapo vuja trh19
@tonijr8229
@tonijr8229 5 дней назад
Ni vile tu Usimba na Uyanga umetujaa ila matokeo ni ya kawaida sana kwenye mchezo na hususan timu iliyopo vibaya ikikutana na timu kubwa lazima ifanye kama alivyofanya coast..... wiki iliyopita barca kafa chuma 4 dhidi ya osasuna , ila leo osasuna huyohuyo kadroo 1-1 na getafe
@errydeo8865
@errydeo8865 3 дня назад
Mpira wa ulaya na wa bongo ni tofauti bro! Usilinganishe hizo ligi! Kwa wenzetu hata clubs tunaziona ndogo ,wamewekeza! Na USIFIKIRI Barca kupoteza ,mambo shwari!
@kenanjohn2062
@kenanjohn2062 6 дней назад
Miraji ni sawa na Ambangile,Hans,George Job na ,Kazumari
@HabibaMohd-f9o
@HabibaMohd-f9o 4 дня назад
😂😂😂😂😂😂za unyamwez😂😂😂😂za unyama
@maliadii4829
@maliadii4829 2 дня назад
Hivyo ndo wamejitoa mpaka mwisho sijaona jipya au tofauti na mechi zilizopita timu bado sana
@DanielChaula
@DanielChaula 3 дня назад
Inachekesha sana
@mussamakange7421
@mussamakange7421 3 дня назад
😂😂😂😂😂 Goli za unyamwezi
@christopherdaniel7279
@christopherdaniel7279 2 дня назад
Miraji alisemaga simba ikifungwa walaumiane waokwawao sio timu
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 3 дня назад
Kwa kwel hii simba sijui shida nin??tunarogwa sana na hawa daima mbele nyuma pididi wanaturoga sanaaa😢😢😢😢😢viongozi wetu kuweni makin kwenye kuwalinda wachezaji wetu,,,,,pili mutale na ngoma hawatufai mutale anscheza km kala pilipil kichaa😢😢😢😢 fanyeni maamuz mapema
@NahlaRashed
@NahlaRashed 3 дня назад
Hao wachezaji wenu waliingia mfumo wa Pididdy😂😂😂
@HassanMkina-z6b
@HassanMkina-z6b 3 дня назад
Umetisha kaka chagamba nilikuwa naingoja hi nisikie maramoja anasema nn
@BeatriceKassim-tz8bf
@BeatriceKassim-tz8bf 5 дней назад
mzee Said tunamuhitaji chagamba😂
@DenisSanga-bj5ud
@DenisSanga-bj5ud 5 дней назад
Haturiziki mpaka tumuone Mzee Saidi
@RabsonSalmon-ys7bf
@RabsonSalmon-ys7bf 4 дня назад
Milaji 🎉wambie ukweli hao madunduka wasije singizia mala Wana Jenga tm
@georgettesaidi6809
@georgettesaidi6809 6 дней назад
Mzee saidi yuko wapi 😂😂
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 3 дня назад
Chagamba unajua ball kinyama🎉🎉🎉
@chrispinrafael3831
@chrispinrafael3831 2 дня назад
Miraji uwa tunakukubari wambie ukweli wa wanaifatiria yanga wanasahau timu Yao simba
@chinedu255
@chinedu255 6 дней назад
mlete mzee saidi
@mwasunga
@mwasunga 3 дня назад
Jaman saiz mbona inachelewa Kuja yutyubu jaman
@Tassyomy
@Tassyomy 2 дня назад
Shida Makolo Hamtaki Kuambiwa Ukweli Mchome Kila Siku Anapiga Kelele Kuhusu Timu Lenu Lakin Bado Mnamuona Kama Yeye Mamluki..!!
