Тёмный

MIZIMU HUTAFUTA KUMILIKI WANADAMU | SEMINA YA KUFUNGULIWA | DAY 2 | 13-08-2020 | FULL VIDEO HD 

Bishop Elibariki Sumbe
Подписаться 88 тыс.
Просмотров 55 тыс.
50% 1

SEMINA HII ILIFANYIKA KATIKA KANISA LA VUKA YORDANI NGARAMTONI ARUSHA.
Hii Ikiwa Ni siku Ya Pili Tarehe : 13/08/2020
Ikiongozwa Na Bishop Elibariki Sumbe.
Follow kurasa za Bishop Sumbe,Bofya Link Hapa Chini.
/ bishopelibarikisumbe
/ bishopelibariksumbe
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.

Опубликовано:

 

22 авг 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 120   
@kristofakristofa
@kristofakristofa 10 месяцев назад
Amena Amena kubwa napokeya ufungulivu na uponyaji kutoka kwako mungu wangu kupitiya maombi ya mutumishi wamungu bishop elibaliki sumbe mungu akubaliki na akuzidishiye, na mie na jitenga namizimu ,ziondoke kwenye familiya yangu wazazi wite
@NtakarutimanaAisha
@NtakarutimanaAisha 2 месяца назад
Amen.naminataka nifunguliwe nitoke katikavifungo hivyo vya mizimu.katika jina la Yesu kristo alie hai
@mbayimbayiamani8649
@mbayimbayiamani8649 Год назад
Ubarikiwe sana bishop nakufata nikwa Mozambique (msumbiji)
@JustinaSamuel-zd6rq
@JustinaSamuel-zd6rq 25 дней назад
Eeeee Mungu kupitia madhabahu haya ya vuka yohdhani mm na familia yangu utuepushe na mizimu
@dorismwamasage3573
@dorismwamasage3573 3 года назад
Amen mafudisho yote yananilenga mimi na maisha yangu Ameni Ameni Baba
@Estherm309
@Estherm309 Месяц назад
Wooooiooi KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😭😭😭😭😭😭😭🤔🤔🤔🤔🤔 LORD JESUS CHRIST remember mercy on us
@JobOkumu-m5g
@JobOkumu-m5g 3 дня назад
Eee mungu turehem na utuokoe na roho za mizimu
@user-kc2hn4xf1x
@user-kc2hn4xf1x Год назад
NAMI kupitia maombi haya nata nipone kwa jina la yesu Mimi na mam yangu mzazi mungu nisaidie
@JanetKamama-vw9bq
@JanetKamama-vw9bq Год назад
Mtumishi nmekupata mungu andele kuwatumia muende mbali zaidi
@Sali-dr3xx
@Sali-dr3xx 6 месяцев назад
Amen n mepokea n kufunguliwa in Jesus name 🙏🙏
@MwalihashaSaidi
@MwalihashaSaidi 8 месяцев назад
Amen mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana
@fridah6046
@fridah6046 Год назад
Naamini nimefunguliwa na niko huru kwa jina yesu
@kristofakristofa
@kristofakristofa 10 месяцев назад
Mungu najitenga namizimu,nifunguwe nauniponye katika Jina la yesu kristo,
@fridah6046
@fridah6046 Год назад
Mizimu bye bye kwa familia yetu hamtatawala tena,wazazi wangu na ndugu zangu wote tumefunguliwa na tuko uhuru kwa jina la yesu.
