Тёмный

CHEKI JINSI PROF KABUDI ALIVYOTOA HISTORIA YA MKOA WA SINGIDA, KISWAHILI CHAKE CHAWAKUNA WENGI 

BONGO NEWS TV
Подписаться 951 тыс.
Просмотров 50 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 74   
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 Год назад
Asante sana Prof. Kabudi. Unaielewa historia ya taifa letu vizuri sana. Kiswahili chako ni cha kuigwa na kila Mtanzania hasa wale wenye ulemavu wa kuchanganya Kiswahili na Kiingereza wakidhani ndo wataonekana wasomi. Unakipa heshima Kiswahili chetu.
@FabianPiusMghanga
@FabianPiusMghanga Год назад
Asante sana Prof. Kabudi Sikuwahi kufahamu mambo mengi kuhusu mkoa wa Singida
@jumanneshigela2900
@jumanneshigela2900 Год назад
Prof. Well done siku nitakutafuta niombe historia hii bora kabisa Mungu akihifadhi na kila lililo ovu na akupe maisha marefu ili tusome mengi toka kwako binafsi saluti kubwa kwako
@stevenobunde9345
@stevenobunde9345 Год назад
Prof. Kabudi you are the best!! Asante kutukumbusha Watanzania tulikotoka na tulipo sasa!!!
@peterkanza2207
@peterkanza2207 Год назад
Mzee Kabudi,sauti ya mamlaka,safi sana.
@justinebosire9804
@justinebosire9804 11 месяцев назад
From Kenya i love listening ..to him fluency..
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 4 месяца назад
Vizuri sana Mzee.🙏🙏🙏🙏 Kumbe ni ndugu yetu👍
@thetopafricatours9355
@thetopafricatours9355 Год назад
Asante Profesa na salamu kwa wanasingida. Mheshimiwa kabudi bado nakuomba uongee na Mheshimiwa Raisi kuhusu Mkataba wa Bandari Kwani Mheshimiwa Rasi alituambia wewe ni Mtu wa Mikataba. pamoja na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambao kwa kweli unahitaji marekebisho makubwa kwani wazanzibar kwa asilimia kubwa wanasema tanganyika inawanyonya nami sielewi. kabisa Tangyika inawanyojnyaje zanzibar. Mimi Naona tuwe na Nchi Moja tu. na serikali tatu hiyo inahitaji kura ya maoni pande zote Mambo haya naona ni vyema yaongelewe na ninyi wazee sasa hivi. na sio kesho.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Год назад
Kama huoni Zanzibar inadhulumiwa vipi na Tanganyika basi acha Muungano ubakie hivi hivi lakini sasa mamlaka yote iliyonayo Tanganyika kwa Tanzania sasa ipewe Zanzibar na Tanganyika iwe na Serikali yake kama ilivyo leo Zanzibar. Wazanzibar HATUKUBALI hata siku moja iwe nchi moja, kimsingi hatuutaki tena Muungano kwa sababu Watanganyika wengi hamuujuwi Muungano kwa sababu hauwaumizi, Wazanzibar wote wanatafautiana kusiasa lakini kwenye kudhulumiwa na Muungano wote wanaelewa. Nakutajia mambo machache Wazanzibar hawahawahi kuwa na hata Naibu Spika, Naibu Gavana, kuna taasisi kadhaa za Muungano kama vile NECTA, TCRA, ATCL nk Wazanzibar hawapati hata ujumbe wa bodi achilia mbali management. Kwenye Katiba ibara ya 133 - 144 imezungumzia masuala ya fedha ikiwemo kuanzishwa akaunti ya pamoja, mikopo na misaada, CAG nk mbona ibara hiyo hadi inadaiwa Katiba Mpya HAZIJATEKELEZWA. Fedha ndio uchumi mkiizuwia hapo Zanzibar ndio mumeiua kabisa. Ndio tunasema Katiba mpya tuangalie na tuujadili upya Muungano kwanza tuone uendelee au uvunjwe. Wazanzibar HATUTAKUBALI Katiba Mpya ambayo ni Mkataba mpya bila kuelewana vizuri kwenye hii. Yanayoidhulumu Zanzibar hayatokani na Katiba iliyopo ni kutokutekelezwa tu, kuna assurance gani kwamba Katiba Mpya ITATEKELEZWA 100%?
@bijaporaelias4280
@bijaporaelias4280 11 месяцев назад
Asante mheshimiwa kwa kutupa elimu kuhusu umhimu wa mkoa singida
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo Год назад
UHUYU BABA NI HAZINA NA RASILIMALI WATU KUBWA SANA KWA TAIFA LETU TANZANIA. TUNAKUOMBEA AFYA NJEMA PROF P. KABUDI. HAPA KAZI TU NA KAZI IENDELEE.