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t 3 дня назад
Simba mbovu😊
@abdallayunnus3475
@abdallayunnus3475 3 дня назад
Nkubali chagamba na miraji
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t 3 дня назад
Mzee said jmn
@JayKinho
@JayKinho 3 дня назад
Chagamba utapalalaiz bega huyo jamaa analipiga sana bega lako
@petrowililo
@petrowililo 6 дней назад
mbn.hamnyeshewii😊
@carlsonshedrack5762
@carlsonshedrack5762 2 дня назад
Hao coast msisahau waliwahi toast droo ya 3:3 na Mabingwa pigs nikupige na huwezi amini walifia penalty, Football inamatokeo katili sana
@MalinoKadwame-u1c
@MalinoKadwame-u1c 3 дня назад
Kun mda unaongea point
@babycandycharles7816
@babycandycharles7816 3 дня назад
Tena Simba wamshukulu lefa Simba walikuwa wanakufa goli tatu cost wamezulumiwa wangekuwa Simba wafanyiweivile Kama cost wangelalamika Sana hataivo cost kafunga magoli mazuri Sana kuliko magoli aliofunga Simba yakubahatisha tu
@StanleyMsilwa-bb8rs
@StanleyMsilwa-bb8rs 3 дня назад
Mmmmmmh tukutane tareeehe 19
@ndayiragijevenant
@ndayiragijevenant 5 дней назад
Chagamba naomba kkutan na mlaji napatikan burundi nakz zen nazpenda san tena san
@MakarotiKamugisha
@MakarotiKamugisha 3 дня назад
Miraji unazingua sikuizi 2meamia kwa sefu
@IbuniKilapaya
@IbuniKilapaya 3 дня назад
Ni doubt wazee wa kaz
@WakiliHaule
@WakiliHaule 3 дня назад
Tatizo lako miraji uieshimu yanga kwa kuiamini simba yako mbovu...na bado simba lako bovu litaendelea kukuumbua tu...uliuzungumzia mchezo wa coast union kwanza dharau sana ...eti tutamuonyesha Lawi maamuzi aliyofanya atajutia
@wimranpatrick
@wimranpatrick 6 дней назад
ckale ka msemo kwanini master ameingiza mwamnyeto kapo
@ankojey-hg9qv
@ankojey-hg9qv 3 дня назад
Ebwana ee ww Miraji mshabiki ni mwani sport nakukubali aani
@jacksonmatenga9184
@jacksonmatenga9184 6 дней назад
Chagamba mlet mzee said
@GosbertKato
@GosbertKato 3 дня назад
Mzee said yuko wapi?
@gchordsofficialtz614
@gchordsofficialtz614 4 дня назад
umemkatisha miraji jmn
@LilianBitwale
@LilianBitwale 3 дня назад
Et haiwezekan cost apige kamback😂😂😂😂 tatzo dharau na kujiamin sana simba na yanga ndo kinatuponzaga
@BullahSambiga
@BullahSambiga 6 дней назад
Na bado amjasema mlijisiifu eti mmesajili wachezaji waviwango leo vepe tena,,!!! 😂
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 3 дня назад
Hii channel mbona kama mpya
@LinusKyando
@LinusKyando 3 дня назад
Point 3 KWA SIMBA MPAKA ibebwe
@PaschalMalley
@PaschalMalley 4 дня назад
droo tu ivo mje tuwaonyeshe mtajua
@hilalmdosi3806
@hilalmdosi3806 3 дня назад
Ukicheza mpira tangu mdogo raha sana siku zote mm nasema tangu mechi ya kwanza ya ligi nasema ss simba hatuna winga ambae kabaki na wawili anawasokota anaondoka na pia hatuna na 10 ambae atapenyeza pasi ambazo kina mukwala na ateba wakakutana nazo yy na kipa2 i
@DOMINICUSHAULE-xr3em
@DOMINICUSHAULE-xr3em 5 дней назад
Kwani ile chanel ya mwanzo imekuwaje Chagamba..? Au mimi ndo sijaelewa
@YasiniMatuy
@YasiniMatuy 3 дня назад
Zimekutana timu zenye uwezo sawa wote shilikisho
@mrrockboy9508
@mrrockboy9508 6 дней назад
Jana Maria kampa Yoseph 2 pyee pyee fyuuu🤫
@kasimuhamidu8467
@kasimuhamidu8467 6 дней назад
Wameuza mechi viongoz
@maliadii4829
@maliadii4829 5 дней назад
Mpanzu atacheza na nani ndo Yale Yale chama na akitoka Deborah timu finish
@waswajohakimu1802
@waswajohakimu1802 3 дня назад
Mara moja unarudi kwenye ubora wako sasa...kuna muda ulitaka kuanza kufuata mkumbo wa wachambuzi wengine
@emmaneulrwehabula5095
@emmaneulrwehabula5095 6 дней назад
Changamba Leo isipite hujamleta mzee saidi
@JustineJasson
@JustineJasson 5 дней назад
mbn mzee said hajaongea chagamba
@SimonMabigi
@SimonMabigi 3 дня назад
Hawa makolo hawajitambui Sasa tunapga kwenye mshono tarehe 19 ila wavurugane zaid maana wanamaneno sana oooh yeyote aje huku mechi 2 zote wanabebwa Azam magori offside Dodoma penati ya kubebwa madunduka nyie
@suddisheby
@suddisheby 3 дня назад
Miraji ww ni muongelea mpira sio mpenzi wa timu ila simba tengenezeni simba yenu bado mbovu pale mchezaji ni debora wengine wazururaji
@JayKinho
@JayKinho 3 дня назад
Makolo walijidanganya timu imekamilika
@makamesaid9137
@makamesaid9137 6 дней назад
Chagamba mzee said yuko wapi?