@user-xt1hb9ki3q
@user-xt1hb9ki3q 3 месяца назад
Amen
@alifaakili2145
@alifaakili2145 Год назад
Yote uliofundisha yamenilenga mm mtumishi na hata ulivokuwa unaomba mwili wangu umesisimka Sana na nimelia sana ofisin namini nimefunguliwa
@AbigaeliSeleman
@AbigaeliSeleman Год назад
Natubu kwajili baba yangu anaabudu mizimu naomba unitenge na roho pamoja na familia yangu ituachilie
@alpha987alpha5
@alpha987alpha5 Год назад
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah
@NoraAlivni
@NoraAlivni 2 месяца назад
Na amini numefunguliwa kwa jina la yesu
@herrykilele4622
@herrykilele4622 3 года назад
Amen Somo zuri sanaa sana Mungu Akupe maisha Marefu amen
@sammylemmy
@sammylemmy Год назад
Mtumishi nakufuatilia sana nikiwa Kenya napenda sana vipindi vyako pia nataman kufika kanisani kwako
@erictdituku6160
@erictdituku6160 3 года назад
Ameni mimi Paulin najitenga n roho za mizimu za kutokuolewa n kuzaa watoto walemavu miguu iliopinda Kwa jin la yesu
@EstherNiyonkuru-ey5ti
@EstherNiyonkuru-ey5ti Год назад
Asanteni sana mutumishi wa mungu
@meshacknamugandika-me2rt
@meshacknamugandika-me2rt 7 месяцев назад
Mungu nitenge naizo roho zakishetani kupitiya nguvu zako amen
@AbigaeliSeleman
@AbigaeliSeleman Год назад
Naitenga na roho za mizimu natubu kwaajili ya roho ya mizimu
@elizabethfatuma9053
@elizabethfatuma9053 2 года назад
Amen Baba yetu utusaidie tuna teseka
@LekisosionNangenoi-dz3kq
@LekisosionNangenoi-dz3kq Год назад
Miximu wachawi wanotutamkia magonwa na kuapa bye bye bye kwajina la Yesu Kristo Najiungama na masabahu ya Kanisa la vuka Yordani na nimeshinda kwa damu ya yesu
@eliasstephano-no4mi
@eliasstephano-no4mi Год назад
Yesu nitenge na roho za mizimu fungua biashara zangu bariki mashamba yangu eee mungu bariki uzao wangu yesu vunja vunja maagano ya familia yangu mungu naomba lete Aman kwenye familia yangu ee mungu sikia kilio changu kupitia madhibahu hiii nitakase bwana yesu yesu yesu nitenge na mizimuu
@miruhoghurahozaesther9092
@miruhoghurahozaesther9092 Год назад
Nashukuru Sana baba kwa mafundisho
@user-yw9sm8xs7d
@user-yw9sm8xs7d 10 месяцев назад
Najiungamanisha na mathabahuhii ya vukayolodani mizimu itoke kwenyemaisha yangu na familia yangu
@user-lz2tp4il5v
@user-lz2tp4il5v 6 месяцев назад
Haya mafundisho yamenilenga Mimi na familia yangu tulifungwa atuezi endelea
@jordansadepand4510
@jordansadepand4510 Год назад
Mungu abariki sana bishop sumbe pia atuurumiye🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@JacksonMwambogoja
@JacksonMwambogoja Год назад
Amén mtumishi sumbe
@prisca4612
@prisca4612 Год назад
Amen Amen Amen!! Utukufu kwa Bwana Yesu
@catherinemaina5265
@catherinemaina5265 Год назад
Ooh my God 🇰🇪 tusamehe bwana
@annickkagajo3212
@annickkagajo3212 2 года назад
Najitenganisha na roho za mimi na famillia yangu kwa jina la Yesu
@Moshiarusha360
@Moshiarusha360 2 года назад
Mungu akubariki mtumishi nabarikiwa Sana na mafundisho yako
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 26 дней назад
Alelluyah alelluyah alelluyah alelluyah alelluyah blessed
@antonioarmandoantonio6229
@antonioarmandoantonio6229 Год назад
Ninajiuanganisa na maombi lá somo lá mizimo, kwaribo mizimo vya ukoho wa mama yangu, baba yangu Babu zangu zote pande mbili, na mizimo yote vinavyo kamata mozambique watu wasintumikie mungu, ninaribu Léo katika jina litendalo miujiza, bwana wetu yesu Cristo
@antonioarmandoantonio6229
@antonioarmandoantonio6229 Год назад
Mizimo vya ukoho wa mama yangu na, baba yangu, vyaribike Léo, katika jina litendalo miujiza lá yesu Cristo.
@antonioarmandoantonio6229
@antonioarmandoantonio6229 Год назад
Mizimo vya ukoho wa mama yangu, baba yangu, teketehaaaaaa!!! Kwa jina lá yesu Cristo wa Nazareth.
@tantinebrijitte6818
@tantinebrijitte6818 Год назад
mimi B rt ijitte na jitenga na muungu ya babu zetu.
