Тёмный
No video :(

MJUE MSUKUMA NA TABIA ZAKE 

Mtembezionline
Подписаться 12 тыс.
Просмотров 39 тыс.
50% 1

Msukuma ni nani na historia yake imetokea wapi? tazama upate kujua kwa kina #Mtembeziusukumani

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@prosperkapeche898
@prosperkapeche898 5 лет назад
Big up babu Kafipa👏🏾👏🏾💪🏿🇹🇿 ni vizuri kujua Usukuma ni ni👍🏿🇹🇿
@paulojohn9823
@paulojohn9823 4 года назад
Kgy
@user-jc9dp4hp9g
@user-jc9dp4hp9g 23 дня назад
❤❤❤❤​@@paulojohn9823
@jmiano5870
@jmiano5870 Год назад
part of wasukuma ni agikuyu wa kenya.
@jacquelinemabula2519
@jacquelinemabula2519 Год назад
Sure coz mimi my mom is from kikuyu na my dady ni sukuma naweza sikia kila kitu
@jamesgerald7192
@jamesgerald7192 6 лет назад
hadi raha kwa kweli,,wewe dada umefunzwa vzr sana hongera.
@luckydubebello1131
@luckydubebello1131 2 года назад
Mm ni wakutoka kenya 🇰🇪 soon naolrka na msukuma
@luckydubebello1131
@luckydubebello1131 2 года назад
Naoleka
@DottontendelDottontendel-qb5lr
@DottontendelDottontendel-qb5lr 10 месяцев назад
Huwa wanaoroho mbaya huwa wanaubaguzi huwa wanajipenda waokwawao nikama watusi
@RamadanPaul
@RamadanPaul 18 дней назад
Hapana umekosea
@mwandumazaoidrossa1702
@mwandumazaoidrossa1702 5 лет назад
hamjuwi wasukuma kumbe walikotoka, wasukuma wametokea Congo rdc sehemu moja inaitwa Bandunduu
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 5 лет назад
Kweli??? Tunajua wamanyema ndio wametoka congo
@mwandumazaoidrossa1702
@mwandumazaoidrossa1702 5 лет назад
@@shifaaal-baity4503 nenda Congo bandundu hata luga Yao kama kisukuma tu
@mwandumazaoidrossa1702
@mwandumazaoidrossa1702 5 лет назад
hata majina mengi yanafanana na kisukuma kama vile Matondo, Malongo, Magembe, Maduhu Magumba,Ngolo yote hayo majina ypo huko congo
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 5 лет назад
@@mwandumazaoidrossa1702 kusema kweli mara ya kwanza kujua
@emmanueljohn8970
@emmanueljohn8970 5 лет назад
Hata south Africa
@alexkadaso2913
@alexkadaso2913 6 лет назад
Wakelewe
@majadotto9513
@majadotto9513 4 года назад
Mitazamo tu lkn sisi ni watu was suguma itimeans kazkazn
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 5 лет назад
Zamaani sana walikua na tabia (nataraji wamebadilisha) utamkuata mtu ana Mali nyingi mashamba na mifugo. lakini anaishi kimasikini sana eti anaogopa kurogwa🙄😏🙄😒😒
@tanzanianchiyangutaifalang8376
@tanzanianchiyangutaifalang8376 4 года назад
Huo ni uongo. Wasukuma wenyewe wanajua dawa vizuri. Unaanzaje kumroga! Huwajui wasukuma, usipende kuchukua ya kuambiwa. Tuulize sisi wasukuma wenyewe.
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 4 года назад
@@tanzanianchiyangutaifalang8376 mimi nimeishi nao
@tanzanianchiyangutaifalang8376
@tanzanianchiyangutaifalang8376 4 года назад
@@shifaaal-baity4503 Sasa mbona unaongea uongo? Wakati msukuma utajiri wake ni mifugo na kilimo. Tajiri wa mifugo na kilimo ndio yupo fiti kwa dawa. Sasa anaanzaje kurogwa! Hapa umedanganya.
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 4 года назад
@@tanzanianchiyangutaifalang8376 yaani wasukuma wana dawa za kuroga??? Kitu kibaya sana
@tanzanianchiyangutaifalang8376
@tanzanianchiyangutaifalang8376 4 года назад
@@shifaaal-baity4503 Mimi ni msukuma, nimezaliwa usukumani na nimekulia usukumani. Tajiri wa mifugo na kilimo wako vizuri sana kwenye mambo dawa. Huwezi kuchezea mifugo wala mazao yake.
@ommarymzee1161
@ommarymzee1161 7 лет назад
wachamaee babaaaaa
Далее
3d printed demon core vs real
00:24
Просмотров 7 млн
Starman🫡
00:18
Просмотров 2,1 млн
SHINYANGA:UTAMADUNI WA KABILA LA WASUKUMA WASHAMIRI
3:30
TABIA ZA NDANI ZA MSUKUMA
9:54
Просмотров 16 тыс.
MFAHAMU Rais GADDAFI_Ananias Edgar &  Denis Mpagaze
27:25
Wahaya kwanini hawawezi kufanya kazi ngumu
10:08
Просмотров 8 тыс.
3d printed demon core vs real
00:24
Просмотров 7 млн