@patrickstanley6823
@patrickstanley6823 6 дней назад
walipeni posho ya shirikisho hao wachezaji
@joackimumalya7138
@joackimumalya7138 3 дня назад
Ngoma kweli kiwango kimeshuka lakini SI kama unavomsema sema maramoja inatosha yule nae binadamu na kocha anajua anachofanya
@wimranpatrick
@wimranpatrick 6 дней назад
19 tunaannza na back 7 afu tunalize ba 3 strikers dadaadekk
@HassaniKhasim-l5v
@HassaniKhasim-l5v 5 дней назад
Simba walificha code tukutane tareh 19
@JACKSONMGETA-xf3hj
@JACKSONMGETA-xf3hj 5 дней назад
Saw😂😂
@JACKSONMGETA-xf3hj
@JACKSONMGETA-xf3hj 5 дней назад
Saw😂😂
@MANIRAMBONAWilliam-r4c
@MANIRAMBONAWilliam-r4c 4 дня назад
Chagamba mbona mzee Said hatujamona????
@Yassirjuma-i1c
@Yassirjuma-i1c 6 дней назад
Bhana simba hamna kt
@RashidKhamis-f1t
@RashidKhamis-f1t 3 дня назад
Ulikuwa wapi mwamba muda wote huwo
@jairatu688
@jairatu688 5 дней назад
Kwani mmebadilisha channel?
@chumviyamawe7502
@chumviyamawe7502 2 дня назад
Ndy wamebalisha ilaa watarud km walivyo sema wenyw
@DavidJonathan-s6e
@DavidJonathan-s6e 3 дня назад
Shida yako miraj unaongea kuisifia yanga ongea Mambo ya timu yak sio kutwa kufananisha na yanga kuwa bana tena nibora tumeona makosa mapema na tumejilekebisha mpira matokea matatu bana usituchanye Tim imecheze
@dalmasokoth4190
@dalmasokoth4190 2 дня назад
Miraji ule ndo uwezo asilia ya timu yenu. Tusome ukweli kihalali mlishinda mechi zenu 2 za mwanzo tena baada ya figisufigisu za TFF kuwanyima vibali wachezaji wa kigeni wa timu hizo. Mechi dhidi ya Azam sifa zimuendee Elly Sasii, Mechi dhidi ya Dodoma sifa ziende Kwa Mdoe wala sio timu yenu ya simba
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 6 дней назад
Kocha wa simba ni mchovu kashindwa kuunda forward line. Wanajikimbilia tu kama kunguru.
@OscarMhagama
@OscarMhagama 3 дня назад
Pameaza kuchangamka
@IsackManjoba
@IsackManjoba 6 дней назад
Uyuu jamaa mkweli Yan
@ibrahimuramadhani1912
@ibrahimuramadhani1912 6 дней назад
Nasubiria mpk basi an mnzingua
@ibrahimuramadhani1912
@ibrahimuramadhani1912 6 дней назад
Msiwe mnachelewa sana iv bana mechi toka jana mapema sana wakubwa
@DarliotonTumaini
@DarliotonTumaini 3 дня назад
😂😂😂😂😂😂kumeanza kuchanga mka sasa
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 2 дня назад
wachambuzi wa bongo bana shida tupu
@HassanLusulile
@HassanLusulile 3 дня назад
Chagamba mtavujana mabega
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 3 дня назад
Wachezaji nao wanachoka wamezunguka sana hata hio sare sio mbaya kama mwataka mume kama yanga mzamini timu zilizobaki ili tupate point nyie vip
@majaliwaandulile8379
@majaliwaandulile8379 3 дня назад
Tunaludi kule kulee
@msongeomary6195
@msongeomary6195 5 дней назад
Oya changambo Mbona siwapati tena kulikoni
@shafimussa-u6r
@shafimussa-u6r 6 дней назад
chagamba tunza risiti simba wanaofunga yanga bado yanga sijaiona ubora wake
@DIVINEPROMISE-c1n
@DIVINEPROMISE-c1n 6 дней назад
Amka ndotoni ukajojoe utajikojolea
@AndasonHenry
@AndasonHenry 2 дня назад
Kwel kbs atakojolea godoro uyo😂😂😂
@mbokanitaribo5106
@mbokanitaribo5106 4 дня назад
Subutu unaweza kufunguka wakati unacheza na YANGA wewe😂😂😂mongo mkubwa wewe
Далее
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
Просмотров 768 тыс.
MPOKI KALETA MC BUBU KIKAO CHA HARUSI
9:03
Просмотров 106 тыс.