@rajaburajabu12509
@rajaburajabu12509 5 месяцев назад
Historia nzuri sana kabudi Najivunia sana
@RobertPangaya
@RobertPangaya Год назад
Huzee wako unafaida kwetu vijana pa kujifunza mengi ya kimaarifa Na kizalendo big up prf kabudi long life💐
@foundationforcommunityhope7327
Big up Prof Kabudi, popote unapokwenda na kutoa hotuba ...unakuwa super hii haina kupinga... proud of Tanzania...uko vizuri Sana.
@bonnymartin3348
@bonnymartin3348 11 месяцев назад
Asante kwa kuitaja shule yangu ya Mwenge Sekondari sauti ya Mamlaka hiyo.
@pepchallanga3626
@pepchallanga3626 Год назад
the only Prof we have in Tanzania
@ObediKinkusha-gq8fw
@ObediKinkusha-gq8fw Год назад
Asante kabudi uko vizuri tunakuhitaji
@shadowkasi6881
@shadowkasi6881 Год назад
Mimi sinashaka pro kabudi Namkubali sana.
@mwanaidiomari2676
@mwanaidiomari2676 11 месяцев назад
It's very good
@rwekazamugasha6448
@rwekazamugasha6448 Год назад
Prof Kabudi apewe majukwaa ili aendelee kutuo historia sahihi na uasilia wa Kiswahili. Keep it up, Prof Kabudi
@JosephKangungu
@JosephKangungu 11 месяцев назад
Kwa Nini mama kamtoa w ya mambo ya ndani? Niliuzika Sana.
@JosephKangungu
@JosephKangungu 11 месяцев назад
Samahani mambo ya nje
@JosephKangungu
@JosephKangungu 11 месяцев назад
Good man
@meshackmwankusye2908
@meshackmwankusye2908 Год назад
Amina Amina sema amen ukombozi wa kweli unakuja
@christopherchisuligwe512
@christopherchisuligwe512 11 месяцев назад
Real profro
@braviuscosta1430
@braviuscosta1430 Год назад
Huyu ndo angekuwa rais nampenda sana
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Год назад
Haswaaaa uongozi wa urais unahitaji mtu mwenye akili
@Sisopotashiumz
@Sisopotashiumz 11 месяцев назад
🎉🎉🎉
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke Год назад
Umesoma sana lakini umetuagusha kisa cheyo simamiya ulicho someya
@obedlwinga9194
@obedlwinga9194 Год назад
Cheyo kafanya mini tens hapo? Au cheo
@yahayaally8416
@yahayaally8416 Год назад
Baba Pinga kazi nakubari ww mze
@joycemalima2790
@joycemalima2790 Год назад
Hongera sana
@daudimaniseli759
@daudimaniseli759 Год назад
SAUTI YENYE MATUMAIN SAUTI UKISIKIA UJUE KUNA KITU HAPO ..HONGERA MH.KABUDI
@mariamusaulo4429
@mariamusaulo4429 Год назад
Mungu akutunze ww Baba
@ybmtaakwamtaaofficial3415
@ybmtaakwamtaaofficial3415 11 месяцев назад
🎉🎉
@alexanderdustan8872
@alexanderdustan8872 Год назад
Huyu ndio professor
@SelijusiMalambo-c8k
@SelijusiMalambo-c8k Год назад
Huyu niwaukweli sio wengine wanao ota kama uyoga
@stewartmonyo
@stewartmonyo 2 месяца назад
🎉👏👏👏👏👏👏👏👏🎁🎁🎁🎁🎁
@karimambosanga4290
@karimambosanga4290 Год назад
Unashangaa dhahabu kama hii haithaminiwi kisa simwenzetu,ila Mungu akuongoze pr Kabudi
@shd12m55
@shd12m55 Год назад
Hk kichwa ni balaa,,RIP MAGUFULI
@MartinLaban
@MartinLaban Год назад
Jembe jembe jembe sauti haijawahi badirika safi saaana mama akitoka kura yangu nakupa roho saaaafi.
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 10 месяцев назад
Professional person God helps you for everything
@AhmedHassan-vl5zf
@AhmedHassan-vl5zf 6 месяцев назад
Singidani NI jina la kimangati ua barbagi pia hujakosea Sana watindiga NI WA barbagi WA mbugani na wanyaturu hawakutokea ethopia wametokea Somalia wao na Watusi waliondoa wakati moja
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 Год назад
Amesha ramba asali uzalendo umemshinda sasa anafukuzia vyeo. Tuliambiwa yeye ndio mzee wa mikataba na matumda yake tumeyaona bandari wanakabidhiwa Dubai na watanzania wanafukuzwa kwenye ardhi ya nchi yao wapewe wageni hongera Prof.