@graciouskimaro5753
@graciouskimaro5753 3 года назад
Amen Askofu Mungu azidi kukupa maono zaidi Yesu Kristo akanifungue na watt wangu na familia yangu kutoka kwenye roho za mizimu
@devotematenga9380
@devotematenga9380 6 месяцев назад
God bless vuka yordani
@daynessmuneure2685
@daynessmuneure2685 Год назад
Baba natokaje Mimi ni Mchungaji lkn kweli nimeshikiliwa,hasa
@alicensabimana7293
@alicensabimana7293 2 года назад
Asante Kwa ushindi unanipa Napokeya kufunguliwa
@upendokimaro7265
@upendokimaro7265 3 года назад
IMEKUA KWANGU KWA JINA YESU KRISTO WA NAZARETI ALIE HAI,AAAMEN.
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 2 года назад
Barikiwa sana, umeifundisha kweli yote.
@anitababyderickwasike7872
@anitababyderickwasike7872 3 года назад
Amen Bishop Mungu alikuchagua hawezi kkuacha kamwe..
@fredphilipo4163
@fredphilipo4163 2 года назад
Mtumishi wa Mungu wa kweli Mungu akuinue zaidi
@nkanuliyelaurent6955
@nkanuliyelaurent6955 3 года назад
Asante ee Bwana umenifungua pokea sifa na utukufu
@odethaelias9196
@odethaelias9196 3 года назад
Amen .Nabarikiwa sn na Mungu.Jina lake lishukuriwe daima
@user-zc1vu5kn7w
@user-zc1vu5kn7w 7 месяцев назад
Bishop Godbless
@noornia652
@noornia652 3 года назад
Amen mungu atusaidiye sana
@nickraosebe9544
@nickraosebe9544 3 года назад
Amen mtumishi wa mungu
@ruthmwasomola3907
@ruthmwasomola3907 3 года назад
Mungu tusaidie pekeetu atuwezi
@mirynjeri5850
@mirynjeri5850 3 года назад
AMEN AMEN AMEN....BABA
@nancymwanzia1644
@nancymwanzia1644 2 года назад
True man of God,may God bless you and take you to another level.
@noellaniyonizeye1646
@noellaniyonizeye1646 Год назад
Asante Mungu Baba kunijulisha hii na asante Loho Mutakatifu ❤
@roselyneorengo7603
@roselyneorengo7603 9 месяцев назад
I connect to this alter for deliverence
@elizabethsimbenga4773
@elizabethsimbenga4773 19 дней назад
Mizimu bye bye bye bye bye bye bye bye bye bye bye bye bye bye
@morishonatasha6228
@morishonatasha6228 3 года назад
God bless you 🙏
@mbayimbayiamani8649
@mbayimbayiamani8649 Год назад
Amina
@FurahaMarie-w2e
@FurahaMarie-w2e 8 дней назад
Amène
@bettynyongesa6702
@bettynyongesa6702 3 года назад
Ameen Hallelujah
@tumaininkinda6460
@tumaininkinda6460 3 года назад
Thanks for that message God bless you so much, in Jesus mighty Name.
@israelalbatingongo
@israelalbatingongo Год назад
Amé
@fredphilipo4163
@fredphilipo4163 2 года назад
Hakika nimeerewa
@user-zq9wx6mj8q
@user-zq9wx6mj8q Год назад
Glória a Deus
@loreenmwambinguloreen7373
@loreenmwambinguloreen7373 2 года назад
Aminaa
@mukuzohuguette7060
@mukuzohuguette7060 9 месяцев назад
Amen Amen
@MuganwaPatrick-jy3fx
@MuganwaPatrick-jy3fx Год назад
Amen ❤
@filothiasirizabongo5767
@filothiasirizabongo5767 3 года назад
Amina baba
@titinmbega4128
@titinmbega4128 3 года назад
Amen 🙏
@rutagengwasteven7879
@rutagengwasteven7879 Год назад
Amen amen
@freddiegnabry8919
@freddiegnabry8919 3 года назад
Ndio baba utuombe tumefigwa ya kweli
@gamingcasbet1
@gamingcasbet1 3 года назад
Ameen
@gomarakimwanzaro9903
@gomarakimwanzaro9903 3 года назад
Amen barikiwa mtumishi kwa ujumbe huu
@jacksonmacha3138
@jacksonmacha3138 3 года назад