@mdoeonesmo6780
@mdoeonesmo6780 Год назад
🔥
@MartinLilenga
@MartinLilenga Месяц назад
Kichwa
@emanuelkitiku690
@emanuelkitiku690 Месяц назад
Wanapo niboa tu uccm ukome😊
@sashawambura
@sashawambura Год назад
He is always unique...
@YoelRyoba
@YoelRyoba 2 месяца назад
Kabudi tunaomba utunge kitabu cha history hito
@Trendingnewstubes
@Trendingnewstubes 19 дней назад
Wanyaturu ni wajukuu wa mfalme suleiman na malkia wa Sheeba
@coolruler6820
@coolruler6820 Год назад
Nabii hanaga heshima kwao,,,,,watu kama hawa ingepaswa kuonekana wamekalia ngazi za juu za uongozi wa nchi ili tuyafaidi madini yaliyomo vichwani mwao,,,,ila ndivyo hivyo
@humbemusa3480
@humbemusa3480 Год назад
Mbojo ni hatariii saana kwa wakati huo
@josephkafumu3006
@josephkafumu3006 3 месяца назад
Hiii ndo sauti ya kutunzwa sasa
@jairoshamisi3266
@jairoshamisi3266 11 месяцев назад
Wana manyoni singida hoyeee
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 11 месяцев назад
Nyerere alikuwa na akili sana
@mangashajunior242
@mangashajunior242 11 месяцев назад
Vipi yale makonteina ya makinikia na mikataba yake imeishia wapi...
@johnmsambuzi9094
@johnmsambuzi9094 Год назад
Lengo la historia hiyo kwa mda huu nini,tunaomba kuelewa,na anayesomewa historia hiyo lengo afanye nini
@msafiriatanasiovicent209
@msafiriatanasiovicent209 11 месяцев назад
Kabun we ni baraa mkuu mpe uwazir
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
huyu akiongea hatulii macho
@humbemusa3480
@humbemusa3480 Год назад
Nimeipanda bureee hii historia ya Singida kutoka kwa Kabudi umetishaaaaaaaaaa ungesema na kinyaturu kidogo tukusikie. Maua yako tunakupatia 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@kianda973
@kianda973 Год назад
Noah zetu ziko wapi?
@amanikudeli5297
@amanikudeli5297 11 месяцев назад
Mwamba huyu
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke Год назад
Kwanini ulijitukana mwenyewe nakukumbusha uliokotwa wapi? Do you still remember
@alexanderdustan8872
@alexanderdustan8872 Год назад
Akili yako ndio inaona hivo
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Год назад
Endelea kukumbuka historia na roho yako ya chuki...huwezi mfikia huyu mwamba kwa lolote !!!
@RobertAbdala-m1m
@RobertAbdala-m1m 11 месяцев назад
Vee umnyaturu mbuyani
@augustinempule7385
@augustinempule7385 11 месяцев назад
Mnyampaa
@ShabaniHusseni-m8l
@ShabaniHusseni-m8l Год назад
Acha upumbavu wewe nani kakuuliza
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Год назад
Kuwa na heshima kwa viongozi wako
@coolruler6820
@coolruler6820 Год назад
Si lazima kumsikiliza,,,kalale
@godiusjilaoneka3484
@godiusjilaoneka3484 Год назад
9
@jumanneshigela2900
@jumanneshigela2900 Год назад
Prof. Well done siku nitakutafuta niombe historia hii bora kabisa Mungu akihifadhi na kila lililo ovu na akupe maisha marefu ili tusome mengi toka kwako binafsi saluti kubwa kwako
@RobertPangaya
@RobertPangaya Год назад
Huzee wako unafaida kwetu vijana pa kujifunza mengi ya kimaarifa Na kizalendo big up prf kabudi long life💐
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Год назад
Sana Mashaallah
Далее
Grand Final | IEM RIO 2024 | BO5 | КРNВОЙ ЭФИР
6:35:24
PROF KABUDI ASHANGAZA WENGI KWA HOTUBA YAKE
37:31
Просмотров 184 тыс.
URAIA PACHA TANZANIA
1:29:43
Просмотров 30 тыс.
Grand Final | IEM RIO 2024 | BO5 | КРNВОЙ ЭФИР
6:35:24