Amen
@paulinakiswaga7505
@paulinakiswaga7505 3 года назад
Amen baba wa kiroho hakika tunafunguka na kufunguliwa mungu aliye juu yuu nawe🙏🙏🙏
@user-zk9mk9wk1k
@user-zk9mk9wk1k 9 месяцев назад
Amen
@AbigaeliSeleman
@AbigaeliSeleman Год назад
Mafundisho yamenigusa
@ReineDorDiamant
@ReineDorDiamant 4 месяца назад
Mungu anifunguwe na roho za mzimu leo natambuwa kama nimefungwa na mzimu kwa sababu ninaomba sana ila sina chakufanya kazi imefungwa nikiyingiya kwenye mawusiano sijuwi yanakufa aje nikifanya biachara nafirisika nilikopa ata bank pesa ila zote warizipila mpaka sasa sijui nitafanya nini nina madeni kibawo natamani ata nipfe juu ya uchungu😭😭😭😭😭😭nisaidiye Mungu anifunguwe 😭😭😭😭😭Mimi niko hatarini 😭😭😭😭
@everwasike655
@everwasike655 3 года назад
Amen and amen
@AndreaDaud-ub7rr
@AndreaDaud-ub7rr 8 месяцев назад
Ameeeen🙆🙆🙆
@emmanuelurio7736
@emmanuelurio7736 2 года назад
Ameeen Baba
@marrymalackikongo5425
@marrymalackikongo5425 3 года назад
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭ubarikiwe baba ,
@magnifiquentkrtmna320
@magnifiquentkrtmna320 3 года назад
AMEEN AMEEN BABA
@annamassawe9872
@annamassawe9872 3 года назад
Amina baba unapatikana wapi?tupo dar tunaomba huduma yako baba
@tabasuyamasoka3448
@tabasuyamasoka3448 2 года назад
Amen
@dantom5060
@dantom5060 3 года назад
Naamini ninafunguliwa na mizimu
@lucystella9612
@lucystella9612 Год назад
Ameeen
@upendokimaro7265
@upendokimaro7265 3 года назад
Aameeenn
@tinnamuraya6838
@tinnamuraya6838 3 года назад
Ameeeeen
@user-lz2tp4il5v
@user-lz2tp4il5v 6 месяцев назад
Pastor naomba uniombee Niko nafatwa na mizimu wanataka kunimaliza na niko saudia
@thobicothipaya3704
@thobicothipaya3704 3 года назад
Barikiwa mtumishi
@alicensabimana7293
@alicensabimana7293 2 года назад
Sasa ni satani satani kivyake anazunguka duniyani tena anafungiwa kuzimu na Yesu akakuija nafunguwooo ? Yesu ashangae kumuona ?, ao anazunguka kivipi nifunuliye Asante
@alicechibo9923
@alicechibo9923 2 года назад
Andika vizur ueleweke ....cjui hata unamaanisha nini nyuma mbele ...mbele nyuma
@mukeshimanarose1334
@mukeshimanarose1334 2 года назад
🤲🙏🙏🙏🙏🇧🇮
@perispryns6474
@perispryns6474 3 года назад
Amen 🙏🙏
@annamassawe9872
@annamassawe9872 3 года назад
Amina mtumishi tunaomba huduma yako
@esthermbushi8060
@esthermbushi8060 3 года назад
Amen
@kasimirababy9586
@kasimirababy9586 3 года назад
P
@emmyadhiambo8303
@emmyadhiambo8303 2 года назад
Amen
@monicahnjeri257
@monicahnjeri257 11 месяцев назад
Amen
@Godneverfailed
@Godneverfailed 3 года назад
Amina
@liliannaseriannaserian4850
@liliannaseriannaserian4850 Год назад
Amen
@GHgh-hq3zj
@GHgh-hq3zj Год назад
Amen
@AgnessIbrahim-nt1kr
@AgnessIbrahim-nt1kr Год назад
Amen
@loreenmwambinguloreen7373
@loreenmwambinguloreen7373 2 года назад
Amen
@user-rf9mn3sl1g
@user-rf9mn3sl1g 2 года назад
Amen
Далее
SOMO - AGANO LA MAUTI | FULL VIDEO  | 14-04-2019
2:11:31
Ouch.. 🤕
00:30
Просмотров 8 млн
Как пронести Конфеты В ТЮРЬМУ
19:16
Vitambue VIFUNGO vya MADHABAHU za UKOO!
50:51
Просмотров 35 тыс.
BAADHI YA SABABU KWANINI WACHAWI WAKUSHAMBULIE!!!
59:58
SOMO - Vita vya kiroho 09-08-2020 |  FULL VIDEO HD
1:32:59